PUTIN amkarimu Narendra MODI kwa tende, matunda na karanga kwenye makazi yake ya NOVO-OGARYOVO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

КОМЕНТАРІ • 96

  • @msafirimiracle6613
    @msafirimiracle6613 2 місяці тому +27

    Tukifika hapa Tz itakuwa safi sana hakuna muda wa kupoteza kusoma kiingereza ni wanasoma wachache wengine kujenga uchumi, nguvu nyingi sana inatumika kusoma kiingereza,kuliko kufunza uchumi,huu ni utumwa wa kifikra.

    • @ZuhuraNassoro
      @ZuhuraNassoro 2 місяці тому +2

      Utumwa wa fikra ndio unaliangamiza taifa letu

    • @HamzaMbasha-xs2ky
      @HamzaMbasha-xs2ky 2 місяці тому +4

      Wanapewa mikopo ya masharti wanapangiwa hadi cha kufundisha mashuleni hatuwezi kufika...

    • @mohdmohd8428
      @mohdmohd8428 2 місяці тому +3

      Isipochukuliwa kisiasa comment yako ni fact moja kubwa sana

    • @maniamba.tz_
      @maniamba.tz_ 2 місяці тому

      Kweli vipaji vingi vinaishia uko

  • @user-pj7ng8il4t
    @user-pj7ng8il4t 2 місяці тому +4

    This man Putin I appreciate him. Hapo bhana no retreat no surrender, forever forward 🪓☠️🪓🌹🌹

  • @antonymathias8219
    @antonymathias8219 2 місяці тому +3

    Mm naomba mnaotoa habari za urusi nawapenda sana tumekuwa gizani mda mrefu sana

  • @africanmandetraveler2847
    @africanmandetraveler2847 2 місяці тому +4

    Bora mara nyingine bro sky umetuletea haya makala mwenyewe sababu kaka Dj smaa na Ally wakituambia ukweli kuhusu Russia 🇷🇺 kuna comments mbili tatu zinapenda kuwatukana watu bila sababu.I love ❤️ Russia 🇷🇺

  • @johnmajondokitulla
    @johnmajondokitulla 2 місяці тому +3

    I love 💕💕💕 them much more

  • @cocotz1892
    @cocotz1892 2 місяці тому +6

    Ni 🔥 sana

  • @aboudasilver6541
    @aboudasilver6541 2 місяці тому +13

    Hiyo ndio nchi ya kushirikiana nayo sio America

  • @hassangaddafi2347
    @hassangaddafi2347 2 місяці тому +2

    Putin baba lao ❤❤🇷🇺🇷🇺🇷🇺
    Free Palestinian❤❤🇵🇸🇵🇸🇵🇸🇰🇪

  • @bensonscott3491
    @bensonscott3491 2 місяці тому +5

    Quality voice 🎉🎉🎉

  • @kamazima11
    @kamazima11 2 місяці тому +3

    Hawa jamaa sio kama awajui kiingereza wa najua vizuri tu lakin wanathamini lugha Zao, alikuwa akifanya TAnzania MAgufuli kutumia Kiswahili watu wakasema hajui kiingereza 😊 ( akili za kushikiwa ni mbaya sana unakuwa mtumwa wa fikra 😂)

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 2 місяці тому

      Kweli kabisa, Magufuli alikuwa na PHD na amesomea England sasa Nani alimfanyia research? Watu wanapenda utumwa. Hata kama unajua kiingereza haina haja iwe ndo lugha yako na kuacha Kiswahili chetu

    • @giztony2009
      @giztony2009 18 днів тому

      Tulimsikia mara nyingi jamaa yule hakuwa anajua English ni kweli kabisaa

  • @omarmohammed5157
    @omarmohammed5157 2 місяці тому +2

    Modi kaipenda memory ya Putin na korea kaskazini ❤

  • @PlatnamMogo
    @PlatnamMogo 2 місяці тому +7

    Tanzania sijui ina feli wapi !? Wanasiasa wa Tanzania wame kazana na Marekani na Europe huku ku mtegemea Mwigulu avushe nchi kwenye uchumi.

    • @pascalntandu1217
      @pascalntandu1217 2 місяці тому

      Hatari sana; watu wanakimbia wezi wa magharibi sisi tunawakaribisha na kuwakumbatia;nyuki hakumbatiwi jamani;heri kwa mali;BurkinaFaso na niger maana sasa wanajitambua.

    • @farajiissa560
      @farajiissa560 Місяць тому

      Cc tunatawaliwa na magenge si viongoz

  • @KilonzoGodson
    @KilonzoGodson 2 місяці тому +6

    Nataka wale wanaosema Kiingereza ni elimu na ndio ujanja.
    Miamba 2 hii inabidi wakae na mkalmani maana mmoja hajui kiingereza na ni Raisi wa taifa kubwa duniani

    • @musasaidi7193
      @musasaidi7193 2 місяці тому

      Putin anaogopa kijerumani na kingereza. Kumbuka alikuwa nani kabla ya siasa.

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 2 місяці тому +1

      Wote wanajua kiingereza ila Putin hapendi kuonekana mtumwa WA nchi za America na Uingereza. Miaka ya nyuma raisi WA America alienda Urusi wakawa wenyewe tu walikuwa waliongea kiingereza na ndipo magazeti yakaanza kuuliza na kuhoji Putin alikuwa anaongea lugha gani kama sio kiingereza pia Putin alikuwa mjasusi wa Urusi haiwekani afanye hiyo kazi bila kujua kizungu.

  • @mohamedrashid6578
    @mohamedrashid6578 2 місяці тому +6

    Amesahau pilipili tu hapo kwa mgeni

  • @MustaphaManole
    @MustaphaManole 2 місяці тому

    Good

  • @emmanuelfari8924
    @emmanuelfari8924 2 місяці тому +5

    Hapo English haitakiwi kbs huu ni uzarendo ama hakika💯🙌

    • @eyanlenjorin4566
      @eyanlenjorin4566 2 місяці тому

      Hawa si wa English ni mhindi na mrusi wataongea vipi English.

    • @evelynemugeni2369
      @evelynemugeni2369 Місяць тому

      Kwasababu wana thamini vyakwao ss wa Africa ndo tunashobokea lugha za wenyewe.usipo ongea kingeleza vizuri ao kifaransa unachekwa sanaaa.watu weusi ss tuna ujinga

  • @paschalfausitine7108
    @paschalfausitine7108 2 місяці тому +1

    Safi Sana ❤

  • @georgedaniel4962
    @georgedaniel4962 2 місяці тому +2

    Mm kwa uelewa wangu NATO mwisho wao upo karibu.

  • @SalmaKhamis-io4ei
    @SalmaKhamis-io4ei 2 місяці тому +3

    Pamoja sana.

  • @abdallahathuman9493
    @abdallahathuman9493 2 місяці тому

    Putin nampenda sana mungu ampe maixha malef

  • @giztony2009
    @giztony2009 18 днів тому

    Kwenye swala la usalama lipoje hapo maana chai mgeni ameikuta imeshamiminwa! Hii ni hatari sana

  • @mohdmohd8428
    @mohdmohd8428 2 місяці тому +1

    Mnangagwa ajifunze kutafuta nguvu ya uchumi

  • @ClementJacob-sd8lf
    @ClementJacob-sd8lf 2 місяці тому

    always great thinkers plant ther croups on good fertile soil to allow them to grow better do you know the better government

  • @HappyatHome-bn8wm
    @HappyatHome-bn8wm 2 місяці тому

    Mungu akurinde putin

  • @enocksitta6350
    @enocksitta6350 2 місяці тому

    Safi sana

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 2 місяці тому +2

    America kwisha

  • @user-dg7wf6fg2j
    @user-dg7wf6fg2j 2 місяці тому

    Mangaribi wanaumia Sana master plan Putin amechagua watu wa mhimu tu

  • @jamesmethusela1148
    @jamesmethusela1148 2 місяці тому

    Putin smart sana.

  • @aminaali792
    @aminaali792 2 місяці тому +2

    Huyu mhindi nae siwakumuamini maana wa Europe wanamtumia vile vile 🙄🤦🏽‍♀️pengine wamemtuma 😒

    • @user-do2id6pp4g
      @user-do2id6pp4g 2 місяці тому

      Hapa ni ngumu sio Africa hiyo ni Russia

    • @aminaali792
      @aminaali792 2 місяці тому

      @R1Lifestyle-f6nmmmmh kwa kweli tuendelee kuwaombea wazalendo wanajielewa 🤲🏼😃

    • @aminaali792
      @aminaali792 2 місяці тому

      @@user-do2id6pp4g tuzidi kuomba kheri kwa Rasia na wanampa support maana anajielewa sio kama wale wa Europe wanaotafuta vita kila siku 🤦🏽‍♀️😒

    • @aminaali792
      @aminaali792 2 місяці тому

      @R1Lifestyle-f6n hasa kwa waliokuwa hawana dini ndani ya mioyo yao hawana kukinai🤦🏽‍♀️

  • @paschalsafari9747
    @paschalsafari9747 2 місяці тому

    Safi sana putin

  • @brianbaltazar6198
    @brianbaltazar6198 2 місяці тому

    ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @user-dg7wf6fg2j
    @user-dg7wf6fg2j 2 місяці тому

    Hawa wanao tafsiri lugha za viongozi kazi wanayo wako makini Sana vyakula hapo baga hamna

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 2 місяці тому

    Viongozi wetu wa afrika wanafikiri kuongea lugha zao za nchi mfano kiswahili, kiganda, kirundi, kijaluo... Wanapokuwa katika mataifa ya nje ....eti kama vile ni kukoswa elimu.....viva JPM....ULIONGEA KISWAHILI DAIMA.....tuige jamani....kiswahili chetu kina radha nzuri....mi nakipenda

  • @kibwetere1418
    @kibwetere1418 2 місяці тому

    Walau hawa viongozi wanaweza kutembea wenyewe,sio kama lile lizee linalotembea kwa kushikiliwa

  • @mapundarajabu5416
    @mapundarajabu5416 Місяць тому

    DUH jamaa wame wachukia wazungu adi runga yai

  • @goodluckmsoka3660
    @goodluckmsoka3660 2 місяці тому

    Unaona Sasa kutokujuwa lugha Fulani sio kwambia wewe ni mjinga tujifunze

  • @kassimrajabu7805
    @kassimrajabu7805 2 місяці тому

    Uraaaa

  • @jotafungo4622
    @jotafungo4622 2 місяці тому

    Ok sawa.
    Ila kupiga stori na wakalimani hainogi😂

  • @Oboss_billharvester
    @Oboss_billharvester 2 місяці тому +1

    Wenzetu wanazipa nguvu laugha zao Sisi tupo busy na kingereza cha wenyewe😢,

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 2 місяці тому

      Lakini wote wanajua kiingereza ila wanataka kuionyesha dunia kama they don't give a sh........na kiingereza.

    • @Oboss_billharvester
      @Oboss_billharvester 2 місяці тому

      @@MsAggie5 and that's a reason why God gave everyone his or her own language so that when he or she speaks his or her language nobody understand, Great God with marvellous action

  • @jumashedafa
    @jumashedafa 2 місяці тому

    Bas huku kwetu ukitafsiriw unaonekan hujasoma...Kwann tusitumie lugha yetu na sisi unatak unambie hawajui kiingereza...Mama Samia ww ndio unatakiw uwe kiongoz ktk hili yan watafutwe wakaliman watakao tafsir kiswahili kwend kwa hao wazungumz lugha ingin

  • @Chettymlambalipsi-lb9km
    @Chettymlambalipsi-lb9km 2 місяці тому +1

    Ni zaidi ya upendo .lakini naomba kuuliza bwana sky kwanini leo VLADIMIR PUTIN hajavaa tai?

  • @julianmsele3880
    @julianmsele3880 2 місяці тому

    putin ni mkarimu sana mwaka jana tulienda kumtembelea jamaa alitubless had makaa ya mawe, mshikaji ni mtu na nusu

  • @salehkhalfan7345
    @salehkhalfan7345 2 місяці тому

    Huyu mwana mama asije akawa Mkaliman km yuleee wa Magufuli

  • @djdeprince3266
    @djdeprince3266 2 місяці тому +1

    Mwamposa katajwa alie sikia kama mmi like apa

  • @kaittheleast
    @kaittheleast 2 місяці тому

    .......🏃

  • @FredrickMatiku-xf2uk
    @FredrickMatiku-xf2uk 2 місяці тому

    Asije akawa kama mkalimani wetu hapa bongo anaweka na maneno yake

  • @filmsx6484
    @filmsx6484 2 місяці тому

    SKy young killer katoa nyimbo kakudiss 😂😂😂😂😂😂😂😂 sema tusimfananishe na kizazi cha gen z yuko mbele ya muda kama kendrick lamar

  • @paulhema5713
    @paulhema5713 2 місяці тому

    Ivi India wanaongozwa na waziri mkuu au....mbona simsikii rais wao...

  • @hajimlaponi1900
    @hajimlaponi1900 2 місяці тому

    Kwann mkaliman? Hakai kwenye kiti😢😅

  • @AbdallahBakar-oc3ue
    @AbdallahBakar-oc3ue 2 місяці тому

    Huyu jamaa hapingiki duniani raisi wa kenya alijalibu tu chamoto anakiona kivumbi chake

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw 2 місяці тому

    Putin anaishi kiisilam sana huyu mwamba

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 2 місяці тому

    Ukraine babalao

  • @kalengashoppingcenter1108
    @kalengashoppingcenter1108 2 місяці тому

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😂❤ Putin

  • @msukumamnywamaziwa2785
    @msukumamnywamaziwa2785 2 місяці тому +1

    ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @aishaarusha894
    @aishaarusha894 2 місяці тому

    Tena chori chori

  • @aminielkombe66
    @aminielkombe66 2 місяці тому

    Mzee tembea yake kama chalii

  • @evansogutu4167
    @evansogutu4167 2 місяці тому

    Wakalimani wako wa wili

  • @user-up2rz4ye2g
    @user-up2rz4ye2g 2 місяці тому

    Putin lazima awashukuru sana India na china.la sivyo urusi sa wangekua wanabeba ela na Marlboro..😅😅😅😅😅

  • @muzafarsharif9465
    @muzafarsharif9465 2 місяці тому

    kwani Putin hajui English??!

    • @jut1161
      @jut1161 2 місяці тому

      Anajua ila hapendi kuongea hata dakika moja

    • @RamadhaniMohamedi-de2vc
      @RamadhaniMohamedi-de2vc 2 місяці тому

      Anajua ila akiwa kwenye taifa lake aongei kingereza anajitambua mana watu wake wanao msikiliza ni warusi kwaiyo lazima aongee kirusi.

  • @mohdmohd8428
    @mohdmohd8428 2 місяці тому

    Mnangagwa ajifunze kutafuta nguvu ya uchumi