Truly this Madam Speaker of Ours is someone very special, I didn't expect she would have such a precious time of appreciate the presence of her fellow candidates. Congratulations H.E Madam Speaker.
Hongera sana Jembe letu, hakika unaweza. Umejieleza vizuri na wajumbe wamekuelewa na wamekumwagia kura za kishindo. Mungu akutangulie katika jukumu hili jipya.
Indeed God is Great. We appreciate your selection to a profiled position of IPU President. As Tanzanian we thank our mama Dr Samia for her facilitation and encouragement Bravo our President. Bravo Tulia Ackson now Ipu President Bravo Tanzania.
Hongera sana dadaangu na mh. Speak wa bunged la jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa ushindi ulio kupata kuwa raise wa mabunge dunia I mungu yupo upande wako huwa nakuelewa sana mh.
Am happy to see you madam you represents our national to worldwide, We pray to God and we believe that you will performing well your new duties of IPU presidents we as Tanzania we proud of you Madam
Uongo aliandaliwa na kikwete kutoka bunge la katiba na kuwa naibu mwanasheria mkuu makufuli aliipoteza Tanzania kimataifa na aliye irudisha na Mama acha unafiki mpe Mama maua yake haya ni matunda ya Mama
Congts Mrs. President of IPU for sure I knew nothing about your capability of giving out a nice and strong speech Infront of the most and popular leaders throughout the world
Hongera Dr tulia kwa ushindi lakini bunge unaloliongoza tz bado utopolo mwingi kwa kushndwa kujadili mambo muhimu yanayohusu ustawi Wa nchi, una deni LA kulipa kwa mama Tanzania
Dunia ambayo imejaa rushwa angalia mashariki ya kati sasa angalia Africa sasa mapinduzi ya kijeshi kila kukicha usiseme Dunia palestina Israel Punin Yukreni acha kabisa 🙈🙈🙈🙈
Dada yangu upo vizuri ila ukiwahapa Tanzania acha tania za kimwingulu chembe watu hawajakupongeza sana kwa sababu za mkataba bandari yetu hapakwetu Tanzania
@@HassanAbdallah-f6o Kwa mazuri yapi brother yapi, hivi unaona maisha halisi ya watanzania,nchi Haina mipango, wanaopaswa kutuwakilisha ndio hao hata kitu kinatoa harufu mbaya wao wanasema kinanukia vzr. Nenda Ngorongoro, nenda Serengeti,nenda Nyamongo,nenda Nyarugusu ukaone aina ya mikataba ambayo hao wawakilishi wetu waliridhia wakapitisha then linganisha na maisha halisi ya wananchi au mchango wa hyo mikataba kwny pato la taifa. Mkataba upi ambao serikali inaweza kusimama nao na kusema kwny huu mkataba ni win win situation hakuna hata mmoja.
Amazing,, thank you for bringing such respect in Tz.
Many many congraturation Tulia Mwansasu Akson. Viva Tulia Viva Tanzania. Viva to all IPC Members. May God bless you all.
Congratulations, Dr. Tulia. We Tanzanians are very proud of you. We trust you. May God continue to bless and protect you.
Truly this Madam Speaker of Ours is someone very special, I didn't expect she would have such a precious time of appreciate the presence of her fellow candidates. Congratulations H.E Madam Speaker.
Mungu akupe afya njema sana ya kuingiza Ipu na Tanzania yetu
Am proud of mss Tulia from Tanzania
Hongera sana Dr Tulia . You deserve the chair. Mungu ni mkubwa asante Mungu nimefurahi sana
Mungu akulinde na akupe umri mrefu utumike waafrika wote,
I am so proud of you Dr Tulia Ackson!
Thank you madam speaker! I'm proud of you, I am proud to be Tanzanian
To my dear daughters i want you to make me proud just as how this daughter is making her parents proud
Hongera sana Jembe letu, hakika unaweza. Umejieleza vizuri na wajumbe wamekuelewa na wamekumwagia kura za kishindo. Mungu akutangulie katika jukumu hili jipya.
Indeed God is Great. We appreciate your selection to a profiled position of IPU President. As Tanzanian we thank our mama Dr Samia for her facilitation and encouragement Bravo our President. Bravo Tulia Ackson now Ipu President Bravo Tanzania.
Tulia is always the best of all..May the Lord keeps uplifting you.
God bless you tlia nice speech
congratulation our speaker may God be with you on behalf all Tanzanian good leadership
If God say yes no one can say no, congratulations Dr Tulia Akson.
Hongera sana dadaangu na mh. Speak wa bunged la jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa ushindi ulio kupata kuwa raise wa mabunge dunia I mungu yupo upande wako huwa nakuelewa sana mh.
Hongera zako kwa ushindi huo mkubwa hivyo umeliinua Taifa letu Tanzania nimeflai binafsi
Hongera sana sana dr tulia unafiti kwenye hiyo nafasi utaitendea haki na kupeperusha bendera ya Tanzanai
Congratulations ur amazing thanks u so much ❤❤❤❤
Am happy to see you madam you represents our national to worldwide, We pray to God and we believe that you will performing well your new duties of IPU presidents we as Tanzania we proud of you Madam
Hongera sana Tulia ni dada anayejitambua. Hongera kwa ujasiri wako.mungu akulinde
Hongera Sana ndo matunda ya magufuli kwani yeye ndo alikuandaaa
Hakika,hata huko aliko natumaini anashangilia 🤝👏👏
Hivi nyie mnafkiri kaburini ni kunakushangilia eti?
Uongo aliandaliwa na kikwete kutoka bunge la katiba na kuwa naibu mwanasheria mkuu makufuli aliipoteza Tanzania kimataifa na aliye irudisha na Mama acha unafiki mpe Mama maua yake haya ni matunda ya Mama
Hongera sana mhs Tulia Ackson 🌍💪🇹🇿
Hongera sana Dr tulia MUNGU aendelee kukusimamia
Congratulations madam Spika Tulia.Umetuwakilisha vema
all the way from israel congatulation to you
Hongera Ila punguza maneno
Tulia Hoyeeee Tanzania juuuu❤
Hongera sana Dr Tulia Akson umetuheshimisha
Mungu akulinde mda wote nimefurai Sana kwa ushindi mkubwa mwenyezi mungu awe nawe amina
Safi sana speaker wetu god bless you
Wala walisema hatujui kidhungu,hiyo ni nini ,hiyo ni nini ????😂😂😂😂
Dr Tulia Mungu akusaidie kwa Kila jambo
Hongera sana Tulia
She knew how to make her fellow contesters feels victories too ,
Bravo mrs. Tulia
Keep pushing madam all the best
Good uko vzr kichwani tulia mungu akubariki
Nyaq gal😊 congratulations mom❤
Congts Mrs. President of IPU for sure I knew nothing about your capability of giving out a nice and strong speech Infront of the most and popular leaders throughout the world
❤❤ so proud madam Dr tulia god blees you,
Wabongo tunaupiga mwingi balaa👏👏👏👏
Hongera kwake ushindi wake ni heshma kwa tZ
Wow this is wonderful
Mungu. Akusimamia. Kwa. Kazi nzuri
Huo uspika unamsaada gani na tanzania?
Congole mama congolee stay blessed my dear
HONGERA MH .TULIA AKSON HONGERA TANZANIA.
Wakenya mpooo mnasemaga tumezoeya kichaga na kisw sikilizeni sasa
Acha ujinga. Sasa hii inatusaidia nini kama Watanzania?
Vijembe havina nafasi, tuchape kazi.
Hahahaaaa
Congratulations to you Dr Tulia Aksoni for that position.
Congratulations Dr Tulia!!
Viva Tanzania Viva Africa!!
Jina la TANZANIA ndio lilombeba yeye mwenyewe si maarufu kivile
lla kuna kiongozi mmoja ilitaka kushusha hadhi ya nchi kimataifa
@@mohamedisalimu wenye wivu kama ww,hata kipindi cha Yesu na Mtume Muhammad walikuwepo.
@@mohamedisalimumarehem anakutesa we jamaa mpaka huruma
Inanisaidia nn mm raia wa kawaida?
Congratulations Tulia Akson I m proud of you
Mungu akulinde tulia
Congratulation dkt Tulia for that position
Hongera Dr tulia kwa ushindi lakini bunge unaloliongoza tz bado utopolo mwingi kwa kushndwa kujadili mambo muhimu yanayohusu ustawi Wa nchi, una deni LA kulipa kwa mama Tanzania
Congratulations dr Tulia Ackson 🔥🔥🔥🔥🔥
Hongera sana Super Woman Tulia Akson
Kama hutakuwa Spika Tena na utafanya kazi huko huko NI afadhali tutapumua kidogo maana mkataba wa Bandari umetutapisha wengine
Kaa huko huko!!!
Mafala mtaendelea kutaabika.
Ongera sana CCM pamoja na kuongoza kushawishi CCM kuuza Bandari wana Mbeya kazi mnayo Bandari
Mwabukusi ajitambuwi na wanyakyusa mwenzangu tuache wivu huyu ni lulu ya Dunia kwa sasa jimbo mbeya tukae kimya Mungu yuko upande wetu tumuache Tulia
@@fidelismwakanyamale6787 🤣🤣🤣🤣unacheza wewe Dunia 😂😂🤣🤣
Dunia ambayo imejaa rushwa angalia mashariki ya kati sasa angalia Africa sasa mapinduzi ya kijeshi kila kukicha usiseme Dunia palestina Israel Punin Yukreni acha kabisa 🙈🙈🙈🙈
Hongera sana Dr. Tulia
Congratulations Tulia, Be calm more.
Congratulations Mrs. Tulia
Congratulations my leader
Jamani hayo maneno mazuri ni kumuombea sana sana. Bado tunamuhitaji mno huku tunakokwenda. TUMUOMBEE SANA.
Hongera ila mungu anajua!
Congratulations our Tulia, we Tanzanians we are proud of you, your the next Tanzanian President
Umeandika English au kiingereza😮
Unajua kuna DNA ambayo watanzania tunayo yaani ipo damuni halafu sayansi nadhani bado haijaitambua . Safi sana dada yetu
Chawa wengi
Am proud of you madam
Tulia nyota yk ni kubwa,Mungu akulinde na mabaya
Hongera sanaaaa
a rare gem❤
Wanyakyusa!!!!! Mwandosya,Mwabukusi,Mwaijumba! Tulia Mwansasu Tanzania Oyeeee
Mashallah❤
Ingependeza mweshimiwa Tulia akson angezumza kiswahili
Hongera Sana sana Tulia
Mungu Baba wa mbinguni akuzidishe
Madam Tulia, umetutendea haki watanzania.
Mungu aendelee kukuongezea hekima
Congratulations Madame
Ndio Tanzania tujue tuna dahabu ila tuna zidarau tu hongera San mama tulia
We have had Jamani kiingereza changamoto Kwa wabongo.
The IPU family have had
Dada yangu upo vizuri ila ukiwahapa Tanzania acha tania za kimwingulu chembe watu hawajakupongeza sana kwa sababu za mkataba bandari yetu hapakwetu Tanzania
Congratration madam ...Tanzania tunazid kung'aaaa.yote hayo ni kwamsaada pia wa RAIS WANG MAMA SAMIAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!!
Mbona nimeona wadada wanne tu toka Africa? Ndiyo dunia?
Waoo hongera sana
Hongera za dhati mama
Safi sana dada
Taa au 1m
Congratulations Sis.
❤❤hongera sana dada yetyu
Hongera
Tulia ni mwanamke wa soko.hongera sana
ZAWADI ALIYOPEWA BAADA YA KUUZA NCHI YAKE. HIVI NDIVYO DUNIA INAVYOFANYA KAZI. UKIWATOSA WENZIO UNAZAWADIWA, BILA AMANI MOYONI KWAO NI KAZI BURE
Mmeshawauzia nchi yetu si ndo maana wanawazubaza na hayo mamlaka ambayo hayana manufaa Kwa nchi.
Basi wew mariamu ndiyo unayejua kuliko wengine.
Mpongeze mtu kwa mazuri yake ww mkataba unaujua vizuri au unawafuatisha watu wa kupinga kila kitu.
@@HassanAbdallah-f6o Kwa mazuri yapi brother yapi, hivi unaona maisha halisi ya watanzania,nchi Haina mipango, wanaopaswa kutuwakilisha ndio hao hata kitu kinatoa harufu mbaya wao wanasema kinanukia vzr.
Nenda Ngorongoro, nenda Serengeti,nenda Nyamongo,nenda Nyarugusu ukaone aina ya mikataba ambayo hao wawakilishi wetu waliridhia wakapitisha then linganisha na maisha halisi ya wananchi au mchango wa hyo mikataba kwny pato la taifa. Mkataba upi ambao serikali inaweza kusimama nao na kusema kwny huu mkataba ni win win situation hakuna hata mmoja.
Well more I saw
Yani siku izi wanaume wanashangilia kuongozwa na wanawake
Next Tanzania president 2030
Huyu ni miongoni mwa wanaoliburuza taifa letu kupitia hilo libunge lao wala hapo hatuna chetu.
Wanatupamba ili waje wajizolee ,Zambia tayari wameahidiwa Ardhi huku wenyewe kwa wenyewe tunaipigania nchi ina vituko hii