Mama yetu maria asante sana vile umeamua kututembelea afrika asante kujionyesha wenye hawakutambui wakujue wewe nii myenyekevu unatembelea wanyenyekevu na wenye imani nakushuru kujioneshana kwa huyo mtoto mdogo mama endelea zaidi kumwezesha kutuhudumia mimi ni mkenyenya kabla ya kwaresma kuisha naamimi nitatembea uko
Watching from UK 👋 Nilikuona mlipokwenda kwenye jiwe. Mimi pia matokeo Mwanza. Hongera kwa utangazaji mzuri.🙏🏾namiss nyumbani countryside. Safari njema Mwanza👋
Mama bikira Maria atuombee pia tunamuombea yunisi maisha marefu,pia msingebomoa ile nyumna ambamo alitokewa na mama kama ukumbusho hata watu wanavokuja wanaona hy nyumba
Bwana Asifiwe sana! Ndio! Ni alama kubwa ya Mungu Kutuendelea kutionyesja Upendo Wake. Na kingine Anaonyesha Yuko lati Ya watoto wake. Maana ya hii, ni kwamba kila shida: vita, magonjwa, njaa, Lana, mikoshi, n.k., n.k., ... ina suluhu kwa Mwenyenzi Mungu. Mama Wa Yeti na sisi, Uendelee kutuombea.
Namkumbuka Eunice nilipogika kwao alitupokea yeye mwenyewe kwa ikatimu mkubwa, na tulisali rosary ya huruma ya Mungu pamoja naye. Anasali akiwa very serious Ni mtoto mtulibu
Baba Eunis(Yunisi) acha kuleta aibu xa tamaa! Unachukua hela na kuanxa kuoa makahaba,unatia najisi huduma ya mtoto.Mbona hukuongexa malaya kabla mtoto hajabarikiwa?
Km ukifuatilia uheshimu hicho unachokiamini hakuna aliyekudharau, unachodharaulia imani za watu inakuwashia nini. Wewe acha kwa maombezi ya mama huyu B. Maria kwa kuomba Rosary dunia itaokolewa🙏
Mama yetu maria asante sana vile umeamua kututembelea afrika asante kujionyesha wenye hawakutambui wakujue wewe nii myenyekevu unatembelea wanyenyekevu na wenye imani nakushuru kujioneshana kwa huyo mtoto mdogo mama endelea zaidi kumwezesha kutuhudumia mimi ni mkenyenya kabla ya kwaresma kuisha naamimi nitatembea uko
Amina
Mungu ni Mwema sana.....
Na mimi shauku yangu nifike kwa mtoto Yunis- .
Amen
Ubarikiwe mtoto yunis
Amen
Nakuombea mtoto Yunis na nakupenda Bwana aendelee kukutumia kuponya watu,niombee nami nasumbuliwa na mguu wa kulia na kiungulia.Uwe na Jumapili njema.
Mungu akuponye, amen
Kitu mzuri, kama kupatia mama mzazi WA sister Yunis namna ya kusema vienye anavio rohoni make
Amen
Thank you Brother Pazzo for updating us
Amen
I am watching from kenya i need that book undor of knots the novena of our lady did wonder to my family thank you so much mother Mary
Amen
Watching from UK 👋
Nilikuona mlipokwenda kwenye jiwe. Mimi pia matokeo Mwanza. Hongera kwa utangazaji mzuri.🙏🏾namiss nyumbani countryside. Safari njema Mwanza👋
Amen 🙏
Mama bikira Maria atuombee pia tunamuombea yunisi maisha marefu,pia msingebomoa ile nyumna ambamo alitokewa na mama kama ukumbusho hata watu wanavokuja wanaona hy nyumba
Hakika
Watching from kenya barikiweni sana kutuelezea kila kitu
Amen
Habari nime tuma ujumbe kutoka kenya Nairobi nauliza naweza pata maji yenye imebarikiwa na Unice hapa Kenya haje
Tuwasiliane +255757432694
Keep up the good work GB Pazzo
Amen
Bwana Asifiwe sana! Ndio! Ni alama kubwa ya Mungu Kutuendelea kutionyesja Upendo Wake. Na kingine Anaonyesha Yuko lati Ya watoto wake. Maana ya hii, ni kwamba kila shida: vita, magonjwa, njaa, Lana, mikoshi, n.k., n.k., ... ina suluhu kwa Mwenyenzi Mungu.
Mama Wa Yeti na sisi, Uendelee kutuombea.
Amen
Mimi ni mathew kutoka Kenya nashukuru mungu nitatembea huko aki mungu nizaidie
Barikiwa
Namkumbuka Eunice nilipogika kwao alitupokea yeye mwenyewe kwa ikatimu mkubwa, na tulisali rosary ya huruma ya Mungu pamoja naye. Anasali akiwa very serious
Ni mtoto mtulibu
Amen
Eeh maji TENA! Simamia lmani yako tuishi kwa amani. Kubadilsha Imani ya watu ni kwa Mungu mwenyezi ambaye anatujua kwa undani.
Amen
Kwa ukweli mimi niko na imani sana na mtoto Eunice, lakini nilituma hela mwaka jana mpaka wa leo baba Eunice hajatuma maji, shida nini?
Oooh pole sana. Amewakosea kabisa kutotuma
Ndio umeibiwa hivyo
Yani huyu baba Eunice siyo wa kumtumia pesa kabisaa
Mbona anatuma pengine kunamambo yaliingiliana kile kipindi ila kwa kweli kama unamwamini mama Maria namshukuru sana.
Mama Yunus mungu atakupa neema yake
Amen
Jamani nisaidien no za baba Yunis
Tuwasiliane+255757432694
Baba Eunis(Yunisi) acha kuleta aibu xa tamaa! Unachukua hela na kuanxa kuoa makahaba,unatia najisi huduma ya mtoto.Mbona hukuongexa malaya kabla mtoto hajabarikiwa?
Mshauri kwa hekima
Naomba namba ya simu ya babake yuni nataka maelezo vile nitafika huko Bukama kwa maombezi
+255768080277
AMEN AMEN THANK God. 🙏
Amen
Abari nataka mawasili yano nahuyo mtoto yunusi
Tuwasiliane +255 757 432 694
Hongera sana G M P
Amen/ BMG/ GB Pazzo
Nahamin atakuwa ana ji changanya au ana zidiwa mpigie simu nke wake na umtumie akukutumie usilaumu mpenzi wangu ana zidiwa😅
Mama Maria utuombee 🙏 24.02.24.
Amina
Maajabu ya mungu
2:05
Amen
Wewe unaye beza jamani imani ni kitu ambacho hkionekani kwa hiyo unataka kuniambia wakatoriki hawasomi madiko matakatifu Pole
Barikiwa, endelea kuheshimiana kila mtu kwa imani yake
Naomba namba za Mama yunis zingine alinipaga hazipatikan
+255693268319
Dusaidie namba ya baba yunis ama mama yake
Mama Yunis +255693268319
No ya Eunice ya simu
+255693268319
Nitafikaje huko jamani.
Inategemea uliko
Naomba number ya mama Yunis.
+255693268319
Kutoka Kenya mutu upitia wapi
Isibania-Sirari border ni karibu zaidi
Naombanama yamagata ya yunis
Mama Yunis +255693268319
Mbona hii interview haina kichwa wala miguu, lengo ni nini hasa lengo la mahojiano haya
Achana nayo maana si kila mtazamaji ataelewa kila mahojiano. Kuna wanaoelewa na Kuna wasioelewa pia.
Mama Maria Utuombeee
Amen
Niko Kenya
Barikiwa sana
Maji tena? Ndicho hicho mnachokitafuta huko? Wakatoliki someni Biblia acheni kuabudi sanamu, kinachoponya ni damu ya Yesu na sio maji ya baraka
Biblia hiyo aliekuandikia si mkatoliki😂
Kila mtu na imani yake, hakuna imani iliyo bora kuliko ya mwingine. Acha kila mtu afuate Imani yake, bila kuingilia ya mwingine 🙏
Naona ukatoliki una dhahabu sana. Km wewe siyo mkatoliki unafuayilia nini mambo ya B. Maria?
Wacha watu tubaki na Imani zetu.
Km ukifuatilia uheshimu hicho unachokiamini hakuna aliyekudharau, unachodharaulia imani za watu inakuwashia nini. Wewe acha kwa maombezi ya mama huyu B. Maria kwa kuomba Rosary dunia itaokolewa🙏
Kwani maji yakibarikiwa si ndio yanafanyika baraka?? Na baraka zenyewe si pamoja na uponyaji. Sasa unashangaa nini.
Mama bikira maria utuombee
Amina
Amen
NAPENDA kufika huko na Mimi nipate uponyaji.
Barikiwa