OMBA SANA JUU YA TAIFA LA TANZANIA ILI MUNGU AIPONYE NCHI YETU >> UNAWEZA KUSAPOTI KAMPENI ZA INJILI VIJIJINI KUPITIA SADAKA YAKO +255 763 099 367 JINA ESTHER MASANJA
Asante Kwa taarifa hii. Watumishi wa Mungu wengi duniani wamepata taarifa ya namna hii. Mungu Atutie nguvu, atuimarishe kiimani zaidi, Atupe ujasiri bila uoga. Ni nyakati za HATARI mno. Ubarikiwe mno kwa kuwezeshwa kutulia UWEPONI MWA Bwana Wakati wote.
Mimi niliwahi kuona hadi Mara mbili sikujua mana yake Nini mana niliona Kuna wanajeshi Kila sehemu na wamebeba silaha na watu Kila mmoja alikuwa anakimbia ovyoovyo tu
Haya nimesha oneshwa na BWANA vita juu ya TANZANIA mara mbili haya nikweli Kabisa muhimu ni kuomba sana Ili Bwana atuepushe na MACHAFUKO ndani ya nchi yetu OMBA bila kukoma
Mimi niliona magari ya rangi kama kijani na watu wengi wamevaa nguo zilizofana za rangi hiyo hiyo wakizoa maiti nyingi majumbani na mabarabani,kinachotakiwa ni maombi ya toba kwa Mungu ili atusamehe maovu yetu na kuondoa ajenda yoyote inayopangwa na adui
Unayoyasema mm nakubaliana nayo kwa asilimia mia moja. Kwa sbb hata mm mwenyewe nilikuwa naoneshwa sana vita juu ya Tanzania, karibu mara kumi hasa nikiwa nimelala usiku ndiyo nilikuwa nikiota vita.
Chanzo Cha yote hayo ni baadhi ya watu wameacha kuwathamini watu wengine.Wamekumbatia nafsi zao.Haki haitendeki.Tusimame kuomba tutendeane haki kwanza amani itakuja yenyewe.
Yaani kaongea ukweli kabisaa manake tumeanza kulia mwaka huu 2024 ,shida tumeacha kumuabudu Mungu alie hai tunaabudu mashetani na shetani hanaga Wema ataipiga hii nchi matukio sanaaa, Mali za mashetani ,makafara yaani hii nchi kuna watu waabudu ushirikina hadi shetani ameweka kiti kabisa Tanzania sasa hivi
Ni kweli Mtumishi wa Mungu. Waovu wamepoka madaraka na wanamwaga damu za watu wasiokuwa na hatia ili mradi waendelee kutawala na kuibia nchi matrilioni ya fedha za nchi.
Watumishi wa MUNGU embu streat mnapopewa ujumbe na MUNGU, msipepese kuweni wazi kwamba ccm ndio inaendakuleta vita nchini sababu ya madaraka,wamejimilikisha Tz, ni yao tu
Waislam tupo kimya tunawaangalia wanahangaika hawajui mungu wa kweli anayokusudia let them talk kama kawaida yao anapokuwa Rais mwislam sisi yetu macho kimya pandeni mshuke mtajuwa wenyewe
Ndo mlivyoanza hivo kipindi cha magufuli hadi magufuli akaja kufaliki bure bila kosa lolote kumuua bila huruma ni ole ole waafrika mauwaji ya chini kwa chini kumaliza viongozi wateteaji wa jamii
Me naona Mungu anataka kitufundisha ndio maana kampa shetani Rungu maana Tanzania ndio nchi ambayo inapendwa na Mungu ila ndio nchi ambayo tumepuuza sanaa nafasi ya Mungu ukuu wa Mungu heshima ya Mungu thamani ya Mungu na uwepo wa Mungu ndio maana hata kwenye mambo ya Mungu mizaha mingi ukitaka kulielewa hili nenda Rwanda , Burundi Congo na kenya
Kwanini haya mahubiri yawe Sasa na kuanza kutabili vitu vya ajabu ajabu hivi mungu gani mnaye muhubir nyinyi mbona sio wakwer kabisa mambo ya 2025 mnayaongelea Sasa hivi Tena Kwa siasa sio yesu Tena ni uchaguzi uchaguzi tu watu wapi kimya tu wanawatafari Nini nia yenu Kwa taifa letu muogopeni mungu kikwer kikwer tumuombee mungu mama yetu mitano Tena
HAKUNA MAOMBI YATABADIRISHA UNABII HUO NA UNGANA NA WEWE NABII MAANA MUNGU AMERUHUSU KUKOMESHA KIBURI CHA HII NCHI ILIYOJIFICHA KWENYE KIVURI CHA AMANI BANDIA KUNA MABADIRIKO MAKUBWA MUNGU ANATAKA YATOKEE
Haiseee wewe umeongea point kubwa sanaaa Tanzania lazima tufundishwe Moyo unaniumaaa sanaaaa maana Mungu alisema na Mimi mambo mazito ila hakaniambia hakuna wa kuyabadilisha haya ndio maana mimi nahakika hata hawa wanaofunuliwa ni uoga wa kibinadamu TU ila najua ujumbe wanao pewa hauna mbadala
OMBA SANA JUU YA TAIFA LA TANZANIA ILI MUNGU AIPONYE NCHI YETU >> UNAWEZA KUSAPOTI KAMPENI ZA INJILI VIJIJINI KUPITIA SADAKA YAKO +255 763 099 367 JINA ESTHER MASANJA
Shalom naomba namba yako mtumishi
TUMIA NAMBA INAYOPITA KWENYE SCREEN UTAMPATA
@@neemamakundi6407 +255 763 099 367
Amen mtumishi, Mungu ibariki Tanzania, tuepushe na majanga yote... Ameen asante kwa somo zuri pia juu ya kutambua nafasi zetu, ubarikiwe sana
Mungu akubariki Sana mtumishi Kwa mafundisho mazuri
Asante Kwa taarifa hii.
Watumishi wa Mungu wengi duniani wamepata taarifa ya namna hii. Mungu Atutie nguvu, atuimarishe kiimani zaidi, Atupe ujasiri bila uoga. Ni nyakati za HATARI mno.
Ubarikiwe mno kwa kuwezeshwa kutulia UWEPONI MWA Bwana Wakati wote.
Amen ,natangaza tanzania ni Nchi ya amani
Amina tumurudie Bwana
Yesu kumbuka rehema juu ya Tanzania.
Mungu atuepushe kwa hili Asante mtumishi mungu
Amina Muñgu atuepushe na Alie tengeneza hii mifumo limkute yeye na familia yake Tena washindwe kwa jina la Yesu
Amina. Ubarikiwe sana
Mungu anapofunua jambo anataka watu waombe ili yasitokee
Kumbuka Farao alifanywa moyo mgumu wazaliwa wa kwanza wanafanya, kikosi cha askari kikaangamia.
Faraoh hakuomba soma neno vuzuri.mfano ni mfalme Yosefati aliona Mungu akaghairi mabaya.
Hakika MUNGU atulehem sana watanzania MUNGU iponye taifa letu
Mungu mwenye huruma tuhurumie watanzania na nchi ya Tanzania
Ni kweli mtumishi maombi kwenye hii nchi yanahitajika sana. Hili anga la T.z cy kabisaa.Wew ni mtumishi wa kweli. Tuombe bila kikomo.
Ubalikiwe mtumishi wa mungu
Mungu hawezi kutuacha Samia aendelee kututesa
Umeongea kwa uchungu sn😅
Mimi niliwahi kuona hadi Mara mbili sikujua mana yake Nini mana niliona Kuna wanajeshi Kila sehemu na wamebeba silaha na watu Kila mmoja alikuwa anakimbia ovyoovyo tu
Mungu atatuvusha kwalehema zake
Haya nimesha oneshwa na BWANA vita juu ya TANZANIA mara mbili haya nikweli Kabisa muhimu ni kuomba sana Ili Bwana atuepushe na MACHAFUKO ndani ya nchi yetu OMBA bila kukoma
Mimi niliona magari ya rangi kama kijani na watu wengi wamevaa nguo zilizofana za rangi hiyo hiyo wakizoa maiti nyingi majumbani na mabarabani,kinachotakiwa ni maombi ya toba kwa Mungu ili atusamehe maovu yetu na kuondoa ajenda yoyote inayopangwa na adui
Tazama nikaona Maskani ya Mungu ni pamoja na wanadamu (Tuishi hapa)
Tunaomba rehema kwa Tanzania na
Kweli mama unachosema tuombe sana
Tumrudie Muumba wetu (Chanzo Halisi)
Watanzania tuombe maana Mungu aliahidi hataruhusu jambo bila kukujulisha. Sasa ndo ujumbe huo tumeambiwa. Mungu sikia maombi
MAMA KWELII MAMA KWELII KABISA UMEONA MUNGU AISAIDIE TANZANIA OMBENI SANA NA TUOMBE.
Unayoyasema mm nakubaliana nayo kwa asilimia mia moja. Kwa sbb hata mm mwenyewe nilikuwa naoneshwa sana vita juu ya Tanzania, karibu mara kumi hasa nikiwa nimelala usiku ndiyo nilikuwa nikiota vita.
Uruma sana 😢😢Mungu aturehem
Tunavyochezea sehemu za Ibada kwa kuzungumza na Kutangaza Imani zenu za uganga. Sehemu za Ibada ni lazima ziheshimike.
Una sura mbaya kweli na hata hofu ya Mungu.
Chanzo Cha yote hayo ni baadhi ya watu wameacha kuwathamini watu wengine.Wamekumbatia nafsi zao.Haki haitendeki.Tusimame kuomba tutendeane haki kwanza amani itakuja yenyewe.
Yaani kaongea ukweli kabisaa manake tumeanza kulia mwaka huu 2024 ,shida tumeacha kumuabudu Mungu alie hai tunaabudu mashetani na shetani hanaga Wema ataipiga hii nchi matukio sanaaa, Mali za mashetani ,makafara yaani hii nchi kuna watu waabudu ushirikina hadi shetani ameweka kiti kabisa Tanzania sasa hivi
Mama umenena kweli kuhusu nguvu na kupora haki ya kuchagua
Hii ni kweli ila Mungu atusaidie katika janga hili
Ni kweli Mtumishi wa Mungu. Waovu wamepoka madaraka na wanamwaga damu za watu wasiokuwa na hatia ili mradi waendelee kutawala na kuibia nchi matrilioni ya fedha za nchi.
Nyinyi tanganyika mnapenda sana kujita jina la Tanzania nyinyi ni tanganyika msikatae jina lenu😅😅😅😅😅😅
Kweli... Baba Mungu iponye Tanganyika ..tumekwishaaaa
Watumishi wa MUNGU embu streat mnapopewa ujumbe na MUNGU, msipepese kuweni wazi kwamba ccm ndio inaendakuleta vita nchini sababu ya madaraka,wamejimilikisha Tz, ni yao tu
Kukabdamiza watu hawajaanza Leo mtumishi!
Kweli mama nikweli
Kweli Mama
Hata sasa damu nyingi sana zinamwagika kwa kweli MUNGU TUNAOMBA REHEMA
Damu nyingi Mno
Nikweli kabisa mtumishi
AMTUMAINIE MWANADAMU KUWA MUNGU WAKE ATAANGAMIA WATUMISHI MMEKUWA WENGI MMEACHA KUTANGAZA INJLI MMEKUWA MANABII NA WATABILI TU INANISITUA
Amen
Mungu tuepushe na tusimamishe tuombe
Samia ameweka machawa sana hakika mwakani hali itakuwa ni tete CCM olisi makundi yasiyojulikana
Kabisa umenena, mamangu Tutaomba kabisa!!
Ameni lazima tuombe mamaangu
Toa ujinga we Nina .nyamaza we mwenyewe shetani
Waislam tupo kimya tunawaangalia wanahangaika hawajui mungu wa kweli anayokusudia let them talk kama kawaida yao anapokuwa Rais mwislam sisi yetu macho kimya pandeni mshuke mtajuwa wenyewe
Hujitambui.
Al lah mean moon god. Mnafata pagan retues.... Ndio Islam ambayo maana yake surrender.
Nazezeta kimya
Pole ndugu, we uko katika karne gani? Karibu kwa Bwana Yesu.
Je, Magufuli alikuwa muislamu? Maana alipingwa sana na akina Lissu hadi kukafanywa jaribio la mauaji
Pole sana
Washindwe kwajinalayesu
Ndo mlivyoanza hivo kipindi cha magufuli hadi magufuli akaja kufaliki bure bila kosa lolote kumuua bila huruma ni ole ole waafrika mauwaji ya chini kwa chini kumaliza viongozi wateteaji wa jamii
🙌🙌🙌🙌
Me naona Mungu anataka kitufundisha ndio maana kampa shetani Rungu maana Tanzania ndio nchi ambayo inapendwa na Mungu ila ndio nchi ambayo tumepuuza sanaa nafasi ya Mungu ukuu wa Mungu heshima ya Mungu thamani ya Mungu na uwepo wa Mungu ndio maana hata kwenye mambo ya Mungu mizaha mingi ukitaka kulielewa hili nenda Rwanda , Burundi Congo na kenya
😢😢 Tuombe jamani
Tunahitaji Tanganyika
Eee MUNGU tusaidie Baba,,,,
WEWE NAHUYO USO WAKO MGUMU UNATAKA KUTUDANGANYA ALAFU KAMA HAYO YASIPO TOKEA UYO USO WAKO.UTAWEKA WAPI MBELE YA UMINI WAKO
Askofu shoo vipi hanasemaje
Huyu samia ambaye hajachaguliwa na wananchi anaiharibu nchi hatufai tumkatae
Tunaongozwa na watu wa utawala wa giza,nguvu za shetani
Nikwer kabisa wanatumia nguvuingi
Kwanini haya mahubiri yawe Sasa na kuanza kutabili vitu vya ajabu ajabu hivi mungu gani mnaye muhubir nyinyi mbona sio wakwer kabisa mambo ya 2025 mnayaongelea Sasa hivi Tena Kwa siasa sio yesu Tena ni uchaguzi uchaguzi tu watu wapi kimya tu wanawatafari Nini nia yenu Kwa taifa letu muogopeni mungu kikwer kikwer tumuombee mungu mama yetu mitano Tena
Acheni kumtishià mama yangu, mbona juzi kwenye maandamano ya juzi pa Dar , je ukiona nini?
Bora hata wewe unayaona haya wakati maaskofu wa kkkt hawaoni wao wanajali ngawira tu hata zikitoka kwa shetani
Mama hatakiwi kutomba akigombea atashindwa na atakataa kuachia mamlaka ,jamani
Tulishawajua
Lolote mnakotengeneza kwenye ulimwengu wa kiroho lishidwe tunatengua hamtatimiza makusudi ya adui
WACHENI UWONGO TANGIA LINI NABII AKAWA MWANAMKE😂
HAKUNA MAOMBI YATABADIRISHA UNABII HUO NA UNGANA NA WEWE NABII MAANA MUNGU AMERUHUSU KUKOMESHA KIBURI CHA HII NCHI ILIYOJIFICHA KWENYE KIVURI CHA AMANI BANDIA
KUNA MABADIRIKO MAKUBWA MUNGU ANATAKA YATOKEE
Mungu aturehemu naatusamehe kwamatukio mabaya makubwa yaumwagaji dam zisizokua na hatia pia atupe viongozi wenyehofu ya mungu
Haiseee wewe umeongea point kubwa sanaaa Tanzania lazima tufundishwe Moyo unaniumaaa sanaaaa maana Mungu alisema na Mimi mambo mazito ila hakaniambia hakuna wa kuyabadilisha haya ndio maana mimi nahakika hata hawa wanaofunuliwa ni uoga wa kibinadamu TU ila najua ujumbe wanao pewa hauna mbadala
Hakika tunamhitaji sana MUNGU
Muongo wewe wadanga ye wajinga wenzako tu
Ila kweli bhana..hawa maonono mhuuuu........sasa kwamini mungu asitulize yeye mwenyewe..na shetani kumbe anauweza kuliko mama mungu
Ndugu usicheze na Mungu!
@KM-hx8zy aache kusema eti mungu kamuonesha kamuonesha panaripuka uo uwongo angesema tu tuombee Tanzania lakini anaongeza kua kafunuliwa ni uongo huo
Pole, Bora kunyamanza kuliko kunena chochote juu ya mtumishi wa Mungu, kama ni uongo leta ukweli wako tuusikie ulivyo .be careful
Na jina lako halifanani na maono ya watumishi wa Mungu namuona mpinga Kristo hapo.
Amen