Nimegundua ndio maana watumishi wengi wanaibwa na shetani mara yeye ni mwenyekiti wa shule ,mara gareji mara anasimamia ujenzi wake, mara bank lazima nguvu ziishe Bwana Yesu wasikizishe watumishi wako Neno hili wapone
Yesu ndie.aliyebeba.kanisa watumishi tumpe nafsi kubwa Yesu.harafu watumishi.wengi macho yao Hayamuoni Yesu kama anafanya.huduma nao Yesu yupo dunian ila na mwili wa loho mpaka mwisho wa dunia
Injili hii inahitaji sana sikio la kusikia. Mungu AKISAIDIE KIZAZI hiki KUSIKIA.
Mbarikiwe watumishi wafalme na mlindwe sana na mbingu...
Duu, hakika hayo mafunuo nimakubwa mno, Mungu awabaliki watumishi wa Mungu,
😂😂😂Kuna kitu nimejifunza mbarikiwe sana"
MUNGU aturehemu sisi watumwa wake.
Nimegundua ndio maana watumishi wengi wanaibwa na shetani mara yeye ni mwenyekiti wa shule ,mara gareji mara anasimamia ujenzi wake, mara bank lazima nguvu ziishe Bwana Yesu wasikizishe watumishi wako Neno hili wapone
Yesu ndie.aliyebeba.kanisa watumishi tumpe nafsi kubwa Yesu.harafu watumishi.wengi macho yao Hayamuoni Yesu kama anafanya.huduma nao Yesu yupo dunian ila na mwili wa loho mpaka mwisho wa dunia
Nasikia ni kama vile masikio yamefunguka haya maneno sijawahi yasikia popote pale