#TBCSHAMBANI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 кві 2021
  • Fahamu kilimo cha Mahindi,Ni kilimo ambacho ni cha msimu kama utategemea mvua,lakini kwa kufanya kilimo cha umwagiliaji hakuna haja ya kutegemea msimu bali utalima kwa mwaka mzima.
    Karibu tulime Mahindi

КОМЕНТАРІ • 10

  • @ommygraphics4355
    @ommygraphics4355 2 роки тому +4

    Mimi niliumisi sana huu wimbo wa Shambani Shambani.

  • @laxfloop
    @laxfloop 9 місяців тому +1

    Hivi vipind ni vizur sana kwa kuelimisha watu....bigup

  • @morganyiskaka815
    @morganyiskaka815 3 роки тому

    Kazi nzuri Sana ni mfano wa kuigwa

  • @ernestjoseph2552
    @ernestjoseph2552 Рік тому +1

    Mpunga

  • @husseinmwarabu4425
    @husseinmwarabu4425 2 роки тому

    Kilimo bora faida nzuri

  • @ndelexanderson3379
    @ndelexanderson3379 3 роки тому

    Ni vema kufuata kanuni Bora za kilimo iki kuongeza kipato kikubwa cha mazao

  • @abbyadams8691
    @abbyadams8691 2 роки тому

    Leaf Rust is caused by Fungus

  • @evaristomhongole2161
    @evaristomhongole2161 3 роки тому

    Tufanye kazi kwa bidii,,ugali ndo Kila kitu

  • @abbyadams8691
    @abbyadams8691 2 роки тому +1

    Coplo Ndele nimesoma nae Chuo cha kilimo Uyole. Yeye akiwa CERTIFICATE mimi nikiwa Diploma. Naona shavu hilo!