Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Barikiwa saana
Nawapenda sana
2024 july.. 🎉🎉🎉
2024 and I still love these songs Listening from Malawi
Mambo sawa sawa,Yesu akiwa enzini
Nyie hii kwaya ilikuwa inaimba balaa ,Mungu ajalie kundi liludi tena barikiwa sana
Nimefurahi kuwaona tena izi nyimbo zenu zilikua zinanibariki sana alafu zizi nyimbo mulizitoa mwakagani
Hizi nyimbo zinaimbwa sana ila sikujua chimbuko lake kwasababu wamekata vipande nasema tena more blessing in Jesus name
Huu wimbo unibariki sana na kunikumbusha enzi za 2001_ 2004 nikiwa shule ya msingi tulikua tukicheza kweli . Tafadhali piga remix
Mambo sawa sawa. YESU akiwa enzini
finally i met my song 2024
❤❤❤
Penda sana joshua nimefurahi kukuona kwenye mkutano hapa abarikiwa street
Thank you lord you been good to me
Kumbe tunaimba nyimbo za wenyewe na wenyewe wapo duh .....sikujua mwamba ndio author ..... ubarikiwe sana ...tuna enjoy 2024 njia uliyotengeneza nyuma na zamani
Hawa watu nami nawakubali hizi nyimbo ni za zamani
Courage chorale Kijitonyama, nous sommes au Congo. Nzuri sana mambo Sawa Sawa 💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪 JESUS POWER
Daa nimekumbuka mbal xana
KUG MUNGU azidi kuwabariki mpaka mshangae 🥰💕🙏
nabarikiwa sana na nyimbo hizi mungu awabarikie sana waimbaji
Hallelujah hakika Mungu nimuwezaNyimbo zilijawa Roho wa Mungu
Aiseee, wimbo unavuta hisia zangu huu
Mungu awabariki sana kwa huduma nzuri
Amen
Kazi nzuri sana mtumishi wa mungu, ninapenda nguvu mnayoitumia kumchezea bwana. Keep going may God bless your ministry
Amen Amen.Barikiwa zaidi.
2023
Itolee remix mpya sundayschool memories🙏
Nitaifanya live...
@@joshuamlelwa mtumishi wa bwana mwaka gani huu , ulikua unaimba hizi nyimbo ???? Maana nimezikuta
@@richardaron8797 Hizo ni za mwaka 2001
Yesu mkubwa
MUNGU amwinue zaidi
Powerful ❤❤❤
Hii kwaya jamani ilienda wapi? Ilikuwa Balaa sana kwa kuimba
❤
More fire
🔥🔥🔥
Hiyo sol guitar nimeielewa,ni kama aliyewapigia kijitonyama choir❤
Ndio haohao ndugu
Huo wimbo ni Chini ya mwamba kweli?
Hahah wa dudubaya uuu
who is here 2023
Barikiwa saana
Nawapenda sana
2024 july.. 🎉🎉🎉
2024 and I still love these songs
Listening from Malawi
Mambo sawa sawa,Yesu akiwa enzini
Nyie hii kwaya ilikuwa inaimba balaa ,Mungu ajalie kundi liludi tena barikiwa sana
Nimefurahi kuwaona tena izi nyimbo zenu zilikua zinanibariki sana alafu zizi nyimbo mulizitoa mwakagani
Hizi nyimbo zinaimbwa sana ila sikujua chimbuko lake kwasababu wamekata vipande nasema tena more blessing in Jesus name
Huu wimbo unibariki sana na kunikumbusha enzi za 2001_ 2004 nikiwa shule ya msingi tulikua tukicheza kweli . Tafadhali piga remix
Mambo sawa sawa. YESU akiwa enzini
finally i met my song 2024
❤❤❤
Penda sana joshua nimefurahi kukuona kwenye mkutano hapa abarikiwa street
Thank you lord you been good to me
Kumbe tunaimba nyimbo za wenyewe na wenyewe wapo duh .....sikujua mwamba ndio author ..... ubarikiwe sana ...tuna enjoy 2024 njia uliyotengeneza nyuma na zamani
Hawa watu nami nawakubali hizi nyimbo ni za zamani
Courage chorale Kijitonyama, nous sommes au Congo. Nzuri sana mambo Sawa Sawa 💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪 JESUS POWER
Daa nimekumbuka mbal xana
KUG MUNGU azidi kuwabariki mpaka mshangae 🥰💕🙏
nabarikiwa sana na nyimbo hizi mungu awabarikie sana waimbaji
Hallelujah hakika Mungu nimuweza
Nyimbo zilijawa Roho wa Mungu
Aiseee, wimbo unavuta hisia zangu huu
Mungu awabariki sana kwa huduma nzuri
Amen
Kazi nzuri sana mtumishi wa mungu, ninapenda nguvu mnayoitumia kumchezea bwana. Keep going may God bless your ministry
Amen Amen.
Barikiwa zaidi.
2023
Itolee remix mpya sundayschool memories🙏
Nitaifanya live...
@@joshuamlelwa mtumishi wa bwana mwaka gani huu , ulikua unaimba hizi nyimbo ???? Maana nimezikuta
@@richardaron8797
Hizo ni za mwaka 2001