Hawa viongozi wa serikali (Waziri wa ujenzi, wa fedha na wengine) wanavyocheza na maneno haya kiasi cha kushindwa kueleweka kwa hoja zao kwa urahisi ni ishara ya uwepo wa rushwa, ufisadi na wizi wa fedha za umma, hilo halina ubishi. Tujiongeze na tusiburuzwe tu na hii serikali ya ajabu
Sisi wananchi waziri hatujamwelewa Jamani kwanini imefika Manali Spicker amwambie atafute njia mbadala iliafunike pale aliandika mwenyewe? Hii kitu inauma maana hata tusioenda shule tunagundua k unashida
Ndiyo maana barabara hazina viwango mimi ni oparetor wa grader tunaibiwa tu hapo hakuna mwandisi hapo kamateni hao wezi sana hata ukaguzi hawakanguwi hakuna mkataba wa hivyo
waziri wa fedha na Ujenzi wanafirisi Taifa,, ukiangalia kinachoendelea mabarabarani anashinda Derava wa Gereda bila Msimamizi, kabla barabara hazijanza kutumika vilaka
Big star mwigulu,hapo tunapigwa wazi wazi,kwani hakuna mwingne wakummbadili huyu,mbona kila wakat majib yake uwa mepesi?au ndio mishahara ya wachezaji inatoka huk?
Mwugulu huyo Wacha apige pesa zake huyu jamaaa ndio anatuangusha sana kwenye hii wizara ya fedha akiulizwa swali hajibu kabisa inavyotakiwa anavunga vunga tu
❤😂Bunge Letu Pendwa Ssfi Sana!
Asiwapeleke peleke!
Halima has always been intelligent
Safi sana😂😂 abananishwe huyo Mwigulu
😂😂 nchemba kashawapiga tena 😂😂. Technical issues,, Trab Trait 😅
Mimi kwa elimu yangu naona Mh Halima Mdee ana hoja. Huyo Prof wa uchumi anatuchanganya. Wakati umefika kuwa na Waziri makini.
Mhe Mpina alihoji suala hili mapema kabisa lakini Mhe Mbarawa ilimjibu kwa kejeli kwamba Mpina Hana uzoefu na mambo haya.
mnatoa mandate ili muibe mwigulu jiuzulu bhana bora wizara hii apewe halima
Ahsante sanaaa Dada Halima na Dada Tulia,ukweli umetulia kama jinalako , ukweli Hilo jambo linaukakasi NAWAOMBENI MTUSAIDIE WANANCHI KODIZETU ILIITUMIKE IPASAVYOO🤝🇹🇿.
spika tulia hapo wananchi kwa unyonge wetu tunakuelewa walau.
kubadilisha maneno si kubadilisha dhamira dahaaa!!! ama kweli!;
Kuna siri gani kwenye masuala ya fedha😂😂😂
kwakweli mwigulu siyo kabisaaa
Ukiona mkubwa anakosa majibu ujifkirie sana kuna siri nzito 😂😂
Hiyo ndiyo athari ya Bunge lisilotekelezewa maazimio yake huko serikalini.
Kwa nini mkope??? Nijibuni, tuna rasirimali nyingi ila akili hatuna mafatuma sisi, mbwa sisi kabisa
Mwiguru ni mtoto wa pekee wa waramba asali wa nchi hii Halima wanakuona kama zeze tu na usaliti wako
Ngoja nikae kwnz kwa utulivu kumbe pazur awamu hii 😂😂😂😂
Kwa nini mnawahi kupigamakofi kabla hoja haijaeleweka???? Acheni ushabiki. Tumewatuma kazi.
Kuna baadh ya wabunge ni wajinga ndo maana wanapiga piga makof hata hayatetei yameenda kukaa tu bungeni
🚶🏼♂️🏃🏼♂️🚶🏼♂️🚶🏼♂️🏃🏼♂️🚶🏼♂️🏃🏼♂️🚶🏼♂️
Hawa viongozi wa serikali (Waziri wa ujenzi, wa fedha na wengine) wanavyocheza na maneno haya kiasi cha kushindwa kueleweka kwa hoja zao kwa urahisi ni ishara ya uwepo wa rushwa, ufisadi na wizi wa fedha za umma, hilo halina ubishi. Tujiongeze na tusiburuzwe tu na hii serikali ya ajabu
Hapa mnatuchanganya Waziri hajaeleweka
Kabisa
Spika naye wale wale tu, funika kombe mwana haramu apite.
waziri mwigulu anaibomoa nchi ninyi wabunge msipo angalia kwa ushabiki taifa hili litatesa vizazi vijavyo ,na laana hii iwe mikononi mwenu.
Safi sana
Kuna muda ccm kuna wabunge wa hovyo sana spika anaongea hoja nzito waziri anatoa majibu mepesi wanampigia makofi waziri 😂😂😂😂😂😂 ni kilio cha taifa hiki
Sisi wananchi waziri hatujamwelewa Jamani kwanini imefika Manali Spicker amwambie atafute njia mbadala iliafunike pale aliandika mwenyewe? Hii kitu inauma maana hata tusioenda shule tunagundua k unashida
Ndiyo maana barabara hazina viwango mimi ni oparetor wa grader tunaibiwa tu hapo hakuna mwandisi hapo kamateni hao wezi sana hata ukaguzi hawakanguwi hakuna mkataba wa hivyo
waziri wa fedha na Ujenzi wanafirisi Taifa,, ukiangalia kinachoendelea mabarabarani anashinda Derava wa Gereda bila Msimamizi, kabla barabara hazijanza kutumika vilaka
Simuelew huyu waziri
Waziri anatupiga sana huyu sio mchezo ila Mungu anamuona huyu waziri hiii sekta hakupaswa kupewa
Kuna hatua ifike ipigwe kura ya maoni kumng'oa kwenye nafasi yake ya uwaziri, sema ndio hivyo nqfasi ni ya uteule
Kwanza tumekosa kazi tunateseka wakandarasi hawana hera yani hakuna hakiri hapo niwezi hao hatuwaelewe
Jibu swali la spika sio maelezo?
Big star mwigulu,hapo tunapigwa wazi wazi,kwani hakuna mwingne wakummbadili huyu,mbona kila wakat majib yake uwa mepesi?au ndio mishahara ya wachezaji inatoka huk?
Kachawi 😅😅
Hii ni 2024 but you are reporting as if it early today!!!!
Mwigulu amesema kingeteza kinawachanganya.
Kwanini kitumike?
😂ana kingereza chake chaT rabu and Trait 😂😂😂😂
Kwanza mnatufanya wajinga sisi wakati tunajua wizi unafanyika kamateni haoo
Mwugulu huyo Wacha apige pesa zake huyu jamaaa ndio anatuangusha sana kwenye hii wizara ya fedha akiulizwa swali hajibu kabisa inavyotakiwa anavunga vunga tu
Huyu COVID namchukia jitu lisaliti kwasababu ya fedha Wacha mwigulu apige fedha na we upige fedha kwa wakati wako usimuonee wivu