Kanisa lijitafakari, liwekeze kwenye katekesi Waamini walio wengi wana mahangaiko. Mapadre, maaskofu na wengine watoe katekesi Waache. alichoita Papa clericalism
Unaweza kumlazimisha punda kunywa maji? Kanisa limeshajenga katekesi yake iliyokamilika na linaitoa kila siku sasa wewe huoni umeamua kutoelewa unatangatanga kiimani. Kosa la nani?
Nasadiki kwa kanisa Moja, Takatifu katoriki la Mitume✍️
Hapa ndipo Nyumbani kwangu🙏
Hongera sana bab askofu
Catholic ni shule kuu ya ukweli na itabaki kuwa hivyo.💪🏿🙏🙏
Asante baba Askofu kwa kuhimarisha imani.Baba Paroko huo msalaba ni wa kilutheri sio crucifix yetu wakatoliki😂
Tunashukuru Baba Askofu basi tubadilishe haya mazingira na mapadre waongeze nguvu ktk kusaidia hili na watu wakae karibu na waamini
Tumsifu yesu kristo
Kanisa lijitafakari, liwekeze kwenye katekesi Waamini walio wengi wana mahangaiko. Mapadre, maaskofu na wengine watoe katekesi Waache. alichoita Papa clericalism
Unaweza kumlazimisha punda kunywa maji? Kanisa limeshajenga katekesi yake iliyokamilika na linaitoa kila siku sasa wewe huoni umeamua kutoelewa unatangatanga kiimani. Kosa la nani?
Asante sana baba.lakin paroko wa parokia ajitathimin kwa kanisa hili.
Kun mazingira bado hali ni ngumu uko vigangoni
kweli lipo local sanaa
Anza wewe kuchangia ujenzi wa kanisa zuri sio unaropoka tu, hivi umezunguka nchi nzima hii ukaona hali ya watu ilivyo au?
Paroko afanyeje sasa. anza mchango. Hongereni sana Kwa hatua hii. Kanisa ni watu.
Asante Baba Askofu kutembelea vigangoni umejionea mwenyewe Hali ilivyo huko
Jimbo gani
Bukoba