MAMBO MATANO ALIOYASEMA TUNDU LISSU KWENYE UZINDUZI WA KAMPENI MWANZA NA KUOMBA KURA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024
  • Leo september 01, umefanyika uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu katika uwanja wa Furahisha Mwanza

КОМЕНТАРІ • 946

  • @michanomichano4931
    @michanomichano4931 4 роки тому +106

    Millad ayo nakukubali Sana mtu wangu ahsate kwa kutupatia habari Kama hizi

    • @CyimSky
      @CyimSky 4 роки тому

      NANI UNAYEMFAHAMU ANAKUWAGA NA TABIA KAMA ZA HUYU JAMAA MKIWA MNACHEKI MOVIES ua-cam.com/video/kHs6qqc00vs/v-deo.html

    • @francisbatonsadalla1445
      @francisbatonsadalla1445 4 роки тому +2

      Mwanza Mwisho

    • @gervasbaraka109
      @gervasbaraka109 4 роки тому

      Saa lissu

    • @youtubesuccessshorts7389
      @youtubesuccessshorts7389 4 роки тому

      @@CyimSky KUWA NA MAWAZO YA USHINDI🔥 KWA WIKI YAKO HII🔥 👉 ua-cam.com/video/qSkYfSxzTSY/v-deo.html 🇹🇿 (tafadhali tizama Hadi Mwisho!)

  • @savioponera7886
    @savioponera7886 4 роки тому +25

    This time CHADEMA haita pass like a shadow Kwa muamko huo respect xana MWANZA🌠🌠🌠

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf 4 роки тому +45

    Moja na maja tatu Nyerere alisema ,ccm kwisha kwisha kabisa 1+1=3 ✌❤✌❤✌❤✌❤✌❤✌❤✌❤✌❤✌❤✌❤ Peoples Power ❤❤❤❤❤❤❤❤❤✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌

    • @CyimSky
      @CyimSky 4 роки тому +1

      NANI UNAYEMFAHAMU ANAKUWAGA NA TABIA KAMA ZA HUYU JAMAA MKIWA MNACHEKI MOVIES ua-cam.com/video/kHs6qqc00vs/v-deo.html

    • @santosclassic9935
      @santosclassic9935 4 роки тому

      ✌️

    • @husseinshabani9522
      @husseinshabani9522 4 роки тому +1

      Ukumbuke "peoples power"ndo hao hao .Wanaitwaga Wajumbe...leo wanakusikiliza kesho Wanakutosa.

    • @hadija846
      @hadija846 4 роки тому

      ✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️😍🙏🏼

    • @kalistomwelekete8359
      @kalistomwelekete8359 4 роки тому +1

      Wanao kutukana hawana akili mi baba nakupenda sana mtetezi wawa nyonge

  • @issasoya6051
    @issasoya6051 4 роки тому +6

    Sera Hana huyu magu juuu💪💪💪

  • @tumaininerei5948
    @tumaininerei5948 4 роки тому +3

    Hongera sana Ayo kwa kubalance unatendea haki taaluma ya habari.

  • @thegreatsource2953
    @thegreatsource2953 4 роки тому

    Naomba sana Lissu akishinda arudishe Kodi ya Kichwa, Ada mashuleni watoto wanasomaje Bure aisee, Ushuru wa Baiskeli, Ushuru wa wafanya Biashara ndogondogo na makusanyo mengi ili serikali ipate fedha nyingi kwaajili ya Ujenzi wa Ofisi za Chama kwenye Wilaya zote Tanzania na Mikoa yote. Tulipe ili tuweze kujenga nchi yetu, #Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu. Lissu💪

  • @deusdeditswebe8930
    @deusdeditswebe8930 4 роки тому +36

    Mafuriko...

    • @CyimSky
      @CyimSky 4 роки тому

      NANI UNAYEMFAHAMU ANAKUWAGA NA TABIA KAMA ZA HUYU JAMAA MKIWA MNACHEKI MOVIES ua-cam.com/video/kHs6qqc00vs/v-deo.html

    • @francisbatonsadalla1445
      @francisbatonsadalla1445 4 роки тому +2

      Kimbunga

  • @jumamkokota8564
    @jumamkokota8564 4 роки тому +8

    Ccm mbele daima 💪💪 💪 magufuli oyeee

    • @netiousfrance8449
      @netiousfrance8449 4 роки тому

      Kumamayo mbwa wewe

    • @jumamkokota8564
      @jumamkokota8564 4 роки тому

      @@netiousfrance8449 asante

    • @jumamkokota8564
      @jumamkokota8564 4 роки тому

      Coz akuna tusi jipya apo yote ni ya zamani

    • @michaeltarimo2241
      @michaeltarimo2241 4 роки тому

      @@netiousfrance8449 matusi ya nn mkichukia nchi mtaweka vipindi vya matusi mashuleni?

    • @michaeltarimo2241
      @michaeltarimo2241 4 роки тому +1

      @@jumamkokota8564 usiogope matusi ndio sera zao majukwani nawafuasi wao

  • @jaksonjulius9010
    @jaksonjulius9010 4 роки тому +5

    Huyuu Mh TUNDU ANTIPUS LISSU ni true Genius

  • @frankmailu943
    @frankmailu943 4 роки тому +23

    Millard umebak ww tyu
    Asante kwa ujasili huu

  • @michasonjudge7348
    @michasonjudge7348 4 роки тому +14

    Kweli lisu ni mpango wa mungu Ahsanteni sana wanangu wa mwanza # Ni yeye 2020

  • @charlzwise1153
    @charlzwise1153 4 роки тому +24

    Kweli millard we ni mtu wa nguvu💪

  • @josephmsanga6751
    @josephmsanga6751 4 роки тому +12

    Rais ni Magufuli tu! Mara nyingi vibaka huwa wanafurahiana! Poleni sana

    • @richmavoko6224
      @richmavoko6224 4 роки тому

      unajipya weewee 😂😂😂😂😂😂

    • @yasiralkindi5332
      @yasiralkindi5332 4 роки тому

      Wote ni woga huo bro na hio pole nafkiri inaemfaa khaswa ni ww apo

  • @chumizola1847
    @chumizola1847 3 роки тому

    Alikuwa hajavaa Barakoa na hakuhamasisha wananchi wavae Barakoa.

  • @josej9888
    @josej9888 4 роки тому +5

    Mwanzaaaa!! Duuhuu! Imetisha kinoma.

  • @yuzotv458
    @yuzotv458 4 роки тому +35

    HAWA WATU WANAKIU YAHAKI JAMANI😭😭😭😭😭😭😭😭😭,KOMOENI SASA KUPIGA KURA MAMBO YATAKUA🔥🔥🔥🔥,PEPOOOOOZ!!!!!💪💪💪💪💪

    • @CyimSky
      @CyimSky 4 роки тому

      NANI UNAYEMFAHAMU ANAKUWAGA NA TABIA KAMA ZA HUYU JAMAA MKIWA MNACHEKI MOVIES ua-cam.com/video/kHs6qqc00vs/v-deo.html

    • @rukiamussa9509
      @rukiamussa9509 4 роки тому

      KwAnza watanzania hatujui English so hata wakiambiwa pipos Hawajui nini maana yake atupishe sieee 😏😏😏 ccm hoyeeeeee ❤❤👍

    • @yuzotv458
      @yuzotv458 4 роки тому +1

      @@rukiamussa9509 choko wewee!

    • @makongoronyerere2595
      @makongoronyerere2595 4 роки тому

      @@rukiamussa9509 ww pita2 ila Kuna kupita nakupitiliza, kuw makin

    • @venancephilbert9397
      @venancephilbert9397 4 роки тому

      Nduguyo akienda kijijini kwetu kigoma ufundishe asiseme "people's" hatamwelewa kwan sipo wa kutafsiri "power"...hili ndo tatizo kiinerez arudu Belgium

  • @evancetesha3836
    @evancetesha3836 4 роки тому +49

    Chadema nguvu moja

    • @babalwantsimango2364
      @babalwantsimango2364 4 роки тому

      Mpumbav hamka nduguyangu mm cna uchama huyo jamaa co mtu eeeh mh!

    • @tareqhilal6750
      @tareqhilal6750 4 роки тому +2

      Nguvu moja braza..

    • @CyimSky
      @CyimSky 4 роки тому

      NANI UNAYEMFAHAMU ANAKUWAGA NA TABIA KAMA ZA HUYU JAMAA MKIWA MNACHEKI MOVIES ua-cam.com/video/kHs6qqc00vs/v-deo.html

    • @bettymrema6580
      @bettymrema6580 4 роки тому

      Hakika atubadilishwi hisia.

    • @alphamunicy9650
      @alphamunicy9650 4 роки тому

      @@babalwantsimango2364 hunalolote ww kawambie ccm wenzio oooh sina chama haliyekuita huku utuelekeze nani kama huna chama ungepita tu au kunyamaza

  • @tusetutunfye7561
    @tusetutunfye7561 4 роки тому +21

    Mungu atufunguwe akil kwa ili,waTanzaniya wenzangu tuwe makini kwaili,wenye smati wote tuendelee kuperuz kunavitu vingi vya kujifunza kuusu kupiga kila na kuilinda amani yetu

    • @calvinkapinga8341
      @calvinkapinga8341 4 роки тому

      watanzania hatuna shukrani na tunasahau sana Embu angalia Mwanza ilivyopendeza kwa hilo daraja kwanza

    • @sarahalex8380
      @sarahalex8380 4 роки тому

      Kwahiyo unataka kusemaje

  • @levocatusgatu4295
    @levocatusgatu4295 4 роки тому +56

    Ujekigomaa tunakuhitaj""""salut kwako baba""""!!!!!

    • @sarahalex8380
      @sarahalex8380 4 роки тому +1

      Soon tunakuka husihofu

    • @aggreyenock1221
      @aggreyenock1221 4 роки тому

      🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

    • @youtubesuccessshorts7389
      @youtubesuccessshorts7389 4 роки тому

      KUWA NA MAWAZO YA USHINDI🔥 KWA WIKI YAKO HII🔥 👉 ua-cam.com/video/qSkYfSxzTSY/v-deo.html 🇹🇿 (tafadhali tizama Hadi Mwisho!)

    • @suzan638
      @suzan638 4 роки тому

      kigoma hana chake

  • @monicachacha455
    @monicachacha455 Рік тому

    Hongera ccm ndiyo chama kuuuuuuuuuuuuuuu

  • @chiddybaba8648
    @chiddybaba8648 4 роки тому +51

    Milardayo tunakupenda na umetenda haki

  • @saidijafari2812
    @saidijafari2812 4 роки тому +1

    Daraja ni kazi nzuri ya Magufuli

  • @mairadavid3245
    @mairadavid3245 4 роки тому +10

    Safi sana Ayo

  • @begi1044
    @begi1044 4 роки тому +1

    Tuvushe baba Lissu tuvushe, mungu kakurudisha duniani na ujumbe mzito kwa watanzania. Baba tuvushe. Uhuru na maendeleo.

    • @CyimSky
      @CyimSky 4 роки тому

      NANI UNAYEMFAHAMU ANAKUWAGA NA TABIA KAMA ZA HUYU JAMAA MKIWA MNACHEKI MOVIES ua-cam.com/video/kHs6qqc00vs/v-deo.html

  • @joshuasamson4174
    @joshuasamson4174 4 роки тому +31

    Hawajapewa kitu chochote wanampenda sana Tundu lissu

  • @kulwaswetu4457
    @kulwaswetu4457 4 роки тому +1

    WTz tusidanganywe nahuyokibalaka tumuulize malizetu asili kamawanyama madinimisitu nafezayataifa utasimamiavip? Maanahuondomuimilimkuuwamaendeleo lakinihao hawaongeleilushwa wtapambana vpkupambananalushwa?

  • @issaamirishenkarwa3391
    @issaamirishenkarwa3391 4 роки тому +26

    Mwanza mumetishaa sio kwa nyomi iyo

  • @josephsererya9218
    @josephsererya9218 4 роки тому +1

    Alivunja rekodi ya dunia kwa kupigwa risasi kumi na sita bila kufariki mungu akupe maisha marefu

  • @alinassor8920
    @alinassor8920 4 роки тому +10

    Hongereni watu wa mkoa wa Mwanza

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 4 роки тому +3

    Barabara tamu, kumbe mwanza imejengwa hivyo basi wajumbe tu watu wa mwanza nilicho kigundua

  • @pascalpeter7605
    @pascalpeter7605 4 роки тому +3

    dah my President

  • @nellyeusto5193
    @nellyeusto5193 4 роки тому

    Asantee Mwanzaa kwa mahaba haya

  • @annapeter4994
    @annapeter4994 4 роки тому +22

    Watanzania wana kiu ya mabadiliko jamani 😭 😭 😭 EE Mungu jalia this time wayapate

    • @henrylugongo632
      @henrylugongo632 4 роки тому +1

      Hamna llote,

    • @asharamadan3254
      @asharamadan3254 4 роки тому +2

      Lisu tapeli tu

    • @asharamadan3254
      @asharamadan3254 4 роки тому +2

      Urais atausikiya tu tapeli mkubwa tundu la shimo

    • @annapeter4994
      @annapeter4994 4 роки тому +1

      @@asharamadan3254 chaguo la Mungu ndo maana marisasi yao haykumuua. Na siku anaingia Tanzania watu walitishiwa wasimpokeee, uliona kilichotokea?
      Tusomeni ishara za nyakati...

    • @annapeter4994
      @annapeter4994 4 роки тому

      @@asharamadan3254 nilifikiri najibu mtu mwenye hekima zake.... 🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️

  • @gildasnyaki3812
    @gildasnyaki3812 4 роки тому +1

    Ayo tv big up, huo ndio uzalendo wote ni watanzania haki sawa.

  • @ladsonmshana9920
    @ladsonmshana9920 4 роки тому +28

    Kweli lissu yuko sawa mwanza mmetapika

    • @husseinshabani9522
      @husseinshabani9522 4 роки тому

      Corona vp?

    • @JKQGAME
      @JKQGAME 4 роки тому

      @@husseinshabani9522 🤣🤣🤣🤣🤣

    • @daudkihava8528
      @daudkihava8528 4 роки тому +1

      Kuna idadi kubwa ya watu ambao wameenda kushangaa, na siyo kutilia umakini anachozungumza.

    • @devothangomeni4750
      @devothangomeni4750 4 роки тому

      Ccm kwanin wasiwaenguwe wagombea wa upinzani yote hiyo hofu

  • @revocatusmtiro8463
    @revocatusmtiro8463 4 роки тому

    Napenda speech zake zake MTU huyu manake anajiamini sana dah

  • @ananoel9530
    @ananoel9530 4 роки тому +21

    Lisu we ninoma

  • @josiahmasingisa200
    @josiahmasingisa200 Рік тому

    Hongera our herous wellcam home again for future mission

  • @aizackkajika5086
    @aizackkajika5086 4 роки тому +7

    Magu baba laooo💪

  • @issasoya6051
    @issasoya6051 4 роки тому +6

    Haya loads ilikua nyomi hvyo hvyo mwisho wasiku magu juuu 💪

  • @aronposian3173
    @aronposian3173 4 роки тому +47

    Mwanza imetisha ninoma

    • @bonifacekalima5273
      @bonifacekalima5273 4 роки тому +2

      Chadema isingekuwa ukandamizaji naunyag'anyi ,, pia bila kuiteka tume.. hakika ingechukua nchi na kuongoza..

    • @CyimSky
      @CyimSky 4 роки тому

      NANI UNAYEMFAHAMU ANAKUWAGA NA TABIA KAMA ZA HUYU JAMAA MKIWA MNACHEKI MOVIES ua-cam.com/video/kHs6qqc00vs/v-deo.html

    • @muniraramadhani1557
      @muniraramadhani1557 4 роки тому

      Kwel kabisa

    • @abrahamkibona7038
      @abrahamkibona7038 4 роки тому

      Awapi?

  • @ndeletwaswai3530
    @ndeletwaswai3530 4 роки тому

    Kupendwa raha jamani mwaaa i lov u Tundu.

  • @inyasirwakasigaz4809
    @inyasirwakasigaz4809 4 роки тому +21

    Nyomi kwl kbs

  • @edsongidionalexander3759
    @edsongidionalexander3759 4 роки тому +1

    Nakupenda Lissu mpaka machozi yananilegalega, lakini Mungu Yupooooooooo aseeee tumechokaaaaaa

  • @annapeter4994
    @annapeter4994 4 роки тому +25

    Nyomi Nyomi.... 💪💪💪💪💪

    • @danielbaraka8903
      @danielbaraka8903 4 роки тому +2

      ubarikiwe dada nakuona wewe ni mwana chadema mwenzangu kila crip za chadema nakuona umecoment umenipa furaha anna peter.

    • @annapeter4994
      @annapeter4994 4 роки тому +1

      @@danielbaraka8903 mimi napenda haki sana. Sera zenu na Act wazalendo zinaleta nuru mpya kwa watanzania. Watanzania waliojaa huzuni na kufungwa midomo kwa miaka 5...watanzania ambao maeneo mengi hawakuchagua wenyeviti maana system imeamua kuwa na ujanja wake... Watanzania ambao miaka mitano ilopita walikuwa wanajimudu leo hii wanalalia mlo mmoja.... Watu wamechoka wanataka mabadiliko. BILA UHURU NA HAKI, NCHI YOYOTE HATA KAMA KUNA MAENDELEO KIASI GANI WATU WAKE HAWANA FURAHA YA KWELI. KUTOA MAONI SIO KUPINGA MAENDELEO..... HILI JAMBO LIELEWEKE KWA VIONGOZI

    • @CyimSky
      @CyimSky 4 роки тому

      NANI UNAYEMFAHAMU ANAKUWAGA NA TABIA KAMA ZA HUYU JAMAA MKIWA MNACHEKI MOVIES ua-cam.com/video/kHs6qqc00vs/v-deo.html

    • @husseinshabani9522
      @husseinshabani9522 4 роки тому

      @@annapeter4994 corona vp? ilishaishaga hivi?,mlishauli tufungiwage ndani Mkakimbia Bungeni ikawaje tena vile ...kama kweli Wewe Mpenda Haki Embu nikumbushe kidogo......

    • @annapeter4994
      @annapeter4994 4 роки тому

      @@husseinshabani9522 kwanza kabisa mi sio chadema, sina Chama. Kwa upande wangu walifanya vema kuchukua tahadhari baada ya kuona kuwa bungeni kuna watu wamepatikana na corona.
      Mungu amelijalia Taifa letu corona imepungua makali sana, lakini msisifie mtu yeyote kuwa kamaliza corona. Sifa na utukufu apewe Mungu wetu aliyewapa ufahamu watanzania wakajiongeza na dawa za kienyeji. Ambazo zilianza kutumika hata kabla waziri hajasema watu watumie nyungu. Mpeni sifa MUUMBA wetu badala ya kuabudu watu

  • @l.h.l2254
    @l.h.l2254 4 роки тому +1

    Hata nchi nzima nikiwa peke yangu haijalishi. Kura Yangu nampa Lisu. Nilimpa Magu 2015.. But sahizi nampa Lisu. Lisu moja tayari unayo.. YANGU.

  • @fabiolapanga8680
    @fabiolapanga8680 4 роки тому +8

    Shikamoo mwanza

  • @kasalimareju6052
    @kasalimareju6052 4 роки тому +30

    Mm ni mjita bana lkn nilikuepo

  • @adolphmwangoje2887
    @adolphmwangoje2887 4 роки тому +24

    Hya bna mkuu pmbn pmbn SIASA mchzo mchfu

  • @athumanmohammed3116
    @athumanmohammed3116 4 роки тому

    Hongera lissu

  • @anoldpotentin2446
    @anoldpotentin2446 4 роки тому +54

    Mnaomponda lissu, tambueni hii nchi ni ya demokrasia ya vyama vingi, kila mtu ana haki ya kuchagua na kuchaguliwa. Alafu tambueni wapinzani wanafaida kubwa kwenye nchi yetu, ccm sometime wanajiona kama nchi ni yao wanafanya lolote, so lazima wawepo watu wa kuwapa challenge na kuwapinga wanapokosea.

    • @shazzshadrackshazzshadrack5796
      @shazzshadrackshazzshadrack5796 4 роки тому +1

      Kweliii kabisaaa unaongeaa ukweliiii

    • @CyimSky
      @CyimSky 4 роки тому

      NANI UNAYEMFAHAMU ANAKUWAGA NA TABIA KAMA ZA HUYU JAMAA MKIWA MNACHEKI MOVIES ua-cam.com/video/kHs6qqc00vs/v-deo.html

    • @godfreymalinga1476
      @godfreymalinga1476 4 роки тому

      @Anold potentin Unachosema ni kweli ila miaka nenda miaka rudi ccm watashinda tyu yani hiyo weka kichwani haitakuja tokea dora achukue mpinzani wata leta chachu za maendeleo ila cyo kushika dora abadani hiyo wataisikia kwenye bomba

    • @kassimali3682
      @kassimali3682 4 роки тому +1

      @@godfreymalinga1476 kila jambo lina mwanzo na mwisho😁😁😁

    • @shahiburamadhani7205
      @shahiburamadhani7205 4 роки тому

      Fact

  • @abelmbilinyi1262
    @abelmbilinyi1262 Рік тому +1

    Siasa siasa 😭 Kuna watu walisha kuita ww ni mchezo mchafu ,,, tujitaidi kuchunga mda ndugu zangu ,,, hamna mwenye huruma na ww ktk haya maisha kila MTU anavutia na kula pekeake na familia take 🙏🕞

  • @martinekija4188
    @martinekija4188 4 роки тому +6

    Nyie hv mnawajuwa wasukuma kweli au mnawaskia

  • @jasonhiphop2589
    @jasonhiphop2589 4 роки тому

    Nduguzangu Mwanza nimewapenda sana.Hali nimbaya sana. Watu hatuli Bara Bara.Nduguzetu wanafungwa eti uhujumu huchumi? Kuna mtu anahujumu kipindi hiki au wivu tu?

  • @geraldgodsontv7982
    @geraldgodsontv7982 4 роки тому +10

    Dah mwanza mmeua

  • @laurentdumia6102
    @laurentdumia6102 4 роки тому

    @Millardayo apa ndo naheshim kaz yako kuwa n habar na kwaajil ya watanzania nakuona mbali mwandishi mweledi zaidi apa nimekuelewa naipenda kaz yako njema💪

  • @DenrichStar
    @DenrichStar 4 роки тому +3

    Ahsante mwanza

  • @rdjkbu2948
    @rdjkbu2948 4 роки тому

    Umetisha brow

  • @mathiasmatumbi5635
    @mathiasmatumbi5635 4 роки тому +5

    Ni yeye 2020

  • @triplanetboy5703
    @triplanetboy5703 Рік тому

    Uko sawa mh Tundulisu ila shida yako kubwa haswa unatumia mda mwingi kuiumbua serikali badala ya ww kueleza Sera na ilani ya chama chako husika

  • @tareqhilal6750
    @tareqhilal6750 4 роки тому +10

    Hata waseme vipi Mimi nakubali Chadema sipo huko kwengine

    • @CyimSky
      @CyimSky 4 роки тому

      NANI UNAYEMFAHAMU ANAKUWAGA NA TABIA KAMA ZA HUYU JAMAA MKIWA MNACHEKI MOVIES ua-cam.com/video/kHs6qqc00vs/v-deo.html

  • @babaswaumu415
    @babaswaumu415 Рік тому

    Nakubali😍😍😍

  • @sulekisaka2081
    @sulekisaka2081 4 роки тому +3

    Hakuna nchi inayotoa bima sema nchi gani Canada na baadhi ya nchi wanalipia marekani wengi hatuna bima uongo huo mie niko marekani

    • @bertinkimati2674
      @bertinkimati2674 4 роки тому

      Marekani kweli hawana kila mtu lakini Marekani ukiumwa ukifika hospital utatibiwa ugonjwa wa aina yoyote bila kuulizwa pesa yoyote. Utaulizwa kama una bima kama hauna bado utatibiwa na bill zako zitaletwa baadae ukiwa umeshatibiwa sio? Na kama bado huwezi kulipa unapewa payment plan hata kama utasema unaweza kulipa dola 10 kila wiki au mwezi watapokea. Na ukishindwa kabisa bado kuna bima ya serikali inachukua deni lako. Nafikiri hoja anayojenga ni kuonyesha ulqzima wa mtu kupatiwa matibabu . Ila kwa kuwataka watanzania wote wai gizwe kwenye bima ili wachangie kiiwango fair huku wakiwa na uhakika wa maribabu.

  • @zainabumwagiroabdallamwagi97
    @zainabumwagiroabdallamwagi97 4 роки тому

    Ccm kwisha kabisa ,lisu my president to be

  • @sengibenard2401
    @sengibenard2401 4 роки тому +7

    Upo vizur sana lisu pambana mpaka kieleweke

  • @nyangezaq3568
    @nyangezaq3568 4 роки тому

    Maaskari hawawezi kuwanyanyasa ila wanasimamia ulinzi wa Mali ya umma na ya wananchi. Naipenda CCM DAIMA......

  • @jumajuma9211
    @jumajuma9211 4 роки тому +9

    Huna sera Tundu lissu subir tar 28 utakiona kwa magufi rais wa vitendo

    • @richmavoko6224
      @richmavoko6224 4 роки тому

      unajipya wwee

    • @saidrai121
      @saidrai121 4 роки тому

      magufuli ndo nani broo ama ni huyo nyani mshamba

  • @evansedward1481
    @evansedward1481 4 роки тому

    Next president we all want

  • @rashidsleman5545
    @rashidsleman5545 4 роки тому +28

    Ukitaka kumshinda shetani nenda kwenye mbuyu wake

  • @abubakarsongolo3226
    @abubakarsongolo3226 Рік тому

    Mungu akujaalie upite uchaguzi mkuu utimize ahadi unazo tuahidi

  • @mr.sangaellies5110
    @mr.sangaellies5110 4 роки тому +30

    Kumbe tuko wengi BADO

  • @newtonmwewa6220
    @newtonmwewa6220 4 роки тому +1

    Nakupa kula yangu mr president

  • @joshuasamson4174
    @joshuasamson4174 4 роки тому +7

    Yaaa laha sana

  • @zubeirkhamiskhamisabdallah6351
    @zubeirkhamiskhamisabdallah6351 4 роки тому +2

    Milad ww si mnafk best ww ni mtanzania alaf mzalendo nakupenda sanaa

  • @kasalimareju6052
    @kasalimareju6052 4 роки тому +20

    Nilikuepo

    • @CyimSky
      @CyimSky 4 роки тому

      NANI UNAYEMFAHAMU ANAKUWAGA NA TABIA KAMA ZA HUYU JAMAA MKIWA MNACHEKI MOVIES ua-cam.com/video/kHs6qqc00vs/v-deo.html

    • @francisbatonsadalla1445
      @francisbatonsadalla1445 4 роки тому

      Hongey

  • @tecnonkwenda8240
    @tecnonkwenda8240 4 роки тому +6

    Lissu oyeeeeee

  • @filbertsilvester2373
    @filbertsilvester2373 4 роки тому +5

    Mwanza nilikuwa nawaona wajanja kumbe mbulula hivi....adi sahivi bado mnageuzwa geuzwa kama chapati hamuwezi ata kutambua kiongozi yupi anatufaaa?

  • @officiallugano8991
    @officiallugano8991 4 роки тому +2

    asante mkombozi wetu millardayo

  • @mikenaluyaga9796
    @mikenaluyaga9796 4 роки тому +3

    Namkubali sana Tundu Lisuuuuuu!

  • @marycelinapaschal9619
    @marycelinapaschal9619 4 роки тому +3

    Sela hazina mashiko,,,, magufuri alio yafanya nimakubwa bado tunaimani nae magufuri juu

    • @elijimyco2179
      @elijimyco2179 4 роки тому

      Magufuli amefanya vizur lkn hapa mwixhon anayumba Kama kwenye kuubana vyombo vya habar kushindwa maisha ya watanzania nakuona upinzani Kama sio sehemu ya nchi kwangu mm naona watanzania wanamaisha magumu zaidi ya mwanzo

    • @marycelinapaschal9619
      @marycelinapaschal9619 4 роки тому +2

      @@elijimyco2179 kubana maisha Ya watanzania kivipi ubataka akutafutie chakula? Magufuri ataki janja janja

    • @mbarikiwambarikiwa3988
      @mbarikiwambarikiwa3988 4 роки тому +1

      @@elijimyco2179 ulitaka akuwekee pesa mfukoni 🙄🙄?Mwanaume mzima badala ufanye kazi kipato kiongezeke unajilalamisha tu 🤗🤗🤗kwangu Mimi miaka yake mitano imenibariki sn kutokana na kuwajibika kwangu na siyo kujilalamisha tu.

  • @yudatadeshayo4434
    @yudatadeshayo4434 4 роки тому +11

    Huu ni mpango wa mungu

  • @hadijajumamsafiri5066
    @hadijajumamsafiri5066 4 роки тому +1

    Nipo hapa ila sijaona sera za kunifurahisha

  • @Tiffany340
    @Tiffany340 4 роки тому +4

    Kupiga kula ndo tatizo la wabongo.. wakupe upaji wa bule...🤣🤣🤗 Tatizo linaanzia kwenye sanduku bhana

  • @chachamaro4639
    @chachamaro4639 4 роки тому

    Pamoja sana

  • @delsonandrew9330
    @delsonandrew9330 4 роки тому +9

    Huyu ndo rais mtarajiwa

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 4 роки тому +1

    Mnamdanganya sana huyo tundu

  • @ramadhanikibenga6317
    @ramadhanikibenga6317 4 роки тому +6

    Siwashangai WATANZANIA Ingekuwa ni kweli wote ni wapiga kura ningeamini lakini ni ushabiki tu

    • @selemanmkaraboka7696
      @selemanmkaraboka7696 4 роки тому +2

      Kama ni ushabik we mbona hujaenda na family yako

    • @henrylugongo632
      @henrylugongo632 4 роки тому +1

      AF si unaona wengi ni vijana

    • @ramadhanikibenga6317
      @ramadhanikibenga6317 4 роки тому

      @@selemanmkaraboka7696 hahahaha usitukane jibu hoja yangu, MIMI NASEMA HAO NI MASHABIKI TU SI WAPIGA KURA INGEKUWA NI NCHI TOFAUTI NA TANZANIA ANGALAU NINGEWAAMINI. NA UKITAKA KUAMINI SUBIRI TENA AENDE MTAWALA UTAONA NI WALE WALE WANAMSHANGILIA

    • @mhayaboy9646
      @mhayaboy9646 4 роки тому

      Watu wanajitabua kaka

    • @zephaniajohn8282
      @zephaniajohn8282 4 роки тому

      Huna jipya mjumbe wew hakuna cha bure kima wew

  • @paulmzule4885
    @paulmzule4885 4 роки тому +2

    Ayo anaitendea haki taaluma yake, big up ayoooooooo

  • @mhayaboy9646
    @mhayaboy9646 4 роки тому +11

    Ongera lisu natamani kutoa chozi pia milad ayo

  • @rahmaoman5122
    @rahmaoman5122 4 роки тому +1

    Yaani chadema hamtakaa mkaamini macho yenu mie mwanza ndo home kwetu hivo hapo wana mzoom tu siku ya upigani wakura hawadanganyiki lazima kura ni ya jpm hapo ndo patam🤣🤣🤣🤣💪💪magu ndo baba laooo wee bwabwaja tu hapo huna ishu

    • @gloryjoe6396
      @gloryjoe6396 4 роки тому

      😂😂😂

    • @rahmaoman5122
      @rahmaoman5122 4 роки тому

      @@gloryjoe6396 Ndohivo mummy mie nawajua mnoo hata kipindi cha loasa tulikua tuna mzoom tu akiona nyomi yawatu anajua mwanza kula nizake🤣🤣🤣

  • @frenkfrancis4151
    @frenkfrancis4151 4 роки тому +15

    Daikari Sana sijahamini Kama mwanza wanamwamko Kama wuu safisana

  • @laurentdumia6102
    @laurentdumia6102 4 роки тому

    @Millardayo apa ndo naheshim kaz yako kuwa n habar na kwaajil ya watanzania nakuona mbali mwandishi mweledi zaidi apa nimekuelewa naipenda kaz yako njema

  • @noelmmari8570
    @noelmmari8570 4 роки тому +3

    Be blessed Mr Ayo

  • @leonardrafaelimungunimwema5284

    Polesana na ana tazania kwa kupigwa risasi endea na usemi wa ukweli

  • @warakawayohana2896
    @warakawayohana2896 4 роки тому +8

    Mwanza Imevunja rekodi

  • @anethmollel6898
    @anethmollel6898 4 роки тому

    Milad Ayo big up huna njaa kali

  • @neemaamanzi1118
    @neemaamanzi1118 4 роки тому +3

    Duh !kama CCM ikishinda mwaka huu bila shaka kutakuwa na wizi wakula

  • @jacksonmdima5659
    @jacksonmdima5659 4 роки тому +1

    Lisu upo vizuri Ila kwenye urais apana.
    Jpm tena
    Naona hoja nyepesi sana
    Mshahara mambo mengine unafanya SAA ngapi.
    Hiyo mishahara unaongezaje !?
    Hata hujui kwann hawaongezi

  • @oliveryshirima4894
    @oliveryshirima4894 4 роки тому +24

    Nyomi km yote hongereni sn mwanza tuko pamojs

  • @hassanchauluwa7308
    @hassanchauluwa7308 4 роки тому +2

    anatokea mjinga mmoja kavimbiwa anasema chadema imekufa