Maisha Yangu, Nia Yangu: Historia ya Rais Mkapa, maisha ya dhiki na jinsi Bibi yake alivyouawa

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 жов 2024
  • Kama yalivyo maisha ya kila binadamu, safari ya Rais Mstaafu wa awamu ya 3 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imefikia mwisho usiku wa kumkia Ijumaa ya July 24. Kifo chake kilitangazwa live kwenye TV na Rais Dkt John Pombe Magufuli ambaye uso wake ulionesha dhahiri huzuni kubwa aliyokuwa nayo.
    November mwaka 2019, Mhe. Mkapa alizindua kitabu cha historia yake kiitwacho My Life, My Purpose. Kwenye uzinduzi huo. Prof. Rwekaza Mukandala, alisimulia kwa ufupi kile kilichoandikwa kwenye kitabu hicho.
    Kwa kutumia alichokiandika Prof. Mukandala, ifahamu historia yake

КОМЕНТАРІ • 162

  • @successpathnetwork
    @successpathnetwork 4 роки тому +21

    Tutamkumbuka kwa mengi. Makala nzuri sana "Sky Walker"

    • @zclassicfashionz
      @zclassicfashionz 4 роки тому

      𝐒𝐚𝐟𝐢 𝐬𝐚𝐧𝐚 𝐤𝐚𝐤𝐚

  • @zennakailo8106
    @zennakailo8106 4 роки тому +3

    Kafa baba kiukweli ss Wa Masasi tutapat shida mno maaana watu wa Lupasi yeye ndo kainua

  • @blankakecy2464
    @blankakecy2464 4 роки тому +4

    So Inspired Na Raisi Wangu Mkapa Acha Tujitume Baba Ahsnte Kwa Yote Uliofanya,Mwendo Umemaliza Rest In Internal Peace Legends 🙏

  • @farihiamass8739
    @farihiamass8739 4 роки тому +5

    Yaan akishakufa utasikia masifa kibao akiwa hai mmmmmh

  • @stellamachunde7734
    @stellamachunde7734 4 роки тому +12

    Mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa amani. Amina. RIP

  • @maryamm7765
    @maryamm7765 4 роки тому +7

    Mungu atupe mwisho mwema Yarab 😭😭😭

  • @fofonadia3657
    @fofonadia3657 4 роки тому +18

    Pole watanzanie na familia yake🇧🇮

  • @rossefelix3126
    @rossefelix3126 4 роки тому +7

    Mungu amlaze pema peponi nenda baba nasi twaja katika siku ninazokeshaga Leo ndo nimepata habari mbaya na ndo yakulalia najaribu kuangalia jinsi vyombo vya habari vitakavyo zizima @sns mmekuwa wa pili kuiweka after Millard kweli mnachapa kazi God bless u #SNS

  • @magrethmanintveld2486
    @magrethmanintveld2486 4 роки тому +6

    Mungu amlaze mahala pema peponi, bwana alitoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe,AMEN

  • @noelmarapachi1808
    @noelmarapachi1808 4 роки тому

    Makala nzuri sana, sky walker uko vizuri sana kaka! Najaribu kupiga picha ya tofauti ya wewe na hivi vi so called presenters vya sasa hivi, ambavyo kila wanacho hoji wana lazimisha kihusiane na UDAKU

  • @francisruambothetechnician
    @francisruambothetechnician 4 роки тому

    Sema jamaa aliwaachia wazungu wachukue 95% ya mgodi na nchi kuchukua 5% kitu ambacho kilimsikitisha sana nyerere wakati nyerere alikataa 45% kwa nchi na wazungu kwa 55%, so kama kuna mahali mwamba yyte amezingua tuwachane sio kupalilia tu mbinguni akuna hizo inshu

  • @teresiamutua4487
    @teresiamutua4487 4 роки тому +4

    So sad condolences to the people of Tanzania,may God give you people peace at this hard tym,may his soul rest in peace

  • @fallymetoo191
    @fallymetoo191 4 роки тому +10

    INNALLILLAHI Wainna ilaihi rajeuun tuwe pole watanzania pamoja na familia yake kwa ujumla. 🤲

  • @leylahleylah4599
    @leylahleylah4599 4 роки тому +2

    Muwe mnatuletea makala kama hii mtu akiwa hai..msisubiri mpka afe 🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️

  • @lilianjeremia1024
    @lilianjeremia1024 4 роки тому +3

    Raha ya milele umpe ehee Bwana mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa Amani 🙏🙏💔💔💔😭

  • @bueno1818
    @bueno1818 4 роки тому +4

    Rest in peace! Mbele yake nyuma yetu!!

  • @emmanuelgabagendi3169
    @emmanuelgabagendi3169 4 роки тому +5

    Aise😭

  • @davidpaschal5363
    @davidpaschal5363 4 роки тому

    Mimi sjaelewa kBisa kwani mkapa aligombea ulais mwaka gn

  • @zuleikhakhamis3303
    @zuleikhakhamis3303 4 роки тому +3

    makala imejitosheleza lkn wazee we2 wapemba uliwaonea sana kwa kuambrisha kupigwa na kuuwawa mpk leo nyumba zimefungwa kufuli km makumbusho kweli ulitumika na kuwatumia watu km makala yako inavyosomwa na ilivyoandikwa

  • @lamecklukanda1059
    @lamecklukanda1059 4 роки тому +1

    mwenye copy ya hicho kitabu My life, My purpose...naomba anitumie plz

  • @adolphmwangoje2887
    @adolphmwangoje2887 4 роки тому

    Kwenye SIASA ameongea kuntu Sana

  • @khadeejaabdullah7083
    @khadeejaabdullah7083 4 роки тому +3

    Innaillah wainna lilah rajiu'n

  • @zubedaali4155
    @zubedaali4155 4 роки тому

    Mungu mpumuzishe kwa hamani mzee mkapa amina

  • @hassanisolah1689
    @hassanisolah1689 4 роки тому

    Tanguria kwa amani laisi wetu mpendwa

  • @Hanifa4-d4q
    @Hanifa4-d4q 6 місяців тому

    Linaloho mbaya sana hili limalehemu

  • @gibsonyshadrack4543
    @gibsonyshadrack4543 4 роки тому +2

    Pole sisi watanzania , Mungu amtangulie naayatizamr mema yake baba mkapa amee

  • @adolphmwangoje2887
    @adolphmwangoje2887 4 роки тому

    Huyu jmaaa mwanaharakati Sana 😥

  • @joharhamisi9140
    @joharhamisi9140 4 роки тому +2

    Japo kufa kupo lakin mwaka huu mbaya sana

  • @abduljumanne1667
    @abduljumanne1667 4 роки тому +1

    Tutamkumbuka kwa mengi sana,yeye katangulia tu lakini nasi tunafuatia😥..Makala nzuri brother Sky alway's nakukubali👍

  • @angeljasson4376
    @angeljasson4376 4 роки тому +2

    Rest in peace papa 😥

  • @aminaabdallah3644
    @aminaabdallah3644 4 роки тому +1

    Innal lillah waina illah rajiun poleni Tanzania 🇹🇿

  • @salim87khamisi76
    @salim87khamisi76 3 роки тому

    Rest in peace

  • @YuliaYohane
    @YuliaYohane 10 місяців тому

    Vizuri

  • @jayratumaulid582
    @jayratumaulid582 4 роки тому +2

    Innalillah wainnaillahi rajiun 😭

  • @khadijatonge3636
    @khadijatonge3636 4 роки тому

    R, l, P

  • @susanraphael5894
    @susanraphael5894 4 роки тому

    imeniuma sana basi tu namshukuru Mungu kwa kila jambo I.R.P OUR lovely fomer president.

  • @bahatimohamadi5904
    @bahatimohamadi5904 4 роки тому +1

    😓😭😭😭😢😢😢innalillah wainna rajioun

  • @dr.kassimumtunguja6978
    @dr.kassimumtunguja6978 4 роки тому +4

    NDANDA high Alumna. Nikiwa kama Mwana Ndanda Nimesikitishwa sana Na kifo cha Mwana Ndanda Mwenzetu His Excellence Benjamin W Mkapa . Mungu Ampumzishe mahala panapostahili 🙏🙏

    • @veeJesus
      @veeJesus 4 роки тому +1

      😭😭😭

  • @bintimohamed2646
    @bintimohamed2646 4 роки тому +1

    Pole Pole sana sana DR Magufuli 🙏🏽😭 May he soul Rest In Peace 😭😭🇹🇿

  • @innocentjoseph805
    @innocentjoseph805 4 роки тому +4

    Mh kwer dunia tuna pita, Mung naomba ni saidie niyashinde ya dunia.

  • @zclassicfashionz
    @zclassicfashionz 4 роки тому

    𝐍𝐢𝐭𝐚𝐦𝐮𝐚𝐜𝐡𝐢𝐚 𝐌𝐔𝐍𝐆𝐔 𝐰𝐚𝐧𝐠𝐮 𝐧𝐚 𝐧𝐲𝐢𝐧𝐲𝐢 𝐤𝐮𝐚𝐦𝐮𝐚 𝐧𝐢 𝐭𝐨𝐟𝐚𝐮𝐭𝐢 𝐠𝐚𝐧𝐢 𝐧𝐢𝐦𝐞𝐢𝐟𝐚𝐧𝐲𝐚 𝐡𝐚𝐩𝐚 𝐝𝐮𝐧𝐢𝐚𝐧𝐢... 𝚗𝚒 𝚖𝚊𝚗𝚎𝚗𝚘 𝚢𝚊𝚔𝚞𝚝𝚒𝚊 𝚑𝚞𝚣𝚞𝚗𝚒 𝚗𝚊 𝚔𝚞𝚔𝚞𝚏𝚊𝚗𝚢𝚊 𝚞𝚓𝚒𝚞𝚕𝚒𝚣𝚎 𝚗𝚊 𝚠𝚎𝚠𝚎 𝚙𝚒𝚊 𝚍𝚊𝚑... 𝑠𝑖𝑠𝑖 𝑤𝑜𝑦𝑒 𝑛𝑖 𝑤𝑎 𝑀𝑈𝑁𝐺𝑈 𝑛𝑎 𝑘𝑤𝑎𝑘𝑒 𝑡𝑢𝑡𝑎𝑟𝑒𝑗𝑒𝑎.

  • @bigtalenttz4477
    @bigtalenttz4477 4 роки тому

    Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi amin tutakukumbuka,,,Jinsi ya ku download PSP games kwenye simu yako ya Android, usisahau ku Subscribe Bonyeza hapa👇
    ua-cam.com/video/8p3eLBEGslo/v-deo.html

  • @avitrujweka2113
    @avitrujweka2113 4 роки тому

    Simulizi nzuri sana Brother Sky, ahsante sana 🙏 #RIPMkapa

  • @mozeszengo7096
    @mozeszengo7096 4 роки тому

    Kimwili hatuko nawe kiroho utabaki kuwa nasi ,, pumzika kwa amani rais wetu wa awamu ya 3..R.I.P BENJAMIN W.MKAPA

  • @rehemashafi4809
    @rehemashafi4809 4 роки тому

    Kweli rais magufuli apo alikuwa na huzuni mkubwa sana pole sana mjomba magu rest in peace mkapa kila nafsi itaonja Umauti 😢😢😢🙏🙏🙏🙏

  • @maryamm7765
    @maryamm7765 4 роки тому +1

    Inalilah wainailah rajiun Mungu amlaze pahala pema

  • @namirihamisi3899
    @namirihamisi3899 4 роки тому +1

    Mungu amlaze mahala.pema

  • @magrethjohn4929
    @magrethjohn4929 4 роки тому +1

    Mungu amrehemu mbele yake nyuma yetu. Amen

  • @ayshazsalim397
    @ayshazsalim397 4 роки тому +2

    Oooh nmeumia sn😢😢

  • @zubedaali4155
    @zubedaali4155 4 роки тому

    Yahani kiufupi katutendea mengi amazing tunakuombea kwamwenyezimungu apuguziwe azabu zakaburi amina

  • @pujimontanapachino4958
    @pujimontanapachino4958 4 роки тому

    Hichi kitabu nitakununua ishaallh kaongea ukweli wote kuhusu life ya tanzania ilivyokua mafisadi walikua wengi sana now naiyona Tanzania mpya yenyekupendeza mbeleni.

  • @dr.kassimumtunguja6978
    @dr.kassimumtunguja6978 4 роки тому +1

    Rest easy Mzee wetu Mkapa.🙏

  • @zuwenakazoka55
    @zuwenakazoka55 4 роки тому

    Ewe mola waviumbe,mpe kauli thabiti Rais wetu baba yetu,Ameeni🙏🏾

  • @saidakessy3175
    @saidakessy3175 4 роки тому +1

    Excellent content🔥

  • @zuricakes6817
    @zuricakes6817 4 роки тому

    RIP Pres. Mkapa. Good job Sky

  • @geeva99
    @geeva99 4 роки тому

    Kumbe wivu na ukuda ni kitambo sana upo tena wa juu hadi kuua mtu!!?

  • @susanruo8087
    @susanruo8087 4 роки тому

    22:15 ...... Taking me back in 2007 huko kwetu Kenya 😭😭😭
    Pumzika kwa amani Mheshimiwa, mbele yake nyuma yetu 🙏🙏

  • @susanruo8087
    @susanruo8087 4 роки тому

    22:15 ...... Taking me back in 2007 huko kwetu Kenya 😭😭😭
    Pumzika kwa amani Mheshimiwa, mbele yake nyuma yetu 🙏🙏

  • @tanzaniaoman6423
    @tanzaniaoman6423 4 роки тому

    Asante nimefurahi kujua historia ya mhe Ben Mkapa NwenyenziMungu amlaze mahala pema peponi Ameen tutamkumbuka daima

  • @elardmadeez3382
    @elardmadeez3382 4 роки тому +1

    REST IN ETERNAL PEACE OUR FORMER PRESIDENT #WILLIUMMKAPA

  • @fzlcomrajabu9514
    @fzlcomrajabu9514 Рік тому

    🙏🙏

  • @renatusmatungwa6800
    @renatusmatungwa6800 4 роки тому

    R.I.P Mkapa

  • @pujimontanapachino4958
    @pujimontanapachino4958 4 роки тому

    Mungu amuwekewe pema peponi mzee mkapa watanzania wote watoto wababa mmoja tuungane pamoja.😭🙏🏾✊🏾✌🏾

  • @zennakailo8106
    @zennakailo8106 4 роки тому +1

    Inauma sana😭😭😭

  • @rossefelix3126
    @rossefelix3126 4 роки тому +1

    SNS hamlali

  • @rayanndizeyes3161
    @rayanndizeyes3161 4 роки тому

    hakika kifo siyo kitu kirahisi kupokeya Rais paka ninapo mutizama natoka na mashozi. pole sana watazania

  • @tobiasichuwa8784
    @tobiasichuwa8784 4 роки тому

    Tutakukumbuka daima tangulia baba safari yetu ni moja tangulia kamanda

  • @kelvin8324
    @kelvin8324 4 роки тому

    Pole kwa watanzania wote.....R.I.P Mr.President🕯🕯

  • @mawiamlabon5814
    @mawiamlabon5814 4 роки тому

    Allaah akulaze mahal pem pepon bd tunakupend nabad tutakukumbuka

  • @fauahamisi1097
    @fauahamisi1097 4 роки тому

    Msiba wa kitaifa watanzania tumeumia sana Pole tanzania pole South tz nguzo yetu tegemeo imedondoka pande za kusin alikua anamaliza migogoro yte kusin .leo itakuaje cc ni wa taabu

  • @WaridawaridaWarida
    @WaridawaridaWarida 4 роки тому

    Pumzika kwa amani hakika tumejifunza mengi kupitia history yako😭

  • @baranmohamedmbashir5299
    @baranmohamedmbashir5299 4 роки тому

    Inalila inalila rajiun pole sana ndungu zote mungu amuake pema penye wema peponi inshallah

  • @stanfordjeremiah8943
    @stanfordjeremiah8943 4 роки тому

    Sky wizzy gentry wizzy!! much respect, you have good voice brother

  • @subrynerysegerow1323
    @subrynerysegerow1323 4 роки тому

    Innalillah wainna ilaih raj'iun pumzika kwa aman historia nzuri sana mwil wote umesisimka dah

  • @richardmajula7488
    @richardmajula7488 4 роки тому +1

    R I p😭😭😭😭😭😭

  • @neemalyamuya1105
    @neemalyamuya1105 4 роки тому

    Raha yamilele umpe ee bwana na mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa Aman . Amina 🙏

  • @zubeirzanzibar6613
    @zubeirzanzibar6613 4 роки тому

    Mungu akuweke unapo sitahili milele

  • @tanzaniaoman6423
    @tanzaniaoman6423 4 роки тому

    Mbele yako nyuma yetu baba😢😢 tutakukumbuka daima

  • @rahmaali4009
    @rahmaali4009 4 роки тому

    Kumbe Rais Wana dhiki had wanakopa

  • @allthings1302
    @allthings1302 4 роки тому +1

    .

  • @ainalemah7783
    @ainalemah7783 4 роки тому

    Mungu ailaze roho mahar pema pepon amen tutakukumbuka daima

  • @francistsii5135
    @francistsii5135 4 роки тому

    Mwanga wa milele umwangazie ee bwana

  • @upendolyanga1973
    @upendolyanga1973 4 роки тому

    Pumzika kwa amani, Mwenyezi Mungu akupokee kwa aman🙏

  • @andulilemwakihabha2048
    @andulilemwakihabha2048 4 роки тому

    Pumzika Kwa Amani Mheshimiwa Mkapa

  • @josephwilliam4352
    @josephwilliam4352 4 роки тому

    Daaah inauma sana asee,Ila ndo hatuna Jinsi ,mwndo ameumaliza imani ameilinda

  • @goodheartmoses1863
    @goodheartmoses1863 4 роки тому

    Roho ya marehem uipoke e bwana

  • @fhhffh6382
    @fhhffh6382 4 роки тому

    My condolences to tanzania n the family. May God gve them peace in this hard tym.#254

  • @jamaryribson3165
    @jamaryribson3165 4 роки тому +1

    R.I.P

  • @angelgaly1696
    @angelgaly1696 4 роки тому +1

    R.I.P

  • @jessydaktari5209
    @jessydaktari5209 4 роки тому

    rest easy babu mpaka mzee wetu,,

  • @maryamhassan7000
    @maryamhassan7000 4 роки тому +1

    😭😭😭😭😭

  • @hassanramadhani2450
    @hassanramadhani2450 4 роки тому

    Inna lillah wainna illah rajiun 😢

  • @gerentinamwainyekule6790
    @gerentinamwainyekule6790 4 роки тому

    Simulizi nzuri

  • @dorisfabian3703
    @dorisfabian3703 4 роки тому

    Maskiniii pumzika kwa amani mzee mkapa..

  • @baranmohamedmbashir5299
    @baranmohamedmbashir5299 4 роки тому

    Kazi ya mungu haina makosa

  • @zainabalramdhan2509
    @zainabalramdhan2509 4 роки тому +1

    😭😭😭😭

  • @justinjoshua1059
    @justinjoshua1059 4 роки тому

    Apumzike kwa amani 😭😭😭

  • @rushurikarashid3018
    @rushurikarashid3018 4 роки тому

    Inna lillah wainnailehy rajioun

  • @WaridawaridaWarida
    @WaridawaridaWarida 4 роки тому +1

    😭😭😭

  • @bihizaclement9868
    @bihizaclement9868 4 роки тому

    Mungu amlaze mahala pema peponi🙏