Motra The Future - WEUPE (Official Video ) Directed by Den den .

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 285

  • @alfredlaurent1728
    @alfredlaurent1728 6 місяців тому +1

    Chali ya chuga hiyo!! Akili mingi mingi!! Levo zenu sio mimi labda Lunya

  • @kingcopper_tz
    @kingcopper_tz 2 роки тому +82

    Hapo nilitegemea ubunifu wa kinyama, ningekuwa mi director au story writer, ningetafuta watu wanaofanania na watu uliowadiss niwapigisha magoti hapo naanza kuwachana, idea ya pili ungekuwa wewe ni police wao ni wajelajela, wamevaa nguo za jera wewe ndio police unawachana, Idea ya tatu ungekuwa umefanya press conference na wao (kikosi kazi) wapo kwenye geto moja hv la kimaskini knoma wanakuangalia, mara waombane buku wanunuw dagaa watoe ugali(ilmrad tu kuwaua) then wanakuwa wanaelewa unachoimba haf mwishon wanajadli wakikubali unayoyasema
    Baada ya watu wengi kuLIKE naongeza Idea ya mwisho wewe ni HAKIMU, wao ni watuhumiwa wewe ndio unatoa hukumu mpo mahakamani mwisho wa siku wanaenda jela. Thank you

    • @jafaryally4102
      @jafaryally4102 2 роки тому +6

      @Motra The Future aisee idea zilikuepo za maana zaid
      Sema nini ngoma kali

    • @florianassenga5158
      @florianassenga5158 2 роки тому +7

      Video hajaitendea haki kiukweli. Ngoma kali sanaaa, video imeinyonya

    • @philippeter198
      @philippeter198 2 роки тому +3

      wewe bonge la director mwanangu

    • @jacksonmimison6634
      @jacksonmimison6634 2 роки тому +2

      Af unakuta uko mtaan unasikilizia ajira akat tayar we n director mzee idea kal na nahis una more zaid ....fanya

    • @zawadimussa8894
      @zawadimussa8894 2 роки тому +2

      King Copper.....ri....bichwa lako limejaaaaa mau!!!tun...duu!!! Nimekubaliii kinoma hizo Ideas 3😀🤔💪💪💪💪💪💪💪💪

  • @rixone612
    @rixone612 2 роки тому +8

    Motra ngoma Kal sana ,lakn vdeo mbaya sana Yan sana.mana nilikuwa nasubl nione ubunifu Kama ulioufanya kwenye uwandish,SIKUNYINGNE UKTAKA KUFANYA VDEO NTAFUTE NKUSAIDIE KUANDIKA

  • @husseinyassin3237
    @husseinyassin3237 2 роки тому +16

    Tokea kwenye the future is now volume 6 asee nilikua moja ya ninaefatilia kazi zako salute sana

  • @SIMULIZIZONE
    @SIMULIZIZONE 2 роки тому

    Hamna kitu hapa

  • @saidngorwe6605
    @saidngorwe6605 2 роки тому +1

    Umepigwa Na director

  • @piusemanuel5986
    @piusemanuel5986 2 роки тому +1

    Ujawahi kukoseaga mkuuu

  • @georgegmassawe4970
    @georgegmassawe4970 2 роки тому +1

    umetisha mzazi

  • @emmasonanjawe9042
    @emmasonanjawe9042 2 роки тому +1

    Video mbaya Ila goma ni homa ya main👏👏

  • @AhmedAli-hk1il
    @AhmedAli-hk1il 2 роки тому +1

    Hamna kituuuu kazi chukiiiii2 usenge mtupuuuu

  • @TellaaxisTz
    @TellaaxisTz Рік тому +1

    Unyama mwingi #tellaaxistz

  • @daxofficial2588
    @daxofficial2588 2 роки тому +1

    Nzito sanaa bobu

  • @emmanuelgabriel5627
    @emmanuelgabriel5627 2 роки тому +4

    Ngoma ni ya motoooooo 💥💥🔥🔥🔥 sijui watakuja vipi. Punch kila line💥💥💥💯🔥🔥

  • @macdee_tv7622
    @macdee_tv7622 Рік тому +1

    Hapa uliua sana broooo

  • @seleshalange7901
    @seleshalange7901 2 роки тому +1

    Ubugi mwanangu kuwadisi wanangu kikosi kazi

  • @shafiimilela
    @shafiimilela 2 роки тому +1

    Shades at night😤😤😤

  • @bizzleadam9895
    @bizzleadam9895 2 роки тому

    Mshamba mmoja kutoka NGARAMTON YA Chini

  • @isihakakulangwa127
    @isihakakulangwa127 2 роки тому

    Ngoma nyepesi sana aje tumwandikie

  • @sebastianegnas9782
    @sebastianegnas9782 2 роки тому +1

    Wewe mshamba tu kikoi kama nnzi nyimbo yenyewe views ziro

  • @africanasplumbing8780
    @africanasplumbing8780 2 роки тому +2

    Umizaaaa baba sema azam wanatakiwa walipie tangazo

  • @yasinmtublack9289
    @yasinmtublack9289 2 роки тому +1

    Kijana wangu hii ya moto

  • @macdee_tv7622
    @macdee_tv7622 Рік тому +1

    Nipeni likes hapa kwa motra kama rapa bora tz

  • @saleh9997
    @saleh9997 2 роки тому

    Nyimbo nzuri sana

  • @abdulyally4526
    @abdulyally4526 2 роки тому +6

    🔥🔥🔥🔥 burning

  • @RuningaHHPMaRefaZ
    @RuningaHHPMaRefaZ 2 роки тому

    Mziki mnene bro more life

  • @jabiriramadhani3692
    @jabiriramadhani3692 Рік тому

    Ngoma kali

  • @victoredson8338
    @victoredson8338 2 роки тому

    Atali sana hii

  • @jacksonmsendo3478
    @jacksonmsendo3478 2 роки тому

    Ngoma kali sana

  • @nakakyumile798
    @nakakyumile798 2 роки тому

    Video mbaya!ubunifu ziro,fokoooofu

  • @dr.xtarim8272
    @dr.xtarim8272 2 роки тому +1

    Chalii yangu ni mmoja matembo mia moja
    Usiwajibu tena jombaa wameanza kuwa mastar 🤣😂😂 imeishaaaaa iyoooooo

  • @kiravuonline5569
    @kiravuonline5569 2 роки тому

    Sawa chaliii naelewaga kabla hawajaeleweshwa chaliii ccm kijenge

  • @sailepumainga504
    @sailepumainga504 2 роки тому +1

    Baba angu
    Baba ako
    Baba yetu
    Baba lao

  • @zawadimaftah1986
    @zawadimaftah1986 2 роки тому +1

    Motra daaa mziki mzuri video haiko real na unachoimba ulikuwa unaharaka gani kutoa video research ni muhimu kabla ya video chalii uyo baunsa kujivimbisha ivyo ndio nn sasa

  • @mosamossile9113
    @mosamossile9113 2 роки тому +10

    Uhandishi mzur, Ngoja tuwasubir kikosi kazi tuone na wao uhandishi wao, Game imekuwa na challenge asaiv.🇿🇦🇿🇦

    • @hanifuamiri3163
      @hanifuamiri3163 2 роки тому +1

      Kikosi kazi hawawezi wakamjibu mtoto kama huyo

    • @mosamossile9113
      @mosamossile9113 2 роки тому

      @@hanifuamiri3163 Mashabiki tunataka Game ichangamke

    • @kazyn9554
      @kazyn9554 2 роки тому +1

      @@mosamossile9113 cwashamjibu na Mex Cortez pamoja na diss track kabisa #Backtothefuture🔥🔥

    • @mosamossile9113
      @mosamossile9113 2 роки тому +2

      @@kazyn9554 Game imechangamka mzee

    • @yobrake5856
      @yobrake5856 2 роки тому +1

      @@mosamossile9113 Mex cortez killed murdered this guy's career...
      Love from kenya

  • @jiggabaisacommandoabubakar2842
    @jiggabaisacommandoabubakar2842 2 роки тому

    mwana upo vizuri

  • @ot8396
    @ot8396 2 роки тому +1

    Heshim ma Broda hautofika mbali aseee

  • @HatiMoTown
    @HatiMoTown 2 роки тому +1

    From Mo town wame toka weupe kwenye hii kitu afu yule mshamba wa kizungu Mx cotz Mwambia Asimame kama yeye ache kutembelea upepo

  • @braytonelee
    @braytonelee 2 роки тому +1

    Najivunia kuona kaka anafanya vema bendera Ya arushaaaa inapepea

  • @hazukamusic5196
    @hazukamusic5196 2 роки тому

    Umenyoosha mjuba

  • @ibrahdimpoz5820
    @ibrahdimpoz5820 2 роки тому

    Iyi ngoma Video imetolewa haraka
    BEAT KALI SANA ILA VIDEO NAONA IMEHARAKISHWA
    MANA NINAPO IANGALIA NAONA AIKUTENDEWA HAKI KABISA
    #TUSUBIRIVIDEONYINGINE

  • @gastonpeter8885
    @gastonpeter8885 2 роки тому +1

    Ngoma Kali sana unyama mwingi michano imepangiliwa mwanzo kati na mwisho 🙌🙌🙌

  • @ShaqueeBlackrapper
    @ShaqueeBlackrapper 2 роки тому +2

    Motra umezingua sana unawadiss waliokuinspire???!!!

  • @emmaonalloh5515
    @emmaonalloh5515 2 роки тому +3

    This one should be in my playlist umewachana washikaji zangu ila ni fire 🔥🔥🔥🔥 team SNS

  • @sailepumainga504
    @sailepumainga504 2 роки тому +3

    Uwezo🎙️🇲🇱
    Ubunifu🇲🇱
    Umakin🎙️🇲🇱
    Diss track 🎙️🇲🇱
    From A town

  • @barakajericho1332
    @barakajericho1332 2 роки тому

    ujumbe mzito mana game ime poa na wanao fany poa wana bezwa aseeee

  • @tnftz1461
    @tnftz1461 2 роки тому +5

    1st view 1st coment💯✊Nakubal mjubawisee🔥🔥🔥🙌

  • @noahnsubc1666
    @noahnsubc1666 2 роки тому

    Nyimbo kali san ila video mbay

  • @avelinakyakwambala1965
    @avelinakyakwambala1965 2 роки тому

    Huyu kuma ingekuwa mbele tyar washa mkill

  • @jazatz280
    @jazatz280 2 роки тому +2

    Baba akooo🔉🔊

  • @lazaromsabila3426
    @lazaromsabila3426 2 роки тому

    We ni mshamba, nawanao wanaokudanganya yani kumdiss Nikki mbishi umezingua

  • @vjmtv1311
    @vjmtv1311 2 роки тому +6

    King Motra🔥🔥🔥🔥🔥

  • @cpson665
    @cpson665 2 роки тому

    Ss we una level gn😄😄😄

  • @jakahthemc615
    @jakahthemc615 2 роки тому +1

    Arushaaaaa wauwe mkula hivyohivyo

  • @MosesLubely
    @MosesLubely 8 місяців тому

    To come.kikosikaz hakina Kaz yakufanya 😊

  • @AbdallahAlfred
    @AbdallahAlfred Рік тому

    Mziki umeenda shule G...much respect toka 254

  • @ShortbTz-k4p
    @ShortbTz-k4p 9 місяців тому

    Nakubari sana motra

  • @geofreypaschal3923
    @geofreypaschal3923 2 роки тому +1

    Mashonipi wa bongo hawawezi afford kwa P Funk 😂😂😂hii punch kali sana MOTRA THE FUTURE (BABA AKO)

  • @dominickntajinya1550
    @dominickntajinya1550 2 роки тому +1

    Kumchokoza SIMBA MZEEEEE!!!!!! %usiache KUTABASAMU%

  • @hamzarashid9705
    @hamzarashid9705 2 роки тому +1

    Nmekuja hapa na makasiriko bada yakuckia umewadis kikos kazi ila baada y kufika nmekuwa shabk yako kabisa,,,,We jamaa umeandika sana ...🙌 Ur so gifted en talented 💥

  • @afrayo04
    @afrayo04 2 роки тому +1

    Sema namba ako nilipoteza kaka

  • @STDz
    @STDz 2 роки тому +1

    Vidaaaaa moko nyokoooooo saaaaana🔥🔥🔥🔥🔥🤝🤝🤝🤝🙏🏿✊✊✊✊✊✊✊✊

  • @nzalinextlevel4515
    @nzalinextlevel4515 2 роки тому +1

    I got you motra, always unaandika mdogo wangu , na mwelewa sana bro Joe Makini lakini ajawai kupiteza muda kumjibu mtu katika truck na huyo mweupe hupo anajiita king O........ro ajui hata muzik

  • @lupamwakyusa1582
    @lupamwakyusa1582 2 роки тому

    Ngoma kali realy sense, umewachana makolo wanaolazimisha watu wafuatr fikra zao kifupi hayo maisha hayapo now days wafanye vtu vyao wamechelewaa

  • @mrenomtawala4745
    @mrenomtawala4745 2 роки тому

    Ukiwa huna Kaz jua Kaz unayo kikos Kaz huwez fata nyao" songa unaweza ukapiga myayooh lakn kiziwi anaekutazama akais tu unapiga kelele' future kifuture bonge ngoma mwana unaweza taja majina fire

  • @erickselei3426
    @erickselei3426 2 роки тому

    Chalii unaandikaga sana,endelea tuh kuliza moto

  • @brokaofficial
    @brokaofficial 2 роки тому

    C fanyi ngoma na jux alafu niimbie maisha yangu

  • @deekiwonyi4395
    @deekiwonyi4395 2 роки тому +4

    Motraaaa 🔥🔥🔥🔥🔥🙌🏿

  • @mjuba
    @mjuba 2 роки тому +1

    Motra the future nakubali mwamba 💪🤜🤛🔥🔥🔥🔥

  • @erickshine3099
    @erickshine3099 Рік тому

    Oyeah

  • @fredydaniel7179
    @fredydaniel7179 2 роки тому +4

    Baddest 💪💪💪💪💪

  • @adolfmathew9698
    @adolfmathew9698 2 роки тому

    Kijenge juu.mwanama wakilisha babaaaako

  • @shafihmohamed2957
    @shafihmohamed2957 2 роки тому

    Huyawezi

  • @kingbreezo672
    @kingbreezo672 2 роки тому +7

    BROOOOOOOOO....THIS IS KINDA HIP HOP WE WANT IN THIS COOOOOUNTRY JAPO SIO BOY...😆🙌🙌🙌

  • @topselaz6859
    @topselaz6859 2 роки тому +3

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 la mazaao

  • @hemednassor4560
    @hemednassor4560 Рік тому

    Kuvaa enyewe hajui

  • @unclepwechnov1381
    @unclepwechnov1381 2 роки тому +3

    Keep the fire burning🔥🔥🔥🔥🔥

  • @bizzleadam9895
    @bizzleadam9895 2 роки тому

    Kuimba hajui anachojuwa n kuxema WEUPEE PEEE

  • @prof_ras
    @prof_ras 10 місяців тому

    Raspect King Montra The Future.
    You always doin great...👊👊👊

  • @johnnzao6460
    @johnnzao6460 2 роки тому

    Motra umetuangusha hapa

  • @imanimwasse9000
    @imanimwasse9000 2 роки тому +4

    💥💥💥🤞🔫🔥🔥💯💯💯💯 #Babaakoo

  • @MAXIE_KE
    @MAXIE_KE Рік тому

    Huku Kenya ndio unaskika sai🇰🇪🇰🇪

  • @haikatheo6362
    @haikatheo6362 2 роки тому

    Warudishe mashambuliz sasa kikos kizima mwaka wangap huuu hawana hata mtu mwenye ata IST alaf kikos kaz kaz gan ya nyoko #chuga stand up

  • @VulpineVentures
    @VulpineVentures 2 роки тому +1

    0:53 where is the long version?

  • @hakunamatatajapantv8088
    @hakunamatatajapantv8088 2 роки тому

    Shkamoo baba

  • @rashidsalimu2364
    @rashidsalimu2364 2 роки тому

    Huu moto hauzmiki

  • @nozgeniuz1812
    @nozgeniuz1812 2 роки тому

    Sema mex cortez amediss kwa high level distrack 1and back to the future daaa ila hata wewe umetisha

  • @vicentmmassy8498
    @vicentmmassy8498 2 роки тому

    Wafundishe so nyigu wazeeee

  • @dominickntajinya1550
    @dominickntajinya1550 2 роки тому

    Ngoma hatupigi na shooo hatuwapi! %usiache KUTABASAMU%

  • @homan_nkwama
    @homan_nkwama 2 роки тому +1

    Nimependa uhai wa weusi na wanangu TAMADUNI

  • @marandujs
    @marandujs 2 роки тому

    Salute ma men Motra najivunia kwako chizi wangu

  • @jiggabaisacommandoabubakar2842
    @jiggabaisacommandoabubakar2842 2 роки тому

    big up

  • @kessyemmanuely7705
    @kessyemmanuely7705 2 роки тому

    Moto sana wozaaa

  • @ericmmari7763
    @ericmmari7763 2 роки тому

    Ulikuwa kimya sana.. Hit em up

  • @southernboeofficial5490
    @southernboeofficial5490 2 роки тому

    Mabodigadi wenyewe wana vitambi😂😂😂😂😂

  • @Jozmillytz
    @Jozmillytz 2 роки тому +1

    Sa hii ndio current rap syle we all tzHip hop funs want to hear na sio ule utopolo wa WEUPE...#FutureMotra we believe in u since and then.....

  • @jorromboya5717
    @jorromboya5717 2 роки тому

    Atar saan

  • @ramadhanabdul1809
    @ramadhanabdul1809 2 роки тому

    Ngoma kariiiiiiiii👊

  • @azizhunter3151
    @azizhunter3151 2 роки тому

    duuh mzee wangu flow za atar sana

  • @premierjizzle5121
    @premierjizzle5121 2 роки тому

    Baba hiii ngoma nimeielew yaan hat nkiow ntaipiga big up

  • @azidiamassi4884
    @azidiamassi4884 2 роки тому

    Unyamani