BWANA hakika wewe ni Mungu . Tunalibariki jina lako . Asante kwa utumishi huu mkuu. Wewe ni Yehu utendaye kwa moyo mkuu. Utendaye kwa ukarimu. Watumishi wa Mungu mbarikiwe. Ubarikiwe baba yangu mtumishi wa Mungu Mfalme Tengwa. Ubarikiwe mtumishi wa Mungu Nabii Alfa Kihamba na mtumishi wa Mungu nikupendaye Agnes Bruno. Mbarikiwe wote. Nawapenda. Mungu awabariki.
Hakika hakuna akimbiaye huku na huko kupeleka habari njema..na anaejaribu kukimbia anvutwa shati nyuma..vya mwilini vinakuwa na nguvu kuliko vya rohoni
Namshukulu MUNGU kwa utukufu huu MUNGU awabariki sana watumishi kwahuduma yenu
BWANA hakika wewe ni Mungu . Tunalibariki jina lako . Asante kwa utumishi huu mkuu. Wewe ni Yehu utendaye kwa moyo mkuu. Utendaye kwa ukarimu. Watumishi wa Mungu mbarikiwe. Ubarikiwe baba yangu mtumishi wa Mungu Mfalme Tengwa. Ubarikiwe mtumishi wa Mungu Nabii Alfa Kihamba na mtumishi wa Mungu nikupendaye Agnes Bruno. Mbarikiwe wote. Nawapenda. Mungu awabariki.
Mbarikiwe watumishi
Mambo ya Mungu ni mafumbo,hakika Mungu hafananishwi
Amina mtumishi
Mbarikiwe watumishi wa Mungu aliye hai, Asante sana Kwa maneno mazito .
Napenda
Siku ukifunuliwa mtu wa mungu naamini utashangaa mno tena mno
Tuko pamoja wafalme