KIMARIO AKUTWA NA NDOO 6 ZA KINYESI, CHUPA SABINI ZA MKOJO NDANI ARUSHA, USHIRIKINA WATAJWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 581

  • @STEVENKAJUMBA
    @STEVENKAJUMBA 6 днів тому +11

    Sjaona ajabu sana maisha ni siri ya mtu .kna watu wanafanya mambo ya ajabu kuliko lajamaa sema atujui tuu.

  • @AbdulMaeda
    @AbdulMaeda 6 днів тому +18

    Sema anamajibu makini sana na comfidence ya kutosha

  • @zulphasaid959
    @zulphasaid959 7 днів тому +36

    Labda ameathirika kisaikolojia maskin mawazo, depression, kutengwa 😢

    • @zahornassor5420
      @zahornassor5420 7 днів тому +1

      Me wala sipingi na sisemi moja kwa moja n ushirikina

    • @kamarhelo
      @kamarhelo 6 днів тому

      Jamani ni kweri inaonekana anamsongo wa mawazo yani akili inaonekana haiko sawa

    • @miriamwinston9908
      @miriamwinston9908 6 днів тому

      Dah ila kutengwaaaa

    • @shukranjulius9526
      @shukranjulius9526 5 днів тому

      ​@@zahornassor5420kabisa huyu kuna kitu anapitia😭😭

    • @goodluckmmary2336
      @goodluckmmary2336 4 дні тому

      Real😪

  • @allyjacka
    @allyjacka 6 днів тому +28

    Mwenyewe hawazi wala hashtuki😅😅sio shida zake ni zenu

  • @idinado-wk3lx
    @idinado-wk3lx 6 днів тому +10

    Anaulinzwa kuusu kuowa anasema anajikudu mwenyewe mmmmh ninoma kwakweli 😮😮😮😮

  • @RomanusBussa-g7q
    @RomanusBussa-g7q 7 днів тому +38

    Anae kubaliana na hii kauli yangu ebu like hapa mm naona akapimwe akili❤

  • @gracemacha9357
    @gracemacha9357 День тому

    Akili zake haziko vizuri

  • @alchemytz547
    @alchemytz547 6 днів тому +3

    Watu wana siri kubwa sana ktk maisha yao jambo zur n kwamba hajauwa wala hajabaka au kukiuka sheria na taratib za nchi n kama mnakashif lkn pia waandish wa habar kueni makn na kaul zenu ata kama amekosea nd maana sikuiz kuna sehem mnazuiliwa msiingie

  • @AsiaAlly-rn5ly
    @AsiaAlly-rn5ly 7 днів тому +72

    Huyu apelekwe hospital akapimwe akili.pengine akili zake haziko sawa

    • @DaudiHamisi-un2uu
      @DaudiHamisi-un2uu 7 днів тому +1

      Kweli

    • @zahornassor5420
      @zahornassor5420 7 днів тому +3

      Kweli ee inawezekana mgonjwa

    • @fatmaabdallah7709
      @fatmaabdallah7709 6 днів тому +3

      Si mgonjwa jamani ingekuwa mgonjwa angefanya biashara? Naona choo kiko mbali anaona uvivu au anaogopa kutoka usiku kwenda chooni kafanya maamuzi tu ya kukojoa kwenye machupa. Watu wanapenda kufuatilia maisha ya watu sijui kwanini!

    • @samwelimoshi5614
      @samwelimoshi5614 6 днів тому

      Sasa ww ndy mgonjwa sasa....yan unakoment ujinga kama uo​@@fatmaabdallah7709

    • @Saada-g4j
      @Saada-g4j 6 днів тому

      Wewe unaweza kufanya haya​@@fatmaabdallah7709

  • @remaozias2487
    @remaozias2487 2 дні тому

    Ayo TV naomba mje kariakoo mpaka leo siku ya kumi na moja awajatufungulia barabara ili tuendelee na kufungua biashara zetu hali ni mbaya kwa wafanya biashara wengine tuna mikopo na kuna Kodi za pango na kodi za serikali

  • @FloraKilimba
    @FloraKilimba 7 днів тому +18

    Wonder shall never end🙌🏻

  • @gracemacha9357
    @gracemacha9357 День тому

    😢😢😮 Ni mizimu ya Kirombo inamsumbua apelekwe kwenye maombi.

  • @AngelMazola
    @AngelMazola 7 днів тому +23

    Inawezekana akili zake sio nzuri khaaaa!!!🙄🙄🙄

  • @moibraTiles7024p
    @moibraTiles7024p 4 дні тому

    Ee njia ya kua star ni nomaa

  • @MaryamKhawar-h3j
    @MaryamKhawar-h3j 6 днів тому +14

    Mm simpangishi kwangu hata siku moja anaweza kutuletea kipindu pindu

  • @MamahetuChikuti-mp5lj
    @MamahetuChikuti-mp5lj 7 днів тому +14

    Mmmh jamani Dunia hii haishi vituko hasa uku Tanzania weeee mungu atuongoze waja wake Insha Allah

  • @cosmascastory9193
    @cosmascastory9193 6 днів тому +9

    Daaaah kwakweli aiseee Hivi Arusha Kuna Nini jamani kila siku Arusha matukio ya ajabu

    • @neemajohnson8636
      @neemajohnson8636 6 днів тому +1

      Bora matukio ya Arusha kuliko yale ya Dar Arusha Acha watu wale hata mavi yake atajua mwenyew kuliko zile vifo vya Dar mara Baar imeungua mara mafuriko mara gorofa ni huzuni

    • @khadjamhozya
      @khadjamhozya 6 днів тому

      Umeonae

  • @wabikeog_373
    @wabikeog_373 5 днів тому

    Afya ya Akili... Kasongo yeyee

  • @fatmaahmed8637
    @fatmaahmed8637 4 дні тому

    Uwongoo huu.ingekuwa anatoa asubuhi sio kuweka ndoo zote hizi na maji hayoo ana kitu tu abanwe !!!

  • @ZabibuHassani
    @ZabibuHassani 4 дні тому

    Ila Arusha mna Dunia yenu Kwa kweli

  • @evansmoshi1923
    @evansmoshi1923 5 днів тому

    Baadhi yetu ss wa Tz maisha yetu ni magumu sana nadhani haya sio mambo yakushabikia kwenye mitando tuleteeni mambo yenye tija, yan kwa kifupi huu ni upuuzi wa mtu mmoja tena ni Aibu sio mambo ya kuletea mamilioni ya watanzania hapa tuushangae ujinga wamtu mmoja.

  • @antonychitara5707
    @antonychitara5707 6 днів тому +23

    Hao wote wanaotoa ushaidi hapo pia wanasiri zao,, Mungu ayaweke wazi hpo wote mnakimbiana😂😂

    • @EdnaWilliam-f4c
      @EdnaWilliam-f4c 6 днів тому +2

      😁😁😁😁😁

    • @Ammykurunge-q8y
      @Ammykurunge-q8y 6 днів тому +2

      Ahahaha umenikausha mbavu jmn

    • @RitbayRitbay
      @RitbayRitbay 6 днів тому +4

      Tena wana siri zaid ya huyo mtuhumiwa wenyewe unaweza hta ukazimia mambo yao

    • @israelmwasota
      @israelmwasota 6 днів тому +2

      @@antonychitara5707 uhakika😂😂

    • @israelmwasota
      @israelmwasota 6 днів тому +2

      @@RitbayRitbay na wewe unayo Nini mana umeongea kiujuzi zaidi😂😂

  • @MaryamAbbas-o1c
    @MaryamAbbas-o1c 7 днів тому +11

    Arusha arusha arusha 😢Allah awafanyie wepesi

    • @samwa9496
      @samwa9496 6 днів тому

      Hayo mavi wanavundikia bangi

  • @HappyElias-t9f
    @HappyElias-t9f 7 днів тому +8

    Hawa ndiyo wanasambaza magonjwa mfano mvua ikinyesha SI atamwaga mitaroni😢

  • @MushiMushi-h6o
    @MushiMushi-h6o 5 днів тому

    Mmemkosea sana huyo kijana hayo ni maisha bnafsi ya m2 na mim sion baya hapo nimshauli muusika akafungue kesi ya uzalilishaji

  • @Lundege_Hips
    @Lundege_Hips 6 днів тому +3

    Tusipoikataa ccm kila mmoja atachanganyikiwa kwa wakati wake

  • @Fathasssane-vs2th
    @Fathasssane-vs2th 7 днів тому +9

    Hii ni tatizo la akili jaman hizi hali mimi nishaziona ni upungufu wa akili😢😢😢

    • @GracePatrick-zc2eb
      @GracePatrick-zc2eb 5 днів тому

      Hyu kaka ana akili nyngi kuliko hata nyie.amenyooka kiakili yupo makin sana

  • @sistajeremiakalinga5436
    @sistajeremiakalinga5436 7 днів тому +4

    Dunia hii ni pana tena kubwa saana hii imebeba kila makolokolo ya mwaanadamu duu aiseeeee tuhulumiee mungu

  • @pendomariki
    @pendomariki 6 днів тому

    Huyu akil hayupo sawa kabisa maana anajieleza kama hakuna kilichotokea

  • @ZamZam-r9f
    @ZamZam-r9f 7 днів тому +11

    Uchafu wa Hali ya juuu😢😢😢😢😢

  • @protassilayo4200
    @protassilayo4200 8 годин тому

    Kimario ni ukoo Sio jina binafsi...tafadhali weka jina Julius Sio kimario

  • @nellymtambo8432
    @nellymtambo8432 6 днів тому +16

    Huku ni mjini mambo ni mengi kweli kabisaaa😂😂😂 muacheni kikubwa hazuru mtu❤

    • @stonetown578
      @stonetown578 6 днів тому +3

      Akapimwe kichwa

    • @israelmwasota
      @israelmwasota 6 днів тому +1

      @@nellymtambo8432 wao wenyewe Wana Yao hapo sema ni vile hatuyajui😂😂

  • @Aziz-p6s
    @Aziz-p6s 6 днів тому

    Akili yake sio nzuri

  • @norbertjosephat7831
    @norbertjosephat7831 6 днів тому

    Mjini mambo ni mengi sana

  • @salcle9702
    @salcle9702 6 днів тому +13

    Mwamba huyoo 😂😂😂Akipata demu atabadilika

  • @JohnEdward-up1by
    @JohnEdward-up1by 5 днів тому

    Hapa nisehemu gani

  • @beyondmediatz1607
    @beyondmediatz1607 7 днів тому +24

    Mmmh huyu mwamba ana Siri nyuma yake masharti Ya mganga 😀😀😀

  • @angelnyange3403
    @angelnyange3403 6 днів тому +3

    Ni wao ni wao 😂😂😂😂😂😅wao ndo wanao amini mambo ya kishirikina

  • @stevenemilian5942
    @stevenemilian5942 6 днів тому

    Hii biashara ni ngumu kwa kweli

  • @EliudiJastini
    @EliudiJastini 5 днів тому

    Uyo angechunguzwa uwezi ishi ndani na kinyesi uyo angechunguzwa

  • @husseynomar9523
    @husseynomar9523 5 днів тому

    HAPA NATEMA MATE KAMA NYOKA...

  • @fatmaahmed8637
    @fatmaahmed8637 4 дні тому

    Huyu sio kawaidaa 😮

  • @Sawaka-v9b
    @Sawaka-v9b 6 днів тому

    Mh Makonda bado una kazi ngumu

  • @NathanaelBawil
    @NathanaelBawil 7 днів тому +13

    Hii Dunia inavituko vingi mungu atusamehe sana,maana mengine ukiyatafakari unakosa majibu

  • @ZamzamNassor
    @ZamzamNassor 5 днів тому

    Mama yangu

  • @tufikekapeta8863
    @tufikekapeta8863 2 дні тому

    N😂😂😂mchaga huyu au vipi mchafu tu afu ndo anaenda kuwa mume wa mtu hatali

  • @HubertVitalis-ou9sz
    @HubertVitalis-ou9sz 6 днів тому

    Ndio masharti yenyewe hayo ata chief godlove Aliya fuata ndio maana aka pata utajiri

  • @soundmale
    @soundmale 4 дні тому

    Itakuwa yanadili huwa anapeleka sehemu anapiga mkwanja😂

  • @glorymanga3650
    @glorymanga3650 6 днів тому

    Ukisikia mwanaume kujiamini ndo hii sasa,duh uchafuu balaaaaa ivi anakulaa huko huko ndan😢

  • @emanuelkidali9733
    @emanuelkidali9733 6 днів тому +10

    Bangi ya Arusha mbaya sana

  • @Deorashid
    @Deorashid 6 днів тому

    Kuna Mchaga alipanga chumba nyumbani Makuburi, naye alikuwa na tabia kama hii ya kujisaidia ndani.

  • @MariumIsack-jx3ul
    @MariumIsack-jx3ul 2 дні тому

    Anajimudu mwenyewe haitaji mke 😂😂😂

  • @westcijosh
    @westcijosh 6 днів тому +3

    Aaah huyu jamaa ni kwere 😂😂 afanyiwe utafiti si bure
    Ila mi nahisi jamaa ni bangi na nyeto ndio zmemuathiri kisaikolojia wala sio ushrkina

  • @simonandrew1489
    @simonandrew1489 7 днів тому +6

    Apelekwe Hospital Chapu Akapimwe Afya Ya Akili

  • @josephevaristi8923
    @josephevaristi8923 6 днів тому +9

    Huku kuangalia filamu za mazimwi na mazombi kunafanya watu wanawehuka xana axee

  • @israelmwasota
    @israelmwasota 7 днів тому +12

    Ila bongo hata hamjali haki ya faragha ya taarifa binafsi za watu ndo mpaka mumdharirishe kwa media kweli😅

    • @uhurujan2244
      @uhurujan2244 7 днів тому +2

      😂😂😂😂😂 faragha ipi 😂 mwenyewe kakosa faragha sisi ndo tuwe nayo ?😂

    • @Brunn-mh2bq
      @Brunn-mh2bq 7 днів тому

      ​@@uhurujan2244wewe ndani ya chumba chako huhitaji faragha? Kwani kaweka nje . Acha bana wewe.

    • @antonychitara5707
      @antonychitara5707 6 днів тому

      ​@@uhurujan2244kwani kaenda kuwatangazia kama anakinyec na mkojo

    • @israelmwasota
      @israelmwasota 6 днів тому

      @@uhurujan2244 😂😂

  • @MohammedAwadh-gq9si
    @MohammedAwadh-gq9si 6 днів тому +2

    Hayo ni maelekezo ! Hiyo ni nishati ! Huyo ni fundi anaeweza akatengeneza mashine kwa kutumia kinyesi

  • @Kijijihomestead
    @Kijijihomestead 7 днів тому +5

    Mental health ziko aina nyingi. Sio kila kitu ushirikina. Anahitaji msaada wa ki afya wa kutaalamu.

  • @AmiriHumudi-hn6pt
    @AmiriHumudi-hn6pt 5 днів тому

    Au hana choo muulizeni.

  • @evalineemmanuel8178
    @evalineemmanuel8178 3 дні тому

    yeye sikii arufu iyo nyumba ain choo jaman

  • @MgasaEmanoeli
    @MgasaEmanoeli 6 днів тому +5

    Mwacheni na maisha yake

  • @LeonardoJuja-k7v
    @LeonardoJuja-k7v 6 днів тому

    Chuga ya nguvu iyo baba la baba

  • @Leylah-pz5sc
    @Leylah-pz5sc 5 днів тому +1

    😂😂😂yuko sawa kwa majibu haogopi dudu wala mende

  • @magretangel5242
    @magretangel5242 6 днів тому +1

    Mbona hata Mimi ninayo hapa ndani jamani...Haina hata shida. Ntaenda kumwaga tu.

    • @fatmaabdallah7709
      @fatmaabdallah7709 6 днів тому

      @@magretangel5242 wala usimwage weee hama tu mwachie mwenye nyumba

  • @gilbertoisso
    @gilbertoisso 5 днів тому +1

    Alafu ni mchaga mwenzangu duuuh 😢😅😅

  • @DhaharaniJongo-gt2un
    @DhaharaniJongo-gt2un 6 днів тому

    Vizur sana wanaopenda kula barabarani

  • @Fatma-up9qs
    @Fatma-up9qs 55 хвилин тому

    Chizi mmoja

  • @MeghanAmina
    @MeghanAmina 6 днів тому +1

    Ila arushaaaa 😢😢

  • @charlesbabag1424
    @charlesbabag1424 5 днів тому

    Acheni kupangia watu maisha😂😂😂

  • @victorcephas3618
    @victorcephas3618 6 днів тому

    Anatengeneza gongo

  • @SatwantHoogan
    @SatwantHoogan 6 днів тому +1

    Mungu Wangu!! 😥 Mbona hatari dah.🤮 Mimi pia nafikiria huyu jamaa akili zake kidogo zimechomoka!😀sio mzima..

  • @edinamadebele973
    @edinamadebele973 3 дні тому

    Geita ishawahi tokea hii, hii mikoa 2,:ina kazi kwakweli

  • @MakatoMwakyusa
    @MakatoMwakyusa 4 дні тому

    Chumba chake mavi yake mikojo ni yake ww inakuhusu nn angekuwa anafanya kwako sawa mbona ni useless newz na we uku ni mjini cjui chps umelazimishwa ukanunue kwake 😂😂😂❤❤

  • @aishaibrahim5607
    @aishaibrahim5607 6 днів тому

    Kunamdada aliwai kupigwa denda nauyu kaka saiv anajuta

  • @ShamimMsofe
    @ShamimMsofe 6 днів тому

    Ana shida kijana . Mungu amsaidie

  • @spursfashion5648
    @spursfashion5648 6 днів тому +1

    Mwandishi kashindwa kuhoji na kumuliza sababu inayofanya ajisaidie ndani

  • @AndreaDaud-k2c
    @AndreaDaud-k2c 6 днів тому

    Huyu achunguzwe anawezakua amefanyaga tukio Baya anaogopa kuonekana anafanya mambo ya ovyo

  • @BarakaJoseph-ij2hc
    @BarakaJoseph-ij2hc 7 днів тому +4

    Daaah hata huku geita walimpata mshikaji pigo kama hzo

  • @JamiliJuma
    @JamiliJuma 5 днів тому

    Acheni unafk kira mmoja na stairs ya maisha yk ilimuladi asivuje sheria za inchi bana

  • @HGvv-bh1ig
    @HGvv-bh1ig 6 днів тому +4

    Bwabwaa hilooo lijimudu vipi hahaha htr uplkwe milembeee wewwee

  • @KhadijaMwakanusya
    @KhadijaMwakanusya 5 днів тому

    Uyo cyo mtu mzuli achukuliwe atuwa Kali sana

  • @valentinanduku8718
    @valentinanduku8718 4 дні тому

    Jamani huyu kaka hana ugonjwa wowote huenda ni mashariti yake mm niliingia kwa mtandao nikaona kijana mwafrka alikuwa canada na alielezwa na rafiki yake kuna kazi anaweza fanya akisubiri hiyo ya kampuni.alikubali kazi yenyewe ilikuwa ni kukojoa mukojo kisha mzungu anakuja na kifaa maalum anapima kama iko na maji ama ni mkojo tu na kijana alisema alifanya sana kwa muda mrefu kisha akawacha ha kujua mzungu alikuwa anafanya nini na mkojo.

  • @annndunda3953
    @annndunda3953 6 днів тому +3

    Najua sio funny lakini mniache, 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @mayrose9772
    @mayrose9772 6 днів тому

    Mzee anapiga puchu

  • @hellennehemia9269
    @hellennehemia9269 7 днів тому +5

    Eeee mungu tusaidie

  • @NicIbrahim
    @NicIbrahim 6 днів тому +1

    Bangi siyo chai ndio nimejua leo😅😅😅😅

  • @AbdulkingMswaty
    @AbdulkingMswaty 4 дні тому

    Huyu kijana apelekwe milembe😂

  • @IreneMsile
    @IreneMsile 6 днів тому

    😂😂😂😂yaani kiukweli nilihuzunika sana ila baada ya huo ujasiri wa hayo majibu ilinibidi nicheke kwakweli😅

  • @gazzomaster9462
    @gazzomaster9462 6 днів тому +1

    Icho kitabu cha tiba za asil au alikua anadizain dawa kwa kujinyea😂😂😂

  • @saadaAbdalla1371
    @saadaAbdalla1371 7 днів тому +6

    Usikute nimaji ya upako 😅😅😅 ndo yanatengenezwagwa ivo mana kitabu cha tiba asilia nimekiona vzur tu 😅

    • @AgnessMpanduka-l5g
      @AgnessMpanduka-l5g 7 днів тому

      😁😁😁😁

    • @madetetv6576
      @madetetv6576 6 днів тому

      Maji ya akina dk sule hayo mana zipo hadi quran pale zimeoneshw

    • @AgnessMpanduka-l5g
      @AgnessMpanduka-l5g 6 днів тому

      Wapi Sharifu Filidaus na Maji ya upako yenye Mchanganyiko wa vitu kibao pamoja na maandishi ya Quran 😂😂😂😂 endeleeni kwenda kuombewa duwa

  • @MamasIslandKitchen
    @MamasIslandKitchen 5 днів тому +1

    Ana hadi coins za kenya

  • @ramadhanihudhaifani4376
    @ramadhanihudhaifani4376 7 днів тому +12

    Hii taarifa umeirudia upya,mzee! Niliwahi isikia kipind cha nyuma pia.

  • @Sharifa_Fashion_21
    @Sharifa_Fashion_21 6 днів тому +2

    Huyu sio mzima kiakili inamaana majilani hawasikii harufu jamn 😂😂

  • @floraboramungu5407
    @floraboramungu5407 6 днів тому

    Mliokula chipsi za kimario nawaonea huruma uwiiiii naskia kutapika mimi alaf umkute anachanga mishikaki na tangawizi uwii

  • @sarahweston2708
    @sarahweston2708 6 днів тому

    CHIZI SIO HADI AOKOTE MAKOPO...UKUTE ANAJIMALIZA HAJA ZAKE KWA KUPATA HARUFU ZA VINYESI NA MIKOJO😂

  • @abbysauko3725
    @abbysauko3725 6 днів тому +1

    Jamaa anaonekana ana shida ya kiakili ata hyo confidence aliyo nayo ni inaonekana kwasababu ya tatizo la akili

  • @hamisskuche4283
    @hamisskuche4283 6 днів тому

    HATA AIBU HANA

  • @RichardJacob-s6k
    @RichardJacob-s6k 6 днів тому +2

    Matatiz ya kua single kwa kua mda mrefu

  • @jumaselemani2720
    @jumaselemani2720 7 днів тому +9

    Mnasemaga Arusha ni nchi nyengine aya sasa 😂 😂

  • @AsmasaidiTitu
    @AsmasaidiTitu 6 днів тому

    Harafu anajibu kimakini sana 😂😂😂😂 harafu tunajimudu