Great Job Tanzania. I see a lot of improvements especially from last years parade. There is no competition amongst the East African Community States. Instead we should have joint exercises, as these forces are not designed to fight neighbors, but instead to protect from external aggression.
Jeshi ndoo kika kitu kila nchi inapotaka kuivamia mchi nyingine huwa inatasmini uwezo wa jeshi ls ichi lengwa, mimi binafsi nipo tayari kula mlo mmoja kwa siku ili bajeti ipelekwe kwenye ununuzi wa siraha zaidi
Hakuna Ndege za Adui zinazokuja Kima cha chini au Cha Kati Enzi Hizi za 5 na 6 Generation Fighter Jets ambazo Uganda na Rwanda Wanazo (Su35) Na Vile Vile Vita vya Kisasa Vinapigwa zaidi na Makombora ya Masafa Marefu na Ndege zisizoonekana na Rada!
Tanzania is the weakest Airforce in East Africa apart from burundi lakini hii iko accounted with there Land superiority na Uwezo wao mkubwa wa kijasusi kuliko nchi yoyote East Africa War is information in This Tz won the Uganda war
Zakizamani hizo msionyeshe siku yakupigan wameshaziona watajuwa wawazuiye vipi nyie siraha za kizman san wengin wanatumikisha série A2021 au 2022 mpaka 2026
Katika vita ye yote ile ni lazima upoteze askari kwa sababu nyingi.. suala ni kwamba kama JWTZ wamepoteza askari mmoja, waasi wamepoteza wangapi? Je wamekuambia?
Hatuonyeshagi silaa tulizonazo ktk nchi zetu za kiafrica ni hatari mbali na hayo bado vyombo mnaotuonyesha jeshi letu linaitaji silaa za kisasa sio Kula manilion ya pesa badala kununua silaa mbali mbali za kijeshi za kisasa zaidi
@@LORDRICKNKYA Ata babako anajua kmuulize Nani east africa hii km kenya Weapon za kisasa,elimu ipo na uzoefu pia wa operation za kivita ndo usiseme Nyie bonqo Kipi zaid ya blaa blaa tu
Mtoa post hujafatilia Vita ya Ukraine vifaa vingi vinafeli huko. Tunatakiwa ku upgrade zana za Vita kuendana na mifumo yakisasa ya kivita. Nchi za kisasa zinaenda na wakati.kuwekeza zaidi kwenye zana za vita.hapo bado tuna hatua kubwa sana kiukweli sio hatua tu Ila masafa marefu
Unalijua shirika la mzinga wewe? Unafikiri wanatengeneza sufuria? Lmao! Lilitengeneza silaha zilizomtoa Idi Amin na lilalamikiwa hata na wacongo wakidai Tz inauzia waasi silaha!
Uongo ngo vifa kuzidisha East Africa yote nivifa.Inapigana ao niwana Jeshi Kinwa bure kusema ongo kama ba congoman RDC simbona M23 yiko inabakimbiza n'a Angola n'a South Africa n'a Burundi mucanginyiko mû gongwa wa kicka uko Masisi bunagana kupigwa kama batoto murudushiye Bugufi n'a Baha bakwetu bira ivo mutayireka kwa Damu ku anguka kabisa
Nimekucheka hadi meno kudondoka chini yule mzee weka pembeni bro anajua kazi yule ni General wakikazi usifanye makosa nakumfananisha kwenye hili Bala la Africa 🌍
Kawadanganye walevi wa gongo, tangu lini jeshi la Tanzania wameunda siraha hatali, sisi Africa ni 0, kazi kununua siraha kutoka Kwa wenzeti, tumeshindwa kusomesha vijana wetu jeshini kuunda siraha.
majeshi huundwa kulingana na vita zinazopiganwa! Baada ya vita kuu ya kwanza frogmen wa jeshi la maji la marekani (NAVY) lilibomolewa na wahusika wakaenda kuwa raia.. wakati wa vita kuu ya pili likaundwa tena na kuboreshwa hadi hivi sasa linajulikana kam NAVY SEALS! Ambao hawategi na kutegua mabomu baharini peke yake bali hivi sasa hupigana baharini (SEA), hewani (AIR) na ardhini (LAND) = seal. Wakati wa amani hakuna sababu ya kujenga jeshi kubwa. na silaha hubadilika kulingana na matumizi.. hizo unazoziona ni kuonyesha maeneo ambayo JWTZ inauwezo wa kujilinda na kupambana! Lakini hawawezi kukuonyesha wanachokitegemea watakuwa wendawazimu!
nani aliyekuambia kuwa unapigana na materrorist kwa silaha nzito pekee? Kuna njia tofauti ya kupigana na materrorist na mara nyingi huhusisha special forces wenye mipango iliyoenda shule na silaha zinazobebeka! Silaha nzito zinakuwa za msaada na huwekwa mbali na front line kusaidia kuvunja mahandaki, majengo na maghala ya silaha ili kuwalinda askari wa mstari wa mbele! nenda jeshini ukajifunze na upunguze kula mihogo unakuongezea ubishi!
jeshi ndo kila kitu, Mii naona muwekeze sana kwenye ulinzi . ongeleni sana but tunataka nchi iwe na nguvu za kijeshi. yaaan nyukilia
Naipenda sana Tanzania!! Hakika naipenda Tanzania nchi yangu. Ni nzuri sana!!
Great Job Tanzania. I see a lot of improvements especially from last years parade. There is no competition amongst the East African Community States. Instead we should have joint exercises, as these forces are not designed to fight neighbors, but instead to protect from external aggression.
Agreed 👍
Jeshi ndoo kika kitu kila nchi inapotaka kuivamia mchi nyingine huwa inatasmini uwezo wa jeshi ls ichi lengwa, mimi binafsi nipo tayari kula mlo mmoja kwa siku ili bajeti ipelekwe kwenye ununuzi wa siraha zaidi
Naona muko hatari kbs.
Ata na sisi hapa Rwanda tunawatazama
Mbosso
Video
Hakuna Ndege za Adui zinazokuja Kima cha chini au Cha Kati Enzi Hizi za 5 na 6 Generation Fighter Jets ambazo Uganda na Rwanda Wanazo (Su35) Na Vile Vile Vita vya Kisasa Vinapigwa zaidi na Makombora ya Masafa Marefu na Ndege zisizoonekana na Rada!
Tanzania is the weakest Airforce in East Africa apart from burundi
lakini hii iko accounted with there Land superiority na Uwezo wao mkubwa wa kijasusi kuliko nchi yoyote East Africa
War is information in This Tz won the Uganda war
Zakizamani hizo msionyeshe siku yakupigan wameshaziona watajuwa wawazuiye vipi nyie siraha za kizman san wengin wanatumikisha série A2021 au 2022 mpaka 2026
Angalau,,,,ila wenzetu weupe bado sana kuwakaribia,,,,,hapo sidhani kama kuna s8laha hata moja made in Tanzania
Zipo Kuna kifaru na ambulance na magari ya kuzima moto ambayo ni yanategenezwa na shirika la jeshi la NYUMBU
Yaani jeshi liko imara kweli kweli
02:13 naziona BM 21 a.k.a sabasaba ambazo zinawasha moto huko Congo, waasi wa M23 wametoa mlio kukiri mziki wa JWTZ sio wa kitoto
Wanapewa raha kisha wanatoa mlio 🙏🙏🙏🇹🇿Mungu ibariki Tanzania yetu Amina
Ayo maslaha yazaman yasha xpayaa hayapo tena asaa
Mbona mnaanza kuzipokeya maiti za wanajeshi wenu kutoka eastern Congo kumradhi mupewe dhahabu ya congo
Katika vita ye yote ile ni lazima upoteze askari kwa sababu nyingi.. suala ni kwamba kama JWTZ wamepoteza askari mmoja, waasi wamepoteza wangapi? Je wamekuambia?
Wekeni mizinga yamana nyukria nzitonzito zakupiga hata mikoa 3 hadi 6
God bless my mother land forever, my blood will be here in this soil forever
We Miso misondo umepigaje APO 😂😂😂 eti siraha nzito nyoo hamna haya 😂
Huzijui siraha ndugu tulia hivyo hivyo tu.
Hatuonyeshagi silaa tulizonazo ktk nchi zetu za kiafrica ni hatari mbali na hayo bado vyombo mnaotuonyesha jeshi letu linaitaji silaa za kisasa sio Kula manilion ya pesa badala kununua silaa mbali mbali za kijeshi za kisasa zaidi
Siraha tunatakiwa jeshi letu tuanze kuunda wenyewe kama nchi ya Korea lran siyo kununua kila kitu tujifunze kuwa na chetu
Bro wezenu wanazingatia Elimu leo bongo Elimu ya matabaka mtaunda kitu
Kununua teknolojia sio kitu rahisi,Tena teknolojia za kijeshi
Bila shaka zote tumenunua :lini tutaunda zetu tuuze?
Ukitaka kuona vifaru vya kila Aina njoo Mozambique.
Tz inasili inatoa silaha za zamani
TZ wanaakili sana hawawezi onyesha siraha zao za kisasa hizo ni zazaman kk mali hatar zimewekwa Chemba ili adui ajichanganye aone mziki wao mnene
Kwani mnataka kuandaa vita?vita vita hivyo visikie kwa wenzenu ukifikiwa mkifikiwa navyo mnaona dunia yote kama choo kilichobomoka
Hizi zinafanya kazi kweli?mkajaribishane na hamas tuangalie moto
mikwara miiingiiii lkn au basi
Dogo jiangalie sikuizi comment zina fuatiliwa 😂😂
Wapi silaha za Nyuklia,
Mazana law quality old & cheaper
Nendeni kenya mkaone majesh na zannna za kisasa
Na kubwa kuliko yote elimu
Nani kakuambia 😂😂😂😂😂😂 Kenya ndio hamna kitu
Old hebu tuoneshe za kwako hizo ambazo ni za miaka ya sasa na ni very high cost
@@LORDRICKNKYAkwani we izo scraper za kwako mwamba
Sio lazma ujibu ukweli wa ninoonqea km vp tuliza tu kipira
@@LORDRICKNKYA
Ata babako anajua kmuulize
Nani east africa hii km kenya
Weapon za kisasa,elimu ipo na uzoefu pia wa operation za kivita ndo usiseme
Nyie bonqo
Kipi zaid ya blaa blaa tu
Mtoa post hujafatilia Vita ya Ukraine vifaa vingi vinafeli huko. Tunatakiwa ku upgrade zana za Vita kuendana na mifumo yakisasa ya kivita.
Nchi za kisasa zinaenda na wakati.kuwekeza zaidi kwenye zana za vita.hapo bado tuna hatua kubwa sana kiukweli sio hatua tu Ila masafa marefu
Unaongea ukweli, lkn kunasiraha nyingi na imara za kisasa ambazo haziwezi onyeshwa ni sir ya jeshi tu. Hongereni TZ
izoza mipakani naonakopresa digaikowapi tukachoro nge. mngo dini tuombemngutu tu
Silaha tunafaa tujitengenezee wenyewe Kama Iran wala sio kununua😢
Mbosso
24
Uganda bako juu because they make some weapon in their country.so they're better than Tanzania,
Unalijua shirika la mzinga wewe? Unafikiri wanatengeneza sufuria? Lmao! Lilitengeneza silaha zilizomtoa Idi Amin na lilalamikiwa hata na wacongo wakidai Tz inauzia waasi silaha!
Mr kukurupuka, you know nothing.
Kenya ina majeshi n'a silaa balaa !
Jenafa kumbe bado upo hai! 😁
Ningeona F-16!
X❤️🇷🇼🇷🇼🇷🇼😊😮😮🤣🤣🤣 kwetu ni hari usijyaribu utapata cako kweri 😮😮
Unasemaje?
Zakwenu Zina pita wapi paka zisijulikane
Silaha ni upuuzi mtupu mwawadanganya wa Congo!
Magari yamechoka jamani adi aibu
Yamechoka wapi??
Jeshi letu ni zuri lipo imara.
Kumbe ndo izo
Hamfikii kenya
M23 wa Congo mmewashindwa lakini JWTZ ilipoenda kuwaonyesha how its done, ndani ya siku chache tu M23 wameanza kutoa mlio,, Keep calm and learn.
The pictures showe india Weapon.
Metadata chamtemakuni au kilicho towa kanga manyoya!!!!
Kagame museven kisilan sana lewo napigwa sasa batalia lewo
Wapumbavu pekee husapot habar za kipumbav yan siraha silizotumika kupambana na nduli I'd amin had leo ni izo izo afu unawambia watu siraha za hatar
Kama unabastola ndani utaambia majirani zako na wezi kuwa una silaha? Kama wanamchukua mkeo hawataiba hiyo bastola? Uwe na akili!
Mtapata chamtemakuni au kilicho towa kanga manyoya
Yaani zinatidja
hahaaaa hii ni mishumaa bana haiuwi ata kuku
Acha zalau
Hii ni NYS HUKU KENYA😂😂😂 😂😂😂😂😂😂
Usifikiri wameonyesha silaha zote
Nunueni za kisasa
Uongo ngo vifa kuzidisha East Africa yote nivifa.Inapigana ao niwana Jeshi Kinwa bure kusema ongo kama ba congoman RDC simbona M23 yiko inabakimbiza n'a Angola n'a South Africa n'a Burundi mucanginyiko mû gongwa wa kicka uko Masisi bunagana kupigwa kama batoto murudushiye Bugufi n'a Baha bakwetu bira ivo mutayireka kwa Damu ku anguka kabisa
Kagame aache ujinga wake, otherwise atapigwa sawa mtoto.
Waca wewe pumbafu leave Kagame alone
Nimekucheka hadi meno kudondoka chini yule mzee weka pembeni bro anajua kazi yule ni General wakikazi usifanye makosa nakumfananisha kwenye hili Bala la Africa 🌍
Kuwa nahakili
😢
Mbona sioni siraha iitwayo HIMARS haop😂😂😂
Imefichwa. Labda wametunza Solana nyingine kisiri
Silaha za mwaka 47
Kawadanganye walevi wa gongo, tangu lini jeshi la Tanzania wameunda siraha hatali, sisi Africa ni 0, kazi kununua siraha kutoka Kwa wenzeti, tumeshindwa kusomesha vijana wetu jeshini kuunda siraha.
Senge tuu wewe .
majeshi huundwa kulingana na vita zinazopiganwa! Baada ya vita kuu ya kwanza frogmen wa jeshi la maji la marekani (NAVY) lilibomolewa na wahusika wakaenda kuwa raia.. wakati wa vita kuu ya pili likaundwa tena na kuboreshwa hadi hivi sasa linajulikana kam NAVY SEALS! Ambao hawategi na kutegua mabomu baharini peke yake bali hivi sasa hupigana baharini (SEA), hewani (AIR) na ardhini (LAND) = seal. Wakati wa amani hakuna sababu ya kujenga jeshi kubwa. na silaha hubadilika kulingana na matumizi.. hizo unazoziona ni kuonyesha maeneo ambayo JWTZ inauwezo wa kujilinda na kupambana! Lakini hawawezi kukuonyesha wanachokitegemea watakuwa wendawazimu!
Kenya tunauda silaaa hatari
Hamna kitu apo. mkwara 😂😂😂
Sasa Silaha hizi na RPGS za Hamas si zachomwa zote 😂😂😂😂😂
nani aliyekuambia kuwa unapigana na materrorist kwa silaha nzito pekee? Kuna njia tofauti ya kupigana na materrorist na mara nyingi huhusisha special forces wenye mipango iliyoenda shule na silaha zinazobebeka! Silaha nzito zinakuwa za msaada na huwekwa mbali na front line kusaidia kuvunja mahandaki, majengo na maghala ya silaha ili kuwalinda askari wa mstari wa mbele! nenda jeshini ukajifunze na upunguze kula mihogo unakuongezea ubishi!
😂🎉 hii ni maonyesho sio vitaa