Ingia Zizini - Joshua Mlelwa & KUG

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 34

  • @paulinamlanga7582
    @paulinamlanga7582 Рік тому +7

    Kama umekumbuka mbali kama mmi gonga like nyingi ..nmebarikiwa sana kwa kweli

  • @Mc_Muz
    @Mc_Muz 2 роки тому +2

    Utunzi wa hali ya juu. Kuanzia beat. Uimbaji. Sololist... ni upako tupu.

  • @paulsenyael7154
    @paulsenyael7154 Рік тому +1

    Wonderful. Huu wimbo niliutafuta mda mrefu sana sikuupata

  • @Iammatindel
    @Iammatindel 5 місяців тому

    Picha linaanza Sasa umeingia zizini alafu unajikuta chini ya mwamba😃 Mambo si bambam💥😀 Kweli jina la Yesu lihimidiwe🙏✝️

  • @itsmeanna8286
    @itsmeanna8286 Рік тому

    DAAAAH HII NYIMBO EEEH NYIEE BARIKIWA MJOLI WA BABA INANIBARIKI MPAKA SASAIVII

  • @MishoAdeMahanyu
    @MishoAdeMahanyu Рік тому

    Kwakweli kazi ya Mungu ilifanyika kubwa sana. Mbarikiwe sana KUG

  • @veronicakitta
    @veronicakitta Рік тому

    Kwa mliobahatika neema ya uishi embu rudisheni haya majeshi, ilikuwa nawaelewa Sana UPENDO GROUP

  • @johnkundi3825
    @johnkundi3825 Рік тому

    so much memories back in 2005...

  • @makarekenya5399
    @makarekenya5399 2 роки тому +1

    Ondooeni tofauti zenu mludishe hili kundi mtabarikiwa sana

  • @aswilemwambugi2232
    @aswilemwambugi2232 2 роки тому +2

    Barikiwa sanaa, wimbo bado unaishi tangu enzi zile. Nimekumbuka mbali sanaa sanaa

  • @orestonjalika632
    @orestonjalika632 2 роки тому +1

    Yaani huu wimbo aise, una historia na maisha ya ndugu wengi sana

  • @japhetshirima8697
    @japhetshirima8697 2 роки тому +1

    At age 29 now, so much memories and blessings from this choir group....mbarikiwe saaana 🙏🏽

  • @bahatisanga8664
    @bahatisanga8664 11 місяців тому

    2024 napata wimbo tena

  • @mattyhappy1581
    @mattyhappy1581 11 місяців тому

    Yaaan unyenyekevu tu mi ndio kila kitu nautamani balaa

  • @daudngatunga5024
    @daudngatunga5024 Рік тому

    Memories...hakika mlikuwa baraka sana

  • @samsonjoseph6967
    @samsonjoseph6967 Рік тому

    Enzi hizo

  • @mattyhappy1581
    @mattyhappy1581 11 місяців тому

    Brother umekuwa na unyenyekevu mkuu sana ,ubarikiwe

  • @DEBORAISUJA
    @DEBORAISUJA Рік тому

    Old is gold❤

  • @vivianyusuph9292
    @vivianyusuph9292 Рік тому

    Hii album naipataje

  • @DominicOjwang
    @DominicOjwang Рік тому

    Ilivuma kweli

  • @DominicOjwang
    @DominicOjwang Рік тому

    Nimekumbuka 2005

  • @christophermlimbila9013
    @christophermlimbila9013 Рік тому

    Asante sana kwa kumbukumbu hii

  • @zerochanneltanzania3797
    @zerochanneltanzania3797 7 місяців тому

    2024 ❤

  • @pretielala
    @pretielala Рік тому

    Amen!!

  • @stanleymashanya3160
    @stanleymashanya3160 2 роки тому

    As ante Mkuu niliutafuta SAaana sikuweza uona huu mwimbo dah barikiwa mtumishi

  • @nellymkoma280
    @nellymkoma280 2 роки тому +1

    Barikiwa Sana

  • @Mulunguisgod
    @Mulunguisgod 2 роки тому +1

  • @angelmike7536
    @angelmike7536 5 місяців тому +1

    ingia, ingia ingia zizini.. kabla hata ATN haijawepo!! SEPT 2024 we are here!!🔥🔥

  • @michaelludovicknduhiye3798
    @michaelludovicknduhiye3798 2 роки тому +1

    Asante barikiwa sana kaka

  • @pulikisia7963
    @pulikisia7963 2 роки тому +1

    Asante sana Mtumishi.

  • @josephngambi9891
    @josephngambi9891 5 місяців тому

    Huu wimbo wanifanya nione 2002 nikiwa Primary, kama jana tu .❤