Motra The Future - The Future Is Now Volume 6
Вставка
- Опубліковано 18 сер 2020
- Song Written and composed By Motra The Future
Produced By Kass on the beat
Video Shot & Directed by KnK
Signed under @intersourcerecords
Connect With Motra The Future On:
Instagram: / motra_the_future
#motrathefuture #intersourcerecords #TheFutureIsNow Vol 6
The future is now vol 6
kuliko niongelee marapa wa bongo
bora niongelee malapa uongo
maana wana sound ka yule poti anayetaka hongo
hawaoni mbele chongo, utadhani hawana ubongo
sijui wanamimba maana wanasound kama wanataka udogo
vimustach kidogo unajiona osama ful
wengi hamna hela na mnaona sana tuu
mnaimba mapenzi kila siku kumbe drama tu
ndo maana juzi nikawaambia mtaachana tu
kuhusu mapenzi nlimwambia yasinta acomment
akaniambia ili mdumu mnatakiwa muwe na content
yaani lazma uchangamke kwa mwenzio
ili usipokuwa akumisi siunajua raha ya mapenzi moments
kipindi tuko SUA tuliokoa mtaa
saa hii tukiwaza shisha tunaokoa mkaa
ujue tulipata shida tukaondoa mzaa
matunda yamezaa
wale madem walikuwa hawanitaki leo waniita mimi toto
wananipeti peti eti twende lini coco
tukale mihogo, sijui wananiona mi ni locko
waambie siuzi sura , kwanza sipendagi mitoko
nyie si mliniambia mi sio size yenu
nyie ndo saa hii mmechakaa hamfai menu
mmekuwa madunga yembe hamkai kwenu
ujana mle mbali uzee ndo mletee kaeni mbali embu
hawa mamaku maku , wanaimba matapu tapu
halafu , hawana kumi hata kwa baku baku
waogea malapu lapu , wanapotea chap chap
wakiniona wanabonyea kama wanacheza shaku shaku
rap ya elisha , raf mcee, sight more ilikuwa shida
si ndo tulikuwa kings kabla ya kings wa alikiba
tatizo leaders, ikija michongo wanajiiba
walitumia unafki, na ulafi pengo kuliziba
ama beast anakataaa soro gani
huskii marapa wanalia kama nimeshika korodani
ooh, nawaimbisha utadhani ni mkongomani
af siogopi nawauwa toka mi solo army
nnajiamini hamnitingishi hata kope
mnajiita wakali na mnakaa kwa nyumba za matope
mnashindia chipsi hamjui kuna matoke
mnasingizia kwamba hampati mistari mpaka dope
leo niko intersourse, sija inter bila sourse
off cause, mwulize Capo vile nishaforce
kuingia mjini sio mchezo mpaka kuitwa Boss
wengine wanatoaga jicho wakija kimapoz
mjue mziki mi umefanya nikazuru mbali
umefanya manzi angu asinione dume suruali
saa hii nambadilishia mama mboga za ugali
mpaka walionihate now , wanakubali
Aliyesema ukiona mishe haziendi nenda wewe
Ye mwenyewe ni ki ben ten tu anangoja aletewe
Ye kazi yake ni kupaka mundende tu kwa mkewe
Na bado kila kazi ni mbovu lazma agongewe
nyie mnacheza , si Dreamz tunachessa ,
Nacheza na viungo vya madem zenu kama testa
Boshen komesha , r.i.p donii na Lexa
Em piga saloot kwanza kisha sema yes sir
watoto wa MUNGU huwaga tunaamini
hatusumbukii ya kesho sijui tutakulaa nini
Ni uhakika maishani baba anatuthaamini
Nikiitisha chochochote kina kuja in a minute
waswahili toka wanapika majungu hayajakwiva
na huku mtaani tuna njaa mpaka tunapata fever
wanaoshangaa mi wa wapi kwa kile nnacho derliver
arusha mabegani kwangu mji wangu ni gueniva
najiskia furaha kuwa hapa , then
kama anavyojiskia ustadhi kuwa makka , and
hatujawahi ku fake hata siku moja tukapata fame
na saa hii hatu rep rep tunabaka , game
and am back again
Baba ako pon de ting
Kwa mara nyingine Tena 2024 nimeisikiliza tena hii ngoma ni 🔥🔥🔥🔥
The next future of hip hop Kama unamkubali montra gonga like
m.ua-cam.com/video/_f4XojIZRYo/v-deo.html
Motra is not the next he is the current
🇰🇪🇰🇪
Thank you Khaligraph nimepata my favourite rapper bongo
Kiukweli wa watanzania tunaupendeleo 2 Tunakalili tunatow like kwakina zuchu 2 lkn kuna watu wana Kazi nzuri san mfano huyu jamaa motra the Future kiukweli anajua sana mungu 2 azidi kukumbariki bro ila unawenza sana IPO siku bro like 💗 zitaongezeka 2 kk
lavalava ana views kibaoooooo likes ndo usiseme lakin cjui anaimba nini dah chek mchiz motraaaa xaxa wabongo jauuuu
Hata wakikupiga jungu watakubali 2. Ni hayo 2.
@@Kabi_47 shda unajua nn bro tz mijinga tupo mingi maan mtu ulienda shule ndo unaweza elewa bars na flows kma izi za
Motra The Future zile za kina zuchu cjui lava lva za darasa la 7 mzee that's why they gotta many likes n comments cuz mijinga tupo mingi Tz
Khalighraph Jones is the reason we are here discovering. Msanii ako sawa kabisa. Nashangaa mbona views iko chini hivi.
walai
Umetisha bro nakubali flow yako I call it a conscious rap
Montraa anajua kisenge
wah Kama c kaligraph Jones singejua huyu pap Wa tz am now following him am happy venye marap wanajitokeza tz Na Kenya Kwa hii beef l like him ako juu ana rap poa bxt respect the OG in Capital letter
Vi- mustache kidogo unajiona Osama full. Iko wazi nakubali kazi blood
Mzee wang unaandika......@motrathefuture🙌
kuliko niongelee ma rapper bongo,bora niongelee malapa uongo 4real Motra u killin it for the Future...........
Motra OFFICIALLY A BEAST!!!!!!!!!!!!!!!!!! New age rap...The Visuals on POINT like a NEEDLE
All the way from Europe 🙌🙌🙌Motra the Badest ✊🏾🔥🔥🔥
We mnyamaaaaa huwa naiiangalia lakin hata sicoment lolote baliiiiiij salut blooooooo
Flow hatari mistar konk
Hii ilikuwa noma mno🙌🏾🙌🏾
Motraaaa
umeuaa sana hii motraa kumamakee🔥🔥
Babaakooo
Montra good sana
💥💥💥💥
Hii ni kubwa 🔥🔥🔥🔥💯
Tunaelewa wachache!! Hii video ni ya kufika mbali.
Monta is back
Saiv nambadilishia mama mboga za ugali🙏🙏🙏 amen
Kipindi tuko Sua Tuliokoa mtaa🔥🔥🔥🔥🔥
m.ua-cam.com/video/_f4XojIZRYo/v-deo.html
Kivipi?
@@dostovan5142 S.U.A ipo Arusha kama tamaduni ilivyo Kwa dar naongelea miaka kazaa hapo nyuma
@@dostovan5142S.U A stand for saving underground artist pia ikaja kusimama kama stand up arusha
Bar's
Marapa wanalia kama umeshika korodanii!! .. Najua wanakuhofia sana na sala zao ni we usifikie levo maana utawazika . Ila wao sio Mungu najua leo inakujia mooooo.. Kali sanaaaa
Chuki zinatoka wapi mzee......we umechukia wao kutoa sala?
Sisi ndio maKINGs kabla Kings ya Alikiba
Motraaaaaaaaaaa the future is now ni motooooo kumamake
Kubwa sana hii babaakoo
Na kwa mex lazima ufe, mamae na hivyo vimashavu vitabonyea maana siuoni usalama wako!
Xjui hata nkuandikie nn chali angu ila unajua kw kweli dah 🤲
Aaaah wewe kaskazini hip hop ndo laana yetu njoeniii huku mziskie panch line @babaaakooo
Producer, Motra wote mmoja 💥💥💥
From +254 100%lit
badman ting mas
Came here after Kali Jane Dis
piga salut halafu sema yesir, noma sana bro
Wanataka udongo ha ha ha
Kwendaaa kulee kazi kuanzisha vita silaha zenyewe hauna
baba ako ww ni 🔥🔥🔥🔥
Keep up the vibe bro 🔥💯
Nafurah kuona ma broo wanakaza chuga atujawah shindwa
Hii ndiyo style tunayoijua ya Motra 👑👑 pasi kinasa
Ebhna@Motra the future kwa hii🙌🙌 ni kali mpaka nomer
Huyu ni kaligraph jones wetu tz. Big up bro.
😮😮
Babaako on de Tiiiiiiing
Rest easy Donii na Lexaa
Asee much love man.....Ebu fanya kama hizi tatu afu piga media toa na featuring flan.kali na.mbongo fleva mmoja umwimbishe chorus
Tulipata shida tukaondoa mzaaa kaka✌✌✌✌✌
Hhhhhhnakubali
Kaza bro🇰🇷🙇♂️
Unyama
CEO wa BABA AKO!!!
Flow za kinyamwezi👍👍👍
Mnyamaa motra arusha yupo huyu tu Na chindo bac
#Tz stand up🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Babaaako
Dooope
Future...nakubali
.nuff Respek
Noma sana
Motra wasikuyumbishe hii ndio njia yako
Si ndio tulikua King's
Kabla ya King's wa Ally Kiba
,
Nakubali mzee Nakubali 🙌👏👏👏
Pon de ting babaakoo
Nakukbal montra the future
Kubwaa kubwa hii ni ya was #big
Uwezo Bro 💪
The future is now zoooooooote hiiiiii ndio best 💯💯💯💯💯,. Marapper wanalia kama nimeshika korodani ,,,,, kama unakubali gonga like hapa
Motra this freestyle ni noma hadi leo
Bado rap kali kwa miaka mitano hii
duh noma sana nakubari atari
This is dope 🔥🔥🔥🔥🔥
m.ua-cam.com/video/_f4XojIZRYo/v-deo.html
acha izo ulikuw king wawap labda wa kibololoni
Babaako
BABA AKOOH🔥🔥🔥🙌🏾
Mzee motra umeua toka uko solo army
R I P mchiz wngu dopronke aka donii
Mnyama nakukubal sana kaka
All we need is good music keep make 'em👌🏾🔥🔥🎯
Baba Ako
Mmmmh thats real men
Wanaumia kama umeshika krdn.
The future
ofsaaa
Hatariii sanaa Motraaaa
Umeiva now
Arusha labda mapusha😀😀😀😀😀umeingia anga za Kikosi kazi sasa subiri au kajidumbukize ziwa natron mamae mbege wewe
Badman 👊🏿
BAABAAAAAAKO 💣
Babaakoo
More than rapper 👍🔥🔥🔥
Hihop for Life
smart bwoy
Naona unampa changa la moto Kaligraph
Sisi ndio tulikuwa kings kabla ya kings wa Ali kiba ...👑
Babaakoooo
Ujana mle mbali uzee ndio mlete embu kaeni mbali 2022
Motraaaaa
Unajua mwanangu kaa umo umo blood
Nakubali sana kaka mimi shabiki yako mkubwa sana