Mungu Yuko upande wako. Nakupenda sana Pastor Muyamba Kwa vile unavyoifanya kazi ya Mungu .Mungu aendelee kukuongeza na kukuinua. Ulinzi wa Mungu uwe juuu Yako.
amina Mtumishi yani Huyu Mungu mwacheni mimi na mama yangu tuilinusurika kifo cha ajali mbaya ya bus kukatika nusu sababu nilikua mdogo na skuiyo nililia sana skutaka tupande lile busi kwajiyo niligoma kabisa huku najigalagala chini nmama ikabidi aniskilize nikakimbilia bus jingine niliona linarangi nzuri yani tulifika mbele kidogo kuna mto tukakuta abiria wote wamelazwa chini,ni maiti huez amini watu walinishangaa sana kwa gar letu tunafika moshi mama analia huku anasimulia ndugu zake wakatihuo ajali inatangazwa habari za vifo kweli Mungu wa qjabu
@@FrankBella-qe4tjwewe unaesemaDini yaMajini tunaombaAndiko Dini ya majini kwenyekitabu chao wanachokiamini nawewe utupe Andiko Dini Yako Ina itwaje katika kitabu chao unachokiamini tuijue Napia ujue mtu afu Bali mwenyeEnzi mungu ametaka hakunamjanja kwe kifo AtutokeeHapa Hajui kamaSiku Ilikuwa bado syo kwa Ajili ya kanisa
@judyngowi391 ni hivi, imagine upo kwenye basi, likashika moto watu wote wakafa ukapona wewe, ni halali kumpa Mungu sifa Kwa survival ya mtu mmoja out of 60+? Mi nadhani tunapona Kwa bahati zetu wenyewe. Ni vema kumwamini Mungu lkn Kuna wakati anakosa legitimacy ya sifa za ukombozi.
Huyu alikuwa kkoo kweli sema ni WINGA Hana duka, sasa mteja alihitaj nguo kwake ndio hivyo akawa anamfuata then mteja akaomba akachukue nguo underground ya jengo jiran Kujieleza ni kipaji nyie
Kumbe Pastor Myamba ni Pastor kweli kweli??? More Grace to Him🙏
Pia mm nilikua Namwangalia mara mbili mbili ni yeye ama si yy mie nilijua tu kwenye move tu kumbe ni kweli
Pasteur hua nafurahia injili unazo hubiri,ubalikiwe sana udhidi kushangaa!!!
Jamani tunapo shukulu mungu haijalishi uwee dini Gani kikubwa ni kuamini kua mungu ndie muweza wa yote 🙏
Sasa hapa unamwambia nani mpuuzi wew pua kama vilimbi ya yanga
MUNGU NI MMOJA TU
MUNGU,,,,unapomuomba Kila asubuhi shetani akuwezi,❤❤penda sana MUNGU.
Kumbe huyu uwa ni paster kweli mi nilijua uigizaji tuu
Alkhamdullah kwakuwa Umepona mshukuru mungu sn
Mungu Yuko upande wako. Nakupenda sana Pastor Muyamba Kwa vile unavyoifanya kazi ya Mungu .Mungu aendelee kukuongeza na kukuinua. Ulinzi wa Mungu uwe juuu Yako.
Kiukweli nampenda sana huyu mtumishi,mpakwa mafuta wa Bwana,Mungu azidi kumuinua kwa jinsi yake.
amina Mtumishi yani Huyu Mungu mwacheni mimi na mama yangu tuilinusurika kifo cha ajali mbaya ya bus kukatika nusu sababu nilikua mdogo na skuiyo nililia sana skutaka tupande lile busi kwajiyo niligoma kabisa huku najigalagala chini nmama ikabidi aniskilize nikakimbilia bus jingine niliona linarangi nzuri yani tulifika mbele kidogo kuna mto tukakuta abiria wote wamelazwa chini,ni maiti huez amini watu walinishangaa sana kwa gar letu tunafika moshi mama analia huku anasimulia ndugu zake wakatihuo ajali inatangazwa habari za vifo kweli Mungu wa qjabu
Mungu ni muweza wa yote
MUNGU WETU NI MKUU❤❤❤
Inamaan hao walioangukiw walikua hawasal
Mungu ni mwema
Mteja alikupigia simu alikuwa ni malaika aliyetumwa na Mungu. Mungu alimtumia bila kujua
Kweli kabisa
Kweli kabisa 🤝 @@judyngowi391
Wew itakuwa dishi limeyumba
Atukuzwe MUNGU 🙏🙏
Ongela Sana mutumishi😢
MUNGU NI MWEMA❤
Ashukuliwe Mungu wa ushindi
Huyo ni Bwana
Gift angalia kinywa chako, my dear. Kama huwezi kusema lililo la kheri ni kheri unyamaze tu. Kikubwa ni Mungu amemtetea.
True man of God.divine connection
😭😭😭😭🙏🙏🙏pole sana dadaangu
Huyu ndiye pastor. Miamba ndiye alikuwa mwigizaji na kanumba mungu amemuita kumtumikia
ni yeye
Na alikuwa anaigiza kichungaji kabisa
Allah apewe sifa
amen amen
MUNGU ni mkubwa saaaaaana
Asante MUNGU
Utukufu kwa BWANA
Mnaokejeli oleee
Tena Oleee!
🎉Ww sema siku yako bado ya kuondoka ulimwenguni haijafika kwa iyo Mungu kakulinda kwa uwezo wake na unapaswa Kuslimu na kumshkuru Muumba wako
Unataka atoke kwa yesu aingie dini ya majini
😂😂😂😂
@@FrankBella-qe4tjwewe unaesemaDini yaMajini tunaombaAndiko Dini ya majini kwenyekitabu chao wanachokiamini nawewe utupe Andiko Dini Yako Ina itwaje katika kitabu chao unachokiamini tuijue Napia ujue mtu afu Bali mwenyeEnzi mungu ametaka hakunamjanja kwe kifo AtutokeeHapa Hajui kamaSiku Ilikuwa bado syo kwa Ajili ya kanisa
Atukuzwe Mungu wetu aliyemwenye nguvu na uweza wote. Jina la Yesu lihimidiwe kupita majina yote
asilimu😂 aende kwenye pepo ya ngono😂 mwanaume mmoja wanawake 72 wanakulana janah
Kazi uliyoitiwa na kusudi la kuumbwa kwako bado halijatimia
Bwana akusaidie
Wewe ni mtumishi mtarajiwa
Yesu sifa na utukufu ni za kwako,hatugusi hata tone la utukufu wako
Hakika yesu ni Bwana wa vita
AMTUMAINIE BWANA NI KAMA MLIMA SAYUNI HAUTATIKISIKA MILELE
Amen
saf, kumbuka kunisubscribe
Pastor kajiongeza na kakanisa,na kaacha uigizaji
Johari njia panda ....nimekuona bwana
Ongela umeokoka
Was GOD’S Plan to save you
Samahani, huyu mchungaji sio yule pastor wa kwenye muve za kina kanumba
Ndio yeye
Niyeye.
Niyeye
Kweli kbs baba
Mungu mwema mno
Zaburi 91. Ukimpenda anatuokoa
Dada, unatuchanganya acha!
Umeonaee... Mara alikuwa Chini, mara akawa juu... Mara hajasikia Na liko pembenii kwelii ata nashindwa mwelewa baado ana presha
Sasa ulikuwepo au ungekuwepo
Alafa unapata watu wengine wanasema Mungu ambaye tunamuabudu sio wa ukweli kama sio Mungu dunia aingekua na watu ebu tumukimbilie Mungu kila wakati 🙏🙏
Daa
Ndouyo alokua anaigiza nakanimba
Mzee wa maombi
Cjaelewa. Heri ukae kimya mara mteja wa singida yaani hijui kujieleza. Mwambie arudie tena
Wameanza bado tu wajitokeze wanaodai walikuwa wachawi na waliosababisha ghorofa kuanguka😊😊
ila wamaanisha nini mamshika😮😮
Na ni wachawi waliolifanya lianguke.
N jambo la kushukuru sema siku Yako ilikua haijafika tu
Mbona kafanana na mwigizaji wa enzi za marehem sitivin kanumba alikuwa anaitwa imaniel miamba
Ni yeye ila kwa sasa ni mtumishi
Ni yeye pastor Myamba Sasa hivi ni mtumishi wa Mungu 🙏🙏💯
Ndiyo yeye
Ni yeye kabisa alishakuwa pastor mkubwa na anakanisa lake kabisa
Acha hizo ww usiingize mambo ya kuslim Mungu ni mmoja...nyie wenzetu mna matatizo gani???
Ushuhuda wa huyu dada haueleweki
makafiri ni 00000 kifo kipo palepale hata mkiomba mtakufa tu
Ww ndo kafili utaanza kufa ww
HABIB URASA WEW NI ZAID YA MKUNDU
We Malaya HABIB URASA INA MAANA WW HAUTAKUFA
Kuna kifo cha Mungu na kuna shetani anafanya yao. Wewe ndo kafiri mkubwa na mnaabudu mwezi badala ya Mungu
Kaka ukafiri na maelezo haya wapi na wapi nduguyangu hata ww unaweza ukapata matatizo lakini wakushukuliwa ni mungu haijalishi jamanii
Hakuna lolote
Ulibahatika tu kutoka sio Mungu. Mungu akutoe wewe wengine wamshinde?
Duh! Kwahiyo shetani ndiye alimtoa?
@judyngowi391 alitoka tu.
@@kaizamulinda633 kwahiyo Mungu hawezi kumsaidia mtu?
@judyngowi391 ni hivi, imagine upo kwenye basi, likashika moto watu wote wakafa ukapona wewe, ni halali kumpa Mungu sifa Kwa survival ya mtu mmoja out of 60+? Mi nadhani tunapona Kwa bahati zetu wenyewe. Ni vema kumwamini Mungu lkn Kuna wakati anakosa legitimacy ya sifa za ukombozi.
@@kaizamulinda633hujui unacho kiongea
Muongo mara mtandao hamn mara nafanya biashara apo mar nanunuaga apo
Katunga uyo akuwepo muongo sana Kariakoo hakuna sehemu mtandao unsumbua muongo uyo mala anasema alikua juu tumuelewe lipi
Kariakoo ipo sehemu mtandao haupo kabisa yan mtu mpaka atoke ndani ndo umpte jarbu kufatilia
@@shabanidaruweshi-jw5jykariakoo ukiwa ndani ya majengo hamna mtandao
Hawezi tu kujielezea
Huyu alikuwa kkoo kweli sema ni WINGA Hana duka, sasa mteja alihitaj nguo kwake ndio hivyo akawa anamfuata then mteja akaomba akachukue nguo underground ya jengo jiran
Kujieleza ni kipaji nyie
Amen.
Wewe ni neema nani
Amen