KATIKA TAMASHA LA MKATOLIKI CONCERT LILILOFANYIKA 25/8/2024 KWAYA YA MT MAXIMILIAN WAKIWA JUKWAANI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 33

  • @deniswolfganglyimo
    @deniswolfganglyimo 5 місяців тому +1

    Naona majamaa zangu apo,kaka majaliwa big up sana kwakuendeleza wito mtakatifu wa uinjilishaji,and the whole team!🙌

  • @marianxavery3102
    @marianxavery3102 5 місяців тому +2

    Congratulations st.Maxmillian for good performance in this concert may sir God gives his blessings all,this how we like ,Performance,high confidence .Segerea hoyeeee

  • @rosepeter1371
    @rosepeter1371 5 місяців тому +1

    Maxmilliana tunawakubali sana mnaipaisha mno parokia yetu ya roho Mt segerea Mungu azidi kuwainua ktk utume wenu wa uimbaji

  • @bisama-i7o
    @bisama-i7o 5 місяців тому +2

    Big up saaaaana Wana Maximilian.....mmepiga Ile inaitwa mziki mtakatifu.... 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @Manuell_Lorenz
    @Manuell_Lorenz 5 місяців тому +1

    Mungu awabariki watu wa Mungu❤
    Huu ni ushauri kwa karibia kwaya zote za kikatoliki Mnaporekodi live perfomance.
    1. kinanda kinasikika sana kuliko sauti hasa sauti ya 2, 3 na 4 yaan sauti ya 1 hufunika karibia sauti zote hii si sawa. Sasa sijui kipunguzwe saut au nini ila kinanda inakuwa kelele.
    2. Utamkaji wa maneno bado ni shida, hii ni injili, na ili injili iende mbele lazima tuelewe au tusikie mnasema nini, hii pia inasaidia maana kuna mda kama watu wanatukana hvi.
    3. Kama waimbaji/wanakwaya fanyeni uwekezaji kwenye mitambo ya kisasa ya kirekodi live perfomance na vipaza sauti watu wajifunze kutumia,
    Mwisho sauti ya kwanza wanapoimba ala za juu husikika kama kelele maana wengine hawafiki sasa ile kama kulazimisha inaharibu na hii nimeiona kwa kwaya nyingi za kikatoliki

    • @kwayayamt.maximillianmaria2001
      @kwayayamt.maximillianmaria2001  5 місяців тому +1

      Asante kwa ushauri tutajitahd kuufanyia kazi
      Tunashukuru sana
      Kuhusu mitambo ya kisasa ndo tupo katika mchakato huo ubarikiwe sna ndugu asante kwa sapoti yako🙏

    • @Manuell_Lorenz
      @Manuell_Lorenz 5 місяців тому

      @@kwayayamt.maximillianmaria2001 Mbarikiwe sana na Mungu awasimamie katika utume wenu.

  • @ferdinandikubila3669
    @ferdinandikubila3669 5 місяців тому

    Hongereni sana sana

  • @calisterwilbrod9729
    @calisterwilbrod9729 5 місяців тому +1

    Hongereni sana familia♥️

  • @AlexanderShemweta
    @AlexanderShemweta 5 місяців тому +2

    Hili vibe ni hatari hongereni sana kwaya ya mt.Maximiliani

  • @JacklineSirili-qt6ol
    @JacklineSirili-qt6ol 5 місяців тому +1

    Mlitisha sana maximillian 😊

  • @agneshenry732
    @agneshenry732 5 місяців тому +1

    Hongereni sana🎉🎉

  • @hermanhenry994
    @hermanhenry994 5 місяців тому +2

    Mkoa juu sana Max

  • @Arati3
    @Arati3 5 місяців тому +1

    Eeiysh 🥰🔥

  • @abdifadhili
    @abdifadhili 5 місяців тому +1

    Daaah aisee 🔥🔥🔥

  • @calisterwilbrod9729
    @calisterwilbrod9729 5 місяців тому +1

    🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌♥️

  • @GeofreyPeter-s8n
    @GeofreyPeter-s8n 5 місяців тому +1

    Atare sana

  • @aloysiusrugejuna2804
    @aloysiusrugejuna2804 5 місяців тому +1

    Wow

  • @mrkazilo
    @mrkazilo 5 місяців тому +1

    ❤❤

  • @JosephCalist-f7p
    @JosephCalist-f7p 5 місяців тому +1

    Kiukweli mnaimba vizuli sanaaaaa

  • @kwayayamt.maximillianmaria2001
    @kwayayamt.maximillianmaria2001  5 місяців тому

    ua-cam.com/video/eXDSeyol1Sw/v-deo.htmlsi=ZyA3SOjnP31ZkSE_
    Karibu channel youtube ya kwaya maxmilian usiache kusubcribe channel yetu mambo mazuri yaja