Uroho wa madalaka aubunabiashara gani inafanyika hapo katikati sielewi ila inauma sana baba chama umekiuwabkwa mikono yaako hata lisu akipita mh wangu unaonyesha kidasi cha ndani kwa ndani hatakuwa salama mbowe umejua kutukomesha wanachama
Nyie wafwasi,wamboye ndio hamuipendi nchi yetu mmeshidwa kumshauri mwenyekiti wetu kwamba asitafu kutokan naupepo urivyo sasa bora ugesimama mwenyewe kuriko wakasimama wote mastaa
Wwe. Unajifariji. Uttakipasua chama. Ww. Mika. Yote hiyo unaongoza. Chama. Hujaweka mtu. Wa kupokea kijiti. Uttakipasua. Chama acha uroho. Wa madaraka.
This is the best speech ever happened. Keep it up
Mung!u akubariki sana kamanda mkuu. Kwa ufafanuzi huo wa kina kama kuna mtu hakukuelewa, basi bwana! Tumwombee!
Asante mbowe kwa kuona mbali
Good speech good voice be blessed Mbowe
Basi ... CCM IMEPITA BILA KUPINGWA..
Umeferi. Pasua chamaaa huyooo.
Uroho wa madalaka aubunabiashara gani inafanyika hapo katikati sielewi ila inauma sana baba chama umekiuwabkwa mikono yaako hata lisu akipita mh wangu unaonyesha kidasi cha ndani kwa ndani hatakuwa salama mbowe umejua kutukomesha wanachama
Chadema muheshimuni mbowe chama amekitoa mbali lisu we mjinga sana
Mbowe the diehard ✌️
Chadema akishinda lisu. Selikali lakiwemo msajiji lazima amtambuwe mbowe
Hapo mbowe umefani kiwakupasuwa chadema yanikamalipumba chakiku kinakuwa ect
Mh, mbowe elewaneni na mh, Lisu chadema iendelee mbele
Umeeleweka kiongozi, kikubwa jitahidini kujenga chama na maelewano. Makundi yaondoke kwa sababu yanavunja nguvu kufanya mabadiliko.
Basi tena.
Chadema itameguka.
Kutakuwa na kundi moja la Mbowe na lingine la Lissu.
Achia kiti wengine waongoze brother
aachie kiti kivipi??
Uroho wa madaraka. Pasua. Chama. Umepasua chaama.
Uroho wako wa madaraka. Unakutuma hivo.
❤❤❤
Maneno yako ya. Busala tumechoka mwenyekit. Mpya. Siyo wewt. Kilasku naneno yabusala. Wanaichi hatwitaji hivo mabadilko. Mwenyekit mengine siyowew bwan
uakika chadema ni famlia kubwa yenye upendo na aman
Yaan mbowe kumbe Huna demokrasia hata kidogo Sisi huku tarime hatukwelewi yaani unatufanya km hatuna akili huna
Haya!!
Nyie wafwasi,wamboye ndio hamuipendi nchi yetu mmeshidwa kumshauri mwenyekiti wetu kwamba asitafu kutokan naupepo urivyo sasa bora ugesimama mwenyewe kuriko wakasimama wote mastaa
Mbowe hii ni kutafuta huruma hakuna hoja ya kwann uchaguliwe kuwa chair tena huna hoja ngenga tu nyoka makengeza
maamuz ulyoyachukua n mazur,mh Mbowe una busara m co mwanasiasa ila nakukubali,
Kwhy kwa mama abdul uliomba kwa mahitaji yako binafsi kwa mwamvuli wa maridhiano?
Umekonga nyoyo za Watanzania Kwa kuendelea
Wwe. Unajifariji. Uttakipasua chama. Ww. Mika. Yote hiyo unaongoza. Chama. Hujaweka mtu. Wa kupokea kijiti. Uttakipasua. Chama acha uroho. Wa madaraka.
Achia kiti baba maneno meng ya nn?
Mbowe atajulikana kamaalikuwanyoka aula
Mbowe kichkakimechomwa moto utajulikanatu
Kama. Unaongea. Hivyo. Tutakua. Pamoja. Tu siwe kutofautiana
Omuugi kafwila kundago.
Dj Mbowe bhana
Kama. Ndo. Majibu. Mazuri. Hivyo. Tutakua sawa