Rehema Simfukwe - Kiu (Offical Lyric Video) SKIZA SMS SKIZA 8089985 TO 811
Вставка
- Опубліковано 5 чер 2020
- Mwaka 2016, Niliwahi kupitia kipindi kigumu ambacho kila ushauri niliokua ninaupata nilikua naona hautoshelezi (ni kama nilikua kwenye chumba cha peke yangu), Nikiwa kwenye bodaboda naenda chuo IFM, Nikawa nasikia maneno ndani yangu "NINA KIU NAWE, NINA HAJA NAWE, SINA MWINGINE, Nikawa namwambia Mungu nikikosa vyote nipe #TONE tu la DAMU yako, liniinue, linisafishe. Tokea hapo wimbo huu umekua baraka kwangu nna kwa watu wengi.
Ni maombi yangu wimbo huu ukafanyike baraka kwa kila mtu atakayesikia na Mungu akafanyike utoshelevu.
#Kiu#RehemaSimfukwe#VideoLyrics
Song writer: Rehema Simfukwe
Producer: Sam Yonah.Channel Administered by Huru Digital
Instagram: / hurudigital
I was losing my home heard this song forgot about all my problems and started dancing . unfortunately I became homeless .. few months later my vouchers for a home came in the mail.👏👏👏
Ubarikiwe sister nakumbuk hii ndio ilikuw nymbo yang y kwanz kupig drum ukiw unaimb i feel blessed
Amen my yung
Nina kiu ya kujua Yesu zaidi
Nyimbo hizi ni ROHO na ni UZIMA.Rehema Mungu azidi kuinua huduma yako.
Dear God,I pray for more grace upon your servant...goodness and mercy shall follow her all the days of her life in Jesus name!
Amen my dear
How I wish one day I will be able to worship God just as you do and really bless the hearts of many God bless you
The minute she opened her mouth I got goosebumps...God bless your ministry.
Oooh Glory to God....
Nina kiu naw ubarikiwe kwa kazi nzuri sanaaaa
You are vessel of worship keep soaring
Ubarikiwe Sana nabakiwa nikiwa Omani
Nina kiu nawe Mungu wangu i have no one like tou father thank you for being with me in 2020 i pray that you lead me throughout 2021 Amen amen
Amenn
Mungu akupe maisha marefu rehema.
I'm blessed so much Thanks God 🙏 ubarikiwe sana rehema
Sauti MUNGU aliyokupa ina nguvu kubwa katika kuabudu na kulisifu jina lake. MUNGU AKUBARIKI NA KUKUTUNZA VEMA KATIKA UWEPO WAKE.
AMEN
Glory to God
Barikiwa sana mtumishi wa Bwana
Dada unaimba vizuri. Mungu akubariki sana
MUNGU JEHOVAH pekee azidi kukuinua na kukung'arisha ✨ katika viwango vya utukufu hata utukufu wake 🙌🙌
Ameen
Nina kiu na njaa nawe Yehova,sinamwingine maishan mwangu nisikii Mungu.
Nina kiu nawe Sina mwingine 🎶🎵 powerful 😭
Your a principality in worship your voice carry a heavenly atmosphere that bring rain to a deserted place may the Almighty God increase you to a higher dimension
Your Voice carries the Presence of God.
I can listen to your songs All day All night.
Imekaa vema, Tone la bwana lanisafisha...nalihitaji liniinue...hongera dada
I have no one else like you, my Lord Jesus Christ
I feel like kuwa mmoja wawaimbaji wa bend yako❤️
nina kiu nawe sin mwengine
Nina kiu nawe ,Nina njaa nawe Eee Yesu🙏
Sis,Rehema you are a true worshipper of God 🙏🙏so beautiful, gorgeous and the vocals are Dope Dope Dope 👌👌👌🔥🔥🔥
What a heart of worship. Be glorified oh God!
Huduma yako huwa inanibariki sana dada, hakika MUNGU kakupawa kikubwa sana BIG UP C6 REHEMA
You are the best worshiper we have , Napenda Nyimbo zako Sana , ❤️ from Nairobi . Mungu akutumie Zaidi .
Nina Kiu Nawe,Sina Mwingine😭👏🏽 Spiritual Healing🔥
🙌🙌🙌
ua-cam.com/video/DykTKebiCbc/v-deo.html
Nina kiu nawe sina mwingine Baba
Tone la damu yako ninalihitaji Bwana linisafishe huu mwaka 2021🙏
Nina njaa nawe Baba
Bwana nijaze na nguvu zako
🙏🙏🙏🙏
Am soo in love with jesus through this song, God bless you. Am drawn closer to Jesus everytime am worshipping God through this song.
Glory to God
God bless you Dada hatimaye my prayer song nlisubiri vyakutosha
My right now feeling. 😭😭😭 I yearn for you Lord, you are the only one that can understand how desperately i need you God
Rehema Simfukwe Thank you...Mungu azidi kukuinua dada...Kazi nzuri....
Glory to God kaka
Nyimbo zako zinagusa sana wi.Mungu azidi kukuinua
Waoooow your blessed honey.... Mungu andelezeee mafuta juu yako
Shifts The Atmosphere
Ubarikiwe dada mwenye vocal yake.Mungu akuinue zaidi
Your songs are inspiring and powerful.God bless you
Oh my dear sister I'm in love with the ministry you are doing u are a great minister indeed my Glory be to the Most High God who gave you such a beautiful voice to glorify his HOLY NAME Amen ❤️🙏
Mungu ni mwema kweli
We mnyiha wewe ni noma
🙏😭😭 nin na kiu nawe sina mwengni
The thirst in our hearts can only be quenched by HE WHO CREATED us
May we be awake all the time preparing in repentance for the coming of the MESSIAH lest we slide into hell where we will be separated from our SAVIOUR forever
@Rehemasimfukwe this powerful lots of love from Kenya 🇰🇪 thanks for the blessings
Napenda sana nyimbo zako hakika ninapo zisikiliza kuna kitu MUNGU huniongezea.
Nimebarikiwa sana na huduma yako GOD bless you my dear
Hallo.....this is powerful mum am a gospel Minister and I like so much your songs...
Wow wow wow powerful lyrics nina kiu nawe sina mwingine. May Hod raise you to higher heights my sister from Tanzania. How i long to be in tanzania. The content of gospel music songs makes say niongezee tafadhali
Hahaaaa waoh glory be to God my Dia
@@rehemasimfukwe Amen
Tone la damu yako Yesu nalihitaji, Wimbo mzuri sana Mungu akuongeze hatua nyingine Rehema
Glory to God
Asante sana Dada
Ooh Yes
Bwana Nijaze na nguvu zako
Rehema you are a blessing to many, personally your songs are a blessings to me.May God continue to use you.
Nyimbo hii nimechelewa kuiona kumbe niya muda sana asante dada mungu akubarki uzidi kutoa nyimbo nyingi kama hz zaidi heleluya🙏
May God use you dada ...to bless our souls and heart.. you are the real God's Ambassador 🙌🙌
Mungu azidi kukuinua mana kiukweli dada mungu amekupa sauti ayakumtumikia yeye
Sina mwingine Bwana ila wewe tuu..
Amen kipenzi Mungu akupe maisha mema yenye furaha na upendo,❤️❤️❤️🙏🙏🙏
I love your songs Rehema despite not understanding the language . keep it up
Your songs are always powerful
Nina kiu nawe BWANA sina mwingine.ubarikiwe mtumishi wa MUNGU
i have known your music just the other day but am really getting inspired may the lord i worship bless you abundantly..much love from Nairobi
This is blessing movements 🔥🔥🔥🙌🙌🙌😇😇😇
Amen
This song is very touching ,,you can even feel the presence of the lord 🙏🙏🙏Nina kiu nawe Yesu😭
Amina, Mungu akubarika Dada Rehema kwa kipaji chako cha injili kupitia nyimbo zako.
You are blessed dear ooh
Anointed servant you are Rehema, this song is so much spirit filled, please do a video of it or a live performance. #Blessings
Amina dada ,huduma yako ni njema
Amen amen
Be blessed Minister....May The Lord grant you with your heart desires and continue to please Him in another level of meekness and excellence...
Wimbo umenibariki...Roho na akuongezee mafuta zaidi'
Hallelujah...
Powerful song
Hallelujah
Amen
Hongera san Rehema Simfukwe nabarikiwa na nyimbo zako Mwenyez Mungu aendelee kukuinua
I feel blessed 🙏.Keep the spirit burning 🔥 the reward is high
I am thirsty for you Lord 🙏🏼
Wow.... I really love this song.. God bless you so much
Love the song
I love your voice and songs ❤️ seriously they made me feel the presence of God
Aminaaa
God bless you sister 👏🏽👏🏽🙌🏼🙌🏼🙌🏼
Very powerful songs
I can't stop listening to the song blessings
Mungu aende Lee kukupigania
Wonderful!
I love your ministry.Am behind you
Powerful ...😇be blessed sister...am humbly thanking God for u mama..keep that fire mama....
Glory glory to God alone
Beautiful worship glory to God🇰🇪
Na barikiwa sana na hii nyimbo
First like and comment love my mumy
Thank you so much
@@rehemasimfukwe u are welcome
My all time favorite song...
Ooh yes..sina mwingine God bless you rehema
Mungu akubariki dada angu
Barikiwa sana dada
God still blessing u my sister congratulations for being in good vibe
Blessed songs jamn tuwekee audiomack plz
Nice song
ubarikiwe sanaa mtumish nabarkiw na ww sanaa
Amen amen
Amen
congrats sis may God fill you with lots of blessings
Amen
Mungu akubariki sana Rey
Blessed 🙌 🙌