PRE SEASON: TAZAMA BALAA LA PRINCE DUBE SIKU YA KWANZA MAZOEZINI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 лип 2024
  • #DaimaMbeleNyumaMwiko #TimuYaWananchi
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 211

  • @DjFae.b255
    @DjFae.b255 13 днів тому +45

    Kuna team azitoludi kipindi Cha pili uwanjani 🤣🤣 nyie gongeni like za dube hapa 🗣️

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt 13 днів тому +10

    Mungu Mwenyezi awajalie kushinda na zaidi ya kushinda makombe yote ya msimu huu tukayaongezee kabatini 🎉🎉🎉

  • @nicodemusmemba1402
    @nicodemusmemba1402 13 днів тому +57

    Malaika wa MUNGU aliye hai wawalinde wachezaji wote wa Young Africans, pamoja na viongozi wote

  • @rosemaryluhwago
    @rosemaryluhwago 13 днів тому +8

    Maombi yetu yote kila wakati mungu awatuze nimefutahi kumuona yao na max na mzize Clement mungu watuze wote wachezaji wetu tunawapenda sana mashabiki zenu

  • @YusraHashim-k9i
    @YusraHashim-k9i 13 днів тому +15

    Mola wafanyie wepes katik safar yao na Kwa pamoj tunawaombea Daima mbele nyuma mwiko❤❤🙏🙏🙏👍👍💛💛💛💛💛💛

  • @muddymuzungu4357
    @muddymuzungu4357 13 днів тому +8

    Kiukweli NZENGELI
    ANA NIDHAMU SANAA!
    Safi kaka

  • @mbarakasijaona7638
    @mbarakasijaona7638 13 днів тому +9

    Mungu ibariki young Africans yote wachezaji,viongozi,mashabiki na wanachama uwape nguvu na subra siku zote

  • @rukiakyaka1827
    @rukiakyaka1827 13 днів тому +15

    Mashaallah nakuomba M/Mungu wape afya na nguvu Inshaallah

  • @muddybakar9185
    @muddybakar9185 13 днів тому +13

    Ewe Mola wetu waajaaaliye wachezllaji wetu wazidi kushirikiana kwa pamoja wazidi kuwa na maelewano mazuri kwa pamoja na viongozi wote... tunawapenda sana na tunayo matumaini makubwa kwenu nyinyi kwa msimu ujawo...

  • @PrinceDeogracius
    @PrinceDeogracius 12 днів тому +2

    MUNGU IBARIKI Dar ES SALAAM Young Afrcans Sports Club

  • @user-hb2nn6ud2d
    @user-hb2nn6ud2d 13 днів тому +3

    Mungu awatie nguvu tunawaombea sana kila atakae kuja mbele yetu afungwe i love yanga❤❤

  • @maxmiliankadawiibalaja2198
    @maxmiliankadawiibalaja2198 13 днів тому +18

    Jeshi la Kijani💚 na Njano💛 Mashujaa wetu wameanza kazi

  • @amaniomar1755
    @amaniomar1755 13 днів тому +16

    Safi sana wanajeshi wetu Daima mbele nyuma mwiko

  • @NeemaMalugu-gn5cp
    @NeemaMalugu-gn5cp 13 днів тому +4

    Waoooh nimeipenda hiyo safi sana vijana wetu Mungu awalinde

  • @sahraabdallah7242
    @sahraabdallah7242 12 днів тому +1

    Allah awatangulia kuanzia mwanzo wa msimu mpk mwisho wa Msimu tunawapenda sanaaa 💚💛

  • @HilalyMedadi
    @HilalyMedadi 13 днів тому +9

    Yang mbele nyuma .mwiko yanga naipenda daima naitwa hilary medady shirima kutoka dodoma mail mbil

  • @user-er1dk6zj6u
    @user-er1dk6zj6u 13 днів тому +2

    Mungu awajalie nguvu ya mapambano wananchiiiiii

  • @mhinajerome5964
    @mhinajerome5964 13 днів тому +4

    Hii team ikiwa salama kunakitu kitarudiwa chazamani sana kuna mtu alicheza kipindi kimoja tu! Hakurudi chapili

  • @user-ut9uo6dc9d
    @user-ut9uo6dc9d 13 днів тому +6

    wengine bado kilejea kambin jaman ili jeshi likitimia. litskufa jitu 💚💚

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 13 днів тому +4

    Ee Mungu nakuomba hawa uliotupatia msimu huu uwalinde kwa jina lako, nakuomba wote wawe na umoja na kunia mamoja. Asipotee hata mmoja kati ya hawa uliotupatia. Ukawajalie utulivu, maarifa, hekima na afya njema wakiwa katika kazi hii ngumu lakini yenye kuleta furaha kwa watu wako.

  • @monicalucas3738
    @monicalucas3738 12 днів тому +2

    Kila laheri ktk pre season, MUNGU wa mbinguni awalinde wachezaji wetu🙏

  • @AminaTanzania
    @AminaTanzania 13 днів тому +7

    Yanga yangu naipenda sana na wapata nikiwa omani maskati

  • @kassimchuo5290
    @kassimchuo5290 13 днів тому +5

    I say tulikuwa tumelimis sanaaaaa jeshi letu la young Africans ama kweli Yanga rahaaaaaaaaa na kiburudisho toshaaa all the best INSHAALLAH 🤲🤲🤲 nikiwa QATAR 🇶🇦🇶🇦 kila la kheri chama langu

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 13 днів тому +6

    Chama la wana, MOTO MCHIBUYU....👏👏👏👏

  • @jamilahjamilah4157
    @jamilahjamilah4157 13 днів тому +6

    Mwanangu kibwana fanya mazoezi sana unakuwa bonge kasi itapuguwa

  • @DafrozaDavid
    @DafrozaDavid 13 днів тому +1

    💛💚🖤Daima mbele nyuma mwiko ni mwendo wa mazoezi tu hahaha ngoja burudani lianze tu.maana si kwakuwamis huku my wetu

  • @chachamathias8157
    @chachamathias8157 13 днів тому +5

    Daima mbele,
    We're Yanga Africans 💚💚

  • @claratango9262
    @claratango9262 12 днів тому +1

    Mungu Ibariki Yanga Mungu Ibariki Tanzania 🙏🙏🙏

  • @mdikabakari6210
    @mdikabakari6210 13 днів тому +4

    Love it my tim god bless Young African ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @Missmanyaji3579
    @Missmanyaji3579 13 днів тому +15

    Mungu awaongoze msimu mzima mwisho minibike ma ushindi 🙏🙏🙏🙏

  • @mudylipawaga5362
    @mudylipawaga5362 13 днів тому +2

    BismiLLAH ALLAH awajalie ulinzi wachezaji wetu inshAALLAH🙏🏼

  • @asantelaizer6674
    @asantelaizer6674 13 днів тому +3

    God bless our team young African

  • @AyuobHamis
    @AyuobHamis 12 днів тому

    Mungu awajalie khary na nguvu ktk msimu wet mpy wa mapambano🎉🎉🎉🎉

  • @lumistarboy8499
    @lumistarboy8499 13 днів тому +1

    Nawatakia mwanzo wa msimu mwema na msimu bora zaidi Jeshi la kijana na njano "Daima mbele nyuma mwiko "

  • @jacminjosefh4400
    @jacminjosefh4400 13 днів тому +3

    Nimefurah kuwaona vijana wa kitanzania Jaman

  • @kassimchuo5290
    @kassimchuo5290 13 днів тому +3

    All the best INSHAALLAH to my lovely team YOUNG AFRICANS nikiwa QATAR DOHA INSHAALLAH MUNGU awalinde na awasimamie kwa kila Jambo na hatua na atujaalie ushindi kwa kila mchezo kwenye msimu huu wa 2024-2025 INSHAALLAH YAAA RABBAL AALAMIN 🤲🤲🤲

  • @user-dc6um1wm1q
    @user-dc6um1wm1q 12 днів тому

    Mungu awape nguvu na nidhamu kwa bench la ufundi inshallah

  • @H3s4d
    @H3s4d 13 днів тому +3

    Awape. Nguvu wachezaji wote wa yanga🎉🎉🎉🎉🎉

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 13 днів тому +3

    Mwalimu wa viungo yanga nakukubari sana

  • @emmanuellupiga
    @emmanuellupiga 13 днів тому +3

    Nkane the future first eleven

  • @lucymsheshi5871
    @lucymsheshi5871 13 днів тому

    Ndio maana yao ana energy yakutosha angalia anachangamkia zoezi anarotate mara kazaa zaidi yawenzake😊😊😊

  • @aishafranco1055
    @aishafranco1055 13 днів тому +2

    Ligi kama inachelewa tumemiss maburudani 🤣🤣🤣💛💚💛💚💚💛💚

  • @trice_yanga
    @trice_yanga 13 днів тому +11

    dube ana nuru sana😂🎉

  • @DicksonNasibu-tv7vr
    @DicksonNasibu-tv7vr 12 днів тому +1

    Andaeni dozi tosha kwawanao tukejeli kila kukicha

  • @user-sx8rn1jr5c
    @user-sx8rn1jr5c 13 днів тому

    Miamba ikipasha hakuna matata nikujifua tu hongera sanaaa wachezaji na bench zima kwa ujumla.

  • @ommytizo
    @ommytizo 11 днів тому

    #daima_mbele_nyuma_mwikoooo💚💚💚💚💚💛💛💚💚💛💛💚
    #tunamsubili___kiiii_tyuuuuu_mchana_huuu

  • @rosemaryluhwago
    @rosemaryluhwago 13 днів тому +3

    Naipenda sana Yana jamani mungu aituze furaha yetu daima mbele nyuma mwiko

  • @AberyMathias
    @AberyMathias 12 днів тому +1

    Kuna timu zitakula kumi msimu huu badala ya tano

  • @user-xy8kl9wd2i
    @user-xy8kl9wd2i 13 днів тому +1

    Kazi Kazi

  • @magrethyeremia2279
    @magrethyeremia2279 13 днів тому

    Dube ana rahaaaaa

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 13 днів тому

    Nzingeli anaonekana yuko siliasi kweli kweli

  • @ShaibuRashidi
    @ShaibuRashidi 12 днів тому

    Kwa yanga hii litakufa jitu mwaka huuu

  • @flavianajohn5250
    @flavianajohn5250 13 днів тому +1

    Kiii sijamuona jomoni

  • @nicolastshilobo8304
    @nicolastshilobo8304 13 днів тому +1

    Ongera sana ....tupo imara

  • @malietamaliet
    @malietamaliet 13 днів тому +1

    atimae jezi ya jini imepata mwenye nayo alhamdulillah 😂😂

  • @lucymsheshi5871
    @lucymsheshi5871 13 днів тому +1

    MUANZE KUWEKA SUBTITLE ZA KINGEREZA SASAIV CC WAKIMATAIFA🎉🎉🎉

  • @bodyaman
    @bodyaman 13 днів тому +1

    Bodya Man Yuko na Wananchi 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Abdul-oc1ul
    @Abdul-oc1ul 13 днів тому +1

    Mm cjaona timu yakutisha ni yakawaida sana

    • @ismailmasoud6001
      @ismailmasoud6001 13 днів тому

      Subiri mkishatoka KUZURULA huko mlipoenda KUZURULA ndio mtajua hili PICHA ni la KUTISHA au vp..

  • @stapinuswilliam860
    @stapinuswilliam860 13 днів тому +1

    Jeshi kazini❤❤

  • @NdevuKamdini
    @NdevuKamdini 13 днів тому +1

    Niliwamisi sanaaaa

  • @ShafiiHungo
    @ShafiiHungo 13 днів тому +1

    Nice jeshi letu

  • @scopy0428
    @scopy0428 12 днів тому

    Back 🔙 to the Business

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 13 днів тому

    Du!yaani kama hapo ullkuwa hufanyi Mazoezi hata kidogo lazima uumbuke tu

  • @husseynomar9523
    @husseynomar9523 13 днів тому +3

    Unyama 🎉🎉🎉❤

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 13 днів тому +1

    Mshery anategea😂😂😂

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 13 днів тому

    Mbona Pacome, Aziz, Diara na Chama na skudu hawaonekani mazoezini??

  • @TwahiliSelemani-jb3qq
    @TwahiliSelemani-jb3qq 12 днів тому

    Atutaki shobo na nyani wowote atakae ingia kwenye anga zetuu

  • @Shadia544
    @Shadia544 13 днів тому

    Mungu aiongoze timu yetu iwe salama na makolo wakija Wale 8 😂😂😂amini 🤲azizi ki mbona simuoni jamaniii 😮

  • @PeterShao-jl8hl
    @PeterShao-jl8hl 12 днів тому

    Yanga nguvu moja

  • @josephgalandu128
    @josephgalandu128 13 днів тому +1

    Wooote wapo hana shaka

  • @RahmaSenga
    @RahmaSenga 13 днів тому +1

    Masha Allah ❤

  • @sahraabdallah7242
    @sahraabdallah7242 12 днів тому

    Mmependeza na jezi za kijani jmn

  • @fihirishemaadihussein6124
    @fihirishemaadihussein6124 13 днів тому +1

    Namuona Princeeeee

  • @omarhamadomar8832
    @omarhamadomar8832 12 днів тому

    Jeshi letu limeanza maamdalizi ya Vita

  • @HassanThabiti
    @HassanThabiti 13 днів тому

    Kazi kazi😅

  • @user-cl4dx3kc6k
    @user-cl4dx3kc6k 13 днів тому +2

    Nahis furaha kuwaona wapambanaji wamerejea ten kutupa birudani

  • @user-ql2hc7zt6b
    @user-ql2hc7zt6b 12 днів тому

    Kazi kazi

  • @CanaTzKawonga
    @CanaTzKawonga 12 днів тому

    Like za chama akifika azikute😂

  • @MsumariMdoe-th8gm
    @MsumariMdoe-th8gm 13 днів тому +1

    Jeshi kazi ni moto

  • @fihirishemaadihussein6124
    @fihirishemaadihussein6124 13 днів тому +1

    Good starting

  • @samuelmweipongwe140
    @samuelmweipongwe140 12 днів тому

    Aziz, Baka, Musonda, Pacome, Nondo, Diarra sijawaona babo 🥺

  • @yasrikomba7874
    @yasrikomba7874 13 днів тому

    ❤❤❤mashallah

  • @noelmakere1381
    @noelmakere1381 13 днів тому +1

    Yanga Raha sana

  • @nicolastshilobo8304
    @nicolastshilobo8304 13 днів тому

    Tena kuna mtu atakula goli 10 apa 😂😂😂

  • @JustinKikoti-zg5px
    @JustinKikoti-zg5px 12 днів тому

    Akina pacome mbona Wana mambo ya ajabu😢

  • @user-hp5zf2fw4o
    @user-hp5zf2fw4o 13 днів тому +1

    Naiona an-beaten tena msimu huu

  • @SalumMadimba
    @SalumMadimba 12 днів тому

    Khan Nkane hajaondoka😢

  • @mostarwb
    @mostarwb 13 днів тому +1

    Yanga daima

  • @jastnbelenga7784
    @jastnbelenga7784 13 днів тому +1

    💚💛 Yanga

  • @allymnaunda2338
    @allymnaunda2338 13 днів тому +3

    Jeshiiiiiiii

  • @VascoMhagama-bm9tv
    @VascoMhagama-bm9tv 13 днів тому +4

    mwana MFALME

  • @mmolemtokambali8687
    @mmolemtokambali8687 13 днів тому

    Fei kafeli wapi jamani

  • @IlhamKhalid-mt3jp
    @IlhamKhalid-mt3jp 13 днів тому

    Ni timu pekee inayojali hali za watu ,wakiwemo wasenge

  • @JohariFrancis
    @JohariFrancis 12 днів тому

    Pakome Azizi na Diara wako wapi jamani

  • @lawrencetngenzi7977
    @lawrencetngenzi7977 13 днів тому

    Msheri mbona kifadha sana

  • @Aviwamwadin-so3vy
    @Aviwamwadin-so3vy 13 днів тому

    Najiskia furaha sana baada ya kukilipa kisasi chetu baada ya kumchukua dube vilevile kama walivyo mchukua fei😅😅😅

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 13 днів тому

    Mkude anazingua,hapo hajafika kweli

  • @thadeusmarkiminja2282
    @thadeusmarkiminja2282 13 днів тому

    Hapo naona mmenenepa vya kutosha mnatakiwa huyo unene utoke atakaeshibdwa itakula kwake.pkila mtu ajipambanie nawapenda sana mna miili siyo ya mcheza kandanda.nakosea wenzangu?

  • @onesmongenzi3471
    @onesmongenzi3471 13 днів тому +1

    AZIZI KI ndo hivyo tena

  • @max-hq47
    @max-hq47 13 днів тому +1

    Akuna kazi nyepesi sio kitoto