wow,ya kikwete ameipatia sana,sana.polepole hata ya mh,magufuli pia ataipata, uncle una kipaji,kiendeleze zaidi kitakutoa.naitwa mariam fritsi nipo uswis,14.3.16.
ukifika wakati wasomi wa nyumbani wajiajiri kwa karama Mungu alizo wajaalia kama Jamaa hapo. mtaji si pesa, ni akili na watu wanao tuzunguka. God bless this innocent nation!
+Zephania Boniphace kawapatia wote, ila kwa kikwete, bahati ni kwamba hata sura pia, na yeye analitambua hilo, ndo mana kavaa miwani kwanza, ndo anafanana sana, kisha kauwa kicheko na mapozi ya kikwete.
Hahahaha big up sana jamaa ametisha.mtu mwenye hatawahi kunichekesha maishani mwangu mwote hatanikishikiwa bunduki kichwani ili nicheke nawala sitocheka ni idris sultani jamaa haambatani kabisa nauchekeshaji.hihihihi
kipaji ni kitu ni kitu hatari sana, daaa huyu mshikaji nimemfurahia sana, nimemvulia kofia alipomuigizia Anna Makinda, RESPECT MAN.
nimekuku Bari
Nice
Kwaya sda chulch
Hahahahaaaa. Kaka. We. Kiboko
Yuko poa saana.
Kwa ushauri wangu endelea kuigiza sauti ya mh.kikwete ya magufuli muachie baraka magufuli
Baraka ndio anaweza vzr saut ya maguu huyu aendeleze ya jakaya na Nyerere yupo vizur sanaa
Kampatia kikwete sana...... mikogo na ukunaji kichwa, pia alivo muita miladi.... Big up. pia Nyerere kampatia
Jamani ya kikwete 100% na matendo duh,safi sanaaaa
I love Jesus √√√
tumemic jakaya kikwete
Kikwete nomaaa sn
Huyu kijana ni mtundu sana, big up more
This guy is so much talented, May God bless him.
Kweli huyo jamaa ni artist wa ukweli
Hahahaaa...Tz tuna vipajiiiiii...Am proud of my country...
Rabin Lacha sanaa
Aisee jamaa yuko vizuri sana!!! Uwiiiiiiiiiii mbavu Zangu mie
Anna makinda & jk jamaa yuko vizuri.
niceee sauti ya jk ameipatia kama upo.pamoja nami gonga like hpa
wow,ya kikwete ameipatia sana,sana.polepole hata ya mh,magufuli pia ataipata, uncle una kipaji,kiendeleze zaidi kitakutoa.naitwa mariam fritsi nipo uswis,14.3.16.
Namsikiliza jamaa huku simuangalii.... yaani naiona sura ya JK kabisaaa... kiufupi kamuiga JK mpaka kampita hahahhaa
Hongera jk comedian unaweza endelea hivo hivo mungu atakusaidia
2019 wangapi tumeitazama
Wallah ww jamaa noma kikwetee umempatia sana tena mnoo he unakipajii mashaLlah
Amempatia kikwete lakini kwa JPM aendelee kufanya mazoezi hajapatia swaga za JPM. hiyo iko laini sana
anaweza kampatia kikwete hatar
Ongea wew kama kazi ndogo
KATISHA SANA ... ilakampatia sana MH JOHN POMBE MAGULI
'A TALENTED YOUNG COMEDIAN' ADD EFFORT MAN
Uko vizuri Jk comedian, huwa napenda kukuangalia mara kwa mara hasa nikiwa bored, keep it up broo, na Mungu akutangulie
Kwa kikwete hahahahahaha 100%
Vituko
Yupo Baraka MAGUFUli
Kwa mbali nimemuona ruge n kibonde mungu awalaze mahal pema pepon amin
KWELI INAKUMBUSHA HAWA WATU UKIANGALIA HII CLIP KAMA WAPO DUNIAN MITANDAO INAWEKA KUMBU KUMBU SANA
Jamaa yupo vizur sana. Aendelee atatoka one day
@Shadraka Iddhiiiiiii
keep up your intelligent of course your talented and gifted people
Kama unaangalia 2020 na umemuona ruge gonga like, R I P baba
Duh nimemkumbk luge
Uko vizuri Sana, mungu akuinue
Jamaaa katishaaaaaaaaaaaaaa nimemkubali 99%😍😍
ukifika wakati wasomi wa nyumbani wajiajiri kwa karama Mungu alizo wajaalia kama Jamaa hapo. mtaji si pesa, ni akili na watu wanao tuzunguka. God bless this innocent nation!
Big ap namuona marhem Ruge ......kazi nnzuri jk
farida bakari ruge
Yani nimemuona kibonde na ruge Mungu azilaze roho zenu panapo stahili Amen
nyerere na jakaya nice ila jpm bado kidogo
ipo pw sana sauti ya kikwete
true
Siyo kipaji cha kawaida. Hongera sana kijana.
gonga like za kutosha kama kikwete kampatia kwa 800%
+Zephania Boniphace
kawapatia wote, ila kwa kikwete, bahati ni kwamba hata sura pia, na yeye analitambua hilo, ndo mana kavaa miwani kwanza, ndo anafanana sana, kisha kauwa kicheko na mapozi ya kikwete.
daah kweli
+ROBERT TOSY well robert
B AND BW FREIGHT LTD upo vizuri
B AND BW FREIGHT LTD tumche allah
Wao..nimenotice hapo kuwa JPM alikuwa mtu wa imani sana hadi hapo kasema "nikasema mniombee".... Ila amempatia sana Mh Kikwete
JK ndo kamuigilizia vzur zaid.
kikweteee ameivaa sana ingawa kwngne ajaboronga
Upo
Yees
Yuko vzr sana kwa jk hasa pale aliposema nimefarijika kwa hilo
Kikwete kabisa
Am from Kenya but this guy can change his tone nicely
Gladys Al yuko.vizul
Gladys Al
Hapo pa kikwete umefu ni ka yan n 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
hongera sana kwa kikwete kama zote100 unaweza mbavu zangu hadi zinauma
hongera sana kwa kipaji icho,aiseee unatisha hakuna kama ww
Marieta Cristovao kipo
Millard ulfurah sanaa yn nmechekaaa sanaaa BT ya kikweteee kaipatiaaa sanaa
kazi nzuri brother
Baraka unaweza mungu akusimamie katika kipaji chako
Nice......kikwete na nyerere
tuntu Google xzon
kutombana
huyu broo big up sana sauti ya kikwete kaipatia sana hata sura yake mm naona km anafanana kikwete.
Nimecheka sana jmn kaka hongera kwa kipaji
Asante sana ndugu
Rest in peace ruge & kibonde
yaaah kweli ase kikwetee... Ruge Mutahaba pamoja na Efraim kibonde.... rest in paradise
Nimemuona kwa mbali RIP RUGE MOUONGOZA NJIA
Wow wow I'm so jealous for that but for sure congrats 👏👏👏👏👏👏👏👏👏
amazing.....tz oweee!
Mko pouwr kwa ujumbe mzuri .endeleen kuhudumiaaa jamiii
nicely done kk... bt JK kwa sana
da we HATARI xna
nice
mungu ambariki anaweza
KIKWETE 150%, DR JP 50% KWASABABU BADO HAJAPATA CHARACTER ZA JP AKIKOMAA KIDOGO ATAMPATIA
Kwa Mbaliii Namuona Marehemu RUGE Pumzika Kwa Amani Brother
umetisha
HAmna kazi humu
Upo sawa zaidi kwa kikwete brother...
Daaaah jamaa kauaaaa yaaan kikwete ndo kampatia hatar😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😀😀😀😀
oggggg
2020 who is stilling watch this RIP RUGE&KIBONDE
Jamaa kafunika sana 2021 tujuane kwa likes
keep it up brooo kwa jk umeuaaa sanaaa.....
We ni noma umeua kwa kikwete
Kipaji ukikitumia vizuri hakika utafanikiwa hutaona ugumu wa maisha. Jamaa namkubal 100% kaigiza vizur sauti za viongozi wetu hasa sauti ya JK
Nice nawezaje kumpata huyu jamaa
Kim un
Kachemuka sauti ya magufuli
yupo vizuri knoma........big up
du jmn mung akubaliki
Tisha sanaaa.... asante #Miladayo Tv kwa kutupa vitu ambavyo tulikua hatuvipati mwanzoni
Niko naiangalia 2020
loh! Vipaji adimu hivyo.. Mungu ambariki sana.
nomaaaaa umetisha baba
Hahahaha big up sana jamaa ametisha.mtu mwenye hatawahi kunichekesha maishani mwangu mwote hatanikishikiwa bunduki kichwani ili nicheke nawala sitocheka ni idris sultani jamaa haambatani kabisa nauchekeshaji.hihihihi
ahahahaaaaaa
yani kampatia Kikwete kabisaaaa hta appearance yk
Hongera umeweza Kwa wote🔥🔥
Great talent
We noma Mzee ilaanko magu muachie baraka
Nyerere ndio mpango mzima
Broo uko noma! Big love from Germany,
Namuona Millard Ayo kwa mbaaali😂😂
daaaaah....
kwa kikwete kaaaauaaaaaa....
daaaah... mpaka vitendo vyake daaah...hongera kwake
kiukweli katisha saana of coz yup vzur
T.Dullah
K]uiweli kaka nakukubali cn😂
yupo sawa
amepatia kikwete tu hao wingine naona kawaida tu. hongera kwa kipaji
Ruge was smiling 😁🤣😂
Benoit2 Niyukuri1 mbowe
Duu hongera kaka umetishaaaa
duh huyo jamaa sio wa nchi hii ametisha shikamoo yake
powa
Weka like kama umemuona luge dunia mapito 2020
The
JK kampatia sanaaa! 😀😀
Hakika kaka yuko vizuri saana. Kama ni ipaji unacho...keep it up bro.
anatisha kwa kikwete dyuuuii,
Rose Urio o
Rose Urio
umetisha mnoo n stive umemuwacha mbali tu mbonaaa 😂😁😀
mmmh hapo kwa kikwete kaua bendi
well
Unatisha sana jamaa
Ramadhan Juma
Uko juu sana kaka
and has done better with JK's voice than JP
daaaaah upo vzr nimekuelewa good bro keep it up
He is really talented!!
daah jamaa kamuonea jk kweli kweli big up boy
Daah hatar sana
dah kwa JK... yuko swafi kwelikweli
+Davis Tibbz kwa jakaya kapatia
Davis T.
Kwa kikwete ndugu yangu umeua hongera Sana jamaa 🇹🇿
yupo vizuri big up
nimekukubali jamaa
Mungu ailaze roho ya marehem ruge R.l.p