Chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika ni wanandoa wenyewe, malezi, kwa ujumla ni changamoto, anzia kwa mwanamke mpaka mwanaume hivyo msihamishe makosa ya wanandoa. Kwa wanandugu. Mnazidi kuyakoroga tu,
Vipi na bint akiolewa hataki family ya mume Wakija wazazi wa mume mke anakasirika, pengine mume alikuwa anawasaidia wazazi wake, lakini akifika mke anamkataza Semeni pande zote
Hapo wengi sio kuchukia ndug wa upande wa pili tatizo wanakuja na command zao na wanataka kukucomand hv umeolewa na wangap hii tatizo na kila unachofanya hata kiwe kizur ni kibaya tuu hii tatizo na hapo ukute mwanaume anaegemea ndug zake hii ratizo a wengi hawataki mkae nwanaume auluze mke ongea ndug ongea ajue shida nini atatue kwa uwaz mbele zao nafhan ingekuwa poa kwa wengi
@@PendoXavery . Hakuna mke anaeolewa akiwa na chuki ya kuchukia nduguwa mume. tatizo wanaume wengi hawajui kuacha maisha ya zamani na ndugu zao ili waanze upya familia yao. wanataka kama walikua wanawasaidia waendrlee hivo hivo. . mume umeoa sasa ndugu zako wakiwa na shida wanatakiwa kumwambia mke wako . mke aje akuambie muone mtasaidiaje. kama ni pesa mkubaliane na mke kiasi halafu mpe mke awape. otherwise, hawataona thamani ya mke wako .watamdarau. na wakimfharau, mke atawachukia.
@@zayanazayana5518 kuna wanaume vilaza mpaka wana saidia familia zao kwa siri. na hizo familia zinajua kabisa kijana wetu hutusaidia kwa siri mkewe asijue. sasa unafikiri mkeo akijua atafurahi? hapo ndo chuki huanza. zikianza sasa wanatafsiri eti hataki nisaidie kume mume alikosa akili . nandugu nao wasema mkewake mbaya hataki atusaidie ndo maana tuasaidiwa kwa siri. kuna wanaume vilaza mpaka wanawaambia ndugu zao eti mke wangu anawachukia. wanakua chanzo cha magomvi
Nampenda sana Mr. Mauki❤❤❤❤❤❤❤
Ila kwenye Hilo swala la marafiki ni ujinga mume akiwa mjinga ndio basi Tena ndoa hakuna
Shukran lavidavi
Kabisa kabisa hapo ni shida
mi mchaga ila tangu nkiwa mdogo sijawahi kutaka kuolewa na mchaga
Nimepata ukakasi kuelewa kwamba kuchepuka na mawifi
Ilibidi iwe
Kuchepuka mkato alafu mawifi
Bila mkato ni maana nyingine kabisa
Mauki naomba uanze na Diva maana naona issue ya ndg,mawifi na wakwee amairudia sana huenda ilmfanya kitu.
Kweli 😂
Chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika ni wanandoa wenyewe, malezi, kwa ujumla ni changamoto, anzia kwa mwanamke mpaka mwanaume hivyo msihamishe makosa ya wanandoa. Kwa wanandugu. Mnazidi kuyakoroga tu,
uko sawa. wanandoa wakishikana wakawa wamoja, wifi ,mama mkwe nawenginevhata wawe wakorofi ,hawawezi kuvuruga ndoa.
mwanandoa ndo anafungua mlamgo.
@@DativJoakabisa
Umenena vyema sana
Vipi na bint akiolewa hataki family ya mume
Wakija wazazi wa mume mke anakasirika, pengine mume alikuwa anawasaidia wazazi wake, lakini akifika mke anamkataza
Semeni pande zote