Oyaa kelvin movie ya penzi la mtoto wa boss nimeipenda xana, shida ni fupi but nilikuwa naomba hata muirefushe hata ikuwe two hours ingekuwa poa xana but nice acting, other wise I am watching in Kenya🙏🙏🙏🙏🙏
Huwenda mtt wa jirani tu wana tumia kucheza Tuu Hapo mtu hawz beba Mimba na kuzaa katika Mchezo Labda wachukue alio na Mimba au alio karibia kujifungua wacheze nae
Hiii movie ni nzuri ila mmeiharibu kwa kukosa connectivity kati ya pande zote tatu movie Ina pande mbili ya benard na Robert but uku kwa mtu na dada ake akuna connection yoyote kingine movie inaisha kienyeji enyeji Yan mnamaliza hatupati funzo lolote wakati movie mwishoni ndio inatakiwa umakini uongezeke ili mtu ajue movie inahusu nn
Kevin, love ss na Denis bongeze sana Kwa kazi nzuri
Mashallah..ka,I nzuri kevi..na Donta tv kwa ujumla,endeleza hiking kipindi tafadhali
Napendanga sana kelvin wakiwa na loveness sana 😢❤
Oyaa kelvin movie ya penzi la mtoto wa boss nimeipenda xana, shida ni fupi but nilikuwa naomba hata muirefushe hata ikuwe two hours ingekuwa poa xana but nice acting, other wise I am watching in Kenya🙏🙏🙏🙏🙏
Una bidi ila haya😅😅
Muendelezo please nimeipenda sanaaa hiii move so Good
Waabie kweli movie nzuri sana ❤❤❤❤🎉🎉🎉
Duuuh mshafika Kenya 🎉🎉🎉❤❤ welcome
Ooh good job 👍
Hicho chumba cha lovenness ni kile chumba cha mdogo wake kelvi kwenye movie ya kabla ya ndoa yangu
Kevin Victoria yupo wap? Nampenda sana victoria
Kazi nzuriii 🎉🎉🎉🎉🎉
Kazi nzuri guys ❤❤❤❤❤
Kaka na lovenesy unatambea na risasy hadi ndani
Kevin huyo mtoto hakufanani 😂😂😂😂
Huwenda mtt wa jirani tu wana tumia kucheza Tuu Hapo mtu hawz beba Mimba na kuzaa katika Mchezo Labda wachukue alio na Mimba au alio karibia kujifungua wacheze nae
Hongera mnajua
Mnaipenda hiyo nyumba
Good job
Kevoo umemchinja viola wa watu bila huruma😢..
Mm ni Sharon kutoka kenya na penda movie ya mtoto wa boss Mm nawapa pongesi sana❤❤❤❤
Tuleteeni pat 2 iih move plz❤❤❤❤nizuri sana
Waaah hii move iko na mafunzo
Napendag loveness na kelv wakicheza movie moja ❤❤❤❤
Mara uyu mke haku stahili Kelvin kwa nini uliaca lonvress wako ?
et huyu mke hajamfaa Kelvin 😂😂😂😂 Jamn Nyie 😂😂😂
Napenda sana movie zenu
Nitamu kila part sijui nawarch gani aache gani🙏🙏🤝next plz
Kevin na loveness nawapenda
Nimwpenda movie yenu Tena sana inamafundisho..
Bu I want that song😊
We Kelvin kama huyu ni mkeo hamuendani handsam ww ni wa mke huyu Haya kk mlijichanganya😮na kakako pole
Haijaisha Au Nyingine
Nece job brother
Thanks for the visit
Kaka huyu mwanamke huendani nae tafyta maji yko
Ndo hivyo unasirikaka Kelvin kweli una asira
Kevin huyo mtoto hakekuwa wako na love ss hikekuwa poa sana
Weh kelvin, uyo n bibi yko qweli??😮
Acha niulize, kelvin uyo unacheza naye anamimba ndio mke wako wanyumbani?.
Mbone iyi mouvie haiweleweki kwa nini japo kuwa Kelvin yuko lonvress yuko na byuki asa kwa nini mouvi iko ivi ?
Uwe na uwalisia hii ni usiku mnasema asubuhi
❤❤🎉🎉❤❤
Hiii movie ni nzuri ila mmeiharibu kwa kukosa connectivity kati ya pande zote tatu movie Ina pande mbili ya benard na Robert but uku kwa mtu na dada ake akuna connection yoyote kingine movie inaisha kienyeji enyeji Yan mnamaliza hatupati funzo lolote wakati movie mwishoni ndio inatakiwa umakini uongezeke ili mtu ajue movie inahusu nn
Kelv hiyo mtoto hakufayi Yuko wapi lovnes
😃
Hapa kqenye hii muvi Kevin make wako ilitakiwa awe Victoria jamani munaendana
Sio kli
❤🎉🎉🎉🎉
😅😅😅😅😅
Sasa hakuna épisode 2
Kam n muvu mmecheza jaman toen harak hark bc
❤❤🎉🎉❤❤❤