HOJA MEZANI || Mahojiano maalum Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Kanda ya Nyasa

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 чер 2024
  • Mahojiano maalum Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Kanda ya Nyasa,Joseph Mbilinyi juu ya siasa yake katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi.

КОМЕНТАРІ • 18

  • @user-xi2mf4xh7r
    @user-xi2mf4xh7r 18 днів тому

    Sugu nimekufuatilia sana sijaonaukifeli uko vizuri sana.

  • @emmanuelalfred140
    @emmanuelalfred140 Місяць тому +1

    Next time wekeni utaratibu wa kinywaji chochote ni vitu vya muhimu kwa binadamu😎

  • @williamgeorge-hd2tn
    @williamgeorge-hd2tn Місяць тому +1

    ✌✌✌

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything Місяць тому +1

    👊👍✌️.

  • @godfreykomba3086
    @godfreykomba3086 25 днів тому

    Pamoja jembe

  • @BIGCHENDREADLOCKS
    @BIGCHENDREADLOCKS Місяць тому +1

    Sugu moto chini

  • @Eng2460
    @Eng2460 Місяць тому

    nice interview🤝

  • @user-fr7jj1bo7y
    @user-fr7jj1bo7y Місяць тому +1

    Chadema mumeifundisha CCM kuwa mumekomaa kidemokrasia hasa kupitia midahalo kwenye chaguzi za majimbo

  • @markoshem-ij6cf
    @markoshem-ij6cf Місяць тому

    ✌️✌️✌️♥️♥️

  • @jeanbaraka1008
    @jeanbaraka1008 Місяць тому +2

    Tanzania akuna mfanyasiasa, kama Mbowe wetu, nyie mnatumwa fakes journalists...

  • @jeanbaraka1008
    @jeanbaraka1008 Місяць тому +1

    Mbona hizi media kila siku uingilia mwenyekiti wetu kunanini hapo kila siku nyie fakes journalists?

  • @c2vconnection
    @c2vconnection Місяць тому +1

    Majibu ya ki-utu uzima. Nilikuwa na hofu kuwa atademka.. Nakupongeza kwa majibu haya Mr Sugu

  • @BoneSeba-ui6jd
    @BoneSeba-ui6jd Місяць тому

    Haya ndio mahojiano yametulia mtu anazungumza mpaka unatamani aendelee kuzungumza hongereni azam sio unamleta mtu kazu kudanganya umma hongera jongwe umeingea vema jambo lolote linabaki kwa mtu mwenyewe ahangaikie au abweteke viva chadema

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 Місяць тому

    Sugu ni mtu anaekubalika sana kwa sasa especially upinzani

  • @barakanatus5676
    @barakanatus5676 Місяць тому

    Sugu mwaka 2015 ulimzuia mtu kwenye kura za ndani ukaamuru afungiwe ndani, ili upite bila kupingwa.

  • @adamkabole7196
    @adamkabole7196 Місяць тому +1

    Swala tunduma sugu anatusaidia vip kwa mgogoro mpaka ssa jambo linazidi kupasuka

  • @zebedayokatamaduni9676
    @zebedayokatamaduni9676 Місяць тому

    Kamanda sugu