Askofu Mwijage aeleza sababu kusitisha Kongamano Karismatiki Bukoba.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 25

  • @johaneslwiza6504
    @johaneslwiza6504 2 місяці тому +4

    Mungu atusaidie Tufunguke Akili zetu. Wengi tumefungwa Fahamu tumekuwa watu wakuzusha Maneno na kupinga kazi ya Mungu isiendelee. Charismatic haitokaa ife hata siku moja. kitu cha kimungu kitadumu Milele

    • @anodearsulusi7536
      @anodearsulusi7536 2 місяці тому

      Nilitegemea utauliza Kwa nn ni hivyo kama hujui msingi wake Bora usingekiment kabisa

    • @TM.Sullusi
      @TM.Sullusi 2 місяці тому

      Cha kishetani ni kipi hapo sasa? 😊

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 2 місяці тому +3

    Kuna uzushi mwingi kwenye karismatiki...hongera Baba Askofu. Huo ujumbe apate Askofu wangu

  • @Registon-ed8sy
    @Registon-ed8sy 2 місяці тому +1

    Hongera baba askofu kwa kuwa na msimamo thabiti juu ya Imani yetu mwenyez Mungu azidi kukuongoza katika utume wako.

  • @user-ex1nd6so6d
    @user-ex1nd6so6d 2 місяці тому +2

    Safi sana baba ikiwezekana kataza kabisa

  • @cyprianpetetmbonde6374
    @cyprianpetetmbonde6374 2 місяці тому

    Hongera sana baba askofu, maana ni hiyo hiyo ya kuchomekwa chomekwa maudhui ya kinyume chetu(catholic) 💪🏿💪🏿🙏🙏

  • @johnmligo6966
    @johnmligo6966 2 місяці тому +2

    BABA HONGERA SANA.... MUNGU AKUBARIKI!!!

  • @yohanaanton7437
    @yohanaanton7437 2 місяці тому +2

    Utii ni bora kuliko Sadaka

  • @isaacthomas7888
    @isaacthomas7888 2 місяці тому +1

    Hongera sanaa Baba Askofu.

  • @charlesm7735
    @charlesm7735 2 місяці тому +3

    Karismatiki inatupoteza.

  • @IsayaMahanze-yt8es
    @IsayaMahanze-yt8es 2 місяці тому

    Hongera baba kwa msimamo wako

  • @geradijoseph4726
    @geradijoseph4726 2 місяці тому +2

    Mungu ni wa wote, KARISMATIKI ni karama ukifunga ipo ROHONI. maana hata wewe ASKOFU unakufuru ROHO MTAKATIFU. je huna karama????😢😢

    • @anodearsulusi7536
      @anodearsulusi7536 2 місяці тому +1

      😂😂😂😂 kanisa Lina mwongozo kusingekuwa na miongozo tusingekuwa hapa maana binadamu akili zetu nizakubustiana tu

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 2 місяці тому

      ​@@anodearsulusi7536miongozo ya kanisa ni biblia hayo ya watu kujiongezea si kweli

  • @daniellembile9988
    @daniellembile9988 Місяць тому

    Karismatiki Katoliki haina shida na wala haipingani na imani yetu ya Katoliki hakuna kitu chochote cha Kikatoliki ambacho Karismatiki inapinga shida ni pale watu kama hawana uelewa juu ya Karismatiki

  • @jovinusferdinand2544
    @jovinusferdinand2544 2 місяці тому +2

    Maaskofu hawa ndo wenye akiri

    • @lamerkkitosi5115
      @lamerkkitosi5115 2 місяці тому +1

      kweli wewe ni askofu wakuigwa ahsante kwa kulinda imani katoliki

  • @audaxbizimana8084
    @audaxbizimana8084 2 місяці тому

    Tatizo mnatumia nguvu za kuwadharau badala ya kuwaelekeza na kutoa miongozo mizuri hapo Bukoba wanaokuzunguka wanakufanyia unafiki wa mapadare hao ni shida tupu

    • @anodearsulusi7536
      @anodearsulusi7536 2 місяці тому +1

      Hawa watu Wana asili ya ubishi hawataki kuelekezwa yani

  • @deokrasisjosephat5857
    @deokrasisjosephat5857 2 місяці тому

    Anavyo ongea utafikiri yeye ni MTAKATAFU

  • @user-fm3ew9tu9y
    @user-fm3ew9tu9y 2 місяці тому +3

    Huyu ni anti Christ anawadumaza wakatoliki kiroho

    • @paschalsafari9747
      @paschalsafari9747 2 місяці тому +1

      Kabisa inahuzunisha sana

    • @philippuguru9508
      @philippuguru9508 2 місяці тому +1

      Shida sio karismatiki ila watu wanazidisha... Wanasahau km wao ni wakatoliki.. wanaenda zaid ya karismatiki ya kikatoliki..... Wengne kule bukoba walianza kuuza mafuta ya karismatik wew unaona sahih hiy