🔴LIVE: KUBALI KUPOKEA WACHOCHEZI WA VITA YA KAFARA NA SADAKA MALANGONI MWAKO | VOL 18 - CHAPTER 2

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 12

  • @WssWss-w3p
    @WssWss-w3p 10 днів тому

    Hallelujah hallelujah asante bwana yesu kwa ujumbe huu ambayo umekusudia ni upokee kutoka kwa kinywa choko kupitia watumishi wa wako,, ee MUNGU unirehemu mimi mtumwa wako.

  • @wilsonmkumbo3032
    @wilsonmkumbo3032 Місяць тому

    Atukuzwe Mungu wa mbinguni kwa ajili ya injili hii aliyowapa watumishi wake,asikilizae na afahamu

  • @angelanaftael7965
    @angelanaftael7965 Місяць тому

    Asante Mungu kwa kutukumbuka tena na kuleta tena muunganiko mpya wa Kiroho baina yetu na wewe Mungu wetu

  • @UpendoYusuph-y8u
    @UpendoYusuph-y8u Місяць тому

    Amen amen watumishi MUNGU azidi kuwatia guvu

  • @isayasanga1069
    @isayasanga1069 Місяць тому

    Mungu Akubari Tengwa na Alfa na Agines nawengine mlio pamoja NAMI ni pamoja nanyi Amina

  • @ااا-ح9م
    @ااا-ح9م Місяць тому

    A himidiwe Bwana Mungu mwenye nguvu na uweza,nashukru kwa mafundisho haya yenye kunifunguwa macho na masikio,Mungu awalinde na awatie nguvu ilimuendelee na injili hii ya uamusho

  • @hussenyahaya8675
    @hussenyahaya8675 Місяць тому

    Ubarikiwe mtumishi

  • @WssWss-w3p
    @WssWss-w3p 10 днів тому

    Mimi hapa nataka moyo wangu ufanane na MUNGU.

  • @ااا-ح9م
    @ااا-ح9م Місяць тому

    Inawezekana kwa jina la Yesu ngome zote zamupinga kristo.

  • @SamsoniPius-w1s
    @SamsoniPius-w1s Місяць тому

    Amen Amen Amen

  • @anthonysambali7274
    @anthonysambali7274 Місяць тому

    Mimi ni nani hata niyaelewe haya?
    Mungu baba nifanikishe kibali cha kazi yangu uliyonituma kwayo

  • @epafraditopajenga4650
    @epafraditopajenga4650 Місяць тому

    Taabu ya wahubiri kama mnaiga sauti za Watumishi wengine maarufu,mjitahidi kwenda kwa lift za sauti zenu ili tuvutiwe na kuwaelewa kwa symbols zenu