Nimefurahi kukuona Sr Teddy my beautiful mama umenileaaa tangu Niko darasan la pili shirika la utoto mtakatifu mpaka Sasa Nina mji wangu Yesu akutunze Sr Teddy wa dada wadogo uwafundishe n wanangu kusali n kutumika ndan ya kanisa Nakupenda
Wewe unae sema masista na mapadre wanaishi maisha yauongo.umekose.kila mmoja anaishi maisha anayoaamini.kama wewe umekamilika.hupaswi kuongelea immani ya mwingine. Kwa maneno yako hayo hiyoni kashifa
Naikaaa Burundi, Kiswahili yangu haiko kizuli, lakhini ukisema ninaelewa. Congratulations to our Sisters. Kitu kimoja nataka kuwambiya, munaimba vizuli. Lakhini hamucezi. Ceza waMama. Mimi napenda guceza kanisani, especially kwa mwisho wa Misa. Kwa ju nina furaha saana kwa Lord benediction. Naomba musama for my power Kiswahili.
Hongereni Warenbo wa Kristo, nilisomea Shule ya wamissioari, kwa hivyo nawaelewa na kuwatambua sana. I learnt many spiritual dimensions that helps me in life even today as a married woman.
You re proud to be a Catholic,cammon,unajua katoliki walitoa amri ya pili ya mungu wakagawa ya kumi iwe ndio ya 9and 10,pope Constantine akabadilisha sabatu ya mungu kutoka Saturday Hadi Sunday,mnaabudu Trinitarian God instead mungu WA bibilia,mama yenu ni Maria na bibilia inasema mama yetu ni yerusalem mpya,,soma Mathew 2daniel 7, revelation 13,14,17 ,,,hapo ikisoma itakutolea beast ni pope na kanisa katoliki ni kahaba mkuu
Please matters faith are ones choice. If you think your choice is the best keep it to yourself.. I am and will be a proud catholic. We have wars in the world courtesy of religion. Keep your religion and don’t criticize or judge and demean others
@@shad966 Isaiah 58:1 [1]Cry aloud, spare not, lift up thy voice like a trumpet, and shew my people their transgression, and the house of Jacob their sins. Piga kelele, usiache, Paza sauti yako kama tarumbeta; Uwahubiri watu wangu kosa lao, Na nyumba ya Yakobo dhambi zao.,,,,,,,,,sio vita tuko nazo,,ni maonyo tu,,walio na masikio watasikia
Good I like sisters pray for us
Nimefurahi kukuona Sr Teddy my beautiful mama umenileaaa tangu Niko darasan la pili shirika la utoto mtakatifu mpaka Sasa Nina mji wangu Yesu akutunze Sr Teddy wa dada wadogo uwafundishe n wanangu kusali n kutumika ndan ya kanisa Nakupenda
amina
Watoto wako walee kwa hofu ya Mungu, baadhi wanaweza kupenda kuwa watawa
Kila,mtu namapungufu,yake ,naask nimtu kama wengine
Nimependa sana hiki kilichofanyika MUNGU awabariki sana maaskofu wetu
Kadilali Rugambwa na Askofu Bagonza
Wewe unae sema masista na mapadre wanaishi maisha yauongo.umekose.kila mmoja anaishi maisha anayoaamini.kama wewe umekamilika.hupaswi kuongelea immani ya mwingine. Kwa maneno yako hayo hiyoni kashifa
Mmbarikiwe
Naikaaa Burundi, Kiswahili yangu haiko kizuli, lakhini ukisema ninaelewa.
Congratulations to our Sisters. Kitu kimoja nataka kuwambiya, munaimba vizuli. Lakhini hamucezi. Ceza waMama. Mimi napenda guceza kanisani, especially kwa mwisho wa Misa. Kwa ju nina furaha saana kwa Lord benediction.
Naomba musama for my power Kiswahili.
ASANTE SANA NA HONGERA SANA UMEJITAHIDI SANA NA KISWAHILI CHAKO CHA BURUNDI
Hongera sana masister wetu wadogo. Mungu awape nguvu ktk wito huo
Hongereni Sana Kwa uinjilishaji mzuri.
Mungu aendelelee kuwa upande wenu mzidi kumtumikia kwa uaminifu
Hongereni Warenbo wa Kristo, nilisomea Shule ya wamissioari, kwa hivyo nawaelewa na kuwatambua sana. I learnt many spiritual dimensions that helps me in life even today as a married woman.
Asante sana
I just find myself repeating this video. Baraka za Mwenyezi Mungu ziwazidie mnapozidi kumhudumia
Mungu awajali afya njema na imani ya roho na mwili hongereni kwa wimbo nzuri sana
We the capuchins, let's serve God
Hongera Watawa wa Dada Wadogo, Mungu Baba Wa Mbinguni, Awaangazie na Kuwalinda, Amina.
Namwona sister Likuda, Mwana wa Lawrence. Hongereni madada wadogo
Hongereni kwa kumtumikia muumba wetu mbarikiwe sana
I was educated by nuns may the Almighty continue blessing them ad their vocation
THANKS YOU DAN
Hongereni Sana Tabora hyo Kama sijakosea
Hongera dada Zang Mungu awatie nguv kwa Kaz yenu
Damu ya Yesu ikanene mema juu ya maisha yenu mliyoyachangua
Hongereni Sana masister kwa utume huo mtakatifu Mungu awajalie neema mnazozihitaji katika utume wenu🙏🙏
Watawa asanteni kwa kujinyima kwenu na kujitolea katika kazi ya Bwana na Bwana awabariki pia awatendee mema
Every time i come along nuns i see them as special beings with special callings ......Mungu na awabariki sana 💕💪
God bless you all nuns
I really appreciate 🙏
Chakula cha mapadre
Keep the fire burning ,kidle it with care.
Ati special callings nkt
The food of Padres and Bishops
Hongereni sana Mungu awabariki na mzidi kutuombea🙏🙏🙏
Ahsante sana dada zangu neema ya Mungu iwe nanyi
, Mwenyezi Mungu awabariki kwa uimbaji
Mwenyezi Mungu,amwangazie mwanga wa neema kuiendeleza kazi Barikiweni sana.
Aste
Mungu Awajalie Utume mwema
May God bless you for offering yourselves as living sacrifice to the Lord.
Wandug 2salini ha2jui siku wala saa❤
Hongerni sana na Mungu awabariki mzidi kumtumikia yeye daima
Waauh, Nice songs from our Blessed Sisters🙏
Wow. Hongera sisters. Mungu awabariki.
Congrats Our Nuns ur pay in Heaven is Biggggggg.
Keep serving
My name is George I am happy ,nafurahia xana hawa sisters thank you very sisters my God bless.
Thanks you very much Geogre may God bless you to
Beautiful ladies. Blessings
Barikiwa sana
Mubarikiwe sana
Congrats srs
Hongereni sana Mungu awatunze
Amina.Hongereni sana
Mungu awainue masista our prayerw worriors
shukrani Marry Tallam
Music mtamu sana..zimepangiliwa vizuri.
Mbarikiwee sanaaa
Good example to follow. God bless you the faithful nuns
Bwana awabariki nyote milele Amina
VERONIKA
Mungu awabariki
Woow nice songs God continue blessing
Mbarikiwe watumishi mwaniimbia wimbo mzuri
Mungu awalinde
Beautiful souls 💓❤️
Many blessings as you continue to serve in his vineyard 🙏
God bless father
May the Almighty God bless you as you continue serving him.
Bwana Mungu awabariki sana Masista wetu
asante jackson akubariki nawe
Be blessed for the sacrifices of serving your almighty GOD Amen 🙏
Well said
Wow congratulations be blessed masister n mungu awabariki
Respect servants of the Lord ❤
Yesu si bina damu ,ni mungu mzima ndani ya maisha yetu
May Abba father bless you and protect you through the journey
Congratulations sisters.mungu awabariki.
Asante sana nawe pia
Congratulation sister
Nawapenda nyote mubarikiwe
ubarikiwe
Wimbo mzuri ukiambatana na tabasamu.👏👏👏🔥
my sister's mlijituma wa kàzi ya Mungu bila ya kuchoka.may Lord Almighty bless you all.kazi ya Mungu sio ya utumwa hata kidogo.
Mbarikiwe nyote kwa UMISIONARI huu
Hongeren Sana masista😊
Asante sana Mungu akubariki
God bless you and walk with you on your calling.
MUNGU awabaliki muumalize mwendo salama
Let the holy spiri never leave u even 4 a second God bless you all
No eye has seen nor ear heard, nor mind perceived what God has prepared for those who love him.
This scripture is already fulfilled in Christ...
God bless you all sisters
Hongereni sana
I'm proud to be a Catholic
You re proud to be a Catholic,cammon,unajua katoliki walitoa amri ya pili ya mungu wakagawa ya kumi iwe ndio ya 9and 10,pope Constantine akabadilisha sabatu ya mungu kutoka Saturday Hadi Sunday,mnaabudu Trinitarian God instead mungu WA bibilia,mama yenu ni Maria na bibilia inasema mama yetu ni yerusalem mpya,,soma Mathew 2daniel 7, revelation 13,14,17 ,,,hapo ikisoma itakutolea beast ni pope na kanisa katoliki ni kahaba mkuu
Please matters faith are ones choice. If you think your choice is the best keep it to yourself.. I am and will be a proud catholic. We have wars in the world courtesy of religion. Keep your religion and don’t criticize or judge and demean others
@@raphaeljulo3826ukweli utakuweka huru. Daima
@@threebrothers.. 😀😀 Wasabato mna shida gani na wakatoloki? Self righteous people
@@shad966 Isaiah 58:1
[1]Cry aloud, spare not, lift up thy voice like a trumpet, and shew my people their transgression, and the house of Jacob their sins.
Piga kelele, usiache, Paza sauti yako kama tarumbeta; Uwahubiri watu wangu kosa lao, Na nyumba ya Yakobo dhambi zao.,,,,,,,,,sio vita tuko nazo,,ni maonyo tu,,walio na masikio watasikia
Milele na milele amina
Mungu awabariki sana
Asante sana Ronald nawe pia
Nzui sana, Bravo!
Wow
Hongereni sana watawa
Congratulation sisters be blessed
THANKS
Kazi njema
asante Mungu akubariki
Asande Sana Kwa Mungu
sherehe safii
Yes masister wako vizur
God bless you little sisters
Congratulations Dear Handmaids of the Lord
MUNGU awe taa ktk utume wenu congratulations sisters 🙏🙏🙏🙏
ASANTE SANA NASHUKURU SANA MUNGU AKUBARIKI NAWE
Mungu akubari xana
Nawe pia
Organist ametulia sana.....anaijua kazi yake.
Mmefanya vizuri sana, hongereni
someone share a link of the song kindly
Mungu awatunze vema katika wito wenu
🙏🙏
My wish was to become a sister bt something happened to me that ruined my dream to be a sister 😔😭
What happened?
@@millicentomondi9356 it's something that am not able to talk about even now 😔
@@dhahabudessy4627 Am sorry...may the Lord heal that experience....
Congrats
Hongereni Mungu Awabariki Kwa majitoleo yenu
someone kindly assist me with name of song
Nice song
Safiiii sanaaaa FPCT isonge mbeleee
It's a Blessing
Tumsifu yesu kristor
Utumushi wenu kwa Mungu ni mwema. Mumecgagua fungu lililojema
Hongereni Sana dada zetu wadogo .
ASANTE NASHUKURU CRENSESIA
Nice
God bless you all
Let's keep the faith that leads to be crowned
Good job lil Angles ❤
Mbarikiwe saaaaaaaaana na mdumu ktk ilo mlilochaguaaaaaaaaaa
Asante sana nashukuru
Be blessed
the same to you
I like the song but I don't know the name of the song.....naomba kujua huu wimbo na kwaya iliyoimba
I am also looking for the song, its so lovely. Ukiupata let me know kindly
God bless proudly Catholic
thanks you may God bless you
Inapendeza sana
Good