'Mawazo' Sehemu Ya 85 , Dr. Elie VD.Waminian

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 16

  • @ezekielntungi3535
    @ezekielntungi3535 20 годин тому +1

    Asante Dr. Elie kwa mafundisho haya yenye thamani kubwa. Mungu akubariki.

  • @enockjumanne6308
    @enockjumanne6308 23 години тому +1

    Kaka Mwenyezi Mungu awabariki sana

  • @ruthn9381
    @ruthn9381 21 годину тому

    Shukrani. We will follow your lessons wherever you are. God will always make a way.

  • @AmaniPascal-k2p
    @AmaniPascal-k2p 22 години тому

    MUNGU awabariki sana

  • @ShabaniAdamu-j5s
    @ShabaniAdamu-j5s 2 дні тому +1

    Daaaah hii imenigusa sana hii😢😢 Asante Dr elli asnte Chomoza

  • @sully-w8d
    @sully-w8d 2 дні тому +2

    kweli sanadoctor , mimi huwa namchukulia mume wangu kama mwanangu wa kwanza huwa najikuta namsamehe makosa mengi sana naona mimi natakiwa kumlea nakumuhurumia kama navyo hurumia watoto wangu

  • @hamidafundi-pw1gw
    @hamidafundi-pw1gw День тому +3

    Wazazi huwatakia mema watoto wao na vizazi vyao. Kuheshimu wazazi ni amri ya MWENYEZIMUNGU inayoambatana NAYEYE. UZAZI ni sifa inayomtukuza mtu kuwa wakala kupitia malezi ya watu wote nyumbani mwako.Wazazi KUASI (roho mbaya ,kutowatendea vyema wengine) huondoa uwezo uwezo wa kubariki watoto wao.Tofauti za wazazi (wanandoa) zisiathiri malezi ya watoto kuwajaza maneno mabaya .Chanzo cha mtoto ni Baba (mbegu) mama ni udongo. Mama ana 'wish' na mtoto baba anatamka , 'say'. Kuwaheshimu wazazi ni KUJIVUNIA nao .Kuona FAHARI ,KUWATHAMINI kwa kutenda yapasayo.Uzao wa wazazi ni wako. (Ukoo) shangazi, binamu,mjomba,mama wadogo/wakubwa ,baba wadogo/wakubwa. Nk. Asiyejua atokako ,atapotea aendako. Ndugu wote ujivunie nao kwa kuwatembelea,kuongea nao hata kwa simu Nimejifunza. ❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉 Asante Chomoza. Pongezi Dr Ellie.

  • @FredrickCharless
    @FredrickCharless 2 дні тому

    Hasanteni kwa upendo utokao kwenu kuja kwetu maana ndiyo unao wapushi kutufikia ... twashukuru sana Muumba wetu kwa Upendo wake kwa kuwafanyeni Imara katika hari na Nguvu amina..

  • @AbdouMuslimu
    @AbdouMuslimu 2 дні тому +3

    Wakwanza kutok Burundi 🇧🇮🇧🇮next sunday ntakuj kumsabay doctor kutok burundi hpo clouds

  • @Godfreykayinga
    @Godfreykayinga 2 дні тому

    Thank you

  • @gladnesskombe1664
    @gladnesskombe1664 2 дні тому

    Yaani dunia hii jamani Poleni sana na sisi pia lakini mashahidi wa Mungu ni watu Dr ataishi mileleu

  • @HenryMizambwa-ft5qo
    @HenryMizambwa-ft5qo 2 дні тому

    Genius

  • @IdrisaMsuya-e2j
    @IdrisaMsuya-e2j День тому

    Doctor mi shida naona naisha mama ana nieleze matatizo ya baba lakin baba ana amin namchukia najitahi kumuonesha nampenda sasa sijui nifanyaje baba anieleww anaonaa mama ndo tunamsikiliza

  • @GotfridJosephat
    @GotfridJosephat 2 дні тому

    Fikra chanya na mfundisho chanya yenye tija Kwa jamii