- 103
- 1 306 192
Joshua Mlelwa
Tanzania
Приєднався 10 січ 2017
Akaunti Official ya Bro. Joshua Mlelwa. Karibu SUBSCRIBE, Like na Kushare.
Mawasiliano:
0714 237 524.
Barikiwa sana.
Mawasiliano:
0714 237 524.
Barikiwa sana.
Відео
Chini Ya Mwamba - Joshua Mlelwa & KUG
Переглядів 15 тис.Рік тому
Chini Ya Mwamba - Joshua Mlelwa & KUG
Tuonane Paradiso - Joshua Mlelwa & KUG
Переглядів 16 тис.Рік тому
Tuonane Paradiso - Joshua Mlelwa & KUG
HAKUNA KAMA WEWE (clip) - Joshua Mlelwa
Переглядів 635Рік тому
HAKUNA KAMA WEWE (clip) - Joshua Mlelwa
LEO - Joshua Mlelwa, Mahita grounds Kitunda.
Переглядів 468Рік тому
LEO - Joshua Mlelwa, Mahita grounds Kitunda.
Taifa Letu (Official Video) - Joshua Mlelwa
Переглядів 8 тис.Рік тому
Taifa Letu (Official Video) - Joshua Mlelwa
Mungu Anakupenda - Joshua Mlelwa & Kijitonyama Uinjilisti Choir
Переглядів 23 тис.2 роки тому
Mungu Anakupenda - Joshua Mlelwa & Kijitonyama Uinjilisti Choir
Ni Wewe - Joshua Mlelwa & Kijitonyama Uinjilisti Choir
Переглядів 8 тис.2 роки тому
Ni Wewe - Joshua Mlelwa & Kijitonyama Uinjilisti Choir
Jina lako li hai - Joshua Mlelwa & KUG
Переглядів 4,4 тис.2 роки тому
Jina lako li hai - Joshua Mlelwa & KUG
Kakaaaa aiseee Mungu amekunyanyua mtumisha🙏💯
Nilikuwa sikifaham kabsa kupitia makongamano mbali mbali ya mtumishi wa Mungu Boniface mwamposa Dah nakupenda bure, Hta huu ni wimbo ni wimbo mkubwa saan nimeusikia hta mm kupitia matangazo ya kongamano Arusha, Ubarikiwe mtumishi
Barikiwa Sana Mtumishi... Mungu mwenyezi akutunze kaka yangu na Mtumishi Joshua Mlelwa
Mbarikiwe sana namungu kwa nyimbo nzuri❤❤
Ubarikiwe sana
MSIFAAAAAADHAIIIKEEEEE mioyoni mwenu.. 🔥🔥 #sept2024 kama ulikuzwa na hizi gospel unanielewa
ingia, ingia ingia zizini.. kabla hata ATN haijawepo!! SEPT 2024 we are here!!🔥🔥
Mungu Asante kwa Upendo
Alikubali kifo Cha aibu kwa ajili ya aibu zangu
Haleluyaaaa
Huu wimbo wanifanya nione 2002 nikiwa Primary, kama jana tu .❤
My favorite since 2003 ❤
Picha linaanza Sasa umeingia zizini alafu unajikuta chini ya mwamba😃 Mambo si bambam💥😀 Kweli jina la Yesu lihimidiwe🙏✝️
Hallelujah Hossana!🙏✝️ Joshua anamcha na kumtukuza Bwana kwa viwango vya juu, abarikiwe mjini na shambani.✝️💗
Amen and amen🙏🙏🙏
Wa Salama 🙏
😊😊I’m blessed
🔥🔥🔥🔥😌😊
❤
Dada Ester, nakumiss sana jamani endelea kupumzika salama 😭😭💔❤️❤️❤️
ni yupi niliskiaga tu alifariki mmoja wapo ,au ni huyu anaeimbisha
Utengano ni udhaifu haya ni maneno ya mungu Kumbukeni Umoja ni nguvu mrudieni mungu, mrudi tena hakika tulibarikiwa na kuokoka kupitia hiki kipawa chenu mlicho barikiwa na mungu kama upendo group karibuni bado tunawaitaji jamani haya ni maneno ya mungu
Ni maneno ya mungu ? Au ya kwako ? Mungu ameshawapa watu huduma mbalimbali, wengine Wachungaji, Wainjilisti, warudi kwa Mungu kivipi ? Kwani sasa wanamtumikia nani ? ! Je! Kumtumikia Mungu ni kukaa Upendo Group pekee ?!!
Amenifanyia Amani remix haipo UA-cam naitaka
I've been looking for this song
Brather unani bark sana kwa nyimbo zako🎉🎉
Asant mtumishi
Hadi tuna toroka shule 2004 primary
😂😂jamani ulikuwa ukipigwa kwenye mikutano ya injili hadi tuna toroka!!!!
Mungu akubariki
Aisee wimbo upo njema xnaaa
2024 agost 17 nabarikiwa
Nyimbo imenikumbusha mbali mpaka nimetokwa na chozi la furaha
Nimeitafuta sana hii nyimbo kiukweli roho imesuzika baada ya kuisikiliza
From 2005 to 2024 i still love this album❤
Barikiwa mtu wa mungu
Yessssssssss❤❤❤❤❤❤❤
Haleluyaaaa mbarikiwe sanaaa
❤❤❤
wimbo wa maana sana...
❤
❤❤❤🎉
Hakuna kundi niliwahi kulipenda kama hili. Barikiwa Mlelwa na Mkeo. Naendelea kumshukuru Mungu kwa kuendelea kumtumikia
Barikiwa saana
Amen barikiwa saana
❤ 🙏🏽
the songs that still alive
🔥🔥
Shetani chiniiiii twilumba hilo kwa mtwaa vetu
Huhuuuuuh
Haleluyaaaaa barikiwa mnooo❤❤
Tunawakaribisha hapa Burundi Bujumbura paroisse ruziba.karibu tenaa