Asante Sana daktari hakika umekuwa na mchango mkubwa Sana katika Maisha yangu nimekuwa nikijifunza mengi Sana kutoka kwako hakika nami nitakuwa Bora na nitakuwa na mahusiano Bora na ndoa iliyobora Mungu akutunze na kukulinda kwa ajili yetu sote. Nakupenda Sana
Namba nne niyamtu wangu kabisa na nashindwa kumuacha lkn nikweli najua lazma kunamtu anampa mda wake lkn kumuacha nashndw ,,,,,asanteh doctor tajtaid mana ni miaka miwil sasa lkn mimi ndo napambania sana penzi hili kuonana me niombe,,, kumtafuta mimi ndo nimtafute ye nimara chache sana dah nimevumilia izo tabia zake miaka miwili nw lkn abadiliki
Yaani mungu amlinde huyu kaka jamani anamaono na m beba maono hafi lazima yaonekane mbona kama umeingia kwa uhalisia wa maisha magumu wanayoishi watu kwenye ndoa zao? Duh mungu akulinde sana❤❤❤❤
Yote hayo nimeyapitia lakin mpk sasa moyo ushakufa ngazi,,,naomba uzungumze je na hii tabia ya mtu kugombana anakushikia silaha ,, badae anakwambia alikuwa anakutishia tu ni Zaid ya mara Moja sasa nimeamua kumove on kwaz dah,,😢😢😢
Yaan doctor Mungu akubariki sana na akupe maisha marefu umeniponya tena Sana kuna topic yako uliirusha inasema dalili za mahusiano feki ki ukweli nilikuwa kwenye mahusiano ambayo yalikuwa yakiniumiza sana baada ya zile dalii ulizozitaja mtu nilokuwa naye kwenye mahusiano alikuwa nazo nimejitoa baada ya kunifundisha asante Sana baba kwan umeniponya na sasa niko huru Mungu akupe miaka ya furaha na amani uishi miaka 120 uone wana wa watoto wako
Kweli ndugu Mauki🙏niliolewa na mwanaume mwenyevtabia za kupiga na kudharau wanawake nilidhani Upo cku atabadilika,ajawai kubadilika ndo amekuwa mbaya zaidi na amenitelekeza na watot 2 na tayari kazoa mwingine,
Tunashukuru ku mafundisho my pasta but hata kama unamupenda usidanganywe hakiwa mulevi hama mushipuko hama mwinzi nibigumu yeye kubadilika je kitu ambayo auvumiliye mu uchumba je mu ndoa unaweza kuyavumiliya kwasababu yote inaziyaka mu uchumba namahana ya upendo ni nini nini kwasababu upendo inavumiliya inasamehe haijivune haisabu mabaya etc
Mpenzi wangu alikuwa na tabia tatu za mwanzo, kwakweli nilikuwa naishi kama nipo jela ma maisha yalikosa ladha kabisaaa 😂 Najipongeza kwa sababu niliweza kumuacha mapema sana kabla mahusiano hayajafika mbali
Jamani uwiii mbona tabu mimi sijaingia kwenye ndoa lakini mtu nilienae ni mlevi na alinambia kabitha usipende kujidanganya kuwa tabadilika wakati umenikuta mimi ni mlevi ko wewe inatakiwa uamue kama utaishi na mimi sawa na nakupenda ila sasa nashindwa kumuacha na sielewi maana ameshaniambia vingi sanaaa akimaanisha nisije kulalamika mbeleni duuuuh sielewi
Dr. Chriss je kama huyo mtu wakati mimi namjali anakua yupo bize halafu nikikaa kimya na yeye anakuja anajali kabisa kama hakuna kilichotokea hiyo inakuaje na anafanya hivo sio mara moja ata ukimwambia
Asante Sana daktari hakika umekuwa na mchango mkubwa Sana katika Maisha yangu nimekuwa nikijifunza mengi Sana kutoka kwako hakika nami nitakuwa Bora na nitakuwa na mahusiano Bora na ndoa iliyobora
Mungu akutunze na kukulinda kwa ajili yetu sote. Nakupenda Sana
Hiyo ya mwisho inamuhusu mtu Asante Sana mauki kwakuniongezea experience
Najuta kuchelewa kukufahamu doctor mauki dah,, nahitaji ushauri sana Mimi moyo ushakufa ngazi😢😢
Naelewa hii doctor
Namba nne niyamtu wangu kabisa na nashindwa kumuacha lkn nikweli najua lazma kunamtu anampa mda wake lkn kumuacha nashndw ,,,,,asanteh doctor tajtaid mana ni miaka miwil sasa lkn mimi ndo napambania sana penzi hili kuonana me niombe,,, kumtafuta mimi ndo nimtafute ye nimara chache sana dah nimevumilia izo tabia zake miaka miwili nw lkn abadiliki
Tunafanan na ivyo ivyo
Tunadanganywa wengi Mapenzi haya
Hanampango na wewe,mwache taratbu huku upo naye,hakupendi hata na atakuacha tu hata ipite miaka 6
Daaaaah! Pole Ila daaaah!
Kusema ukwel doctor @chris kuna watu asili yao kubadilika ningumu
Mungu akubaliki Dr kwa ushauri wako Yani niliye kuwa nae kabadilika sana Niko buys mara maisha magumu nimeamua kumove imebaki Salam tu
Ahsante kaka nimejifunza jambo... Mungu akuzidishie
Haya maisha unaweza dhan kuna mtu amepewa historia ya mahusiano yako, kumbe wala nashukuru niliaamua mwenyewe kuwa huru God bless you Mauki
Yaani mungu amlinde huyu kaka jamani anamaono na m beba maono hafi lazima yaonekane mbona kama umeingia kwa uhalisia wa maisha magumu wanayoishi watu kwenye ndoa zao? Duh mungu akulinde sana❤❤❤❤
Asante mungu akutunze kwajili yetu sisi tunaohangaika kupenda wasiotupenda
mmmh kaka,point zako zote zimegusa maisha yangu ya ndoa, asante kwa somo umenifumbua baadhi ya mambo
Asante sana ubarikiwe sana kweli 🎉
Nimekuelewa vizuri baba Mungu akutunze.
Asante dr ndio yananikuta Asante kwa kunifungua
Yaaani kama unaniongelea Dr Chris
Shukran sana
Mungu akubariki Doctor hakika umenifunguwa akili yangu niliishi hayo maisha saaana.
Congratulate to you Dr good job ✌️
Asante sana doctor kwa ushaur mzur
Kweli kabisa daah !!! Nyani ni nyani tuu hawezi kuwa mbwa
ooh mungu wangu mbona hiyo ya kwanza imenichoma mnoo kwaiyo hawezi kubadilika jmn me najua ipo siku ata acha😭
Ubarikiwe sana mtumishi Maana najifunza mambo fulani kutoka kwako
Thnk boss b blssd for th great msge I hav learned
1.usinidanganye atabadilika
2.wivu mkubwa ndio kunipenda
3.kukutenga baadhi ya watu
4.busy sanaaa
Shukrani sana Dr.Chriss
Yote hayo nimeyapitia lakin mpk sasa moyo ushakufa ngazi,,,naomba uzungumze je na hii tabia ya mtu kugombana anakushikia silaha ,, badae anakwambia alikuwa anakutishia tu ni Zaid ya mara Moja sasa nimeamua kumove on kwaz dah,,😢😢😢
Be blessed kwa kutuelimisha
That was my previous relationship...and I thank God mahali niko sai......I professie to God all 3 steps of relationship 🙏 inshallah ❤
Mungu akubariki saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana Dr.
Ipo haja ya kusililiza wanasaikolojia kabla ya ndoa😢😢 sasa nivumilie tu mada zako sasa zanigusa kati tayari nimeingia kwenye ndoa😢😢😢😢😢
Duu kakaumegusa sana maishayangu namumewangu tunavyo ishi nihivyo
ukweli kabisaa,I agree with you 🙏🙏
Powerful sms be blessed
Yaan doctor Mungu akubariki sana na akupe maisha marefu umeniponya tena Sana kuna topic yako uliirusha inasema dalili za mahusiano feki ki ukweli nilikuwa kwenye mahusiano ambayo yalikuwa yakiniumiza sana baada ya zile dalii ulizozitaja mtu nilokuwa naye kwenye mahusiano alikuwa nazo nimejitoa baada ya kunifundisha asante Sana baba kwan umeniponya na sasa niko huru Mungu akupe miaka ya furaha na amani uishi miaka 120 uone wana wa watoto wako
Kweli ndugu Mauki🙏niliolewa na mwanaume mwenyevtabia za kupiga na kudharau wanawake nilidhani Upo cku atabadilika,ajawai kubadilika ndo amekuwa mbaya zaidi na amenitelekeza na watot 2 na tayari kazoa mwingine,
Duh mungu anisaidie mm
Fact sir hii imeshawah tokea kwa life yangu
Excellent topic
Hizo ndo tabia za mme wngu mtalajiwa Ila ngja nijiongeze mapema
Ubarikiwe umenifundisha kitu
Asante saaana mungu akubariki mpendwa
Asante sana Dr nimejifunza kitu hapo
Thanks dady
Asante Chris
Bora nilikimbia mapemaaa, barikiwa sana,
Nakupataje we baba nitoe madukuduku yangu
Asante brother
Asante kwa mawaitha ❤❤
Tunashukuru ku mafundisho my pasta but hata kama unamupenda usidanganywe hakiwa mulevi hama mushipuko hama mwinzi nibigumu yeye kubadilika je kitu ambayo auvumiliye mu uchumba je mu ndoa unaweza kuyavumiliya kwasababu yote inaziyaka mu uchumba namahana ya upendo ni nini nini kwasababu upendo inavumiliya inasamehe haijivune haisabu mabaya etc
be blessed pastor
Nakuelewa Mauki nakuelewa kaka
Kwakweli uko sawa kaka
Na aende tu kwa kweli, ninachoshukuru hata sikuwahi kumpa mwili wangu ,maana angeniachia majanaba ambayo yangenitafsiri sawa nae.
Nimeipenda hii 😭❤ asante sana my brother
Umenifunza kitu baba yangu nashkur sana kwa ushauri wako
Duuh,dr hyo ya 2 na3 inamuhusu mtu wang ila nashukur Mungu nili move on mapema
Well said
Amina mtumishi namba mbili umenielimisha Sana kwa sababu itakuwa Siri yangu😭😭
❤god bless u
Kweli kabisa hz point zote ni sahihi
Dalili ya pili na ya tatu jmn khaaaa Namshukuru Mungu dada angu ametoka kwenye hiyo ndoa
Wewe jamaa Sina neno juu yako ila Mungu akuzidishie sana unanigusa sana mmi
Asante baba
Nakubaliana na wewe 100%
Hii ni Mara yangu ya Kwanza kukusikiliza kiukweli haya Mambo 4 yote nayaona kwangu na tayar Niko kwenye ndoa takatifu ,sijui nifanyeje
Doctor nimekusikiliza kwa umakini lkn mm nampenda sana lkn yeye kunijali hakuna nikimwambia shda zangu hanijali anakaa kimya nahanitafut hata siku 3
Nashukuru sana 🙏
Hii ipo kwa mwanaume wangu😢😢😢 kabisaaa
Yaani hizi tabia za ex husband nashukuru sipo tena huku . Na maisha yanaenda.
Tabia za ex bwanangu hizo😭😭😭
Hakika yote ni ukweli mtupu unaongea ,Mungu akuzidishie maarifa zaidi uzidi kutulea baba .
Mpenzi wangu alikuwa na tabia tatu za mwanzo, kwakweli nilikuwa naishi kama nipo jela ma maisha yalikosa ladha kabisaaa 😂
Najipongeza kwa sababu niliweza kumuacha mapema sana kabla mahusiano hayajafika mbali
Da nimeumia Sana yaani Kaka umeongea ukweli mtupu nimejiona nimechelewa kukufwatilia
Thank u
Asante
Naam kwel 😢😢😢😢
Powerful mind 🙏🙏
Hahahah kwenye Figo na bandama,,,, barikiwa mtumishi wa MUNGU
Kabisa umeongea point
Kaka kris mimi nakutafuta Nina shida sana
Hapo ni kweli kabsa ex wangu alikua na hiyo tabia hta kwa mmake hataki nikae nae😢😢
adi kichwa kinaniuma maumivu sana moyo wangu umechomwachomwa yote napitia kwa mchumba wangu natunaishi wote na nishazaa
😢Asante
Somo zuri
Aante sana
Ubarikiwe sanaaaaa
Very true doctor
Hizo tatu tuziache ila hiyo ya nne 🤭ndo penyew hapo nilijua kabisa doctor asante
Jamani Dr Mauki ubarikiwe, nimechoka ghafla niliye nae ana yote uliyoyazungumza
Aisee huyu ni wangu
Kwel De iyonikwel kbs mwanaume wangu iko naizo tabia
Somo lako zuri San Yan
Kweli kabisa
Nimekuelewa kaka
Kama umeniona jaman
👏👏👏👏👏👏👏
🤣🤣🤣 Asante sana Dr Chris nmekuelewa vzr
Hiyo nikwelii kabisaa mauki MTU yupo busy hata kusoma massage Tu hawezi hiyo siyo kwelii naamini kabisa unayo sema
Daaaaaaah brooooo
Yaaani huyu umemzungumzia apa ni mim kabisa😥😥😥
Jamani uwiii mbona tabu mimi sijaingia kwenye ndoa lakini mtu nilienae ni mlevi na alinambia kabitha usipende kujidanganya kuwa tabadilika wakati umenikuta mimi ni mlevi ko wewe inatakiwa uamue kama utaishi na mimi sawa na nakupenda ila sasa nashindwa kumuacha na sielewi maana ameshaniambia vingi sanaaa akimaanisha nisije kulalamika mbeleni duuuuh sielewi
Mhuuuuu ya mwisho imegota vzr
Dr. Chriss je kama huyo mtu wakati mimi namjali anakua yupo bize halafu nikikaa kimya na yeye anakuja anajali kabisa kama hakuna kilichotokea hiyo inakuaje na anafanya hivo sio mara moja ata ukimwambia
Docta naomba no yak nikchek make 1,,4 yote umezungumzia mim tayal nipo kwene ndoa au naitaj ushaul
Asante sana
Hiyo point ya mwisho ni ya wajina wako chriss
Very true thanks 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Mh asee Kam vile ulikuwepo bro😢