MAPENZI NA PESA | FULL MOVIE | Love story 💕 | Inspiration | NYUKI TV | DONTA TV

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 200

  • @GodwinJohnSila
    @GodwinJohnSila Місяць тому +19

    Tamthilia nzuri sana hii mwanzo inaumiza eti tally ndo alivyo au pole khan kelvin❤❤ like 1bc from Kenya 🇰🇪

  • @cynthiatuyisabe4181
    @cynthiatuyisabe4181 29 днів тому +7

    Ni kwl kelvin mi victoria nammiss sana vibaya mno sijui kapotelea wapi

  • @ShamiriNjiku
    @ShamiriNjiku Місяць тому +87

    Vp kuhusu Victoria jamn ,,,walio mmiss Victoria tujuane kwa likes gaiz❤❤

  • @NevinSah
    @NevinSah Місяць тому +8

    Kazi iko fine napenda sana

  • @MwajumaRemi
    @MwajumaRemi Місяць тому +11

    Yani hii movie siielew at kdg wallah khaa!

    • @Mimah866
      @Mimah866 Місяць тому

      😂😂😂movie atari

    • @PhostineWaswa
      @PhostineWaswa Місяць тому

      Inaeleweka vyema sana 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 heko kelvin/ nyuki

  • @YustiniMsigwa-i7p
    @YustiniMsigwa-i7p Місяць тому +2

    Hongeren sana kazi nzur nawapenda bule❤❤❤❤❤❤❤

  • @HarrietrehemaHarrietrehema
    @HarrietrehemaHarrietrehema 24 дні тому +1

    mmh mv ina majonzi😢😢 lakn mungu akupe guvu kvn ❤❤❤❤

  • @PilyAly-ll8fz
    @PilyAly-ll8fz Місяць тому +2

    Uyu tally anajua sana mwanzo alikuwaga kwa divid wa shilingi ni mzanzibar uyu au namfananisha

  • @FaithMageto
    @FaithMageto Місяць тому +5

    Eéee! Denis umehamua kula nyama ya wenyewe❤❤❤❤❤

  • @OmarNzai-i8v
    @OmarNzai-i8v Місяць тому +14

    Kazi nzuri bro..lakin victoria yuwap tumemmiss

    • @GodwinJohnSila
      @GodwinJohnSila Місяць тому +1

      Kweli broo

    • @ZeinabBakar-je4nr
      @ZeinabBakar-je4nr Місяць тому +1

      Viki Yuko wapy

    • @AdelaideZacariasZacarias-hp8gs
      @AdelaideZacariasZacarias-hp8gs Місяць тому +3

      Kelvin ukimuliza swala ya Victoria hajibu sijui Kwa nini

    • @lucyalto7320
      @lucyalto7320 Місяць тому

      Kuna ile story kevi aliongea kuhusu mdada mmoja aliamua kujisimamia mwenyewe akaondoka na wasanii wengi kwenye crew yake nafikiri ni Vicky na alisema kashindwa kuendesha wasanii wakaanza kurudi kwake Tena inshort waligombana ​@@AdelaideZacariasZacarias-hp8gs

    • @Loicemaitha254
      @Loicemaitha254 Місяць тому

      ​@Adel😅😅aideZacariasZacarias-hp8gs

  • @ngusekisu6746
    @ngusekisu6746 8 днів тому

    Kevi na Tally mmeniliza sana Mungu aqabariki toba nikitu cha muhimu kwenye ndoa yyt

  • @NasrahMsiagi
    @NasrahMsiagi 18 днів тому

    Nimependa kazi zenu zenye Mafunzo mazuri
    Yaliyobeba Uhalisia ya maisha yetu
    🎉🎉🎉🎉

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki Місяць тому +2

    Pole sana Kelvin uko kwenye wakati mugumu mapenzi yanauma bala😢

  • @NgariYaa-i6x
    @NgariYaa-i6x Місяць тому +1

    Hii movie haitaboamesha ❤kwa kuwa uchungu yupo. Ntaifuatilia hadi last episode.🎉🎉🎉

  • @ngusekisu6746
    @ngusekisu6746 8 днів тому

    Najisikia kama ni mimi nimepatwa na majanga najisikia vibaya mpk nimelia move nzuri sana imafundisha

  • @MaryamIsmaeel-v3i
    @MaryamIsmaeel-v3i Місяць тому +2

    Hii imeenda❤❤❤❤❤❤

  • @AnithaNahimana
    @AnithaNahimana Місяць тому +5

    Hongera sana🎉

  • @sarahasekile3864
    @sarahasekile3864 Місяць тому +5

    kazi nzuri broo

  • @ZebuuFilm
    @ZebuuFilm Місяць тому +10

    Ya moto 🎉🎉

  • @moreenmethew3156
    @moreenmethew3156 Місяць тому +11

    😂😂😂😂Yani movie ndo kwanza episode ya 1 tunaanza kuwekewa na behind the scene and huyo tally kapoa najua me naamini anajua sana tu zaidi ya hapo

    • @tallytz
      @tallytz Місяць тому

      🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾

    • @jamilashabani8580
      @jamilashabani8580 Місяць тому

      Kaka Malesa Naomba Wimbo Jamn mna Nyimbo Nzuri hamtoi

  • @GerrardNdola
    @GerrardNdola Місяць тому +7

    Uyo mwanamke ahakuigiza sawa sehemu ya kucheza Tina iyo😮😮😮
    Tina akienda anaendag zake tuh😅😅

  • @irankundachartieret658
    @irankundachartieret658 Місяць тому +6

    Tally amecheza vizuli sana wow she’s talented

  • @qutemishy6876
    @qutemishy6876 Місяць тому +5

    I want to see uh fly harder bby girl🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤

    • @tallytz
      @tallytz Місяць тому

      I’m here mama

  • @AsfordMurithii
    @AsfordMurithii Місяць тому

    Kazi nzuri ziwe kuacha kufuatria movie zenu nawakubLi kuliko yeyote afrika mashariki

  • @winniemwaka3202
    @winniemwaka3202 Місяць тому +1

    Tamaa mbaya dadaa pole kelvine

  • @Mrplanfamily
    @Mrplanfamily Місяць тому

    kali sana siku moja Tanzania itajivunia nyinyi Nyuki na Kev ni mnafanya vizuri sana napenda umoja wenu

  • @AghHh-v3f
    @AghHh-v3f Місяць тому

    Hawamarizagi move zawo 😮😮😮mana siyerewi kabisa wanaaza vizuri sana marizayawo shida 🎉🎉🎉

  • @mudizotz1486
    @mudizotz1486 Місяць тому +3

    We are going to win again #teamnyukitv

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m Місяць тому +1

    Iyi filamu ni moto

  • @VeenVv
    @VeenVv Місяць тому +1

    Waona simu kevo anampigia wote wakiwa Kwa nyumba Moja 😮😮

  • @marcelosonhi664
    @marcelosonhi664 Місяць тому

    Keven napenda sana kazi zako mudogo wango, natamani sikumoja nitoke Angola Mpaka Tanzania ile niku fahamu ju ya kazi unafanya.

  • @FaithMageto
    @FaithMageto Місяць тому +5

    Kevin huyo hakufaiii

  • @aishaaisha1485
    @aishaaisha1485 Місяць тому

    Victoria ako api jaman 😢😢😢eee kelvin nyuki braun luvnes tina amina nawauliza Victoria alifikwa na nn ndugu nauliza me shabiki wenu kutoka JOMO KENYATA 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪❤

    • @SienaKililo
      @SienaKililo Місяць тому

      Kelvin.,hata..Mimi..nauliza ...victoria.,oko...wapi...au..alienda...wapi..haki.. nimemumimiss..Sana...from.,kenya 59:19

    • @PhostineWaswa
      @PhostineWaswa Місяць тому

      Sanaa wapi vicky

    • @minnahjuma-uo3cm
      @minnahjuma-uo3cm Місяць тому

      Watu nyie ni wanafki sana 😮

  • @LoveAmisi
    @LoveAmisi Місяць тому +2

    Oya hiyi Nikama yakwangu kisa pesa tunakosa mapenzi ya zati 😢😢mapenzi bwana

  • @McT-m1m
    @McT-m1m Місяць тому +1

    Hongereni

  • @sinemextv
    @sinemextv Місяць тому +2

    Ya motoooo 🎉🎉🎉🎉

  • @NasraIbrahim-dw1hr
    @NasraIbrahim-dw1hr Місяць тому +1

    Tally usiumize kelvin, kaz iko very very ❤❤❤

  • @ShadiaIdrissa-r2f
    @ShadiaIdrissa-r2f Місяць тому +1

    Kaka kazi nzuri🎉

  • @SophiaPaulo-w4i
    @SophiaPaulo-w4i Місяць тому

    Ubarikiwe sana kelv unazd kuelimisha jamii kiukwel

  • @ChristineKesi-k9r
    @ChristineKesi-k9r Місяць тому

    My advce to Donta films,all ur scrpts tend to rotate on the same thng:mapenzi ya pesa,or vice versa,pls change or add more themes n values to ur scrpts,wsh u well,l knw u r stl young in ths field n growing,angalia vitu kama mimi,tandi etc,congs to all

  • @SalamaTaura
    @SalamaTaura Місяць тому

    Kazi nzuri mashaulllh 🎉🎉🎉🎉

  • @AngelLemy
    @AngelLemy 29 днів тому

    Jamani huu wimbo mzur

  • @DioRamadhan-ii5vh
    @DioRamadhan-ii5vh Місяць тому +1

    Kazi imenyoka

  • @Massey-xx8td
    @Massey-xx8td Місяць тому +1

    Kazi nzuri🎉🎉🎉❤❤

  • @zakariakhamis1606
    @zakariakhamis1606 Місяць тому

    Hamubadilishi mazingira munazinguwa ofisi moja kil movie iy iy badilikikeni

    • @QweenNickson
      @QweenNickson Місяць тому

      Wenzako wanakwepa gharama za kulipia Kila office jamani.
      Wako na budget zaoo.

  • @mwenieliasa6517
    @mwenieliasa6517 Місяць тому +6

    Asante Sana mko juu kwa tamthilia nzuri

    • @Nyukitvplus
      @Nyukitvplus  Місяць тому +2

      Tunashukuru

    • @AishaMusa-k2y
      @AishaMusa-k2y Місяць тому +1

      ​ habali naomba nafasi na mimi naitaji niwe pamoja nanyi

    • @nyukiempiretz
      @nyukiempiretz Місяць тому

      Karibu​@@AishaMusa-k2y

    • @RizikiZiki
      @RizikiZiki Місяць тому

      Nyuki ebu tujuze kipi kilomukuta vicky mbona mumetuaca njiapanda​@@Nyukitvplus

  • @NikwisaSimtowe
    @NikwisaSimtowe Місяць тому +2

    Umeona ee kelvin na Love ndo cup yake

  • @ChungweniZinku
    @ChungweniZinku Місяць тому

    Tunaomba move ya neno la mungu kevi

  • @WadnessJoel
    @WadnessJoel Місяць тому

    Mv nzuriiii kelvin hongera kwa kazi nzuriiii

  • @estherwanza6955
    @estherwanza6955 18 днів тому

    Wapi lovenness

  • @ClarahSalama
    @ClarahSalama Місяць тому +1

    Khan viki ako wpi?????😢😢😢😢 ama mulikosana wadau hahahaaa keviiii

  • @MMlin-bd2mi
    @MMlin-bd2mi Місяць тому

    Kelvin wangu nakupenda sana

  • @Mercyline-rv9nd
    @Mercyline-rv9nd Місяць тому +2

    Kelvin penye uko lazma niangalie hiyo movie

  • @TitusMutemi-y4b
    @TitusMutemi-y4b Місяць тому

    Vipi jamani bona Victoria amepotea sana kwenye movie sana imekuwaje..we miss dada Victoria please please

  • @sambambawerawera
    @sambambawerawera Місяць тому

    Mmeimaliza Salam samee Mara sabini mapenzi yaende mbele

  • @VINCENTKIRUI-z9k
    @VINCENTKIRUI-z9k Місяць тому

    Mumemweka wapi victoria jameni tunammiss xna ❤❤

  • @WardaPorojo-x9r
    @WardaPorojo-x9r 28 днів тому

    Ila kelvin unanifurahish iko kikombe unavutia sana nakumbuk kipind nakunywa uji shamban😂😂😂

  • @ngusekisu6746
    @ngusekisu6746 8 днів тому

    Move nzuri sana ingawa imaumiza sana mwanzoni lkn
    Kwanini nyie wanaume sijawaona mkikaa wazi mko mmejisiri vizuri lkn hawa wadada mbn wanakaa uchi kila move why????

  • @MajokaSharoo
    @MajokaSharoo 25 днів тому

    ❤❤❤❤all the best

  • @DorcasNasimiyu-g4e
    @DorcasNasimiyu-g4e Місяць тому

    Napenda kazi zako kelvin🎉🎉

    • @MuniraKhamis-f2s
      @MuniraKhamis-f2s Місяць тому +1

      Penzi lime mpiga ndomana yuko juu kwenye tamthilia kuhusu map

  • @FaithMageto
    @FaithMageto Місяць тому +3

    Kevin tafuta love es

  • @ClaudeTuungane
    @ClaudeTuungane Місяць тому

    Kk Kelvin tafuta loveness wengine wata ku sumbuwa,

    • @olicej7837
      @olicej7837 Місяць тому

      Na kweli huyo ndiyo couple yake😂😂

  • @PeterMutie-cq9px
    @PeterMutie-cq9px Місяць тому

    Am watching from sultan hamud county in Zambia 🎉❤

  • @hoseanguvumojamiboki4827
    @hoseanguvumojamiboki4827 Місяць тому

    Kwakweli maisha bila pesa ni ngumu😅❤❤❤

  • @SalomeKawogo
    @SalomeKawogo Місяць тому +3

    ila nyuki mbn ndoa ya kahaba hamkuimalizia

  • @GraceMathew-i5d
    @GraceMathew-i5d Місяць тому

    ❤❤❤❤❤kwa vick tumekumis

  • @shedy-n6s
    @shedy-n6s 3 дні тому

    Victoria na brown wameenda india kwani embu mtuambie sisi ndio mashabiki tuna budi ya kuulizia mabos wetu

  • @mcplutomanase7557
    @mcplutomanase7557 Місяць тому +1

    Kazi imekamata aisee💪🏽💪🏽🫡

  • @AlondaKiza-kj7yt
    @AlondaKiza-kj7yt Місяць тому

    Kelvin mbona Victoria ahonekane kwenye movie zenu Alisha olewa majukumu ya ndio ni mengi from Congo Kinshasa

  • @nestoryMathew-l4s
    @nestoryMathew-l4s Місяць тому

    Kevin anapendeza akiwa love

  • @BurhanMwanangombe
    @BurhanMwanangombe 26 днів тому

    Nikweli Victoria mda atumuoni kapotelea wapi jaman

  • @moizjohnston3841
    @moizjohnston3841 Місяць тому

    Mmmmh hakuna kitu hapa

  • @NikwisaSimtowe
    @NikwisaSimtowe Місяць тому +1

    Cup ya kelvin na Tally hata hainogi

  • @MakhatumiTanzilu
    @MakhatumiTanzilu Місяць тому

    keleve akiwemo potye kwenye muv lazima inongye haifeli hiyo huyo nimkali wao

  • @nasrijuma5894
    @nasrijuma5894 Місяць тому

    Kazi nzuri hongera bro

  • @dadatanzania
    @dadatanzania Місяць тому

    😂😂😂 uyo dada ata ajui anacho fanya

  • @JastFinancial02
    @JastFinancial02 Місяць тому +1

    Wangapi wako tayali kumsapot nyuki

  • @sambambawerawera
    @sambambawerawera Місяць тому

    Keviny auna ela lakini unakodi nyumba nzuri ivyo

  • @ZamdaIshara
    @ZamdaIshara Місяць тому

    Movi ahiyeleweki jmn

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m Місяць тому

    Tally anajua kuigiza kwa kweli

  • @ZeinabBakar-je4nr
    @ZeinabBakar-je4nr Місяць тому

    Kelvn hivi hutusikii twaulizia Victoria tujibu basi Yuko wapy

  • @JadenMukali
    @JadenMukali Місяць тому

    Mimi ni chabiki wa dota TV munge pika héla Mimi nishabiki wa dota TV

  • @AllianceIrankunda
    @AllianceIrankunda 21 день тому

    Tuna mu missy kweli

  • @RukiaShomary
    @RukiaShomary Місяць тому +1

    Viki Yuko wapi jamani kelvini

  • @ClarahSalama
    @ClarahSalama Місяць тому

    Mbne hii movie imejaa flash back nying mno adi sielewi ata

  • @JuliusJembelayexu-dh5mm
    @JuliusJembelayexu-dh5mm Місяць тому

    Nice movi

  • @JacintaMaloba
    @JacintaMaloba Місяць тому

    Victoria, Nelly,shanizer,james walienda wapi jamanii 😢😢😢

  • @BrentA-z4z
    @BrentA-z4z Місяць тому

    Victoria uko jamani kelvin kakufanyaje jamani nakumiss

  • @IptysamRashid
    @IptysamRashid Місяць тому

    Kelvin tafadhali naomba muendelezo wa baba kijacho

  • @MinaniTharcisse
    @MinaniTharcisse Місяць тому

    Msanii aliyeimba huwo wimbo wa background mbona ni yule alieimba wimbo wa pi network ? Mnijulishe jina lake🎉🎉🎉🎉

  • @priscahmahenzo642
    @priscahmahenzo642 Місяць тому

    𝐊𝐞𝐥𝐯𝐧 𝐮𝐤𝐨 𝐡𝐤𝐮😅😅😅𝐩𝐢𝐚 𝐡𝐨𝐧𝐠𝐞𝐫𝐚❤❤❤❤

  • @NeemaMbuji-i7s
    @NeemaMbuji-i7s Місяць тому

    Jamn Victoria yupo wapi nimemic cn kulia2 kwake

  • @ChristopheMufariji-kh3kq
    @ChristopheMufariji-kh3kq Місяць тому

    Kelvini una pendeza ukiwa mume fanyiwa wakosa

  • @JumaKavula
    @JumaKavula Місяць тому

    Kaka kelvin vp kuhusu victoria mbna hatumuon saiv.

  • @GraceNgaiza-m2m
    @GraceNgaiza-m2m Місяць тому

    jamon kelvin mbn victoria hatumuoni nammis mm super woman

  • @NathanAkimana
    @NathanAkimana Місяць тому +1

    We kelvin si upo jela😂😂😂

    • @elizabethakiru3043
      @elizabethakiru3043 Місяць тому +1

      Jela Ni Kwa mtoto wa boss 😂😂😂

    • @NathanAkimana
      @NathanAkimana Місяць тому +1

      @elizabethakiru3043 Natania tu dada najua najua kwamba ni movie mbili tofauti

    • @elizabethakiru3043
      @elizabethakiru3043 Місяць тому +2

      ​@@NathanAkimanayea😂😂😂 Na alihepa Kwa penzi hasara

  • @shaidashivan3071
    @shaidashivan3071 Місяць тому

    Nyuki nakupenda sana naomba namba yako😢

  • @SophiyaRamazani
    @SophiyaRamazani Місяць тому

    Iko poa lkn Viktoria yupo wapi tunauliza

  • @SophiaJoseph-n4o
    @SophiaJoseph-n4o Місяць тому

    Tuseme kelvin hatusikii tunamuulizia Victoria

  • @helinasubila987
    @helinasubila987 Місяць тому

    Hapa tina akigia usaliti tu roho baya