TOA (Official Video)- Mt. Secilia Makuburi

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 жов 2024
  • #KMSM#studioirisPro
    Thamani ya Upendo ipo katika kuTOA, na unapoTOA ndipo unabarikiwa zaidi.
    WIMBO: TOA
    MTUNZI: BERNARD MUKASA
    WAIMBAJI: Mt. Secilia Makuburi
    AUDIO: HOLY TRINITY STUDIOS
    VIDEO: STUDIO IRIS PRO.
    KINANDA: A. J. MYONGA
    MAWASILIANO:
    Email: @seciliamakuburi@gmail.com
    Simu: +255 717 001 122
    Instagram @mt.seciliamakuburi
    Twitter @mt.seciliamakuburi
    Facebook @mt.seciliamakuburi
    SUBSCRIBE, LIKE AND SHARE.

КОМЕНТАРІ • 105

  • @KwayaYaMtSeciliaMakuburi
    @KwayaYaMtSeciliaMakuburi  2 роки тому +9

    Asanteni sana kwa upendo wenu. Tuendelee kuitazama kazi yetu na kusambaza kwa watu wote. ❤❤❤❤

  • @devotamiango6265
    @devotamiango6265 2 роки тому +5

    Mmmmm mmeua kwaya ya taifa nawapenda Mungu azidi kuinua vipaji vyenu kuzidi kumtumikia 😍😍😍😍😍

  • @elizabethmartin8846
    @elizabethmartin8846 2 роки тому +1

    Hongereni sana kwa kazi nzuri,.hakika wimbo una ujumbe mzuri ...mzidi kubarikiwa 💪👏

  • @elizabethsimion6956
    @elizabethsimion6956 2 роки тому +1

    Wimbo mzr sana.... mbarikiwe kwa utume

  • @emilshayo4403
    @emilshayo4403 2 роки тому +3

    I love you kijiji changu pendwa KMSM...... Hailafyuuuuuuu much

  • @jonaskweyamba9747
    @jonaskweyamba9747 Рік тому +1

    Much congrats St Cecilia for good song

  • @c.a.sindanotano3242
    @c.a.sindanotano3242 2 роки тому +3

    Mmetishaaaaa

  • @despinae.mdende
    @despinae.mdende 8 місяців тому +1

    Hongeren Sana watu wa Mungu kazi nzuri sana

  • @deboramwadangalasoundoflov5953
    @deboramwadangalasoundoflov5953 2 роки тому +3

    Nyie watu ni hatari sanaaa

  • @andrewmushi281
    @andrewmushi281 2 роки тому +3

    Hongeren mnoooo

  • @barakajoseph7175
    @barakajoseph7175 2 роки тому +4

    Nimepata playlist mpya kabla ya x-mass😊😊😊🔥🔥🔥🔥🔥

  • @marynessmelchiory3433
    @marynessmelchiory3433 2 роки тому +4

    Nyieeee😍😍Hongereni sana kwaya yangu KMSM na wazalishaji wote wa kazi hii. Pendo lisambaeee...#Upendonikutoa💌💝

  • @josephsabuni795
    @josephsabuni795 2 роки тому +3

    Hongereni kwa utume, iko poa sana...

  • @petertonix
    @petertonix 2 роки тому +3

    Hongereni kwa kazi nzuri

  • @mt.cesiliampanda7062
    @mt.cesiliampanda7062 10 місяців тому

    ❤❤❤❤❤❤ wimbo umejaa tafakari ya kutosha

  • @patrickmndeme7754
    @patrickmndeme7754 2 роки тому +5

    Hongereni Kwa kazi Nzuri.
    Iris Pro📷 kazi Safi sana

  • @anthoniamkula1079
    @anthoniamkula1079 2 роки тому +4

    🙏🙏🙏

  • @thomasnduva9662
    @thomasnduva9662 9 днів тому

    Parish ya makuburi kwa jumla Iko juu xana kwa uimbaji

  • @praykileo2634
    @praykileo2634 2 роки тому

    Nzur sana

  • @josephatmsomi4917
    @josephatmsomi4917 2 роки тому +4

    Thamani ya Upendo Ni Kutoa. TOA kila Kitu kwaajili ya Wenzako. Utabarikiwa

  • @denismaunda3102
    @denismaunda3102 2 роки тому +4

    Unyama Huu Hadi Impala Mkafanya Unyama Nyie ni Threats😀😀

  • @barakadaniel8774
    @barakadaniel8774 2 роки тому +5

    Ukisha toa, Toa tena, vikisha toa nafsi yako.

  • @holyfamilymedia1325
    @holyfamilymedia1325 2 роки тому +9

    Cogratulation St Cecilia Makuburi.On behalf of Sam Magima family and friends I would like to thanks God for giving us you guys to do search wonderful work. The COMPOSER is wow, audio super, SINGERS excellent Video hapo ndipo mliweza. Studio Iris pro are doing very best work around actually very creative guys .I have experience with them here in Kenya.
    always proud of you .
    May God give you More energy and good health to more.
    Watching it 5times

  • @theresiajoseph1943
    @theresiajoseph1943 2 роки тому +5

    Hongerenii sanaa kwaya ya mt Sesilia makuburi.... Hongera organist ,mtunzi wa wimbo huu mzurii studio iris nawote mliofanikishaa kazii hiii 📷🎶🎶♥️♥️

  • @lucymgimba5463
    @lucymgimba5463 2 роки тому +3

    Hongereni Sana video nzur sauti zimetulia mpangilio Safi ilove it

  • @michaelkithembe
    @michaelkithembe 2 роки тому +4

    Studio Iris Pro 😍😍😍

  • @Ntanguligwa
    @Ntanguligwa 2 роки тому +4

    Safi sana

  • @stephensanga
    @stephensanga 2 роки тому +3

    Hakika upendo ni kila kitu katika maisha yetu haya, wapendwa tupendane. Hongereni wanakwaya ya Mt Secilia Makuburi

  • @jonsiamarcus5863
    @jonsiamarcus5863 2 роки тому +3

    God bless you 😍😍
    Wimbo mzuri sana keep it up
    Be blessed 🤗😘😍👏👏
    Livinus tulikuwa wote now umekuwa 😋😋
    Vizuri kijana wangu 👏👏👏👏

  • @elvanusndyamukama4122
    @elvanusndyamukama4122 2 роки тому +5

    Hongeren Sana hakika mnainjilisha vyema basi hisiishie tu kurecordiwa mkakaa nayo ishambazwe ili kupitia nyinyi upendo usambae kwa watu wote👏👏👏

  • @mitaocamilliusthegreatest9068
    @mitaocamilliusthegreatest9068 2 роки тому +2

    Hongereeni Sana mt. Secilia mbarikiwe Sana nawakubali Sana watu wangu wa nguvu! Salamu nyingi kwa kaka Myonga

  • @ephelbrandstudios1300
    @ephelbrandstudios1300 2 роки тому +3

    hongereni sana kwa kazi nzuri, pia pongezi zimuendee director wa wimbo huu, yaan so creative

  • @barakajoseph7175
    @barakajoseph7175 2 роки тому +5

    Sema hii arrangement ni moto bhana tuache utani nyie🔥🔥🔥

  • @hebronkiyeyeu4889
    @hebronkiyeyeu4889 2 роки тому +3

    Paul maduhu hahahaha

  • @frankalexmwacha6921
    @frankalexmwacha6921 2 роки тому +3

    Nzr

  • @patrickmsuguri
    @patrickmsuguri 2 роки тому +3

    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @tedrinaevaristo2289
    @tedrinaevaristo2289 2 роки тому +4

    Ujumbe mzuri sana huu nawapenda💕💕💕💕

  • @julianagowele9163
    @julianagowele9163 2 роки тому +3

    Kazi nzuri. Hongereni kwa uinjilishaji kwa njia ya nyimbo

  • @benjaminmuisyo131
    @benjaminmuisyo131 2 роки тому

    Good

  • @elizabethmwanakatwe6033
    @elizabethmwanakatwe6033 2 роки тому +4

    waooooh🔥❤❤

  • @levinasoka1685
    @levinasoka1685 2 роки тому +2

    Upendo Ni kila kitu....! Hongereni Sana Wana kwaya wote wa KMSM na wote walioshiriki kuandaa kazi hii.
    I love my Choir...! Nimewamiss Sana pia.

  • @chrisssalmon3175
    @chrisssalmon3175 2 роки тому +3

    Gwaraaaa... nyimbo nzuri video nzuriiiiiii

  • @niceforusmgaya8109
    @niceforusmgaya8109 2 роки тому +4

    Hamjawahi kufeli familia ya KMSM huu mwaka yafaa tuuite "Mwaka wa Upendo" 🙏🙏

  • @scholasticakalimba2828
    @scholasticakalimba2828 2 роки тому +3

    Hakika pendo lisambae, hongereni sana wapendwa

  • @mwamasagemaria8810
    @mwamasagemaria8810 2 роки тому +4

    Hakika mungu ni mwema mzidi kubarikiwa kwa kalama mlizojaliwa ili tuzidi kubarikiwa sote 🙏🙏kuimba ni kusali mala mbili tumuimbie bwana.........

  • @felicianmwileng4734
    @felicianmwileng4734 2 роки тому +2

    Hongereni sana kwaya yangu, Mungu aendelee kubariki kazi hii ya uinjilishaji, 👌👌👏👏

  • @christinabony3969
    @christinabony3969 2 роки тому +4

    Hongeren sana rafiki zetu mmetoa kitu bomba jaman TUPENDANE kama tunavyoambiwa na hao waimbaji 💔

  • @NTM9320
    @NTM9320 2 роки тому +3

    Kazi nzuriiiii

  • @livinusgrenus2759
    @livinusgrenus2759 2 роки тому +3

    🔥🔥🔥🔥

  • @petergeorge7757
    @petergeorge7757 2 роки тому +4

    Beautiful

  • @happinessmwingira5722
    @happinessmwingira5722 2 роки тому +2

    Hongereni sana kwa kazi nzur , hakiki upendo ni mwanga 🥰👏👏👏

  • @veronicamende2702
    @veronicamende2702 2 роки тому +2

    Hongeren sana Kwa wimbo mzuri hakika Upendo ndio kila kitu Katika Maisha yetu

  • @francischief8188
    @francischief8188 2 роки тому +1

    Mt.secilia makuburi Hongereni kazi nzuri

  • @patriciaburure2851
    @patriciaburure2851 2 роки тому +2

    I just Love this song, the rilycs are very powerful, the voices so angelic and the video matches it all. Let Love lead, if it finishes please give out yourself for the Love. From Nairobi🥰🥰

    • @KwayaYaMtSeciliaMakuburi
      @KwayaYaMtSeciliaMakuburi  2 роки тому

      Thank you Madame Burure.
      We thank God too for this; because it is God will. You support it's energize the choir to walk a step ahead.please stay with us because your part of Secilia choir. Thank you once again and God bless you

  • @ditrammgimba2759
    @ditrammgimba2759 2 роки тому +3

    Hongereni na leo mmefanya vizuri mno kwenye tamasha la Yesu ni mwema

  • @sarafinafranci8481
    @sarafinafranci8481 2 роки тому +1

    Asante sana, amina Mungu awabali sana mzidi tuinjirisha.

  • @mahangatv2255
    @mahangatv2255 2 роки тому +1

    Mtakatif Cecilia hajawah kukosea

  • @edwardmasembe5666
    @edwardmasembe5666 2 роки тому +1

    Thank you very much for this very beautiful , wonderful and very much UPENDOful Song / production.
    It actually generates UPENDO.

  • @franciskagunda3461
    @franciskagunda3461 2 роки тому +1

    Naomba Nota jameni.
    Kaz mzuri mbarikiwe sana

  • @ericktemba192
    @ericktemba192 2 роки тому +1

    Safi sana ujumbe mzito huu TOA

  • @annakapugi618
    @annakapugi618 2 роки тому +1

    It is heavenly

  • @marychrisant2308
    @marychrisant2308 2 роки тому +1

    Hongereni kwa kazi nzuri sana

  • @paulonkunga271
    @paulonkunga271 2 роки тому +1

    👏👏👏ongereni

  • @pascalinasarakikya7710
    @pascalinasarakikya7710 2 роки тому +1

    🤗🤗❤💖

  • @peterswai296
    @peterswai296 2 роки тому +1

    Nzurii hongereni

  • @paulyohanemaduhu9772
    @paulyohanemaduhu9772 2 роки тому +3

    💥💥💥💥💥💥

  • @mkapakalikene9042
    @mkapakalikene9042 2 роки тому +1

    Hongereni sana nyimbo nzuri ♥️

  • @emmanuelkiio592
    @emmanuelkiio592 2 роки тому

    Studio Iris Pro, kazi nzuri, KMSC, tunawapenda sana na kazi zenu nzuri, tunaomba Nota za huu wimbo

  • @shepherdhermas6763
    @shepherdhermas6763 2 роки тому +1

    Sweet song🤩💝

  • @VicensiaEvarister-io8xk
    @VicensiaEvarister-io8xk Рік тому

    Sorry Jaman nmetafta nota za wimbo huu sjapata nauliza naweza nkapataje

  • @jacklineorestry806
    @jacklineorestry806 2 роки тому

    Hongeren sana kwa kuinjilisha Mungu aendelee kuwabariki

  • @vincentkemwa4190
    @vincentkemwa4190 Рік тому

    Wimbo mzuri sana, naweza kupata nota zake kweli, mzidi kubarikiwa

  • @irenekagoa5314
    @irenekagoa5314 2 роки тому

    Amina nyimbo nzuri nimebarikiwa kukutia nyimbo hii leo

  • @genesshayo286
    @genesshayo286 2 роки тому +1

    Kaz nzr

  • @kmsbkwayayamt.sebatianchab2781

    Tumimbie bwana naombeni kopy ya wimboo huu wapendwa

  • @januarius-js2xl
    @januarius-js2xl 5 місяців тому

    Hongereni sana Wana Makuburi kwa utume mwema

  • @patrickmndeme7754
    @patrickmndeme7754 2 роки тому

    Maestro umetishaaaaaaaaaa

  • @suzyjohnson-ku3pb
    @suzyjohnson-ku3pb 10 місяців тому

    God

  • @kmsbkwayayamt.sebatianchab2781

    Hongerni kwa kaz nzuri

  • @stevenmwacha7617
    @stevenmwacha7617 29 днів тому

    ❤❤❤❤❤🎉

  • @aloycesemkalami
    @aloycesemkalami Рік тому

    Nawapenda buleee

  • @gideonhenry5938
    @gideonhenry5938 2 роки тому

    Nzuri sana hii

  • @jameschacha8790
    @jameschacha8790 2 роки тому

    Hongereni sana

  • @ayubj.myonga4694
    @ayubj.myonga4694 2 роки тому +3

    Kazi kubwa kutoka kwa kwaya kubwa