Chomoza Media
Chomoza Media
  • 17
  • 16 527
KWA MSAADA WA MUNGU UTATENDA MAKUBWA. MCH, NOEL DAVID
Kwa MaonI, Ushauri Wasiliana Nasi Kwa Simu Namba (0747-744744 CHOMOZA MEDIA LIMITED) Au Kwa Barua Pepe Email. chomozamaoni@gmail.com
Pia Unaweza Kutufatilia Facebook @ChomozaTV Na Istagram @chomozanews TikTok ChomozaTV
Mungu Wetu Wa Mbiguni Akubariki......Endelea Kujifunza Na Kushare Mafundisho Haya Kwa Rafiki Na Nduguzo.
Переглядів: 18

Відео

WANAMUZIKI WENGI WAINJILI WANATAKA KUJIUA, HAKUNA ANAYEWASIKILIZA. ADDO NOVEMBER
Переглядів 982 години тому
WANAMUZIKI WENGI WAINJILI WANATAKA KUJIUA, HAKUNA ANAYEWASIKILIZA. ADDO NOVEMBER
'Mawazo' Sehemu Ya 86 , Dr. Elie VD.Waminian
Переглядів 1,4 тис.4 години тому
Mtu wa Mungu karibu sana kuendelea kujifunza vyema katika mtiririko wa somo zuri la Mawazo ambalo linafundishwa na mtumishi wa Mungu Mwl Dkt. Ellie. Bado tunaendelea kufanya jitihada kubwa sana za kurudisha mfululizo wote wa masomo haya mazuri katika ukurasa huu wa Chomoza Media. Asante kwa uvumilivu wako endelea kumbatana nasi katika ukurasa huu. Kwa MaonI, Ushauri Wasiliana Nasi Kwa Simu Namb...
ROHO YA KUNYAUKA. MCH, NOEL DAVID
Переглядів 204 години тому
Kwa MaonI, Ushauri Wasiliana Nasi Kwa Simu Namba (0747-744744 CHOMOZA MEDIA LIMITED) Au Kwa Barua Pepe Email. chomozamaoni@gmail.com Pia Unaweza Kutufatilia Facebook @ChomozaTV Na Istagram @chomozanews TikTok ChomozaTV Mungu Wetu Wa Mbiguni Akubariki......Endelea Kujifunza Na Kushare Mafundisho Haya Kwa Rafiki Na Nduguzo.
KWA NINI UNA AHIRISHA MAMBO. APOSTLE FAUSTER KAPAYA
Переглядів 439 годин тому
Kwa MaonI, Ushauri Wasiliana Nasi Kwa Simu Namba (0747-744744 CHOMOZA MEDIA LIMITED) Au Kwa Barua Pepe Email. chomozamaoni@gmail.com Pia Unaweza Kutufatilia Facebook @ChomozaTV Na Istagram @chomozanews TikTok ChomozaTV Mungu Wetu Wa Mbiguni Akubariki......Endelea Kujifunza Na Kushare Mafundisho Haya Kwa Rafiki Na Nduguzo.
SAHAU MABAYA YOTE YA NYUMA. APOSTLE FAUSTER KAPAYA
Переглядів 11312 годин тому
Kwa MaonI, Ushauri Wasiliana Nasi Kwa Simu Namba (0747-744744 CHOMOZA MEDIA LIMITED) Au Kwa Barua Pepe Email. chomozamaoni@gmail.com Pia Unaweza Kutufatilia Facebook @ChomozaTV Na Istagram @chomozanews TikTok ChomozaTV Mungu Wetu Wa Mbiguni Akubariki......Endelea Kujifunza Na Kushare Mafundisho Haya Kwa Rafiki Na Nduguzo.
2025 NI MWAKA WA NEEMA. APOSTLE FAUSTER KAPAYA.
Переглядів 6914 годин тому
Kwa MaonI, Ushauri Wasiliana Nasi Kwa Simu Namba (0747-744744 CHOMOZA MEDIA LIMITED) Au Kwa Barua Pepe Email. chomozamaoni@gmail.com Pia Unaweza Kutufatilia Facebook @ChomozaTV Na Istagram @chomozanews TikTok ChomozaTV Mungu Wetu Wa Mbiguni Akubariki......Endelea Kujifunza Na Kushare Mafundisho Haya Kwa Rafiki Na Nduguzo.
TAMBUA VITU VINAVYO RUDISHA MTU NYUMA. APOSTLE FAUSTER KAPAYA.
Переглядів 14616 годин тому
Kwa MaonI, Ushauri Wasiliana Nasi Kwa Simu Namba (0747-744744 CHOMOZA MEDIA LIMITED) Au Kwa Barua Pepe Email. chomozamaoni@gmail.com Pia Unaweza Kutufatilia Facebook @ChomozaTV Na Istagram @chomozanews TikTok ChomozaTV Mungu Wetu Wa Mbiguni Akubariki......Endelea Kujifunza Na Kushare Mafundisho Haya Kwa Rafiki Na Nduguzo.
'Mawazo' Sehemu Ya 85 , Dr. Elie VD.Waminian
Переглядів 4,3 тис.14 днів тому
Kwa MaonI, Ushauri Wasiliana Nasi Kwa Simu Namba (0747-744744 CHOMOZA MEDIA LIMITED) Au Kwa Barua Pepe Email. chomozamaoni@gmail.com Pia Unaweza Kutufatilia Facebook @ChomozaTV Na Istagram @chomozanews TikTok ChomozaTV Mungu Wetu Wa Mbiguni Akubariki......Endelea Kujifunza Na Kushare Mafundisho Haya Kwa Rafiki Na Nduguzo.
'Mawazo' Sehemu Ya 84 , Dr. Elie VD.Waminian
Переглядів 3 тис.21 день тому
Kwa MaonI, Ushauri Wasiliana Nasi Kwa Simu Namba (0747-744744 CHOMOZA MEDIA LIMITED) Au Kwa Barua Pepe Email. chomozamaoni@gmail.com Pia Unaweza Kutufatilia Facebook @ChomozaTV Na Istagram @chomozanews TikTok ChomozaTV Mungu Wetu Wa Mbiguni Akubariki......Endelea Kujifunza Na Kushare Mafundisho Haya Kwa Rafiki Na Nduguzo.
Sababu Za Migogoro 17, Muhemko Chanya Tiba Kubwa KTK Mahusiano DR Elie V D Waminian
Переглядів 62121 день тому
Sababu Za Migogoro 17, Muhemko Chanya Tiba Kubwa KTK Mahusiano DR Elie V D Waminian
Sababu Za Migogoro 16, Muhemko Chanya Tiba Kubwa KTK Mahusiano DR Elie V D Waminian
Переглядів 58421 день тому
Sababu Za Migogoro 16, Muhemko Chanya Tiba Kubwa KTK Mahusiano DR Elie V D Waminian
Sababu Za Migogoro 15, Muhemko Chanya Tiba Kubwa KTK Mahusiano DR Elie V D Waminian
Переглядів 91621 день тому
Sababu Za Migogoro 15, Muhemko Chanya Tiba Kubwa KTK Mahusiano DR Elie V D Waminian
Sababu Za Migogoro 14, Muhemko Chanya Tiba Kubwa KTK Mahusiano DR Elie V D Waminian
Переглядів 78621 день тому
Sababu Za Migogoro 14, Muhemko Chanya Tiba Kubwa KTK Mahusiano DR Elie V D Waminian
'Mawazo' Sehemu Ya 83, Dr. Elie VD.Waminian
Переглядів 4,8 тис.21 день тому
'Mawazo' Sehemu Ya 83, Dr. Elie VD.Waminian

КОМЕНТАРІ

  • @PatrickCyprian-l8g
    @PatrickCyprian-l8g 2 години тому

    Mwenyezi Mungu, Baba etu wa Mbinguni awabariki. Ahsanteni sana.

  • @frankchigo3239
    @frankchigo3239 5 годин тому

    Mungu ni baba ulimuona lini kwa mara ya mwisho, nimekuelewa sana hapoo hasa ukiwa na matumizi sahihi ya akili.

  • @jacksomabartholomeow4503
    @jacksomabartholomeow4503 16 годин тому

    HABARI KAKA JIMMY, TUNAOMBA UTUWEKEE EPISODES KWANZIA MWANZO, NATUMAINI HAZIJAPOTEA NA ILE CHSNNEL YA MWANZO

  • @Graceyusuphh
    @Graceyusuphh 21 годину тому

    Big up Ado🎉🎉🎉🎉

  • @simpozeboy9490
    @simpozeboy9490 День тому

    Mungu awatie nguvu na kuwawezesha masomo yarudi yote, Asante baba dr Ellie kwa kulikazia hili , ww. Ndo mentor wangu natamani kukutana nawewe siku moja

  • @AfsaAbdul
    @AfsaAbdul День тому

    Mungu awaongoze

  • @AfsaAbdul
    @AfsaAbdul День тому

    Jaman sehemu zilizo pita 😢

  • @AbdouMuslimu
    @AbdouMuslimu День тому

    🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @HardboneJustin
    @HardboneJustin День тому

    Amina 🙏

  • @Godfreykayinga
    @Godfreykayinga День тому

    Thank you Dr na chomoza wote

  • @hawabakary4936
    @hawabakary4936 День тому

    Mungu azidi kuwabariki , najifunza mengi sana

  • @Djjacco-b6o
    @Djjacco-b6o День тому

    we appreciate

  • @NtayandiLeonard
    @NtayandiLeonard День тому

    🙏

  • @HenryMizambwa-ft5qo
    @HenryMizambwa-ft5qo День тому

    Jamani mungu ajaaliee masomo yarudi na kma Kuna mtu ni software engineer atusaidiee jaman masomo yarudi Dr amefanyaa kazii hii kwa miaka legacy yakee isipotee bwana mungu atujalieeh 🙏

  • @miriamelisha3855
    @miriamelisha3855 День тому

    Nitafurahi sanaa❤

  • @gladnesskombe1664
    @gladnesskombe1664 День тому

    Asante Mungu wetu barikiwa sana dr

  • @AbeliMusuta-s3q
    @AbeliMusuta-s3q День тому

    Tunaomba masomo yote hata ya miaka ya nyuma

  • @NdutiThomas
    @NdutiThomas 2 дні тому

    Aiseee, Leo nimeshinda You-tube nikiangalia Mawazo sehem ya 86....bila kuiona Hatimae, aiseeee Mungu ni mwema sana ✊🏿

  • @JoyceHaule-o8c
    @JoyceHaule-o8c 3 дні тому

    Duuuu ndio namsikia leo huyu kuna mambo mazuri humu kwa kweli

  • @Paulomollel-n3n
    @Paulomollel-n3n 4 дні тому

    Amina mtumishi wa mungu

  • @Snoker101
    @Snoker101 8 днів тому

    Kwanini masomo ya dr.elie hayapo upande wa playlist. Masomo aliofundisha kuhusu akili na mengineyo kadhaa hayapo. Chomoza tv team sabamu ni ipi tunaomba mtujuze.

  • @elizadmwaisabila5922
    @elizadmwaisabila5922 8 днів тому

    Vipande vyanyuma viko wapi

  • @elizabethmosha381
    @elizabethmosha381 9 днів тому

    Asante kwa mafundisho ya kutujenga tunatamani kuendelea kupata mafundisho yaliyopita kwa sasa yameondolewa kwenye youtube acount ya chomoza

  • @ingabireviviane6859
    @ingabireviviane6859 9 днів тому

    Nimekosa kutoka episod 51,ziko wapi??tunaomba murudish episod zote zinasidia sana shukran

  • @saidikobossa7489
    @saidikobossa7489 11 днів тому

    Ahsante sana Dokta kwa somo zuri lakini vipi kuhusu wazazi ambao wanatumia nafasi yao ya kuwa wazazi kukushurutisha kukufanya maamuzi kinyume na maamrisho ya Mungu, wanaokujaza chukio dhidi ya watu wengine?

  • @Lynn-yx1jw
    @Lynn-yx1jw 12 днів тому

    I have no words to express, my gratitude. Thank you again Dr Elle and Chomoza for an opportunity for such insightful conversation and experience. Must listen again, and let is sink in. I know with practice and God, it is possible to apply this practically. I am forever thankful for my dear sister of blood who introduce me to this show. ASANTENI na MUBARIKIWE DAIMA! Lin, South London

  • @kilimanjarotv255
    @kilimanjarotv255 13 днів тому

    bwana yesu asifiwe watu wa MUNGU mtumishi amesema amesoma biblia yote mpe hongera sana hata MUNGU anampenda mtu mwenye kushika neno na kulitimjiza ila namshauri atafute pia BIBLIA YA ETHIPIA YENYE VITABU VYOTE HATA PIA NI VIZURI SIKU ZIJAZO MKAJADILI HILI KUNA BIBLIA YA VITABU 66 NA NDIO INATUMIWA SANA NA MADHEHEBU MENGI DUNIANI LAKINI IMEPUNGUZWA VITABU KWAHIYO KUNA KONEKSHENI IMEPUNGUZWA NA MUNGU APO WATUMISHI KUNA BIBLIA YA ORTHODOX VITABU 81 KUNA KUNA BIBLIA YENYEWE SASA NDIO IMEZAA HIZO ZOTE INASEMEKANA INA VITABU 88 LAKINI KWA UTAFITI VITABU VILIKUA ZAIDI YA 100 KWENYE BIBLIA HIYO KUTOKA ETHIOPIA

  • @philipondumbaro7668
    @philipondumbaro7668 13 днів тому

    mbarikiwe sana team chomoza

  • @ezekielntungi3535
    @ezekielntungi3535 14 днів тому

    Asante Dr. Elie kwa mafundisho haya yenye thamani kubwa. Mungu akubariki.

  • @ruthn9381
    @ruthn9381 14 днів тому

    Shukrani. We will follow your lessons wherever you are. God will always make a way.

  • @AmaniPascal-k2p
    @AmaniPascal-k2p 14 днів тому

    MUNGU awabariki sana

  • @enockjumanne6308
    @enockjumanne6308 14 днів тому

    Kaka Mwenyezi Mungu awabariki sana

  • @gwoonlinetv5603
    @gwoonlinetv5603 14 днів тому

    Somo la majibu, na hili la mawazo yamepotea rudisheni sisi wenye utayari wa kujifunza tuendelee kujifunza, tunasaidiwa sana na haya masomo ya Dr. Elie, please yarudisheni.

  • @aminamjeni9951
    @aminamjeni9951 14 днів тому

    nifuraha kubwa kumuona huyu baba tena

  • @ColineMwakagenda
    @ColineMwakagenda 15 днів тому

    Nawaombeni endeleeni kurudisha masomo sehemu ya 18 na kuendelea

  • @IdrisaMsuya-e2j
    @IdrisaMsuya-e2j 15 днів тому

    Doctor mi shida naona naisha mama ana nieleze matatizo ya baba lakin baba ana amin namchukia najitahi kumuonesha nampenda sasa sijui nifanyaje baba anieleww anaonaa mama ndo tunamsikiliza

    • @cheka480
      @cheka480 13 днів тому

      naomba ongea na Mungu aliyemuumba usiku wa manane ampatie muangaza it really works

    • @msunyetv790
      @msunyetv790 10 днів тому

      Hautakiwi kujitahidi unatakiwa kumpenda ndio atafeel hyo energy ya kweli ,na anayonyonya energy hyo ni anayekuhadithia matatizo na ndio maana utatumia nguvu ya kujitahidi kumpenda baba na haifanyi kazi ...pole practice hvyo

  • @hamidafundi-pw1gw
    @hamidafundi-pw1gw 15 днів тому

    Wazazi huwatakia mema watoto wao na vizazi vyao. Kuheshimu wazazi ni amri ya MWENYEZIMUNGU inayoambatana NAYEYE. UZAZI ni sifa inayomtukuza mtu kuwa wakala kupitia malezi ya watu wote nyumbani mwako.Wazazi KUASI (roho mbaya ,kutowatendea vyema wengine) huondoa uwezo uwezo wa kubariki watoto wao.Tofauti za wazazi (wanandoa) zisiathiri malezi ya watoto kuwajaza maneno mabaya .Chanzo cha mtoto ni Baba (mbegu) mama ni udongo. Mama ana 'wish' na mtoto baba anatamka , 'say'. Kuwaheshimu wazazi ni KUJIVUNIA nao .Kuona FAHARI ,KUWATHAMINI kwa kutenda yapasayo.Uzao wa wazazi ni wako. (Ukoo) shangazi, binamu,mjomba,mama wadogo/wakubwa ,baba wadogo/wakubwa. Nk. Asiyejua atokako ,atapotea aendako. Ndugu wote ujivunie nao kwa kuwatembelea,kuongea nao hata kwa simu Nimejifunza. ❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉 Asante Chomoza. Pongezi Dr Ellie.

  • @sully-w8d
    @sully-w8d 15 днів тому

    kweli sanadoctor , mimi huwa namchukulia mume wangu kama mwanangu wa kwanza huwa najikuta namsamehe makosa mengi sana naona mimi natakiwa kumlea nakumuhurumia kama navyo hurumia watoto wangu

  • @ShabaniAdamu-j5s
    @ShabaniAdamu-j5s 15 днів тому

    Daaaah hii imenigusa sana hii😢😢 Asante Dr elli asnte Chomoza

  • @gladnesskombe1664
    @gladnesskombe1664 15 днів тому

    Yaani dunia hii jamani Poleni sana na sisi pia lakini mashahidi wa Mungu ni watu Dr ataishi mileleu

  • @GotfridJosephat
    @GotfridJosephat 15 днів тому

    Fikra chanya na mfundisho chanya yenye tija Kwa jamii

  • @FredrickCharless
    @FredrickCharless 15 днів тому

    Hasanteni kwa upendo utokao kwenu kuja kwetu maana ndiyo unao wapushi kutufikia ... twashukuru sana Muumba wetu kwa Upendo wake kwa kuwafanyeni Imara katika hari na Nguvu amina..

  • @HenryMizambwa-ft5qo
    @HenryMizambwa-ft5qo 15 днів тому

    Genius

  • @Godfreykayinga
    @Godfreykayinga 16 днів тому

    Thank you

  • @AbdouMuslimu
    @AbdouMuslimu 16 днів тому

    Wakwanza kutok Burundi 🇧🇮🇧🇮next sunday ntakuj kumsabay doctor kutok burundi hpo clouds

  • @collinsnndamberi3268
    @collinsnndamberi3268 16 днів тому

    Hamjambo . Pole sana 😢. Naomba plz mniwekee video za "MAJIBU" NAOMBA SANA kwasababu nilikuwa naandika research pepa . My thesis kuhusu Hilo kwahio naomba munisaidie

  • @ernestmatimba9964
    @ernestmatimba9964 16 днів тому

    Jimmy ni miongoni mwa wanafunzi wagumu kuelewa

  • @AdamSamson-oe5pk
    @AdamSamson-oe5pk 17 днів тому

    jaman tunaomba yale masomo yote ya dr ellie hayaonekani kuna shida gani?

  • @yohanangailo95
    @yohanangailo95 17 днів тому

    Kama Nia yenu ni njema Kama mm ninavyo dhsni rudishen mad yaliyo polits

  • @bathshebanyaboke7192
    @bathshebanyaboke7192 20 днів тому

    Naomba kwa unyenyekevu masomo ya majibu na malezi ikiwezekana tafadhali, thanks in advance