UTAPENDA, Jeshi letu Lipo Vizuri Maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • #wizarayaulinzi #jwtz #jkt

КОМЕНТАРІ • 60

  • @mansooranam831
    @mansooranam831 9 днів тому +1

    Jeshi imara Tanzania imara mungu ibariki Tanzania 🤲🤲🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @AllyZuakuu
    @AllyZuakuu 9 днів тому +1

    JWTZ oyee, natamani nije kulitumikia Taifa langu la Tanzania nikimaliza masomo. Namuomba mungu atulinde watanzania wore.

  • @KennedyZabron
    @KennedyZabron 7 місяців тому +1

    Bwana Yesu Kristo ibariki Nchi yetu Tanzania na ulilinde jeshi la Taifa letu Tanzani

  • @user-cw2nj4io3v
    @user-cw2nj4io3v 4 місяці тому +1

    Big up!

  • @AbubakalyAlly-c8v
    @AbubakalyAlly-c8v 9 днів тому

    tunakushurr bibi kwa kuwa nasii mungu akurinde daima amii❤❤❤❤

  • @user-rz5xh6rc7h
    @user-rz5xh6rc7h 4 місяці тому +2

    Good work 🙏💪🇰🇪serekali

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 10 днів тому

      @@user-rz5xh6rc7h shukran jirani kwa kuipongeza tz

  • @rosetreffert4179
    @rosetreffert4179 9 днів тому

    ❤❤❤❤🎉

  • @Pmaker19
    @Pmaker19 2 роки тому +3

    Mungu ibariki Tanzania 🇹🇿

  • @abubacarjallow
    @abubacarjallow Місяць тому

    Strong security and development ❤

  • @user-rz5xh6rc7h
    @user-rz5xh6rc7h 4 місяці тому +2

    Well done sir🙏💪🇰🇪🆗✅

  • @samiraomar8743
    @samiraomar8743 2 роки тому +3

    Tanzania tutumie vitu vya kisasa na vyeny ubora zaid ili nchi ytu ionake mzur kw yote

  • @abdulrahmanabdulla559
    @abdulrahmanabdulla559 8 місяців тому

    Mungu ibariki tanzania❤❤❤❤

  • @AmidoJeni
    @AmidoJeni 11 місяців тому

    Mungu yupo moja nasi

  • @sdeshnjwetr6707
    @sdeshnjwetr6707 2 роки тому +1

    VIVA TANZANIA ♥️🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿♥️🇹🇿♥️🇹🇿♥️♥️🙏

  • @user-fy6ck9di1f
    @user-fy6ck9di1f Рік тому

    Ahsante Kwa ujumbe mzuri kutoka new chanel.

  • @clemencemarcelli3365
    @clemencemarcelli3365 7 місяців тому +1

    Mmh sisi bado Santa Uganda wenyewe wanatushinda

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 10 днів тому

      Wangetushinda tusingewasarambatisha ktk uwanja wa vita pindi tulipopigana nao tukaishikilia nchi tao yote tukamtimua madarakani hadi raisi wao Amini. Haujui kitu acha kuropoka

  • @m-tatu1050
    @m-tatu1050 2 роки тому

    mwaka wamejipanga haswa, Tanzania tupo vizuri

  • @user-fy6ck9di1f
    @user-fy6ck9di1f Рік тому

    Ahsante ulinzi Chanel.

  • @Nicaonlinetv7324
    @Nicaonlinetv7324 2 роки тому +1

    Huyo dada wa kwanza yupo vizuri kuliko wa mwisho kuongea.

  • @aminaabdallah7702
    @aminaabdallah7702 2 роки тому +3

    Hongereni Sana Sana watz sasa inatakia bomu la atomic ili tz ikaye kwa usalama mno nchi zamabeberu m yahudi india Pia wanao bomu la atomic kwa Amani yanchi ?wataalamu masiatifiki wapo mahabara na madini yakutengeneza zipo anzeni kazi jamani

  • @AmidoJeni
    @AmidoJeni 11 місяців тому +1

    Mungu yibariki Tanzania

  • @stelajoramu5298
    @stelajoramu5298 Рік тому

    Kwa Nini wasipindue wauza bandari aaah Mimi wananiuzi Sana kuacha mbuzi tulia kuuza Bandari zetu

  • @Hillary_Daudi_Mrema
    @Hillary_Daudi_Mrema 2 роки тому +1

    Tanzania na Mipaka yake tuko Salama. Atakaye na Aje. Rais Samia Oyee. Jeshi la Wananchi Tanzania JWTZ Oyee. Tanzania Oyee🇹🇿🇹🇿

  • @CalvinSalvatory
    @CalvinSalvatory Рік тому

    nice

  • @cyprianbernard907
    @cyprianbernard907 2 роки тому +3

    Hatuwezi kuonyesha vifaa vyote hiyo ni siri ya jeshi huo ni mfano tu

  • @theChiral
    @theChiral 6 днів тому

    Tunataka Su35

  • @BenMahende
    @BenMahende 4 місяці тому

    TANZANIA TUKO VIZURI SANA. MWENYEZI MUNGU AZIDI KUIBARIKI NCHI YETU

  • @user-gm9xe6hf2r
    @user-gm9xe6hf2r Рік тому +1

    Acha ukosowaji wa kulazimisha nenda ukawe raia wa Iran tuachie TANZANIA yetu .

    • @ramadhanjuma610
      @ramadhanjuma610 7 місяців тому

      Mzee acha udini utakua chizi naku ona Mala kwa mala una ropoka Ktk comment zako Video nyingi una ongea utumbo

  • @wakali7849
    @wakali7849 2 роки тому

    Tz ukitaka kuleta vurugu Yan hata cku moja hutoboi n utakula kichapo wew na nchi yako nzima

  • @richshayo4924
    @richshayo4924 7 місяців тому

    Maoni yangu naona kusiwe na hizi sherehe kutokana na namna mambo ya Technology na warfare yanayoendelea sasa dunia nchi kama marekani Hawa haya mambo mnawapa sana adui advantage😊

  • @hudimsello3645
    @hudimsello3645 2 роки тому

    Sijaona za kinyukilia za kikorea waongeze za kisasa zaidi sikuhizi hakuna mabavu

  • @aminaabdallah7702
    @aminaabdallah7702 2 роки тому

    Mabeberu hawakutarajia kua tz ipo hivi !!! kwa sasa hâta lissu nawezake tuombe mungu yoyote ambao anapiga maendeleo yatanzania yaelewe kwa sababu ni.amani nausalama wanchi yao

  • @Mapyatv
    @Mapyatv 7 місяців тому

    Dah wawenaayibu bas jesh gan afu ndombeleyaviongoz nchimbalimbali

  • @capteinchuimchafu7894
    @capteinchuimchafu7894 2 роки тому +1

    Ombeni mechi ya urafiki na Kim John in aka kiduku

  • @kainimlowe9646
    @kainimlowe9646 Рік тому

    Mbona hamununui na manyukilia

  • @paschalkasebele7729
    @paschalkasebele7729 Рік тому +1

    Mimi binafsi sioni umuhimu sana wakionyesha silaha zetu za kijeshi ni siri ya nchi ukitaka kumshinda adui yako lazima ujue uwezo wake, raisi wa nchi lazima ajue mlango wa nchi yake ulivyo imara si vinginevyo, unapoonyesha silaha zako kiasi hiki unampa adui nafasi yakujiandaa zaidi kuliko wewe si vizuri kabisa.

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 10 днів тому +1

      UNAVYOFIKIRI NDIYO ZOTE HIZO?! HAWAWEZI KUONESHA KILA KITU HAPO 😂😂😂

    • @heavenlightfrank6203
      @heavenlightfrank6203 7 днів тому

      Hizo ni silaha za maonyesho, zile zenyewe zikechimbiwa sehemu 😅

  • @biasharaonline693
    @biasharaonline693 10 місяців тому +1

    Duh! Kama North Korea 😂

  • @akimu-gl7zp
    @akimu-gl7zp Рік тому

    Unaweza ukakuta nihivyohivyo

  • @aminaabdallah7702
    @aminaabdallah7702 2 роки тому

    da Samira usiwe na wasiwasi vifaa niza hivi sasa utengenezaji inazidi kufanyika kila Siku hizo nibonesho tu jeshi lausalama na. Amani wanaendelea kutengeneza vifaa za sasa

  • @SonkoMolle-if3tz
    @SonkoMolle-if3tz 4 місяці тому

    🫡🫡🫡🫡🙏🇹🇿❤️

  • @nassirali7499
    @nassirali7499 2 роки тому +1

    Maonesho kama haya yakifanyika iran wataonesha air defences systems kama Bavar waliotengeza wenyewe wataonesha Ballistic missiles, helicopters na vyengine vingi waliotengeneza wenyewe cha kushangaza sisi miaka 60 ya uhuru hata vitambaa vya kushonea sare za jeshi tunaimport! Its shame kabisa

    • @ayubukaaya4576
      @ayubukaaya4576 2 роки тому +1

      Sawa,ni kweli sasa wewe weka matako yako hapo ndiyo utajua tumeipoti au tumetengeneza wenyewe, cha msingi tupo imara sana , na maadui zetu wajaribu waone

    • @ayubukaaya4576
      @ayubukaaya4576 2 роки тому +1

      @@nassirali7499
      Wewe unaongelea matakoni siwezi jibishana na kichaa kama wewe, lazima ujifunze kuwa mzalendo, nyie kila kitu ni kuponda tu hamna jema kwenu, wewe egesha uone kitachotokea. Halafu jiangalie sana

    • @nassirali7499
      @nassirali7499 2 роки тому

      @@ayubukaaya4576 nijiangali nn? Acha usenge uo wenzetu wanaendelea kwa kuongea fact, ukweli lazima usemwe kwa gharama yyt ile, unataka nijifunze unafiki kwa kivuli cha uzalendo? bwege ww! Ww unaridhika miaka 60 ya uhuru nchi hii mpaka vitambaa vya kushonea uniforms za jeshi bado tunaagiza! Halafu mnatubania pua mnatwambia tupo vzr!

    • @ayubukaaya4576
      @ayubukaaya4576 2 роки тому

      @@nassirali7499
      Sina muda wa kupoteza

    • @romanusjose2627
      @romanusjose2627 Рік тому

      we nyau unapenda umbea sana kuliko kusikiliza, hujaona vifaru na gari za zima moto zimeundwa na Nyumbu?

  • @c.e.omasasi5131
    @c.e.omasasi5131 2 роки тому

    🏁🇹🇿⌚

  • @barakajoseph2234
    @barakajoseph2234 Рік тому

    Vifaa vya toka vita vya kagera

  • @Skomi-0nedayyes
    @Skomi-0nedayyes 7 місяців тому

    Mie uwa sierewagi hii ni maadhimisho ya siku kuu ya uhuru wa Tanzania au ya uhuru wa Tanganyika mbona uwa awaweki sawa maana ni mambo mawili tofauti nacho fahamu mie Tanzania aijawaikutawaliwa ispokua ni Tanganyika ndio ambayo ilitawaliwa asa wasipotoshe Jamii kusema uhuru wa Tanzania wakati kinacho azimishwa hapo ni uhuru wa Tanganyika, kwanini wanashindwa Kutamka Tanganyika siku zote na wenzetu wa Zanzibar wapohuru kujivunia uzanzibar wao lakini nitofauti na wa Tanganyika naisi kma uwa awapendi kulisikia kabisa neno hili Tanganyika