BUTIKU AKEMEA WANACCM KUCHANGISHA FEDHA ZA FOMU YA RAIS."RUSHWA IMEKUWA NDIO MAISHA YA WATANZANIA"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 чер 2024
  • #JAMBOTV
    ...........
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►UA-cam: / @jambotv908
    ►INSTAGRAM: / jambotv
    ►TWITTER: / jambotv_
    ►FACEBOOK: / jambotv
    ►WEBSITE: jambo.tz/

КОМЕНТАРІ • 26

  • @Sr.BasilisaPanga
    @Sr.BasilisaPanga Місяць тому +1

    Hongera Mzee Butiku. Mungu atusaidie.

  • @rosetreffert4179
    @rosetreffert4179 Місяць тому +1

    Asante mzee butiku Tanzania imeharibika sanaa 😢😢

  • @husseinmkanga7794
    @husseinmkanga7794 Місяць тому +2

    Mzee Mama yumo kwenye rushwa.

  • @stevenmabungi3245
    @stevenmabungi3245 26 днів тому

    Nimekuelewa baba Mzee Matiku

  • @rosetreffert4179
    @rosetreffert4179 Місяць тому +2

    Rushwa Rushwa kila mahali hata rais

  • @GodfreyOsward
    @GodfreyOsward Місяць тому +1

    Raia tumeiga kwa watawala. Yesu alisema mwivi akija nyumbani, umshika kwanza mwenye nguvu. Rushwa imeshika CCM

  • @SundaySteven-bz4yq
    @SundaySteven-bz4yq Місяць тому +1

    Na awamu hii Kwa mauvu ya ccm rushwa itatembea kama takukuru wapo wanasema nini wakati wa uchaguzi wanawekwa mifukoni

  • @francisjohanes3027
    @francisjohanes3027 25 днів тому

    Why Mzee Butiko and not Wasira

  • @sebastianmwantuge5597
    @sebastianmwantuge5597 Місяць тому +1

    Wanapiga makofi lakini wamejaa rushwa.
    Wanamchangia fedha Rais ili kujipendekeza wapate teuzi

  • @user-tg7vq3ty8p
    @user-tg7vq3ty8p 24 дні тому

    Inasikitisha

  • @1961nungwi
    @1961nungwi 29 днів тому

    Kijana unasema uzalendo umepungua sana, kwamba uko chini sana. Fanyeni utafiti, comparative analysis ya Nchi zenye uzalendo wa juu na hii yetu yenye uzalendo wa Chini. Ili kuona tofauti ni zipi?

  • @rosetreffert4179
    @rosetreffert4179 Місяць тому +1

    Machawa wengi saanaaa 😢

  • @user-tg7vq3ty8p
    @user-tg7vq3ty8p 24 дні тому

    Wengi hawajui historia ya Mzee Butiku. Tuisome ili tuijue hiyo historia na pia tumjue huyu Mzee Butiku.

  • @evelina9621
    @evelina9621 29 днів тому

    Wasirudishi.pesa

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 Місяць тому +1

    Chawa wamekutana

  • @adenmwakalobo760
    @adenmwakalobo760 Місяць тому

    Rais anayegawa pikipiki kila mkoa hivi sasa, anagawa rushwa ili achaguliwe ktk uchaguzi ujao! Lakini kwa katiba iliyopo hakuna anayeweza hata kumuuliza SSH kuhusu hilo; badala yake wanaokemea rushwa hawatateuliwa na huenda wakakamatwa na kuzushiwa kesi na kufungwa jela kama ndio wakosaji! Mzee Butiku kabaki pekee yake kule ccm, wengineo wote walaji na hakuna tiba mbadala bali katiba mpya inayorudisha mamlaka kwa wananchi (umma).

  • @amosmangura
    @amosmangura 29 днів тому

    Mzee mnazunguka mno wazi sema ccm imepoteza sera ya chama jembe na nyundo

  • @GodfreyOsward
    @GodfreyOsward Місяць тому

    Kaya, shuleni na nyumba za Ibada mzee. Ndizo sehemu muhimu. Sehemu hizo zinaweza kupunguza tatizo .

  • @jumamagoma1743
    @jumamagoma1743 27 днів тому

    Ccm.imefika.mwisho

  • @bongo39
    @bongo39 29 днів тому

    Wewe babu mbona fitna mbona nyerere alivyochukua nyumba za wahindi ulikaa kimya unaona ni haki alioifanya au kwa sababu na wewe ulifaidika na dhulma hiyo

  • @FrankMwakatundu-cu6bd
    @FrankMwakatundu-cu6bd Місяць тому

    MZEE BUTIKU POLE SANA MZEE MZIMA UNAJIDHALILISHA SANA!!! KWELI NJAA MBAYA!!!! ONGEA YAKO NI DHAHIRI UNAPINGA KATIBA MPYA NA TUME HURU YA UCHAGPUZI, UNAZEEKA VIBAYAND!!!I

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 27 днів тому

    Butiku, wazee wetu mnaona mbali...... Hatuchagui viongozi bali tunanunua uongozi

  • @emanuelsinyinza
    @emanuelsinyinza 29 днів тому

    Wote hawo ni wajinga mzee butiku chama chetu kimekufa kinanuka. Hakuna uzarendo wezi wote wananuka ccm,

  • @user-ef2ln1mx3s
    @user-ef2ln1mx3s 23 дні тому

    Kwami nyumba za waindi nyerere alijimilikisha nyummba muindi mpaka anajengewa na jeshi uyo kiongozi mwalim nyerere ni mzalendo wa kweli