Bwana Yesu asifiwe Sana mtumishi tunashukuru kwa mafudisho matakatifu ya Mungu anayo sidi kukuongoza kutufufisha kwa kweli mafudisho haya janashidi kutubariki ata said japo kuna mengine tuyopitia magumu kweli.
Niko na wasli Pastor Mmbaga! Wakina Petrol walijuaje kuwa hawo watu ni Musa na Eliya wakati, walikufa kitambo sana. Nawalikuwa hata hawajazaliwa wakina Petrol.
Pr mimi niko na mwenza ambaye haendi kanisani sasa changamoto niliyo nayo pale nafanya ombi /ibada yeye ndo ananisumbua labda niko kwenye mfungo basi anahakikisha anasumbua hadi tunagombana kweli naomba Misaada wa maombi
Waambie hawo Atape waache kuweka kingilio maana weng wanatamani kujifunza kwao kwanini wameweka vingilio juuu sana yaan saizi watu wanataka pesa na siyo injili Ndio maana kuhubili tunaubiri tatzo kutunza roho Maana makanisa yamegeuka nakufanyia Biashara ndani yakanisa
Mwalimu wa neno kwelikweli ,mungu abariki neno lake
Amina mungu ni pendo
Asante sana mchungaji kwa mafundisho mazur nimekuwa nikikufuatiria mungu akubariki ila mm nasumburiwa na vita ya Kiroho kweli
Ameeeeeen Ameeeeeen Ameeeeeen Ameeeeeen Ameeeeeen Ameeeeeen Ameeeeeen Nimebarikiwa😂😂😂😂😂 Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu
Amen niko nairobi kenya nakupata
Nabarikiwa pastor
Asante mtumishi unatubariki kwa neno
Barikiwa sana
Mungu akubariki pastor kwa somo zuri la maombi
Thank you LORD for You're the only one we depend on in everything. Be praised forever. Be blessed pastor for the great work.
Be blessed Pastor👏👏👏👏
Amen. I am blessed. Glory to God
Mungu azidi kukubariki pastor
Ahsante BABA wa mbinguni kwakunifunulia hili😌😌
Aimen ubarikiwe sana mchungaj
Bwana Yesu asifiwe Sana mtumishi tunashukuru kwa mafudisho matakatifu ya Mungu anayo sidi kukuongoza kutufufisha kwa kweli mafudisho haya janashidi kutubariki ata said japo kuna mengine tuyopitia magumu kweli.
Hata mimi naombaka ivo ivo😂😂😂😅😅😅. Nabarikiwa sana na mahubiri yake. Mungu akuzidishiye nguvu. Mtumishi wa Mungu
Waiting...
Amina 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
waiting
Pastor I truly like your teachings they inspire me,be blessed abundantly, kweli siri ya machozi yangu yeye ndiye ajua
Hapo mwanzo nime ku elewa pasta
❤❤ubarikiwe pastor
Amen am waiting
Yesu hatoi mashauri!
Ameni 🙏🙏
Niko na wasli Pastor Mmbaga! Wakina Petrol walijuaje kuwa hawo watu ni Musa na Eliya wakati, walikufa kitambo sana. Nawalikuwa hata hawajazaliwa wakina Petrol.
Watu wa ndani wanajuana sio wa inche
Amen bwana akubariki mtumshi 😂nimbarikwa Na somo hii zuri
Amen
Amen Amen Amen. Asnte sana umenipa kusongaa mbele.
Amen ubarikiwe Pastor.
Ni kweli
Tuombeane ili kuimalika imani yetu pasipo kuwepo roho Mtakatifu ndani ya moyo wetu hakuna umoja ktk makanisani
Be blessed pastor to your good lesson
Waiting
Amen
❤ Amen Amen Amen 🙌🙌 thank You Lord Amen
Ameen , Kwa hiyo pastor vipi kuhusu lile ombi lako linalosema usilale bila kuomba ombi hili???,
Pr mimi niko na mwenza ambaye haendi kanisani sasa changamoto niliyo nayo pale nafanya ombi /ibada yeye ndo ananisumbua labda niko kwenye mfungo basi anahakikisha anasumbua hadi tunagombana kweli naomba Misaada wa maombi
Bwana Yesu ampatie utulivu akawe mpole tangu sasa. Amina
Pole ila Mungu atasikia maombi yako atabadrika Kwa uwezo Bwana wetu Amina
kwa uweza wa mungu
atabadirika na kuwa mwenzi bora
Mungu anabadilisha chochote kuwa vyovyote,,Atambadilisha wewe usichukie endelea kuomba na Kumuombea Mwenzio,,,,,sio yeye ni pepo ndani yake
Jaribu kama yakwangu pastor tushauri
Nikweli mutumishi wa mungu umetuongezea 🤔🙏
Waambie hawo Atape waache kuweka kingilio maana weng wanatamani kujifunza kwao kwanini wameweka vingilio juuu sana yaan saizi watu wanataka pesa na siyo injili Ndio maana kuhubili tunaubiri tatzo kutunza roho Maana makanisa yamegeuka nakufanyia Biashara ndani yakanisa
Pastor mwenyewe nimewahi kuombewa niwe mchungji nikiwa Magu sda siku kumi za maombi, ila sikupenda
Napenda sana kuomba Mungu wakati nalala. niko kilo sana kupiga magoti na kuomba Mungu
Ninakuelewa vjzuri Pasta
Waiting........
Amen
Amina
Amen