WEUSI - Hii Hapa (Official Music Video)
Вставка
- Опубліковано 20 чер 2024
- Weusi presents the official music video to Hii Hapa.
Available to Stream / Download: africori.to/hiihapa.oyd
© 2024 WEUSI COMPANY Limited
Distribution by Africori: www.africori.com
#weusi #HiiHapa
Tupeni likes wakenya japo tupo kwenye maandamano ila mziki wa Tanzania unatuliwaza 🇰🇪 🇹🇿
🇹🇿🇰🇪❤️
One love
@@CornelioMsangi-ui7dq 🇰🇪🇹🇿❤️
Wew na nan
#reject
Sio kwamba hip hop ilikua imekufa Bali weusi walikua hawajatoa ngoma.
Nyie wazee mlibeba sna hip hop ya Tanzania namchukia sana shetani aliye wasimamisha apa kati lakin pia nimependa sana hiii kitu mmerudi kwa nguvu kubwa sana ❤❤🎉 legends on the top
Hiphop on point✌️
"nimefungua bucha nachinja MAGOAT Meeeh" kama umeelewa huu mstari unamhusu nani basi like HII HAPA comment
Good work my brothers.. hakika ngoma imefika sehemu salama hapa mozambique 🇲🇿
Lord eyes always killing it
Group pekeee linaloishi Tanzania toka kitambo🔥🔥🔥🔥🔥 weusi let gather here
Skanka inanuka juu ya anga puff puff 💨 whoooouuuuff
Mbona Mheshimiwa HAYUPO WAZEE… #ICON SIJAPENDAA 🙌🙌🙌☹️☹️
lord Eyes anafaaa kufanya ngoma na Redsaan ,,hao wanaezanaa na tena wanafanana sanaa😂🎉🎉🎉
Burundi 🇧🇮 we are here to show love ❤❤❤
Natamani Lord Eyes 🇹🇿afanye ngoma na Redsun 🇰🇪
This is true,,ni ukweli kabisa Lord Eyes ndio anawezana na Redsan ,,afikishiwe hio report hata wanafanana 🎉😂😂😂😂😂
Tunawakilisha uhuru na usawa ...🇰🇪 Tuko imara...mko juu love from Mombasa Kenya 🇰🇪
Weusi team gonga like yako hapa tujuane🇹🇿🇹🇿🇹🇿👑👑👑👑🔥🔥
black ndo hii
Lord ni king anajua
This is what we have been missing for so long.
Paul maker... 🙌 ..beat is 🔥 chord is 💣
And somehow WEUSI we're back!!!
Joh makini unajua sana kaka🇰🇪🔥🔥
Niki 🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Best hiphop group in Africa ❤❤❤❤
Hii hapa hii
Wausii wanatisha sanaa
Mnawanyoosha
Lord eyes sumu na nusu
Weusi mnatisha💪
Unyama ni mwingi.kinoma hiii apa iii
Kampuni kubwa!! Uuuuf
Kazi Kubwa ☝️🇨🇩
Hii hapa🔥🔥🙌🚀
Chuga hip hop ngumu kmeza👊👊
Youngkiller mwenye killer zake mamae! 🎉🎉🎉
Nakubali chuga man weusi ndiyo ranging ya Tz. Ma home boy
Tuliokuja baada yakuiona kwenye page ya comedian pastor like hap
🤯🤯 bongo hiphop
Makini kaua sana
Oka okayyyuu
The only music from bongo that makes sense
Lodi✊🏿
Joh mkali wa kuswitch flow, gnako fashion killer, lord eyes punch line killer
Hatari hili gomaaa
Unyama sana
Kaboom mahome boyz
Kwel weusi kampuni💥💥💥
Wanangu wa chugaa waaaapiii
Hii hapaa
Gud music
Kwelii wajombaa wa A.town hip hop ni toratii...hiii hapaa👊
Big up weusi 💯💪
Movieeee 🔥🔥🔥🔥
A city in da house ❤❤
Goma kali kinyama👍👍
Booom🎉
all time masters 💥💣
Okay okay
Safii Kali sana
First from 🇺🇬
Wahuni wameua goma kma mbele
Arushaaaa is inna di areaaaa
Safi sana wanangu,ila chorus mbona kama mmemkopi 50 cent😂
Kwel humu tu
Siku munisaini weusi namimi nije kufanya jambo❤. Cheki kazi zangu apo #tellaaxistz
Ok 👍
Balaaaaaaahhhh weusiiiiiii
Hii 🔥🔥🔥
Kali saaaana🔥🔥🔥
Weusi 4 life
Hii kaliii
Hii hapa hiii oke oke🎉🎉 GANG
Respect brothers👊🏽👊🏽👊🏽👊🏽
Dope 🔥🔥🔥🔥
A town Stand up for Weusi... Hii hapa hii
Unyama mwingi...
Kubabake,🔥🔥🔥🔥
My broo
Nimeiyona zanzibar humu
Ila Mwambaaaaa!!!!!Kwixha...
ook.... ok weuuusi
Aaah wazeee mmezingua bhan 😮
Hamjawai kosea
Ngoma kali hii hapa hii #Weusi nooooma
Kwishaa kwishaaaaaaaa
Lord eyes
Awesome
💥💥💥💥
Hii apa hii
G nako baba yaooo
Ngoma kaliii kweli
ok!ok!
Lord Eyez kaua sana na Joh Makini 🔥
👍🔥🔥🔥
Oky okyy iliapa hilii❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
🔥🔥🔥👍
Moto
Ngoma ya maana sana
WEUSI MY TEAM since day one 🔥🔥🌚
Hatareee🎉🎉
🔥🔥🔥
Style uaminifuu! N style gan
🔥🔥🔥🔥