Rais anafanya kazi ambazo alishateua watu wa kusaidia mimi nadhani baada ya kutatua hizo changamoto za wananchi awasimamishe kazi maana kazi zao anazifanya mwenyewe
Kwa kweli ipo kazi.....hili Jambo zito kiasi hiki ukachukulia kawaida kiasi hiki,kweli?ulipaswa ufanye maamzi yako kwa msimamo ule wa kwako wa zamani,ungechukua hata simu ya huyu mama,au ungemwamru mkuu wa mkoa kuhakikisha hawa akina mama wanapata haki. Uamzi wako leo ni Kama vile unaogopa viongozi uliowateua kwa maumivu ya hawa akina mama.
Subhannallah hivi hawa viongozi waliochaguliwa kazi yao hasa ni nini maana sioni wanachokifanya kwa wananchi kazi zote anafanya Rais mkifukuzwa kazi mnaanza kuona kama mmeonewa kumbe uzembe wenu wenyewe mjitahidi kutatua matatizo ya wananchi mnamchosha Rais ana majukumu makubwa yanamkabili
I am an italian man. I studied Magufuli, a politician I discovered and appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. Magufuli will forever remain a political example of integrity for all. I agree about Magulification of Africa!
Iyi ni aibu kubwa kuona rais ndie anakata jika kesi yani inch nzima rushwa na uwizi umearibu akili za watu .maofusa wa vyeo vya juu ndo wanawagandamiza watu wa chini .naumia sana Afrika shida
Kwalakini mimi sio mtanzania sasa nalia sana kwa rais wangu magufuli machozi aishe bado, simu yangu nilinunua ju yakumfata rais wangu tu, sasa ametuacha tamfata nani kwenie simu langu?
Yani viongozi mliochaguliwa na rais sijuwi wanafanya kazi gani mbona mnamchosha Rais wetu baada apambane na umasikini elimu maji kilimo ajira miundombinu lakini anashugulikia kesi ambazo ni ngazi ya chini yani yupo pekeyake Rais viongozi wako wengi wanashindwa kuwasikiliza waananchi wa hari chini ndiyo maana wanakuja kwako
Mungu Amlinde Rais Magufuli Ampe Afya njema yeye na familia yake.....kazi Anayo kubwa sana yakutetea Wanyonge.pole sana Mzee Wangu.
Baba wa wanyonge mtetezi wa wanyonge nitakukumbuka sana 😭😭😭😭😭
Tutakukumbuka mpaka mwisho wa maisha yetu yote
Kweli ni mateso makubwa kuwa rais. Ila tunakuombea Mungu akubariki sana na akutangulie
Mateso kwa sababu walio ngazi za chini hawawajibiki
RIP HE JPM. Will Africa ever get such a leader really? Rip Baba. I know you've gone right to our father in Heaven. Rip
Uko wapi sasa nani atawatetea hawa watu 😭😭😭😭eeeh Mungu najua ni mapenzi yako timiza mahtaji ya watanzania😭😭😭😭
Hivi vitu ilibidi vimalizwe na viongozi wa chini ila daah mnachuna hadi Rais aje na asingekuja haki ya mama ingekuwa imepotea hivyo
Mungu mbariki rais wangu mungu akulaze mahari pema peponi amina
Pole Sana rais wetu kwa yote Mungu kakuamini
Mungu akulinde sana tena sana raisi wangu magufuli nakupenda sana mungu akubariki
💔💔💔💔😭😭
Rais anafanya kazi ambazo alishateua watu wa kusaidia mimi nadhani baada ya kutatua hizo changamoto za wananchi awasimamishe kazi maana kazi zao anazifanya mwenyewe
Rest In peace Rais John Pombe Maguful 🙏
Rais wetuhuyu kweli mungu amlinde
Zanzibar leo
Aiseee rais pole kwakazi uliyonayo m/mungu akusaidie
Sana aisee dah
Kwa kweli ipo kazi.....hili Jambo zito kiasi hiki ukachukulia kawaida kiasi hiki,kweli?ulipaswa ufanye maamzi yako kwa msimamo ule wa kwako wa zamani,ungechukua hata simu ya huyu mama,au ungemwamru mkuu wa mkoa kuhakikisha hawa akina mama wanapata haki.
Uamzi wako leo ni Kama vile unaogopa viongozi uliowateua kwa maumivu ya hawa akina mama.
Daaaa baba maghu kazi unayooi poleeee Sana baba
PGA kaz
💔💔💔💔😢😢😢
King Of Africa, keep up
Subhannallah hivi hawa viongozi waliochaguliwa kazi yao hasa ni nini maana sioni wanachokifanya kwa wananchi kazi zote anafanya Rais mkifukuzwa kazi mnaanza kuona kama mmeonewa kumbe uzembe wenu wenyewe mjitahidi kutatua matatizo ya wananchi mnamchosha Rais ana majukumu makubwa yanamkabili
💔💔💔💔😭
Huyo mkuu wa mkoa hafai ana kauri ambayo haipendezi
Magufuli MH unasaidia sana uongo zambi mimi ombi langu Mungu akulinde tuu
Kizuri akidumu 💔💔💔😭😭
Tafakari maneno yako kwa dhairi. Uongo zambi ni nini?
Tutampata wapi Tena raisi kama huyu 😭😭😭
Waah pole jirani
Magufuli Allah akusaidie
Mtete kaondoka walai mtalilia nani sasa mlilie mungu tu watanzania rip magufuli
I am an italian man. I studied Magufuli, a politician I discovered and appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. Magufuli will forever remain a political example of integrity for all. I agree about Magulification of Africa!
Shida Wananchi wanapenda Kuongea kwa Rais
.......hao hawakumfikia Mkuu wa Mkoa. Lakini Rc yuko busy lazima uwe mvumilivu kidogo bila kukata tamaa.
Pigo kubwa Sanaa wa tz tumepata
poleni
Half king solomon 🙌🙌🙌 😢😢 r.i.p
Kweli sisani kama tutawai mbaka kama yeye
Raisi wa wanyonge Kuna makuzi yanabisha
Apunzike kwa amani
Duniani Ukitenda haki watu hawatakupenda
Pumzika kwa amani Baba wewe utabaki kuwa Rais wa Mioyo ya Watanzania
Daima tutakukumbuka na hasa cc wanyonge
Wanyonge ndo tumeumia kifo chako
Iyi ni aibu kubwa kuona rais ndie anakata jika kesi yani inch nzima rushwa na uwizi umearibu akili za watu .maofusa wa vyeo vya juu ndo wanawagandamiza watu wa chini .naumia sana Afrika shida
Rip mon Dieu pourquoi cet homme est partir sitôt vous étiez magnifique papa John makufuli je vous aimez beaucoup
shabani majanga na abdulli 😀😀
Harari
Rip
Lala salama magufuli
Eeeh Mungu wa mbiguni mpe amani na furaha ya milele huyu baba
Kwalakini mimi sio mtanzania sasa nalia sana kwa rais wangu magufuli machozi aishe bado, simu yangu nilinunua ju yakumfata rais wangu tu, sasa ametuacha tamfata nani kwenie simu langu?
😭😭😭😭
@@kaicy165 am still crying .
Pole chimwandu
@@lindaemily981 how are you linda.
@@emmanuelchimwandu4247 I'm good Emmanuel
R.I.P JPM
Music
Yaani wewe baba unejua kutumiza
Wamama wanachekesha Hawa
😂😂😂😂😂huy sio mama ang
Mmmmh maskini
Yani viongozi mliochaguliwa na rais sijuwi wanafanya kazi gani mbona mnamchosha Rais wetu baada apambane na umasikini elimu maji kilimo ajira miundombinu lakini anashugulikia kesi ambazo ni ngazi ya chini yani yupo pekeyake Rais viongozi wako wengi wanashindwa kuwasikiliza waananchi wa hari chini ndiyo maana wanakuja kwako
Kiongozi mwema mungu akujalie maisha mema mtetezi wetu
Heeeee polee
Half king solomon 🙌🙌🙌 😢😢 r.i.p