Magoli | Yanga SC 3-0 Tabora United | NBC Premier League 25/05/2024
Вставка
- Опубліковано 24 тра 2024
- Joseph Guede, Maxi Nzengeli na Stephane Aziz Ki ndiyo waliotikisa nyavu za Tabora United na kuipa Yanga ushindi wa mabao 3-0 katika mchezo wa raundi ay 29 #NBCPremierLeague ukipigwa Benjamin Mkapa Stadium.
Goli alilofunga Aziz Ki dakika ya 90 kwenye mchezo ni goli lake la 18 kwenye ligi msimu huu akizidi kukifukuzia kiatu cha ufungaji bora, akiwa na mechi moja mkononi. - Спорт
Kama unaamini Guede atakua mfungaji Bora msimu ujao....gonga like hapa
Huyu aende tu watuletee straiker mwingine huyu ana magoli ya bahati bahati tu
Yaani guede anabaki kufanya nini
Ata kama anafunga bado nimzito sana achangamki, anafunga km bahati vile, Thank you Guede inakusitahili
Oh no hamjui huyu jamaa ni striker haswa kwani halland anafunga magoli magumu? Kwa mastriker mnaowataka ninyi hawafungi hayo magoli ya Guede. Mkitaka mjue hamjui utaona kama Eng Hersi atamuacha huyu G.
@@pastorgodwinchengula7848 huyu anamkataba wa msimu mmoja tu ww na hawezi kubakizwa pale yanga
Goli kama la Bondeni , Bravo Yang's Bravo💪
Hengereni sana wananchi 🔥🙌.from PA USA 🇺🇸
.uko wapiiiii❤😊
SEMA Yanga ipo vizuri jamani. Yaan Hii Timu kama haitaparaganyika itasumbua sana hapa bongo na hata Africa
GONGA LIKE KAMA UMEPENDA STYLE YA KUSHANGILIA YA AZIZI MASTER KI😂
wow ❤️❤️ Tanzania nmekubali,
Lomalisa amefurahi Sanaa 💚💚💚💚
Aziz ki 👉👉👉👉goooooooooooooooooo👏👏👏
Hivi ni mimi tu sielewi au lomalisa anakiwasha sana, sidhani kama itakuwa ni sahihi kumuacha bado ana mchango mkubwa sana, Kibabage uzoefu anahitaji apate uzoefu mbele ya Lomalisa
Lomalisa asiondoke
Maaajabu azizk kufunga kwa kichwa duuh kwel anashauku la kuwa top scorer
Tangu nianze kumjua Aziz ki leo ndio mara kwanz kupiga kichwa na kufunga 😂😂😂
😂😂 mimi mwenyew nilibaki nashangaa nauliza amefungaje wakati nilikuw naangalia acha tu
Jaman hakika kila mafanikio yanahitaji juhudi,inatufunza tunapopita katika mapamano na mambo yakawa magumu..hatuna budi kubadili njia ya mapambano ili mradi ni njia halali ili kufikia malengo.
Azizi Kapiga na kichwa the first time😢😢😢😢
Safi sana wananchi 🎉🎉🎉
naipenda yanga Hadi naumwa
Hili la Guede Ni kama Lili walio tukatalia wale viazi kule kudaadek zao🔰✅
Kweli kabisa, kweli Wananchi wanamagoli ya Kipekee, ( Gus's hone ) ,💪💪💥💪💪
🇹🇿🌽🌲🌽🌲🇹🇿
@@elizabethkalinga0822 Uhakikaa😁😁💪
Ki_ ameingia kwenye Orodha ya Jioooooooooooooooni
😂😂
Azam Media HONGERENI SANA Kuweza Kuonesha Mechi Zote 8 kwa Muda Mmoja.
Katika hatari ya kifo yoyote anabatiza ndo hii leo azizi kapiga kichwa
Hili chama linaleta rahaa sana 😂😂😂😂😂
Jioniiiiii AzizKi 🎉
Azizi ki amesema bado hajafanikisha malengo yake hivyo bado ataendelea kuwa Yanga
Mashaallah
Picha ya mwaka ni ya tajiri kushangilia goli la aziz k naombeni kam mnayo😂
Acha tu ujue majamaa walikuw wanamkaba utadhani yalipew ela yaani kipa aliumia goli la Aziz na siyo yale mengine lazima ashangilie.
@@seciliamchalo5627ujue wamenikumbusha kipindi tunacheza na club Africain..jinsi mayele salivokabwa..sasa walle walikua na sababu nzito za kukaba na hawa je???,inashangaza Sana,..ila wajue tu..roho mbaya haijengi..aliyepewa kapewa.
Kama unairudia hii mechi LIKE 10 ILI TUJUANE WANANCHIIIIIIIIII 😂😂😂😂😂
Lomalisa fundi sana wa kumwaga maji
Sema Azizi Ki ,,alipofunga ni kama unatafuta round ya 3 ukiipata unadondoka kama mbwa😂😂😂😂
Kha
Dakika za Jiooooooooooooniiiii Pascal Kabombe
kha ukiwa huna smat phone unakosa raha sana za umu duniani vis
viazi tena ,wlikataa goli ,
Naamin kwa uwekezaji huu wa yanga tutazidi kutokomea mbali na kuwaacha wakina mwakilambe fc mbali, ,, mungu ibariki yanga
ha ha ha ha umepigaje apo " mwakilambe tena , ha ha haaaa kweli yanga 2na raha
kwa jirani majina yaongezeka ,1 madunduka 2 makolo 3 kitimoto fc a k a ngurue fc 4 watoto wa mama mudi 5 mwka robo 6 mwatatu mmh embu ongezea lingine na wew mwananchi
@@user-iz3hs8jl5pumesahau NGINJANGINJA FC😂
Kumbe tajiri nae alisubiri aziz afunge afurahi kama mimi😂😂😂
Guede hawezi kuwa mfungaji namba 1 yanga kwanza haezi kudumu dogo uwanjanì mchoyo sana
Jioooooooooooooooooooonj❤❤❤❤❤
Max alimalizia maana Hawa marefa hawaaminiki sometimes wanakataaga magoli kama haya
Nimesoma coment yako nimecheka
Kabisa mwisho lingekataliwa
Aziz k tunahitaji asiondoke #yanga
Safi sana
Hongera sana timu yang kipenz changu yang by jojaka
Nyie ni wehu mmepost kila goli na litangazo lenu
Ki aziz
Kwa mara ya kwanza Azizi ki kufunga goli la kichwa kwenye msimu huu
Hajawahi toka azaliwe syo msim. Tu
Pasi hii km ya palma alooo😊
Palmer alivyonuwekea Mudryk
Napiga na NDONGAA😮😅😅
Jiooooooooooooooooooooooon
Magoli ya guede ni ya kutumia akili kweli kama unaujua mpira sio ya bahati hata kidogo
HUU NI UKWELI HANA PAPALA NA HATUMII NGUVU KUFUNGA BALI AKILI SANA.
Sanaaa
Nyie Azam TV ni un professional kabisa sasa ndo kitu gani ichi🚮 kuna aja gani ya kuweka ilo litangazo?
Joseph guede hawezi kuwa mfungaji Bora hata siku moja magoli yake ya bahati mnooooooooooo☠️☠️☠️
una uhakika na unachokisema kweli 2ombe uzima 2
Guede ni fundi sanaaa 🔥🔥🔥
Wehu simba yanga waoooooo
30🔰✅
Azam hii ni UA-cam tayari tunaona logo yenu Acheni kuweka weka tangazo katikati ya video
😂 una kitu utafika mbali
Huyo karia alivonuna sasa😅😅😅😅
Unamacho ndugu🤣🤣🤣🤣🤣
@@mohamedaden8483 atajua hajui😂😂😂😂😂😂hapo hajapenda Aziz ki kufunga😂😂😂
Nikajua nimeona peke yangu!
Msomali kavimbaaaaa😂
Duuh lomalisa apewe ulinz wa kutosha
Me ni Yanga 😂😂
Munira 😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Tangu lini 😂😂😂😂😂
Nayeye kichwa
Mwamba wagadugu k Azzi
Na bodo saido anawachungulia tu mtaona Kama msimu uoiopita Kati ya saido na mayele saido l Love you waache wanaotangulia ambao hawana kwao🏤
wewe unafikir kila sik ni ijumaa sio saido tena umeishiwa sera jaman
Mbona mnachelewa kurusha hzo highlights
Humu2 k Azzi
Na ndio funga kazi
Mstarini tena eee 😂😂😂😂
Guede kama Benzems
Mama anaupiga mwingi SGR mradi unakamalika mjue
Jikaze Wewe mtoto wa kiume utakuja kuwekwa kitu matakoni punguza Uchawa. Mama mama akili huna
Kwa treni gani ile ya kubebea vyakula vya mifugo hasa hasa majani ya ng'ombe
😂😂😂😂@@Fgldesigns
😂😂😂😂😂 ki leo kapiga kichwaaa😂😂😂😂
Bwana weee acha tuu😂
Goli la kwanza la ki kafunga na kichwa
Aliepiga kichwa Guede na ndio mwenye goal,Aziz alitoa pre assist kwa Kibabage ambae amepiga cross
Mwamba 🎉🎉🎉
Huu niwakati wetu
But kwenye usajili wa aziz viongoz wawe makini asije akatanua mabawa kutaka ela kubwa ambayo sio malengo yetu ili wachezaji wengine wakaona mbona aziz kaongezewa na sisi twataka afu tusiwezane tukawakosa wote hivyo kama hatufikii kiasi anachotaka sio riziki mana kama viwango msimu huu wengi wameongeza
POINT SANA,NIKIWA SHELUI JUZI NILIONGEA NA WASHABIKI WENZANGU,VIONGOZI WAKAE KWENYE MALENGO HATAKI AENDE,MAPENGO YA MWL YAJAZWE ILI KULETA UHAI MKUBWA MSIMU UJAO
Umelipia Ada ya Uwana Chama ?
Azam wekeni mechi full tangu Jana Hadi leo acheni ujinga
Nzuri
Ilimradi tu aipige jiiiion 😂
The first goal did it cross the line? Coz here at Mamelodi we dont accept those dubious goals🤣🤣🤣🤣🤣
Tee hee . Hence the confirmation header because we had a feeling 😆
😂😂😂😂😂
Magoli ya jioni huwa yanakupendele saa mkubwa PASCAL.
Hii Azam media mnatombwA mbona mnachelewesha highlights za yanga kama hamtaki tajiri yetu GSM atuwekee TV yetu atuwaladhimishi mbwa nyie Azam 😢😢😢😋😋🥺
Jitambue kijana ,..usitafute umaarufu kwa njia ya kipuuzi
Jielewe kwanza namna ya matumizi ya lugha kaka
We mtu mzima futa hayo maneno
Ayo yote yametokea wap kaka au unadhani wana kazi moja tu nayo ni kuweka video za yanga😢
kaongea Ukweli acheni kumtisha
Goli la kwanza sio goli mpira umedundia mstarini yanga mnabebwa sana
Bado hujasema
Hali maxi alivyoshindilia Mara ya pili Hujaona 😂
😂😂😂😂😂😂😂😂
Jiandae KOMBE LA SHIRIKISHO SWAHIBA...
@@husseinmkwachu6071 exactly we waache wamsherekee Fei huku wanapoteza
Ndo lomalisa amlalie azizi ki matakoni🙄
Na wew unataka kulaliwa matakon😂😂😂
@@user-xw5pk5bh3v sitaki
Jaman Kuna vituko yanga Leo azzk kafunga na kichwa stasahau mech ya Leo kasato
Wewe mwenye mawazo ya kisenge basi utakuwa ni senge wewe
Ukitaka amlalie wapi kun watu wanawazaga mambo ya ajabu tu badilikeni.
Ila LOMALISA kWa kujaza maji 😳
Hata AWESU anasubiri aseeeee
Jaman hyu lomalisa aongezwe mkataba kwakwel
Mbona mnachelewa kurusha hzo highlights
Unafikiri rahisi kuzi edit?