UNABII WA MAMBO YA SIRI - CHIEF APOSTLE MTALEMWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 січ 2017

КОМЕНТАРІ • 236

  • @munahmirumbe7536
    @munahmirumbe7536 4 роки тому +2

    I believe this pastor ni kwel mungu unatumikia ubarikiwe sana mtumishi

  • @japhetjoseph1772
    @japhetjoseph1772 5 років тому +4

    Most of people wanafunga maisha yao kwa ujuaj Ikumbukwe biblia iyo iyo inasema hekima ya wanadamu n upuuzi..
    Jamn kama umecomment baya you're wrong..!!! Uyo mtumishi n wa mungu kabsa. Alafu kwann wakristo usijifunze kusikia saut ya mungu jamn..wakristo Fanya uwezalo upate kusikia rohoo mtakatifu anapo ongea kutokujua rohoo anapo ongea kuna garama sana ona hadi kuna hadi walokole kacomment vibaya...mungu akusamehee nakuombea kwajina LA yesu ufunguke macho na masikio iliupate kutembea katika mapenzi ya mungu kikamilifu kama una Amin sema Amen... Siri ya kusikia rohoo akinena ni kuampakristo nafasi kubwa ndani yako katika maisha yako.
    Enjoy ktk kristo
    Shalom

  • @MarryceMchomvu
    @MarryceMchomvu 2 місяці тому

    God bless you Dadiii Mungu aliyetuumba anakutumia 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢Jamn Mungu atuhurumie

  • @bongovibe1427
    @bongovibe1427 7 років тому +9

    Jamani twacheni tutapeliwe, Nalipenda hili church na watumishi wake Amen. #God_is_good Thank you #chief

    • @trecylove0945
      @trecylove0945 6 років тому

      lipo dar sehem gani

    • @benueniinnov7855
      @benueniinnov7855 6 років тому

      Kwa sababu hilo ni halalisho la kwenda kwa waganga hivyo kama upo comfortable endelea. Lakini utafakari kama kweli wa mpenda Mungu na sio kupiga Ramli kwa wenye mapepo ya utambuzi basi fikiri mara mbili

    • @alexmotivationshome3215
      @alexmotivationshome3215 5 років тому

      Official Platnumz

    • @natyvan4071
      @natyvan4071 5 років тому

      @@benueniinnov7855 Amina kubwa

    • @myself4128
      @myself4128 3 роки тому

      Msukule hawezi kujua kama Alipo sio mahala salama! Endelea tu akili sio zako

  • @eliasthomas1547
    @eliasthomas1547 5 місяців тому +1

    Mungu azidi kukupa huduma njema.

  • @giftqueen7152
    @giftqueen7152 5 років тому +4

    I wish to be in that church but problem I'm in America but there's day I will be with that pastor one day

  • @eliamkonda5162
    @eliamkonda5162 7 років тому +5

    Mungu atawadhibu kwa Matendo yenu

  • @user-dd4yn1ek5v
    @user-dd4yn1ek5v Місяць тому

    Be bless our pastor unahekima sanaaaaaa 🙏🙏🙏

  • @vailethedson3530
    @vailethedson3530 5 років тому +4

    ee mwenyezi mungu tuonyeshe njia ya kweli

    • @godisgreat1845
      @godisgreat1845 4 роки тому

      Mumesha onyesha njia ya yessu aliyopiga

  • @patricksebastian5617
    @patricksebastian5617 7 років тому +3

    so powerfull I like it God icrease your power to your selvant in jesus might name

  • @allymwashambwa5920
    @allymwashambwa5920 Рік тому

    Mtalemwa mungu akubariki sana kwa kazi kubwa unayoifanya

  • @ngassakashindye8706
    @ngassakashindye8706 5 років тому +3

    Mungu wangu! mpaka hapa serikali inapaswa kuingilia kati, kweli kabisa!

    • @bonifacenaaly6414
      @bonifacenaaly6414 5 років тому +2

      Mnao sema hiv niwachawi wakubwa nguvu zenu zinatolewa ndo maan mnablem na mtakoma mwaka huu

    • @princesssway1396
      @princesssway1396 4 роки тому

      Kabisa elfu 50

  • @ostazclassic3370
    @ostazclassic3370 5 років тому +2

    Ndugu zangu naomba number za huyu mchungaji👍iam from America

  • @acepionage23
    @acepionage23 5 років тому

    God bless you son of major 1. You are a blessing. Tanzania is blessed

  • @joycemorice6655
    @joycemorice6655 7 років тому +3

    mi nacheka kama mazuriii Mutalemwa Mungu anakuona ujue

    • @myself4128
      @myself4128 3 роки тому

      Unamjua nini??🤣🤣🤣

  • @daudiazizi8495
    @daudiazizi8495 6 місяців тому

    Muacheni mtumishi wa mungu atende mema

  • @prosperjuma905
    @prosperjuma905 5 років тому +1

    Ndipo Bwana akaniambia, Hao manabii wanatabiri uongo kwa jina langu mimi; mimi sikuwatuma, wala sikuwaamuru, wala sikusema nao; wanawapeni unabii wa maono ya uongo, na uaguzi, na neno la ubatili, na hadaa ya mioyo yao.
    Yeremia 14:14

  • @josephineneema6117
    @josephineneema6117 6 років тому +3

    I love you son of major 1

    • @evansokemwa6587
      @evansokemwa6587 5 років тому

      Hii ni story walitengeneza uyu paster ako na story yote saa anatanganya hapa muongo uyu

  • @pastor.kanunikayombo7864
    @pastor.kanunikayombo7864 6 років тому +3

    Hosea 4:6. Ukisoma hii utamjua Mkristo waleo . Mitume wazamani walitabiri yajayo ,ila waleo wanatabiri yaliyo pita.Somen Neno hubirini Injili ambayo Kristo alituagiza

  • @choba7101
    @choba7101 5 років тому +1

    Acheni kumchezea Allah nyinyi. Mnajuwa kuwa mnapotosha umma wa wa Tanzania. Hakuna Nabii hapa.

  • @prophetochuodhoisayaminist2854
    @prophetochuodhoisayaminist2854 6 років тому +2

    I LOVE YOU CHIEF

  • @gabrielisack7786
    @gabrielisack7786 5 років тому

    Mungu wa mbinguni uliyemtuma Yesu Kristo aje atuokoe katika utumwa wa dhambi tunakuomba uwashugulikie hawa manabii wa uongo wanaolichafua Kanisa lako.

    • @atughanileraphael9178
      @atughanileraphael9178 5 років тому

      Acheni kuwahukumu makuhani wa Mungu bali Mungu atawahukumu mwenyewe msije mkafanyiwa kama alivyofanyiwa Miriam dada yake Musa kwa kupigwa na ukoma maana alikuwa amemsema vibaya mtumishi wa Mungu kwa kuwa Musa alioa mwanamke Mkushi wakati sheria ya yao ilikuwa ni Waebrania hawakuruhusiwa kuoa nje na kabila lao. Mriam na Haruni walihusika kumsema vibaya Musa lakin aliyepigwa ukoma ni Miriam tu why? Kwa sababu Haruni alikuwa na vazi la kikuhani.
      Watumishi wa Mungu pigeni kazi bila woga maana aliyeupande wenu ni mkuu sana na walioupande wenu ni wengi zaidi kuliko walioupande wao.

  • @moannamzigua9293
    @moannamzigua9293 4 роки тому +3

    Thats our Cheeeeeaf,Son of Major One

  • @benjoliga1136
    @benjoliga1136 5 років тому +1

    Uaguzi tu huu mnaufanya afu mnasingizia nguvu ya Mungu, acheni kutumia nguvu za giza za kufanya utambuzi wa kipepo afu mnatumia mgongo wa Yesu kutapeli watu.. Haya mnayoyafanya mtayatolea hisabu shauri yenu

  • @samwelyohana9992
    @samwelyohana9992 6 років тому

    Mungu akubariki papaa

  • @stevenmsaaada.msaada.389
    @stevenmsaaada.msaada.389 5 років тому +6

    Upumbavu Kabisa. Wachungaji makanisa wanayageuza kuwa nyumba zaramli. Jaman. Hawajiongezi ata kujiongeza ata kidogo waumini.

  • @sophiamarwa4067
    @sophiamarwa4067 Рік тому

    Pastor naomba unikumbuke baba🙏🙏

  • @ashoopapa3595
    @ashoopapa3595 4 роки тому

    Pia mungu haikumbuke familia yako.

  • @angeloagustino4071
    @angeloagustino4071 5 років тому

    mungu akutumie zaid

  • @worshipertv9968
    @worshipertv9968 6 років тому +1

    nabarikiwa sana mtumishi

    • @benueniinnov7855
      @benueniinnov7855 6 років тому

      ungeenda tu kwa waganga kupiga ramli kama ndio suluhisho ulipendalo.

  • @newbornhaule1635
    @newbornhaule1635 5 років тому +1

    Ninachoshangaa hawa wanasali hayo makanisa Miaka mingi wapo humo au amefika tu anakutana naunabii huu naomba Mungu wa mbinguni aliye hai aseme kitu namioyo hii Neno Lake walijue

  • @japhetandrea4533
    @japhetandrea4533 5 років тому

    jaman wat wa mungu wanaangamia kwa kukosa maarifa

  • @elikanamikaaya5983
    @elikanamikaaya5983 5 років тому

    Kwa hakika Yuko mungu Kwa nabii atukumbuke watu wa arusha

  • @msskandi3316
    @msskandi3316 7 років тому +1

    ubarikiwe sana mchungaji

    • @evansokemwa6587
      @evansokemwa6587 5 років тому +1

      Mss kandi; abarikiwe kivipi? wewe nikipovu uoni uyu paster ni muongo nyie motoni

  • @josephpnnnkihiyo928
    @josephpnnnkihiyo928 7 років тому

    papaaa my God bless you.....Power|Chief apostle

    • @lisazollner8315
      @lisazollner8315 7 років тому

      Josephp nn n Kihi

    • @micharazomjengo6092
      @micharazomjengo6092 7 років тому

      ambariki kwa utapeli? fyuuuuuuuuu

    • @benueniinnov7855
      @benueniinnov7855 6 років тому

      For such are false apostles, deceitful workers, transforming themselves into the apostles of Christ. And no marvel; for Satan himself is transformed into an angel of light. Therefore it is no great thing if his ministers also be transformed as the ministers of righteousness; whose end shall be according to their works.

  • @arthurmwakanyamale7651
    @arthurmwakanyamale7651 7 років тому

    nzur sana BABA, mtoto wa NABII BUSHIRI (MAJOR 1
    )

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 4 роки тому

    yaah mm huwa mnalichekesha sana maaana n zaid ya bongo movies
    ( madebe lidai)

  • @zarinahqueen5894
    @zarinahqueen5894 6 років тому

    Amen 🙏🏻

  • @clarashirima5378
    @clarashirima5378 5 років тому +1

    Iyee POWER

  • @user-uc2ps4fq5j
    @user-uc2ps4fq5j 4 місяці тому

    Amen

  • @naomilemi4717
    @naomilemi4717 5 років тому +6

    mnadhalilishwa kbs. sasa injili mnajifunza muda gani? mnavopigiwa ramli. jamani

    • @agnesamani5250
      @agnesamani5250 3 роки тому

      sema nami nabii mtalemwa naomba maombi yako

  • @muttarutta1963
    @muttarutta1963 5 років тому +1

    Wapenzi msiziamini kila roho,bali zipimeni kama zinatoka kwa MUNGU, kwasababu manabii wengi wa uwongo wamekwisha kua duniani 1 yohane 4:1

  • @abednegomawalla337
    @abednegomawalla337 7 років тому +2

    wooooow!Very Powerful.God blessing U Man of God!

  • @johnsonlweyemam7944
    @johnsonlweyemam7944 4 роки тому +2

    MAJOR ONE endelea kutabiri Baba...
    Watu ni wavivu wa kusoma Biblia hawajui kuwa Manabii wote walitabiri ,..WOTEEEEE....
    Hata YESU PIA ALITABIRI kama kuna ayebisha aje hapa tufanye Dibate ..

    • @japhethgeriad4519
      @japhethgeriad4519 3 роки тому +1

      0620338433- WhatsApp tufanye debate, huu UTAPELI HAUFAI

  • @saidasaidisaida9230
    @saidasaidisaida9230 5 років тому

    Amen 🙏

  • @giftqueen7152
    @giftqueen7152 5 років тому +1

    I need God to save my life

    • @victoriaprist4953
      @victoriaprist4953 5 років тому

      sio uongo huyo Baba namjua anaitwa John kasase,aliyo mwambia ni sahihi

  • @eliamkonda5162
    @eliamkonda5162 7 років тому +8

    Akili za watu wakati mwengine huwa, unaenda likizo, kwa hiki kizazi cha nyoka Kilicho laaniwa hata kaa atokee Nabi. Wanajifanya manabii wanafanya vitu ambavyo hata YESU hakufanya na watu wanapumbazwa na madawa mnakumbuka

    • @japhetjoseph1772
      @japhetjoseph1772 5 років тому +2

      Akili yako ndio iko likizo tena kwenye tumbo la uzazi wa nyoka . Umesahau yesu alisema watafanya haya na zaid ya haya . Futa mbumba yako kasome biblia upate maarifa ukomboe akili zako hili usiteketee.
      #somabibliaondoaujinga

    • @edsonmruma4833
      @edsonmruma4833 5 років тому

      Tena hujitambui bora unyamaze kama humjui Mungu nyamaza.

    • @chilamboxhila2716
      @chilamboxhila2716 5 років тому +1

      unahitaji special prayers kwa sabab shetani amekufunga, never fight the man of God usije ukalaaniwa, Chief Apostle son of Major 1 chapa injili ya Kristo Yesu ulimwengu ukombolewe

    • @victoriaprist4953
      @victoriaprist4953 5 років тому

      nabii kasema kweli kwa huyo Baba,amuombee aache uzinzi ni mchungaji

  • @mrambaalphonce2164
    @mrambaalphonce2164 3 роки тому

    Watu wangu wanaangamizwa kwakukosa maarifa Hosea 4:6

  • @mathayopapiasi8872
    @mathayopapiasi8872 3 роки тому

    Wameraniwa Wawa tegemeae wanadamu namoyoni mwake wamemuacha Bwana Yeremia 17:5

  • @simonlulenga7062
    @simonlulenga7062 5 років тому +2

    Mzee usiwe mjinga. Umeokoka halafu unamsikilize huyo mganga wa kienyeji! Umemwacha YESU! Acha upumbavu baba yangu. Kwa nini una mashaka na Mungu wako?

  • @pascalmgaza2230
    @pascalmgaza2230 2 роки тому

    Amen!

  • @yagwisheheke1352
    @yagwisheheke1352 6 років тому +2

    hatofautiane sana na wale wanaopiga ramli

  • @gullaalex6590
    @gullaalex6590 4 роки тому +1

    Mmmh makubwa Sasa ni kanisan au kilengen!!

  • @angeloagustino4071
    @angeloagustino4071 5 років тому +1

    mimi sijui kama uwongo au laa

  • @marcodominico9503
    @marcodominico9503 6 років тому +4

    EII NIMEMWONA YULE BIBI KAPITA PALE MLANGONI......YAANI MPAKA YESU AJE KURUDI MTAKUWA MMETIA SANA WATU HASARA

  • @janemacha5642
    @janemacha5642 3 роки тому

    Amen😭

  • @linussjoseph1126
    @linussjoseph1126 6 років тому +5

    Kiongozi wa vipofu ww
    Huon haya muongo mkubwa ww badala ya kuwapa watu suruhu unawafarakanisha!! Utatoa hesab mbele za Mungu

  • @twilumbakabelege3426
    @twilumbakabelege3426 3 роки тому

    Mmmh jamani jamani huruma

  • @andreymalisa1625
    @andreymalisa1625 5 років тому

    Eeh mungu tuokoe

  • @stevefurahamwakyange9705
    @stevefurahamwakyange9705 5 років тому

    Aimeen

  • @melinasbugombo2690
    @melinasbugombo2690 5 років тому

    Huyu nabii tapeli kweli anapenda pesa manabii wa uongoo

  • @rosedeus9295
    @rosedeus9295 7 років тому +1

    Jesus power

  • @yagwisheheke1352
    @yagwisheheke1352 6 років тому +2

    huyu jamaa. ni Mganga wa kienyeji absolutely

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 4 роки тому +1

    wwnzetu watabiri wao n nabii
    waislamu akikuambia nyota yako wanaitwa waganga daah
    dunia hii
    et nabiiiii
    ila cku ile mbe ya muumba mbingu na nch sir zore ztafichukaaa

  • @bobwhite9252
    @bobwhite9252 3 роки тому +1

    .if a man can cheat by using Gods name ..he fears nothing on this earth.

  • @valentinemasalu7363
    @valentinemasalu7363 7 років тому

    Joyce Meyer kiswahili

  • @jacobndamayape8636
    @jacobndamayape8636 5 років тому +1

    Mwenye 50😂😁😁😁

  • @jeromesapi4933
    @jeromesapi4933 6 років тому +2

    Manabii wapo wa aina nyingi sana wapo hata wa shetani pia wapo! Kwa huyu jamaa ni mganga aliyo boresha huduma

    • @salummohdnyiga9760
      @salummohdnyiga9760 5 років тому

      Jerome Sapi ni kweli kabisa wanabadili mifumo tu ila ni mganga anayepiga lamli

    • @japhetjoseph1772
      @japhetjoseph1772 5 років тому

      Utakuwa wewe unajua wa ganga nn.. Au kaz kujiadai ujuaji maana hii nikasumba inayo Tanzania
      Don't speak shit like this once again

  • @pelusemanueli858
    @pelusemanueli858 5 років тому

    hahahahaa jamani mi na pita tuu

  • @benueniinnov7855
    @benueniinnov7855 6 років тому +1

    Muweni mnazipima hizi roho maana nyingine zinakuja kwa njia ya kujifanya zinatoka kwa Mungu lakini kumbe sivyo. Wengine wanayo mapepo ya utambuzi. Hii ni imani ya namna gani?

  • @ladymontana4375
    @ladymontana4375 5 років тому +1

    🤣🤣🤣 habari za hao wafuasi wako puurofesaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @demetriajohn6431
    @demetriajohn6431 5 років тому +3

    Jamani wewe muhaya tapeli,umeona kutoka kimaisha ni kufanya uganga madhabahuni,ole wakoo,tubu mapemaunawapofusha macho watu ,nanyi washirika,scheni uvivu,someni NENO

    • @xmartwhite180
      @xmartwhite180 4 роки тому

      Pumbavu zakoo huna adabu wew km unaona mtalemwa anaongea uwongo umewashwa nin ku comennt shenz wew huna adabu utakufa wew kwa laana za watumish hujui unaloongea fara wew

  • @eriakimumarwa4413
    @eriakimumarwa4413 3 роки тому

    Dahh

  • @linussjoseph1126
    @linussjoseph1126 6 років тому

    Na alaniwe anaehubiri injili kama hii
    Hii sio injili ya Yesu kristo

  • @ngwacahnyagwaswa9979
    @ngwacahnyagwaswa9979 5 років тому

    Tapeli Mkubwa eti elfu 50 kwa Mungu there is nothing like that mmekubaliana kutoa ushuhuda wa uongo

  • @agnesslihagasa6592
    @agnesslihagasa6592 6 років тому

    MUNGU atuponye ,aiseee

  • @thomassalakana6802
    @thomassalakana6802 7 років тому +4

    UWONGO MTUPU

    • @japhetjoseph1772
      @japhetjoseph1772 5 років тому

      Hahahah..
      @Thomas salakana
      Kwenye jina lako kunapatikana jina hili tomaso
      Sasa tomaso tueleze yako ya kweli *kwamaana maandiko usema yohana3:21"basi yeye aitendaye kweli huja kwenye nuru ili matendo yake yaonekane wazi ya kuwa yametendwa katika mungu " sasa uyo mtumishi hapo katenda waz waz wote tumeona je wewe yako yakuwapi yako wazi wazi au laah!!!
      Yesu ndio kweli na uzima alitenda mambo wazi wazi mpatekujua yametendwa katika mungu lakn wanadamu hatukujua tukamsulubisha na kusema n uongoo kama uo ulio andika hapo
      Jirekebishe toka ulipo kuwa kwenye viuno ulipinga yesu akasulibiwa akafa paka sasa unaendelea namambo yako ya karne na karne zinduka embu soma kisa yohana18:37>> macho na akili za wanadamu yanavyo jugde wako radhi mbakaji,muuwaji hawe huru lakn mtu wasio jua hata kosa Lake vizur asulubiwe ukisha soma hicho kisa tafakar ulicho comment unajua uongo wa mtumishi huyo.
      #Tubuuuendembinguni

  • @sara.wanjalaalipoyesuyotey3613
    @sara.wanjalaalipoyesuyotey3613 7 років тому

    Amen nimebarikiwa nimefunguliwe na mimi pia God Bless you

    • @deboraadam4962
      @deboraadam4962 6 років тому

      Sara. Wanjala Alipo Yesu Yote Yanawezekana duu

  • @myself4128
    @myself4128 3 роки тому +1

    Sikuhizi Kuna show za ajabu sana, msanii mmoja alafu Misukule kama yote

  • @emilywanje9256
    @emilywanje9256 3 роки тому

    chifu namba no

  • @queenmariana5887
    @queenmariana5887 7 років тому +1

    uko wapi ww mtumishi niletee babangu ameteseka sana aky

    • @elizamilanzi5818
      @elizamilanzi5818 3 роки тому

      Yupo makongo juu dada ang achana na hao wanaongea iv mara iv ivyo vitu nivyakwel mm nasali uko kikubwa imani

  • @gracemapunda9783
    @gracemapunda9783 7 років тому

    uje na kwetu Songea Mchungaji nasi pia tunahitaji maombi tuna matatizo

  • @deus8629
    @deus8629 5 років тому

    wewe Tausi wewe.... unamtembelea mwenzako hivo.... na wewe teddy Mbona haukumsaidia kwenye hizo shida zote hivo

  • @careencharlescharles9749
    @careencharlescharles9749 4 роки тому

    Baba na mimi nitabilie

  • @simbamweusi3410
    @simbamweusi3410 5 років тому

    Church movie

  • @yegelashimbi7149
    @yegelashimbi7149 3 роки тому

    Mungu akutumie mtumishi

  • @santyhassan4186
    @santyhassan4186 7 років тому +4

    Aisee wewe muongo umepanga ushuhuda wa uwongo michezo hiyo tumeisha izoea wadanganye hao

  • @simbamweusi3410
    @simbamweusi3410 5 років тому

    Duh

  • @johnsonlweyemam7944
    @johnsonlweyemam7944 4 роки тому

    Tena kwa kuwaonjesha kidogo tu ktk ilo somo la UTABIRI
    1-Yesu alipomtabiria yule mama pale kisimani
    2-

  • @natyvan4071
    @natyvan4071 5 років тому +2

    🤣🤣🤣🤣🤣 wagaga wengi kanisani

  • @emanuelyngatungs1000
    @emanuelyngatungs1000 6 років тому +1

    Niombee na Mimi nipo nahitaji msaada wako

    • @khatibushame203
      @khatibushame203 5 років тому

      Wewe ninabii wa uogo umetumwa Na shetani sitamani hata kukusikiriza

  • @kidukomoshi9657
    @kidukomoshi9657 7 років тому +3

    we jamaa muongo

    • @japhetjoseph1772
      @japhetjoseph1772 5 років тому

      Tueleze kweli. Yako
      *kwamaana maandiko usema yohana3:21"basi yeye aitendaye kweli huja kwenye nuru ili matendo yake yaonekane wazi ya kuwa yametendwa katika mungu " sasa uyo mtumishi hapo katenda waz waz wote tumeona je wewe yako yakuwapi yako wazi wazi au laah!!!
      Yesu ndio kweli na uzima alitenda mambo wazi wazi mpatekujua yametendwa katika mungu lakn wanadamu hatukujua tukamsulubisha na kusema n uongoo kama uo ulio andika hapo
      Jirekebishe toka ulipo kuwa kwenye viuno ulipinga yesu akasulibiwa akafa paka sasa unaendelea namambo yako ya karne na karne zinduka embu soma kisa yohana18:37>> macho na akili za wanadamu yanavyo jugde wako radhi mbakaji,muuwaji hawe huru lakn mtu wasio jua hata kosa Lake vizur asulubiwe ukisha soma hicho kisa tafakar ulicho comment unajua uongo wa mtumishi huyo.
      #Tubuuuendembinguni

    • @xmartwhite180
      @xmartwhite180 4 роки тому

      Shenz

    • @judithchristian7274
      @judithchristian7274 3 роки тому

      Mungu akubariki sana

  • @nsabimanaabedi541
    @nsabimanaabedi541 5 років тому +1

    tapeli mkubwa

  • @JosephMasha-qz3gr
    @JosephMasha-qz3gr Рік тому

    😅😅

  • @sumalago864
    @sumalago864 7 років тому

    hahahaa' tatizo hawa Jamaa upigaji wao unafanana...doh. ..

  • @manumbujohn7330
    @manumbujohn7330 7 років тому

    nimfrahi mno ahaa

  • @deusmacinde8552
    @deusmacinde8552 6 років тому

    Uyu jamaaa nimeuthuria feroship yake mwongo uyoooo ni hatari,

  • @nkwazigatsha
    @nkwazigatsha 7 років тому +1

    Namna hii Afrika haiwezi kuendelea. Sijui kwanini serikali zetu zinaruhusu upuuzi, ujinga na utapeli wa wazi kama huu. Hamna cha nabii wala nini bali utapeli. Wote unaowasikia kuanzia Rwakatare, Gwajima, Kakobe, Mwakasege, Lusekelo na matapeli wengine ni waganga njaa na waganga wa kienyeji wanaotumia Biblia. Hawana tofauti na waganga wa kienyeji wa kiislamu wanaojiita mashehe na madaktari wakati ni mavi matupu.

    • @nkwazigatsha
      @nkwazigatsha 2 роки тому

      @@ngetadonn230 akuponye wewe unayepwakia upuuzi kama siyo kufaidika nao. Afrika tutaendelea kutegemea miujiza hadi lini?
      Nkwazi Mhango
      MB
      Kanada

  • @simonlulenga7062
    @simonlulenga7062 5 років тому

    Mtumishi wa Mungu yeyote huwa haibishi watu mbele za watu. Ukiona mtu anajiita nabii au mchungaji halafu anasema siri za watu hadharani hoyo ni mshirikina tu?

  • @abdashmjahid7239
    @abdashmjahid7239 5 років тому

    Tena anawambia nime waenjoy nawao hawaelewi jamaa serikali ingilie haya mambo ya watapeli ndani ya makanisa hii ni laana wazi wazi