Dah Unaupendo sana na unaakili ndio maana Mungu amekubariki yani namna umemuongelea baba yako aisee your so brave Mungu atakufungulia milango mpaka utashangaa endelea kubarikiwa
Mungu ni mwema endelea kumtegemea na kumfanya awe wa kwanza katika maisha yako atakuinua sana. Wakati ukifika kuamua kuwa na mwenzi wako akupatie mke mcha Mungu na mwenye hofu ya Mungu.
Waaaao Mungu akubariki sana Majaliwa wakati wa Mungu ni wakati wa Mungu tu akipanga inakuwa endelea kumuishi Mungu amekutendea kupitia serikali imekuwa daraja kupitia mapito hayo na. Mungu ataendelea kukusaidia kusonga mbele Wanadamu ni kuwasamehe tu Tunakuombea
Mungu akubariki Sana Majaliwa hakika maneno yako Yana hekima na busara Kama unavyomtamka Mungu kwenye kinywa chako endelea kumtanguliza yy peke yake kwa kila ulitendalo.Mungu akutangulie ktk kazi yako hiyo akuongoze kwa kila kitu.
Asante sana watu wote mungu awabaliki mlio mpa nafasi kijana uyu mungu awabaliki sanaa kila atua ni ya mwenyezi mungu nawaliokua nae waskate tamaa kila. Mwanadam amepewa balaka zake❤
Barikiwa Sana majariwa ,endelea kumwamin mwenyez mungu ,yeye ni nguzo yako katk maisha yako na uyo uyo mungu unae mwamin ndo kakufanya ufike hapo balikiwa sana
Hiyo ni mipango ya Mungu kufika hapo mshukuru Mungu sna. Lkn mh rais Samia ndio kakujali sna nakkupa shavu kubwa unatakiwa muombee sna duwa kwa imani yako
Wakati Wa mungu ukifika hakuna wa kupinga usijali kuhusu binadam watasema kila kitu saiv mwangalie sana mungu na kuheshim walio kusaidia majaliwa usiwe na Tabia Mbaya usije badilika tuna akuombe tun akupenda zingatia sana hayo jinsi ulivyo usibadilike
Wasaidie na wakumbuke hawo friends but remember who killed Mobad were the friend He trusted. Focus kwa Mungu na familia yako, friend wawepo tu, Kama walikuwa wanafight kupinga favour uliyoipata unazani vinyongo ndani yao vimeisha?. Ishi maisha yako kijana saidia watu lkn kuwa Makininao.
Majaliwa kweli umekuwa Sana na akili yako inakomaa Sasa na unajuwa kujieleza Sana,,mungu akuongozee na akutangulie katika haya maisha,,Kila la heri mdogo angu,,mungu amekuchagua wewe majaliwa,,ndo Ile umelala maskini na umeamka tajili
Nilimfahamu mwaka 2016 alikuja kwenye harusi yangu kama kama dancer huko bkb vijijin kasharu alikuwa na kikundi Cha kutumbuiza Cha nyamukazi alikuwa hatari alikuwa akijulikana kama DOGO MAJAA
Dah Unaupendo sana na unaakili ndio maana Mungu amekubariki yani namna umemuongelea baba yako aisee your so brave Mungu atakufungulia milango mpaka utashangaa endelea kubarikiwa
"Mwanamke mwenye hofu ya Mungu ndio kila kitu" big up kijana
Mungu akubariki mtoto mzr
Kweli kabisa, wakati wa Mwenyezi Mungu ndiyo wakati sahihi👌👍❤
Hongera Sana shujaa wetu Majaliwa Mwenyezi MUNGU aibariki kazi ya mikono yako ❤❤
Amiin🙏🙏🙏
Amiina
🤗🤗🤗
Majaliwa na maji, maji na wew, hongera sana! Talanta yako imekuwa ajira yako🫡
Mungu ni mwema endelea kumtegemea na kumfanya awe wa kwanza katika maisha yako atakuinua sana. Wakati ukifika kuamua kuwa na mwenzi wako akupatie mke mcha Mungu na mwenye hofu ya Mungu.
Maskin mwacheni ajipange bado mdogo
Mungu akutangulie pia kumbuka kumtunza mama ❤
Such a lovely kid unajua kujielezea endelea kumcha Mungu and appreciating your Dad that's good 😊 HONGERA SANA HOMMIE🎉
Hongera sana diver..wewe ni mzalendo haswaa..na umenifurahisha ulivyojibu kuhusu baba yako👏
Kijana mdg sana lkn upo vizuri mnoo kichwani, hekima na busara Mungu amekujalia (Utafanikiwa mnooo mbeleni)
Amen Hakika
Kweli kama Raisi wetu aliyeondoka akili nyingi
@@angelalyimo2862duhh
Mashallah majaliwa mungu akutangulie kwenye safari yako ya kazi mungu alifungua milango yako
Mungu akubariki sana mwanangu ulivojibu juu ya baba yako
Waaaao Mungu akubariki sana Majaliwa wakati wa Mungu ni wakati wa Mungu tu akipanga inakuwa endelea kumuishi Mungu amekutendea kupitia serikali imekuwa daraja kupitia mapito hayo na. Mungu ataendelea kukusaidia kusonga mbele
Wanadamu ni kuwasamehe tu
Tunakuombea
Wow, such a great blessing, from zero to hero!
Hongeraaa sanaaa majaliwa umeongea kwa busara..nimekupenda bureee
Baraka za Mungu Wetu aliye juu zikawe na wewe Majaliwa kila ulalapo na uamkapo 🙏🏿..🫡🫡🫡
Well done brother Majaliwa 👏 Mungu akujaalie sana katika kazi za Mikono yako.......
Majaliwa jamni Mungu akubari zaidi , Mungu akisema ndio hakuna wa kupinga, safi sana kijana shupavu❤
Nampenda sana Mungu. Nafurahi unavyomtukuza Mungu. Unanibariki sana.
Mungu azidi kukuinua hadi viwango vya juu shujaa wetu
Mshukuru mungu sana.Naomba uongeze kisomo ili ufanye mazuri zaidi.huwezi kuzuia maneno yapo na yatakuwepo.songa mbele.
Safi kabisa Mungu akusaidie kupata mke mwenye hofu ya Mungu atakutendea
Mungu akutunze akuinue zaidi usisahau ibada Mungu alikutumia aendelee kukutumia
Ubarikiwe sana mdogo wangu na mungu akulinde mchana na usiku.
Maisha yana kasi majaliwa anaongea kiswahili kizuri na ana mix na kingereza kidogo🤣🤣🤣 hongera sana kaka mungu akujaalie katika kila jambo
Hii ndio growth. Mtu hatakiwi kubaki alivyo muda unavyosogea, kama kuna mabadiliko chanya yafaa u embrace
🤣🤣🤣
Mwenyezi mungu akulinde majaliwa mashallah hapo kwa baba umejibu vizur Allah akulinde ❤
Hongera kwa majibu yako ya hekima mzazi ni mzazi hata kama alikutelekeza
Mungu akubariki Sana Majaliwa hakika maneno yako Yana hekima na busara Kama unavyomtamka Mungu kwenye kinywa chako endelea kumtanguliza yy peke yake kwa kila ulitendalo.Mungu akutangulie ktk kazi yako hiyo akuongoze kwa kila kitu.
Mashallah mwenyezimungu akufanyie wwpes kwenye safar yako ya maisha ❤❤❤❤kijana shupavu
Aiise Nimependa Sanaa Ukiongelea Mungu ndo kilakitu
Mashaallah Tabarak Allah majaliwa Mungu azidi kukusimamia kabisa na akuongoze kwenyebkazi yako tafadhali na Mungu huma amtakae wasingeenda wote.
Maashallah. M/mungu akulinde zidi kumuomba big up
Majaliwa Mwenyezi Mungu ajaalie kheri nyingi,azidi kukuinua mwangu, umesema vizuri kuhusu baba,Mzazi hahukumiwi Barikiwa kijana Jasiri Mzalendo😘😘
Majaliwa keep your head high
Proud of You
Philip here from Mombasa ,Kenya
Hongera sana mwanangu mungu akulinde ukawe wa baraka
Amen mtoto wangu.mungu mwema
amina sana ubarikiwe mutoto wakiayaa wakora majatiwa🙏🙏
Sasa waongee na sahiz maan ushakuwa askari mungu akubariki
Swali gumu ila umelijibu kirahisi sana kuhusu mzee nimependa sana, upendo ni silaha kubwa sana👏👏👏👏
Rai nao uko vizuri Kiongozi
Omukama Katonda akwebembele wa tata, big up bro ❤
Wow,, kijana anajielewa MaashaaAllah,, mungu akusimamilie INSHA'ALLAH wakati wa mgumu ndio wakati sahihi broo
dogo ana akili sana na kama uyasemayo ndiyo utakayofanya nakuombea heri kwa Mungu ili ufanikiwe. hongera sana
Ishi salama majaliwa shijaa na mungu akulinde mkumbule sana mama Yako na kumuombea Aishi maisha marefu
Una akili sana mtoto mzuri mungu akutunze mwanangu
Asante sana watu wote mungu awabaliki mlio mpa nafasi kijana uyu mungu awabaliki sanaa kila atua ni ya mwenyezi mungu nawaliokua nae waskate tamaa kila. Mwanadam amepewa balaka zake❤
Mtoto mzuri sana Mungu akuinue zqidi endelea kuwa mnyenyekevu, Mungu huwapinga wenye kiburi
Majaliwa hapo Kwa Mzee alivojibu nampongeza sana
Huyo nitaita asante kijana mungu akuongezee bidii natamani ue mjeshi mkuu
Hongera sana Kijana. Nimependa hiyo "line now" ☺️☺️
Dogo anajitambua tumuombee kikubwa tunahutaji vijana wanifunze kwa Huyu kijana
Barikiwa Sana majariwa ,endelea kumwamin mwenyez mungu ,yeye ni nguzo yako katk maisha yako na uyo uyo mungu unae mwamin ndo kakufanya ufike hapo balikiwa sana
Dah kyoma mm nimekuelewa safi sana hicho hicho kdg alichokusaidia baba unampenda huo ndo uanaume mama zetu wanatupotosha kwa hasira zao wenyewe!!!
Fanya kazi vizuri umtunze mama vizuri kijana
MtumAin sana mungu kumbe unajua kuwa nimu gu Katenda,MtumAin sana mungu,,
Hongera sana majaliwa nataman nikuone live mdogo wangu Allah akuhivadh ufanikiwe zaid
Umeongea kismet mungu akupe maisha marefu.
Nafurahi mno unapomtaja Mungu kila neno.verry nice.
Mwanamke mwenye hofu ya Mungu ndo kila kitu
Ana hekima mno Mungu akutunze sana
Maa shaa Allah Allah akuzidishie dogo wangu mpenzi🤗🤗😍😍
Hallelujah mungu nimwema kikubwa mtangulize mungu kwa kila jambo achana nawatu mdogo wangu
Kweli majaliwa mdogo umekuwa,Mungu azidi kukuinua
Kweli umekua,nmependa ulivyojibu kuhusu baba
Njia za Mungu hazichunguziki kbs na mawazo ya Mungu sio mawazo yetu, hakika kijana Mungu amekuketisha na wakuu
Kijana mwenzangu Mungu akitujalie Kila hitaji la moyo wako lipate kutimia
Mungu akutangulie,
Sijui kwanini nafurahia hii interview jamani hongera sanaa.
❤❤❤Tunakupenda cna Majaliwa Mungu asimame naww
Dogo safi sna unajua kumtumikia mungu everything is god
Ashajua na kiswahili majaliwa, Mayo muno kyoma
Hiyo ni mipango ya Mungu kufika hapo mshukuru Mungu sna. Lkn mh rais Samia ndio kakujali sna nakkupa shavu kubwa unatakiwa muombee sna duwa kwa imani yako
Asante kijana Utafika mbali sana yamkini alikuwa hana
Mashaallah Mungu akubariki meanetu
Wakati wa Mungu ni wakati sahihi.Hongera bro
Mungu abariki kazi ya mikono yako
Salute kwa shujaa wetu mTz, hongera sana majali.
This guy is so wise
Hongera Cana mungu akutangulie
Right now ...majaliwa is the best
Hahaha right now 😂😂
You are great. Ila usiige kuongea Kama wasanii yoyoyo nyingi. Kuwa tu na kiswahili cha kawaida na discipline ya kiaskari. Utafika mbali
Majaliwa mtoto wetu mungu azidi kukulinda baba
Mshukuru Mungu na Mama wa Taifa
Asante mama Samia.
Wakati Wa mungu ukifika hakuna wa kupinga usijali kuhusu binadam watasema kila kitu saiv mwangalie sana mungu na kuheshim walio kusaidia majaliwa usiwe na Tabia Mbaya usije badilika tuna akuombe tun akupenda zingatia sana hayo jinsi ulivyo usibadilike
Hatiamae kaka imemfikia lainau bifoo na bikozi😂😂😂all in all hongera kaka umeupiga mwingi
😂😂😂
🤣🥰
Waitu waitu ndo sisi wahayaaaa nshomile.😅
Ndio sisi wahaya☺️☺️☺️☺️☺️
😂😂
Mungu akubariki na azidi kukuinuaa i love someone that recognizes God in their path
Allah akufanyie wepes mdogo wangu
Mungu aendelee kukulinda Majaliwa. Mtoto huyu ana akili sana natamani aendelee na masomo
Jana naanika dagaa Leo nakunywa chai bungeni Ahsante YESU.
yani kinamaisha yanakujaga bila kujua mungu nimwwma sana na akusimamie kijana nimesikia kakingerezaaaaaaaaa kea mnariiiiii
Majaliwa Neema ya Mungu imekubeba🔥🔥🔥hongera sanaaa
Wasaidie na wakumbuke hawo friends but remember who killed Mobad were the friend He trusted. Focus kwa Mungu na familia yako, friend wawepo tu, Kama walikuwa wanafight kupinga favour uliyoipata unazani vinyongo ndani yao vimeisha?. Ishi maisha yako kijana saidia watu lkn kuwa Makininao.
Thanks right now
Hongera Sana kaka Mungu akupiganie zaidi ndg yangu
❤ nakupenda Kwa upendo wako, ila kaakingereza 😅unadumisha kaanyumbani, yote kwa yote ubaririkiwe sana.
Majaliwa kweli umekuwa Sana na akili yako inakomaa Sasa na unajuwa kujieleza Sana,,mungu akuongozee na akutangulie katika haya maisha,,Kila la heri mdogo angu,,mungu amekuchagua wewe majaliwa,,ndo Ile umelala maskini na umeamka tajili
Mungu azidi kukutangulia mjukuu wangu kwa kila jambo.
Amina,,Mungu yu mwema
Hongera sana majaliwa
Mungu azidi kukupigania kwa viwango vya juuu🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥
Majaliwa ana busara sana. Mungu akutunze kijana.
Nilimfahamu mwaka 2016 alikuja kwenye harusi yangu kama kama dancer huko bkb vijijin kasharu alikuwa na kikundi Cha kutumbuiza Cha nyamukazi alikuwa hatari alikuwa akijulikana kama DOGO MAJAA