MTOTO YUNISI: MAMIA YA WATU WAFURIKA KUPATA MAOMBI YAKE, NI ZAIDI YA MAAJABU YANAENDELEA..

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 вер 2024
  • MTOTO YUNISI: MAMIA YA WATU WAFURIKA KUPATA MAOMBI YAKE, NI ZAIDI YA MAAJABU YANAENDELEA..
    Mtoto mdogo mwenye umri wa miaka 2 na nusu,Yunisi Atieno, mkazi wa kijii cha BUKAMA, RORYA, Tanzania ameendelea kushangaza watu kwa kuendelea kuwaponya watu kwa maombi na maji, tofauti kabisa na umri wake.
    Global TV imefika kwa mara nyingine kijijini hapo na kuzungumza na wagonjwa walioponywa na mtoto huyo..
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
    ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

КОМЕНТАРІ • 147

  • @catherinemuhagama7338
    @catherinemuhagama7338 3 роки тому +10

    Watu mnaozoza kuhusu huyo mtoto hata sishangai coz hata Yesu kpnd anafanya muujza wapo waliongea kama nyny,.so ktachokuponya ww ni Iman yako tu angekua tapel si angewaambia watoe pesa lakn ni bure tu ni ww na galon lako basii kngne hajasema muende kwa lazma..

    • @ellielove521
      @ellielove521 3 роки тому

      Hatuteti Bure ni venye tunajua Neno n tunapinga kile ambacho hakiko kwenye Bibilia manake Neno la Mungu ni kweli ni upanga unakata kuwili kuwili...na pia watu wasome Bibilia wasiangamie Kwa kukosa maarifa

    • @fortunataangelo5575
      @fortunataangelo5575 3 роки тому

      @@ellielove521B, Maria anao uwezo wa kukusaidia, kwa mastahili ya Yesu Kristo, ,, Mungu alimtukuza wewe ni nani hats ukane

    • @neemarenaida6667
      @neemarenaida6667 2 роки тому

      @@ellielove521 Biblia uliyonayo nafikiri ilichomolewa baadhi ya vitabu , ndo maana unasema hivo acha wanaoelewa ukweli wa maandiko wamtukuze Mungu

  • @gracemecymercy3001
    @gracemecymercy3001 3 роки тому +5

    Endelea kufanya kazi kazi ya Mungu mtoto Yuni sababu ni Mungu amekutuma sio mwanadamu acha waongee na waseme vile wanataka ata Yesu walimtusi na wakamsulubisha msalabani na hio haikumzuia kufanya kazi ya Babake

  • @gracepahali3719
    @gracepahali3719 3 роки тому +6

    Naona shahuku ya kumtumikia Bwana wa Majeshi Watu wamjue Mungu wa kweli mwenye mamlaka duniani Na Mbinguni Ni Yesu simba wa kabila la Yuda ,Nampenda sana Bwana Yesu.

  • @vaivai4525
    @vaivai4525 3 роки тому +8

    Mama bikra maria
    mama wa yesu karibu kwenye familia yang . Na maishe yangu niongoze nifike salaama mbinguni kwa yesu mwanao

  • @michaelpatrick9137
    @michaelpatrick9137 3 роки тому +3

    Mungu wetuuishie milele endelea kumkuza mtumishi wako ili ukuu wako uendelee kuzihirika milele na milele

  • @luciamuema6188
    @luciamuema6188 3 роки тому +8

    Nothing impossible to our almighty God.

  • @pamelambayisi4423
    @pamelambayisi4423 3 роки тому +6

    Yuni Niko mbali Dani, but pray 🙏 for me God to open the way of my only one son. Mungu asiti kukuinua katika utuma na pia kanisani mwako

  • @nelbatjuma9849
    @nelbatjuma9849 3 роки тому +5

    MUNGU ambarik huyo mtoto
    Piah!!!! Kupitia huyo mtoto
    Tunaweza shuhudia imani yetu
    Kwa sifa na UTUKUFU wake MUNGU.

  • @pamelambayisi4423
    @pamelambayisi4423 3 роки тому +3

    Yunisi,wewe ni mdogo malaika was mungu, what is inside you it's God who knows.

  • @pamelambayisi4423
    @pamelambayisi4423 3 роки тому +2

    Mama bikira maria makatifu mama mwenye huruma,mama mbarikiwa mama mwenye mwangasa na asiti kuhangasa ndani mwako akikupea muongoso pamoja na malaika watakatifu.

  • @iluminathankwera9583
    @iluminathankwera9583 3 роки тому +2

    Kama huamini tulia ,usikashifu usichokijua wewe Mwenyewe Sala anazosali huyo mtoto wewe mtu mzima huwezi na anasali kwa kiswahili kinachoeleweka ,walio nje ya Tanzania Wana mtamani huyo mtoto wewe,unaleta dharau ,ama kweli nabii hakubaliki nyumbani .nimelusha jiwe gizani kama limekupata tulia

  • @EstherMurage-zm5qk
    @EstherMurage-zm5qk 5 місяців тому

    Kwakweli mungu hutumia chombo chochote kujihidhilisha dio maana anamtumia mtoto huyu abaye hana mambo mingi mungu aedelee kupewa sifa anapo edelea kumtukia

  • @alialamoudi9729
    @alialamoudi9729 2 роки тому

    Uongo mtupu haifai kuamini mambo kama hayo kabisa kamwe ni shirk usijaribu kwenda huko kumoba kutibiwa ni shirk thambi isio samehewa milele usijaribu kwenda

  • @justerkitandala8914
    @justerkitandala8914 3 роки тому +1

    Na Sasa hivi watu mkicheza Ni muhuri tu namba 666. Huyu Ni Illuminati. Mwombeni Bwana Yesu Awafumbue Akili na macho.

    • @florianhashimu1370
      @florianhashimu1370 3 роки тому +2

      Ww baki na imani yako mengine achana nayo.Usikufuru usilolijua.Hata Biblia Takatifu inasema hv:Mwnye kuipoteza nafsi yake kwa ajili yangu ataiona na mwenye kuiona ataipoteza.Iombe heri usidharau kitu usicho kijua mwisho huujui.

  • @stellamuyenjwamboyi7559
    @stellamuyenjwamboyi7559 3 роки тому +2

    Msifanye uganga someni neno la Yesu
    Neno lako nimeliweka moyoni mwako nisikutende dhambi Bwana
    Isaya 53:1--12
    Yeremia 30:16
    Isaya 5,,:2--20

  • @ImeldaPaul-z7e
    @ImeldaPaul-z7e 6 місяців тому

    Mungu endelea kumpigania mtoto wetu ili atende kazi yako

  • @gracegesare5313
    @gracegesare5313 2 роки тому +3

    Glory be to the lord through angel yunis.

  • @julietnjuguna4618
    @julietnjuguna4618 3 роки тому +1

    Mtoto yunis yeye hajijui ni kujikuta alijikuta na kipaji ya kuponya atahaelewi Mungu ametafuta watu wa kufanya kazi yake akakosa Dio Atumia huyo mtoto jihathali wewe una jaji ata yesu aliabiwa Atumia majini

  • @talibmuhsin5221
    @talibmuhsin5221 2 роки тому

    Wakristo poleni kwaiyo yule muislamu mwenye karma mtot Kama huyu yy ndo anafanya uchawi mnavoamini , uyu wenu ndo Yuko chh mbona mnafeli apo Mujue Allah kafany Ivo maksud kuonesh Kam anauwezo , nahao wote ni WAISLAMU ispokua wakifikia kupata ukubwa tu ndo watajua Kama mm muislamu nibaki huku au mm kafiri nibaki huku au nislimu

    • @alialamoudi9729
      @alialamoudi9729 2 роки тому

      Uongo mtupu haifai kuamini mambo kama hayo kabisa kamwe ni shirk usijaribu kwenda huko kumoba kutibiwa ni shirk

  • @thepowerofsilentsoul2135
    @thepowerofsilentsoul2135 3 роки тому +2

    Ameen

  • @donaldamadi9223
    @donaldamadi9223 2 роки тому

    Why you don't translate your interview, people what to understand

  • @raelchepchirchir4728
    @raelchepchirchir4728 3 роки тому +2

    OGOPA MUNGU WA MTOTO YUNIS JAMENI.

    • @redemptasiengo6891
      @redemptasiengo6891 2 роки тому +1

      jamani ishara zote azitoke kwa mungu 1.kwa nini alitaji jina la Yesu. Yesu ndiye njia ya ukweli siku za mwisho kutakua n manabii wa uongo n watatabir watafanya miijiza na ishara nyingi jiadhari nao kama n Mungu itadum mungu amlinde huyo mtoto kama sio ya mungu..itakwesha kama ni ya mungu itasimama itaisha kumbuken yule mzee.wa Arusha kikombe cha babu ....

    • @alialamoudi9729
      @alialamoudi9729 2 роки тому

      Uongo mtupu haifai kuamini mambo kama hayo

  • @veroaroma2689
    @veroaroma2689 3 роки тому +8

    Mary said, God has put down the mighty from their thrones & exalted the humble.

  • @jenanikilipamwambo4527
    @jenanikilipamwambo4527 2 роки тому +1

    Mungu mbariki Yun

  • @marianachriss2444
    @marianachriss2444 3 роки тому +4

    Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa

    • @ellielove521
      @ellielove521 3 роки тому +1

      Asanti Kwa hii comment yaani ady me nashangaa na wakristo..ebu watu na wasome Bibilia wapate maarifa..ady Hawa watu Kwa comments wamenichosha..yaani wako ignorant kabsaa

    • @saveodenyo2931
      @saveodenyo2931 3 роки тому +1

      @@ellielove521 .. you have not been truely sick. But expound on yr suggestion, nobody should judge..

    • @ellielove521
      @ellielove521 3 роки тому

      @@saveodenyo2931 we just concerned about the spirit at work..coz trully speaking even diviners perform miracles n heal the sick so people should first know the truth which is the Word of God before running to every alter that arises for miracles..

  • @jadehelena86
    @jadehelena86 2 роки тому

    Très chère bien aimée yunisi pardon essais d adresse mes surpplication à la vierge Marie quel intercede pour moi devant le seigneur Jésus que le seigneur Dieu me localisé et me visité et restore moi agir dans ma vie seigneur mon dieu exaucé mes surpplication entend mon cris vers toi seigneur Jésus amen amen amen merci seigneur Jésus

  • @NancyNyambura-wg4yp
    @NancyNyambura-wg4yp 6 місяців тому

    Hayo,nimaajabu,yamungu

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 3 роки тому +1

    Nikiangalia vile babu wa loliondo alivyoiteka nchi na kikombe chake hadi viongozi wa serekali leo kaja mtt na maji madumu yote hayo hatoi hsta kwa kipimo hivi lini tutafunguka hebu atibu na uviko 19 basi tuamini sisi kina thomaso😳😳😳

    • @florianhashimu1370
      @florianhashimu1370 3 роки тому

      Ww unataka mpaka uguse je,unayafanya yakupasayo.Dunia ya leo dini tumafanya kama bongo fleva.Utafakari ukuu wa MUNGU.Yaliyofichika machoni imani itayaona.Bali kama huwezi kufanya hvyo haya utayaona kama comedy tu.

  • @Bibianaprosperprosper
    @Bibianaprosperprosper 6 місяців тому

    Naomba namba ya simu

  • @saveodenyo2931
    @saveodenyo2931 3 роки тому +3

    I blv..

  • @demycratia2567
    @demycratia2567 2 роки тому

    Yunis niombeee Kwa Mama BIKIRA Maria aniondolee MAGONJWA YOOOOOTE MWILINI KWANGU MIMI DEMETRIA NA WATOTO WANGU ACHIENG ANGELLA NA CARADOC DAUDI, AIKEN SANGA NA GEOFREY SANGA SALA: SALAMU MARIA UMEJAA NEEMA BWANA YU NAWE UMEBARIKIWA KULIKO WANAWAKE WOOTE NA YESU MZAO WA TUMBO LAKO AMEBARIKIWA MARIA MTAKATIFU MAMA WA MUNGU UTUOMBEE SISI WAKOSEFU SASA NA SAA YA KUFA KWETU AMINA

  • @reministerjoseph1683
    @reministerjoseph1683 2 роки тому

    Jamani naomben kujua huyu mtoto anapatikana mkoa gani?

    • @reministerjoseph1683
      @reministerjoseph1683 2 роки тому

      Hta namb za wazazi wake plz nataman kwenda lkn celew nitampataje🥺

  • @annalaurent4037
    @annalaurent4037 2 роки тому

    Mungu ni mwema

  • @fredriquej.m.m2693
    @fredriquej.m.m2693 2 роки тому +1

    Mungu yu mwema,

  • @ellielove521
    @ellielove521 3 роки тому +6

    Kwa Jina la Yesu watu wanaponywa, viwete watembea na kila miujiza inafanyika lakini si kupitia maji...Roho wa Mungu atusaidie tusiangamie Kwa kukosa maarifa

    • @leonardchoma1836
      @leonardchoma1836 3 роки тому +1

      Usimuwekee Mungu mipaka ya uweza wake.Nyie ndiyo mnaoangamia kwa kukosa maarifa kea sababu ya kuwa mtumwa wa fikra.

    • @susanraphael5894
      @susanraphael5894 3 роки тому

      @@leonardchoma1836 umeona eeh

    • @carolosimbo4280
      @carolosimbo4280 2 роки тому

      Nataka direction ya kumfikia

  • @pamelambayisi4423
    @pamelambayisi4423 3 роки тому

    Okay mtoto yunisi wale wenye kuombewa, pia nanyi muombeeni asiti kupata NGUFU katika kristo yesu pamojo na mama maria mtakatifu.Amena.

  • @maspro6294
    @maspro6294 3 роки тому +2

    Uongo mtupu kafa babu wa Liliondo kaja mtoto

  • @ellielove521
    @ellielove521 3 роки тому +4

    Watu wasome Bibilia...tests every spirits n pia manabii wa uongo wanafanya miujiza ila si Kwa Roho Mtakatifu..

    • @wazomyakinifu2301
      @wazomyakinifu2301 3 роки тому

      Wewe ndiye muongo unayeongelewa ktk biblia

    • @ellielove521
      @ellielove521 3 роки тому +2

      @@wazomyakinifu2301 😅🤣ukweli waumiza...pole sana

    • @wazomyakinifu2301
      @wazomyakinifu2301 3 роки тому +1

      @@ellielove521 Ungekuwa mkweli walau ungepata mabilioni ya likes ktk ujumbe wako. Usimuonee wivu mtoto wa wenzio

    • @ellielove521
      @ellielove521 3 роки тому +2

      @@wazomyakinifu2301 false prophets lead MANY astray n watu wapendi ukweli n waezi taka kufuata njia ya kweli that's y wanakimbilia ma shortcuts kama hizi n wakweli ni Wachache

    • @ellielove521
      @ellielove521 3 роки тому

      @@wazomyakinifu2301 again 144k ndio wataingia mbinguni soma rev 14:1 meaning watu hawataki kuskia ukweli na kazi ni kuwapiga wale ambao wanaeneza injili ambayo ni ya kweli...wengi wamekimbilia manabii wauongo kwa kupata miujiza ya haraka haraka badala kutafuta ufalme wa mbinguni kwanza

  • @stellamuyenjwamboyi7559
    @stellamuyenjwamboyi7559 3 роки тому +1

    Joka jekundu kuzimu angani Malkia wa mbingu mungu mke
    Yeremia 44:2---yote mikate anagawa

  • @adamuluoga6541
    @adamuluoga6541 3 роки тому +2

    Ivi mtu akizaa bado atakuwa bikra? Jamani huyo Maria ni mungu mke wa atemi

    • @neemarenaida6667
      @neemarenaida6667 3 роки тому

      Acha kukufuru Kama huelewi heri ukae kimya ,unawaza kibinadamu

    • @nasraissa1371
      @nasraissa1371 3 роки тому

      Yaleyale ya Mwaisapila wa Loliondo

    • @claudiusbernard8178
      @claudiusbernard8178 2 роки тому

      Mr. Adamu Bikra haiondolewi kwa kuzaa bali bikra ya binti au mwana mke huondoka pale tu anapoingiliwa kimwi na mwanaume.

    • @alialamoudi9729
      @alialamoudi9729 2 роки тому

      Uongo mtupu haifai kuamini mambo kama hayo kabisa kamwe ni shirk usijaribu kwenda huko kumoba kutibiwa ni shirk thambi isio samehewa milele usijaribu kwenda

    • @alialamoudi9729
      @alialamoudi9729 2 роки тому

      Wao wana mungu watatu kwenda huko kumoba kutibiwa ni shirk thambi isio samehewa milele NA unapotea dini yako ya uslaam

  • @isackmaturo7331
    @isackmaturo7331 3 роки тому +1

    Sia Kila mtu anaroho mtakatifu ndan yake shetan anaweza kukuletea ugonjwa na akakuletea mtu wakukutibu pia mtaften Mungu achani kuyumbishwa na shetan jaman

    • @alialamoudi9729
      @alialamoudi9729 2 роки тому

      Kweli kabisa maneno yako ni sahihi na busara asante

  • @lucasmartin3516
    @lucasmartin3516 3 роки тому +1

    Haya do mashetani ya africa

  • @merickmalekela6493
    @merickmalekela6493 3 роки тому +2

    😂😂😂😂mtot mdog amewakusanya

  • @healingsschool4630
    @healingsschool4630 3 роки тому

    ECCLESIASTES 10:19....but money answerth all things
    All traps failed to catch Jesus Christ but when Chief of Priests gave 30 silver coins (money) to Judas they succeed (Mathew 16:15)
    Abraham the Father of Faith when he was in lack and want, this means he had no money for buying food (when there is famine we can buy from far countries) his wife Sarah was taken because she told kings Abraham is her brother in order to get favour Genesis: 12:16, 20:2, 26:6-11.
    A rich man got miracle because he gave to people and built a synagogue Luke 7:5.
    Next an altar of blessings built by Abraham Genesis 12, Galatians 3:13......In the mighty Name of Jesus Christ....

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Рік тому

    🙌🏿

  • @juliemetanoia1650
    @juliemetanoia1650 2 роки тому

    Never doubt God's Mission unless...you r faithless

  • @emmanuelytunduma8127
    @emmanuelytunduma8127 3 роки тому +1

    Acheni ujinga mmeanza Kama babu wa loliondo

  • @veronicaalfred5739
    @veronicaalfred5739 3 роки тому

    Nakupenda maria mama uliyebora furaha yangu maria nikae nawe daima nipate neema zako nifike juu mbinguni, Amina.

  • @gloriamwalongo3661
    @gloriamwalongo3661 Місяць тому

    Amenw

  • @pamelambayisi4423
    @pamelambayisi4423 3 роки тому

    Hays ni mahajabu ya ulimwenguni,hata Mimi mtu msima sijui hata Sala hiyo siwesi kumalisa visuri.

  • @juliemetanoia1650
    @juliemetanoia1650 2 роки тому

    Bukama-..Let Those who hv Faith benefit

  • @angelmauja887
    @angelmauja887 2 роки тому

    Maelekezo tunafikaje jaman

  • @issakizz7095
    @issakizz7095 3 роки тому +1

    Mpeni Mike aongee basi tuone, hii nchi tunaijua ina maajabu yasiyo julikana yanatoka wapi nyie waandishi mnakaa Kama mnazingua some time

    • @strongmummy580
      @strongmummy580 3 роки тому

      Kweli Dada

    • @issakizz7095
      @issakizz7095 3 роки тому

      @@strongmummy580 Dada nani na wew

    • @strongmummy580
      @strongmummy580 3 роки тому

      @@issakizz7095 pole kaka named are confused am humble sorry

    • @issakizz7095
      @issakizz7095 3 роки тому

      @@strongmummy580 worry out

    • @alialamoudi9729
      @alialamoudi9729 2 роки тому +1

      Maneno sawa kabisa hiyo ni shirk usijaribu kwenda huko

  • @neemarenaida6667
    @neemarenaida6667 3 роки тому

    Yaachie wenye nayo Kama sio dini yako kwani ni kuyafatlia?

  • @carolineatinga8367
    @carolineatinga8367 2 роки тому

    Nambari ya simu ya kuwafikia ni Gani?

  • @priscambwambo1030
    @priscambwambo1030 3 роки тому

    Mmmmmmmm kwakweli siku za mwisho zina Mambo Menge sana.

  • @marymungai4429
    @marymungai4429 2 роки тому

    glory to God for His servant Yunsi. you are all blessed

  • @catherineponi7122
    @catherineponi7122 3 роки тому

    Our spiritual child yunice l, am so far, but asking you to pray for my health condition and the family at large ,together with other problems related, amin.

  • @samilahmethod6858
    @samilahmethod6858 3 роки тому

    Huyu wa buchosa tuwasiliane jamani na mm Niko buchosa

    • @alialamoudi9729
      @alialamoudi9729 2 роки тому

      Uongo mtupu haifai kuamini mambo kama hayo kabisa kamwe ni shirk usijaribu kwenda huko kumoba kutibiwa ni shirk thambi isio samehewa milele usijaribu kwenda huko kumoba kutibiwa ni shirk NA kupoteza dini yako ya uslaam

  • @yunismahanga2871
    @yunismahanga2871 3 роки тому +1

    Hiyo inaitwa ukilala masikini unaamka tajili babu WA loliondo amefaliki kaacha ulisi

  • @susanraphael5894
    @susanraphael5894 3 роки тому

    Alie wa kristo hawezi tukana hukumu tumuachie Mungu sisi ni binadamu tu kama hauamini baki hivyo tuu

    • @alialamoudi9729
      @alialamoudi9729 2 роки тому

      Uongo mtupu haifai kuamini mambo kama hayo kabisa

  • @peninahmwangi5098
    @peninahmwangi5098 3 роки тому

    Namini miungu wa huyo mtoto

  • @denisimaliyaweni9183
    @denisimaliyaweni9183 3 роки тому

    Angekuwa mzungu ungemsujudu, ila huyo mtoto ana koti fuln miaka 2na nusu jmn ni mdogo sana

    • @nameno8608
      @nameno8608 2 роки тому

      Hata Mwarabu wangemwita Mtu aliyetumwa na Mungu ila sisi weusi hatupendani

  • @elzaberthcharles3288
    @elzaberthcharles3288 2 роки тому

    Namba yacm kuwa pata

  • @stephenf.sikolia7588
    @stephenf.sikolia7588 3 роки тому +4

    Amen, thank you God.

  • @ireneassey753
    @ireneassey753 3 роки тому +2

    Nabii hakubaliki kwao ata yesu alisemwa ivo ivo na mwisho waka muuaaa ....

    • @ellielove521
      @ellielove521 3 роки тому

      Na manabii wa uongo wamejaa kupotosha wengi esp wenye wako ignorant

  • @eunicekalenya5969
    @eunicekalenya5969 2 роки тому

    Mungu asifiwe

  • @rahmahersi6584
    @rahmahersi6584 3 роки тому +1

    Yunis umependeza..
    Sasa yuko kwenye
    Shiroka la bikira maria
    Amenikumbusha wakati nilikuwa nasoma RC.
    AMEKUWA MTAWA kabla
    Ya umri wake.
    Mungu akujalie ili uzidi
    Kuwasaidia wagonjwa
    Ameen.

    • @alialamoudi9729
      @alialamoudi9729 2 роки тому

      Uongo mtupu haifai kuamini mambo kama hayo kabisa kamwe ni shirk usijaribu kwenda huko kumoba kutibiwa ni shirk

    • @alialamoudi9729
      @alialamoudi9729 2 роки тому

      Uongo mtupu haifai kuamini mambo kama hayo kabisa kamwe ni shirk usijaribu kwenda huko kumoba kutibiwa ni shirk thambi isio samehewa milele usijaribu kwenda huko kumoba kutibiwa ni shirk NA kupoteza dini yako ya uslaam

  • @strongmummy580
    @strongmummy580 3 роки тому +1

    Hii Dunia imefika mwisho, people believe in miracle, they don't readings the Bible, God people parish for luck of knowledge, Matthew 24 v1-41someni Ati,mwisho.

  • @janetizakayoo9983
    @janetizakayoo9983 3 роки тому

    Wapi huko tukapate maombi

  • @josephkalonga550
    @josephkalonga550 3 роки тому

    TUNAOMBA NUMBER ZAKE.

  • @adamuluoga6541
    @adamuluoga6541 3 роки тому

    Angalia Sana siku za mwisho

    • @alialamoudi9729
      @alialamoudi9729 2 роки тому

      Kweli kabisa mungu anajaribu imani zetu ikiwa nyepesi tutujuta ni shirkh

  • @majaliwamsigwa6206
    @majaliwamsigwa6206 3 роки тому +1

    Kitu mhimu kumwamini Yesu na kutubu dhambi,miujiza siyo yakukimbilia

  • @pamelaemojel7195
    @pamelaemojel7195 3 роки тому

    Niiombe

  • @chikubundara5761
    @chikubundara5761 3 роки тому

    Amina

  • @marianachriss2444
    @marianachriss2444 3 роки тому +1

    BWANA YESU awasaidie sana, shetani muongo sana anadanganya kupitia Huyo mtoto,

  • @mnankamarwa6697
    @mnankamarwa6697 3 роки тому +1

    Hakika mungu amsaidie mtoto huyu atembeze zaidi uponyanyi

  • @hafidhali3020
    @hafidhali3020 3 роки тому

    Hamna lolote ni shetani tu anaendeleza ushenzi wake

    • @mathewleonard8973
      @mathewleonard8973 3 роки тому

      Wewe ndio shetani Bado hayajakupata ya ulimwengu

    • @alialamoudi9729
      @alialamoudi9729 2 роки тому

      Uongo mtupu haifai kuamini mambo kama hayo kabisa kamwe ni shirk usijaribu kwenda huko kumoba kutibiwa ni shirk thambi isio samehewa milele

  • @taturajabukhalfani7953
    @taturajabukhalfani7953 3 роки тому

    Huyo mtoto yupo tunamuona ila sinauhakika Kama ni MUNGU au ni shetan kwakweli!!

    • @reginabeno1904
      @reginabeno1904 3 роки тому

      Waongo Baba na mama mpelekeni mahospitalin tuone kama nikweri hacheni kudanganya watu kafundishwa huyo mtaliwa sana ila wengi wameshtuka walipigwa Kwa Babu wa loliondo watanzania wameshtuka hampati kitu

    • @aminaramdan3283
      @aminaramdan3283 3 роки тому

      @@reginabeno1904 😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆

    • @alialamoudi9729
      @alialamoudi9729 2 роки тому

      Uongo mtupu haifai kuamini mambo kama hayo kabisa kamwe ni shirk usijaribu kwenda huko kumoba kutibiwa

    • @alialamoudi9729
      @alialamoudi9729 2 роки тому

      Uongo mtupu haifai kuamini mambo kama hayo kabisa kamwe ni shirk usijaribu kwenda huko kumoba kutibiwa ni shirk thambi isio samehewa milele usijaribu kwenda huko kumoba kutibiwa ni shirk NA kupoteza dini yako ya uslaam

    • @brigmtafutanjia4561
      @brigmtafutanjia4561 Рік тому

      Mungu akusaidie uwe na imani

  • @denicemwitakabwere7726
    @denicemwitakabwere7726 3 роки тому

    Hawa ni watapeli.....wanajiandaa wanatengeneza na mashuhuda wa uongo 🤣🤣🤣🤣

  • @thomasemmanuel4818
    @thomasemmanuel4818 3 роки тому +2

    Hii kali

  • @valentinanduku8718
    @valentinanduku8718 3 роки тому

    I love Jesus