Mimi muislam ila napenda sana unavyoimba unabembeleza sauti yako inagusa sana nakumbuka hizi nyimbo nilikuwa nazisikia zamani sana Napenda mziki mzuri siku zote 🙏🙏🙏🙏ubarikiwe mtumishi
Watoto kulawitiwa,ushoga na usagaji kuongezeka,wamama kutembea na watoto wadogo now day wanaitwa mishangazi,wababa kutembea na vibinti vidogo wanaitwa masponser au baby dady,Haya yote yapo ndani ya huu wimbo,Mungu atunusuru tuzidi kurudi kwake kukiendea kiti cha rehema.
@@joshuamlelwa maelekezo namna ya kukuunga mkono katika kazi ya Bwana.Nyimbo zako Huwa zinanibariki sana .hii nyimbo nimeitafuta Kwa muda mrefu sikujua ni wewe umetupiamo sauti ya iliyobarikiwa kwenye huu wimbo..Mungu akubariki Sana Kwa Kila ulifanyalo wewe na kizazo chako..
Mimi muislam ila napenda sana unavyoimba unabembeleza sauti yako inagusa sana nakumbuka hizi nyimbo nilikuwa nazisikia zamani sana Napenda mziki mzuri siku zote 🙏🙏🙏🙏ubarikiwe mtumishi
Amen.
Uzidi kubarikiwa.
Hakika
Very nice song, Mungu wetu
Nimekumbuka nyimbo ihi alituwombeyeko kwamungu njo tuli kuwa muvita sana shiye ba Angola 🇦🇴 God bless you bro witching from Angola 🇦🇴
Mamaangu alikua anapenda sana nyimbo zako. Sasaiv hamtutendei haki sisi tuliokua watoto kipindi kile. Nyimbo ni nzuri sana
I'm from Congo,i was 5 or 6 when my dad used to play these songs and this one...used get me roll some tears 😂😂😂😂
Wimbo mzuri wenye kutafakarisha❤️ mbarikiwe sana
2025 ngoma bado inaishi .. Joshua mlelwa aliua kwenye hii ngoma sauti na flow zake Kama hataki..hakika Mungu anajua kubariki Kila mtu kwa namna yake
Nawapenda sana ,Mungu awatie nguvu sana muendelee kupeleka Injili......... AMEEN
2024.....And gospel still new❤❤❤
Huu wimbo nilikua nautafuta mno naupenda sana
Dah!Nimefurahi sanaaa mmenikumbusha mbali sanaa imebarikiwa mnooo.Mungu azidi kuwatumia kwenye kazi ya uimbaji tuzidi kupona.
Wimbo mzuri sana ubarikiwe sana MTUMISHI WA MUNGU JOSHUA MLELWA
Brather unani bark sana kwa nyimbo zako🎉🎉
Watoto kulawitiwa,ushoga na usagaji kuongezeka,wamama kutembea na watoto wadogo now day wanaitwa mishangazi,wababa kutembea na vibinti vidogo wanaitwa masponser au baby dady,Haya yote yapo ndani ya huu wimbo,Mungu atunusuru tuzidi kurudi kwake kukiendea kiti cha rehema.
Huu wimbo umenijia leo siku nzima....nikaingia utube just waooooh...upo na meseji kubwaaa
Ee Mungu utuhurumie kwakujitenga mbali na ww na kujifanyia mambo tutakavyo na sasa hasara zimekuwa nyingi
Ubarikiwe sana Mtumishi
Asante sana Brother Joshua kwa ku upload hii nyimbo humu maana ni nyimbo ambayo haikuwekwa humu youtube na nimekuwa nikiitafuta kwa muda mrefu sana
Naupenda na pia nabarikiwa sana na wimbo huu. Ubarikiwe mtumishi.
2024 agost 17 nabarikiwa
2023 bado nyimbo inaishi jaman
Jaman mbarikiwe watumisha wa mungu maana nyimbo zenu nikizisikia huwa zinanikumbusha mbali sana
My best song from Joshua Mlelwa
Gospel music ndo hii kwa tafsiri
2024 still my favorite
Mbona ire nyimbo ire ya magereza makubwa yaretayo Nia njema kwa watu haionekani youtyubu ipo wapii
❤album yangu pendwa
Roho wa Mungu aliwavuvia nyimbo hiz zilinigusa utoto wangu mpaka sasa
Habr mtumishi wa mungu
sijawahi kichoka hii nyimbo
Kaka Joshua tunahitaji flash zenye hizi nyimbo
Flash zipo. Nicheck kwa Whatsapp namba hii hapa 👇
0714 237 524.
@@joshuamlelwa shukraan Sana
Mungu tubebe katika hili.
My favourite song
Joshua kwan Uko wap siku hiz
😭😭😭😭😭
❤
Anyone 2024🤍
Katikati ya hizo nene
I love this song
🙏✝️👏
Kaka nilisikia unauza flash yenye hizi nyimbo/album, vipi naweza kuipata
@@joshuamlelwa Naipataje, nahitaji
Mi pia nahitaji

Zaburi 127:1-2