🅻🅸🆅🅴 LISSU, MSIGWA NA MWANAMAPINDUZI WANAUWASHA MOTO SINGIDA MJINI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 чер 2024
  • #JAMBOTV
    ...........
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►UA-cam: / @jambotv908
    ►INSTAGRAM: / jambotv
    ►TWITTER: / jambotv_
    ►FACEBOOK: / jambotv
    ►WEBSITE: jambo.tz/

КОМЕНТАРІ • 63

  • @adorchmassimba4413
    @adorchmassimba4413 Місяць тому +10

    Daa! Kama kweli serekali mnayafanya haya si,sawa mwenyezi Mungu anawaona mnavyowaumiza wananchi maskini ipo siku Mungu atakuja kuwahukumu na vizazi vyenu ktk Jina la Yesu Amin

  • @kamalabuberwa2001
    @kamalabuberwa2001 Місяць тому +3

    We need our Tanganyika, wazanzibar wanatuuza. Tanganyika open your eyes our grandkids will judge us. It is shame

  • @mgungulem3187
    @mgungulem3187 Місяць тому +4

    Mkurugenzi singida mini kaufyata Mimi nipo hapa pangechimbika.

  • @HajiriMwasomola715
    @HajiriMwasomola715 Місяць тому +2

    Happy birthday Mchungaji Msigwa🎉❤

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 Місяць тому +6

    HAPPY BIRTHDAY MCHUNGA MSIGWA MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU UTUPIGANIE NA KUTUELE.MISHA

  • @BonaBonala-bp5qm
    @BonaBonala-bp5qm Місяць тому

    Mungu anakutumia vyema Askofu mapinduzi siasa sio zambi kuchanganywa na dini siasa ni maisha na dini ni maisha

  • @HenryKasaje-on4xq
    @HenryKasaje-on4xq Місяць тому +1

    Safi sana Msigwa ila nilitaka nishangae ulivoshitaki kuanguka nyasa wewe jembe tunakupenda bado utapa cheo kingine wewe kamanda

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 Місяць тому +2

    LA SIVYO MSIAPIE KWA QRWAAN AU BIBILIA 👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼

  • @harunamtiko117
    @harunamtiko117 Місяць тому

    Nakukubali mzee, piga kazi haki ipatikane ❤

  • @OmanOman-dn6dj
    @OmanOman-dn6dj Місяць тому +1

    Tumbo la lisu kama mimba ya chura..kiboko sijui😂😂

  • @joshuandabazaniye7642
    @joshuandabazaniye7642 Місяць тому +1

    NIMEKUELEWA

  • @OmanOman-dn6dj
    @OmanOman-dn6dj Місяць тому +1

    Watu wa Singida Sura zimechoka na shida

  • @phillipmasungwa7365
    @phillipmasungwa7365 Місяць тому +1

    PAMOJA SANA LISSU.

  • @bukurunestory3540
    @bukurunestory3540 Місяць тому +1

    Mungu awabariki sana Wapigania haki

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf Місяць тому +2

    MSIGWA KAPAKWA MAFUTA NJE YA CHUPA CHEZEA VIONGOZO WA JUUUU CHADEMA WEWEEE ! . . . 🤣🤣🤣

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward Місяць тому

      Hawazi wote kuwa viongozi, alichokilalamikia msigwa. Ni kansa ya taifa letu. Lakini historia ya ANC ya South. Kuna viongozi ambao wamo kwenye historia, hawajawai kushika wadhifa wowote. Ila walichangia kuangusha utawala wa kibaguzi

  • @mohamedkashindi7689
    @mohamedkashindi7689 Місяць тому

    Chadema kwakweli inavichwa kweli kweli

  • @evelina9621
    @evelina9621 Місяць тому

    Mageuzi.sasa

  • @joshuandabazaniye7642
    @joshuandabazaniye7642 Місяць тому

    happy birthday to you

  • @AmiraloSui-nk2cp
    @AmiraloSui-nk2cp Місяць тому

    Wapen makavu mpaka waelewe hao maccm

  • @falakangesa5886
    @falakangesa5886 Місяць тому

    Kidamali oyeee

  • @jimmymnuano7165
    @jimmymnuano7165 28 днів тому

    Nl kweli kufuatana na kauli yako nimekubali ni bora kumfathili mbwa bina andamu hana fathira Daaa Tundu Lissu si ulikuwa unamsifia mama Samua Suluh Hassan kwa kuja kwake Huspiali Nairobi leo ameshakuwa mbaya kweli

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 Місяць тому

    KAHONGE WANAOHONGEKA!""SHENZIWEWE 😅😅😅😅😅

  • @YonaHugo
    @YonaHugo Місяць тому

    Haki itendeke

  • @evelina9621
    @evelina9621 Місяць тому

    Ccm.imezeeka

  • @evelina9621
    @evelina9621 Місяць тому

    Wewe.ndio.huna.hoja.ati.lisu.kama.nn.mogope.mungu.waliomfanya.hivyo.adhamu.ipo.inawangoja.eendelea.kutukana

  • @khatibal-zinjibari6956
    @khatibal-zinjibari6956 Місяць тому

    NEMBO YA CHAMA CHA
    MAPINDUZI
    Hata nembo ya Bendera ya Chama Cha Mapinduzi ni silaha mbili zenye umbo kama---------?

  • @rubenmbokwa
    @rubenmbokwa Місяць тому

    Hoja hio kwa rais wetu ajae

  • @wilsonmasolele428
    @wilsonmasolele428 Місяць тому

    Naona wazee wanachukua taarifa hapo kwa maandishi

  • @diegoshanga8184
    @diegoshanga8184 Місяць тому

    Wapi mkurugenz!!

  • @rogathesarwatt
    @rogathesarwatt Місяць тому

    Na bado wanasema Tuwaombee wezi wa malinya umma

  • @bekabakari7394
    @bekabakari7394 Місяць тому

    Wangojeni waumini kanisani
    Waje waungame sio kwenye siasa

  • @petermogha7025
    @petermogha7025 Місяць тому

    Mchungaji

  • @kalphoncemayala5000
    @kalphoncemayala5000 Місяць тому

    😂😊

  • @YusufSwaibu
    @YusufSwaibu Місяць тому

    Mm nawaona kama waganga njaa km siasa Ni maneno km hayo namm na anzisha chama changu nipate fuzuku maana sera Hakuna mnabwabwanya

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 Місяць тому

      We chawa wa ccm hujui hata kuandika unasema fuzuku badala ya ruzuku

    • @lazarojuma5958
      @lazarojuma5958 Місяць тому

      Ww fala wa ccm shule nishida afu unatetea hata kuandika shida wahovyo kweli

    • @allonjoseph5467
      @allonjoseph5467 Місяць тому

      ww jamaa fara kwel unasema hakuna sera kwa maana hiyo ww husikii kinacho semwa hapo nabado ccm mtajuta siku inakuja

    • @swedystar7970
      @swedystar7970 Місяць тому

      Kalimee wewe kichwa majii usihelewa kinachohendelee ivo kalime mbuzii wew wama yahii 🖕🖕🖕

    • @user-ef2ln1mx3s
      @user-ef2ln1mx3s Місяць тому

      Ukimbezs lissu na wenzake utakua mjinga na mpimbavu kwani kwako erimu sio muhimu wewe ni nimufu uliisha kufa kitambo

  • @user-nk6ky7ru3u
    @user-nk6ky7ru3u Місяць тому

    Ongea kinyiramba na Kinyaturu punguza Mdomo kwa ulopokajikuna siku utawauzi wasikilizaji utatembelea Magoti maana umeshindwa kulima yaani nyinyi mpate nchi ni NDOTO za mchana ila mnatafuta RUZUKU inatakiwa ifutwe hiyo inaleta uzembe watu hawalimi kusingizia eti ni wanasiasa

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward Місяць тому

      Ruzuki ilifutwa vyama vya siasa vinakufa. Mzee mwinyi alisema kuna mchwa unabungua. Unaona nguzo imesimama kumbe imebunguliwa. Yesu alisema yule anayedhani kasimama na ajiangalie asianguke. Vyama vitakufa.

  • @OmanOman-dn6dj
    @OmanOman-dn6dj Місяць тому +1

    Hivi Hawa Watu wanaomsikiliza Lisu huwa hawana kazi za kufanya??

    • @Brunn-mh2bq
      @Brunn-mh2bq Місяць тому +1

      Wewe uliyemsikiliza hata ukatoa hii comment huna kazi?

    • @michaelkwatlema2124
      @michaelkwatlema2124 Місяць тому +1

      Wewe mwenyewe huna akili uliekuja kusikiliza UA-cam tofauti yako na wao nn

    • @matiredms917
      @matiredms917 Місяць тому

      Wanaomsikiliza Tundu Lissu wana njaa ya HAKI na hawataki DHULUMA za CCM na SAMIA asiyetaka suluhu ya kupigania rasilimali za Tanganyika.

    • @EmmanuelKuzenza
      @EmmanuelKuzenza Місяць тому

      Ndiyo hawana kazi zakufanya maana walikuwa wafanyakazi wa bandari Sasa wamefukuzwa na kupewa Waarabu. Hivyo heri wakamsikilize anayewatetea.

    • @philemonsnyanda9450
      @philemonsnyanda9450 Місяць тому

      Jitahidi kuwazuia basi kama uwezo unao

  • @OmanOman-dn6dj
    @OmanOman-dn6dj Місяць тому

    CCM OYEEEE

    • @wanainchitvrdc6705
      @wanainchitvrdc6705 Місяць тому

      Ukiwa punbavu lazima uwe CCM

    • @pauljulius1662
      @pauljulius1662 Місяць тому

      Samia anapenda kukopa sana
      Angekubali kubadili katiba mwakani ndio ingekuwa mwisho wa ccm tanzania

  • @evelina9621
    @evelina9621 Місяць тому

    Wakolon.wafunga.vilago.wakaenda.mama.anawarudisha. nani.kati.nyerere.samia.mazuri.wakoloni.mambo.leo

  • @jumanneselemani2172
    @jumanneselemani2172 Місяць тому

    TULISHINDWA KUENDESHA VIWANDA BORA TUBINAFSISHE

  • @evelina9621
    @evelina9621 Місяць тому

    Tu.mechokaccm