Mathias Walichupa - Ni Wewe (feat. Godfrey Steven) [Official Music Video]

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 2,4 тис.

  • @emmykim7566
    @emmykim7566 3 місяці тому +59

    2024anyone for those who were blessed by God🙏🙏with much of success...AMEN

  • @fabyamosi2880
    @fabyamosi2880 15 днів тому +22

    Anyone here Dec-2024 to praise the LORD 🙏

  • @witnesskunyatila4479
    @witnesskunyatila4479 4 роки тому +189

    Nimechelewa sana kuujua, m blessed with this song

    • @lugendolila5094
      @lugendolila5094 4 роки тому +4

      Heheh its never too late to find a right thing. This song is surely a right thing everyone should find.

    • @leticiatungaraza3101
      @leticiatungaraza3101 4 роки тому

      @@lugendolila5094 siwem jamess

    • @leticiatungaraza3101
      @leticiatungaraza3101 4 роки тому

      Siwema James

    • @ema4west689
      @ema4west689 3 роки тому

      @witness kunyatila sasa mi ndo nimeujua leo😩

    • @charlesnassary6689
      @charlesnassary6689 3 роки тому +1

      bonge la song hawa jamaa ni noma sana nawaona kwa mbali wakienda kuwapoteza akina, Joel lwaga, Goodluck gozbert, na paul klement

  • @salomemkude834
    @salomemkude834 3 дні тому +2

    It's 2025 by his Grace🙏

  • @poulmalingumu833
    @poulmalingumu833 2 роки тому +10

    Wimbo huu unanipa faraja sana na unanfanya nijisikie fahari kuwa mkristoo

  • @elishatkenya384
    @elishatkenya384 3 роки тому +114

    Hii song nimeirudia kusikiza Mara sijui mia ,,I tell you inaniblessssss tu sanaa

  • @darlingqueendee3822
    @darlingqueendee3822 Місяць тому +4

    Sauti nzuri wimbo mzuri.. for the first time listening to it. On December 2024 bila kusahau mungu amenilinda hio miezi ya mwanzo bila upungufu . Ni wewe bwana. Be blessed

  • @thegoldendeer4736
    @thegoldendeer4736 4 роки тому +738

    If you can feel the Anointing in this song...Press like🇹🇿🇺🇬

  • @goodluckkimath1106
    @goodluckkimath1106 Місяць тому +71

    December 2024 gonga like apa, From January to this December……🙏🏽🇹🇿🇰🇪🇺🇬🇷🇼🇨🇩

  • @upendonsemwa4573
    @upendonsemwa4573 Рік тому +8

    UNAJUA sana,nakupenda Bure,najitabilia mabaya hayana nafasi, ASANTE KWA JUMBE ZAKO NA UMENIRUHUSU KU DOWNLOAD ASANTE SANA,NAAIKILIZA NYIMBO ZAKO MUDA WOTE

  • @jacklinebenjamin9975
    @jacklinebenjamin9975 4 роки тому +153

    From January to December nimejua ulienilinda ni wew😭😭😭😭😭😭ninapokosa ujasiri na nguvu zitaponiishia msaada wangu ni ww,,mwisho wa njia ni nzuri kuliko mwanzoni

  • @dr.mbaga-tz
    @dr.mbaga-tz 4 роки тому +112

    Kaka Godfrey MUNGU akubariki sana.... Una sauti tulivu sana... Endelea kunyenyekea chini ya mkono wa MUNGU ulio hodari yeye atakukweza kwa wakati wake.

    • @mariamatillya5893
      @mariamatillya5893 4 роки тому +1

      The song gives me blessings and much couragers... Nikiuckiliza ckat tama nazid songa mbele😘😘😘

    • @stevenmaketa8051
      @stevenmaketa8051 4 роки тому

      Huyu jamaaa ni mkali csaana Mungu ambarki sana

    • @constancemwamure9678
      @constancemwamure9678 3 роки тому

      Amen Amen 🙏

  • @moriscollins4494
    @moriscollins4494 3 роки тому +2

    Tangu mawio hadi machweo ulinipa mwangaza ni wewe....milimani, mabondeni kote unakuwa nami.....Nchi ya ahadi

  • @__B.O.B
    @__B.O.B Рік тому +39

    Dec 2023, like hapa kama UNAAMINI ni MUNGU TU sababu tupo hai mpaka sasa. Naamini tutakutana hapa tena Dec 2024 tukiwa wazima na tuliofanikiwa sana pia.🙏🙏🙏🏻

  • @steve-zf4tj
    @steve-zf4tj 8 днів тому +1

    Haleluya, from January to December 2024 thanks Jehovah

  • @evelynkilawe5379
    @evelynkilawe5379 4 роки тому +10

    huu wimbo daah nimechelewa kuujua daah wimbo mtamu na unanibariki kila kukicha aisee ubarikiwe Mathias endelea kutupa mambo mazuri yenye kutupa amani ya rohoo 😍🥰🥰🥰😍😍😘😘love from,🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @pascalhaonga2561
    @pascalhaonga2561 3 роки тому +6

    Leo mara ya elfu 1000_ kusikiza hii nyimbo ndani ya siku 5 mbarikiwe sana nyie watu

  • @ditlindarutekiza1428
    @ditlindarutekiza1428 3 роки тому +52

    Nimeusikiliza huu wimbo Leo na nimeurudia mara kadhaa aisee huu wimbo umenibariki sana. Asante kaka Mathias. Mungu akamtimizie kila mtu anaesikiliza wimbo huu kila hitaji la moyo wake.🙏🙏

    • @residentidiot9694
      @residentidiot9694 2 роки тому +1

      Mungu ni wokovu na uhai wa milele siyo kutimiza hitaji la mioyo yetu. Sisi twatakiwa kutimiza hitaji lake Bwana Mungu Wetu. He is not a genie granting wishes. Only by His Grace.....

  • @roselove102
    @roselove102 25 днів тому +1

    Hi nyimbo Ina hit ndo nmejifungua kijana wangu mpk saiz mtt Wang amefunga mwaka mmojaa nikiiskia nakumbuka meng naipenda na haichuj❤

  • @josephinajosephu6859
    @josephinajosephu6859 3 роки тому +1

    Cjawah kuuchoka hii song jmn♥️♥️♥️

  • @amourdaty8528
    @amourdaty8528 Місяць тому +61

    How else is here 2024❤

  • @lwiticomwalukumba4148
    @lwiticomwalukumba4148 4 роки тому +8

    kutoka kwa baba keigan wimbo mzuri
    barikiwa sana

  • @vituspeles1553
    @vituspeles1553 4 роки тому +191

    I HEAD THIS SONG FROM THE STATUS OF MY FRIED ON WHATSAP
    I DECIDED TO FIND IT SO THAT I COULD HAVE A COMPLETE SONG, IT REAL BLESSING ME
    GO KEEP BLESSING YOU MAN OF GOD

  • @sophiekagwiria
    @sophiekagwiria 5 днів тому +1

    31st Dec 2024 at 11:47 PM, thanking the Almighty for His mercy and grace throughout the year. Abundant blessings in 2025

  • @timothysalehe402
    @timothysalehe402 5 днів тому +1

    January 1st, 2025 Safari ndo inaanzia hapa hadi December 31st 2025, Eeeh Mungu tusaidie 🙏🏿🙏🏿🙏🏿

  • @ulsurachrispine8521
    @ulsurachrispine8521 4 роки тому +15

    Sina mwingine ila wewe tu bwana ......ufutae uso wangu aibu na fedhea....ninapo kosa ujasiri na nguvu kuniishia msaada wangu ni ww......nani mwingine anapata hisia anaposikiliza huu wimbo ....

  • @mwalimulucas3522
    @mwalimulucas3522 3 роки тому +4

    Kazi nzuri yenye viwango!!!hakika ni baraka iliyokamilika katika kila eneo

  • @loycedavid8352
    @loycedavid8352 Місяць тому +5

    2024 mwaka nimepass through various mountain and valley but God he is still alive in me

  • @Cedricremmy
    @Cedricremmy Місяць тому +1

    i just love this song, nilikua wapi kusikiza it has really blessed me

  • @SophiaChanz
    @SophiaChanz Рік тому +4

    Naipenda sana inyimbo mung akujalie kwaujumbe mzuli wamung

  • @gracemasawe6994
    @gracemasawe6994 3 роки тому +53

    Wimbo unanipa faraja wakati huu ambapo raisi wangu mpendwa ameondoka magufuli😭😭😭😭😭

  • @nyanjilaneke4931
    @nyanjilaneke4931 3 роки тому +7

    Sijachelewa sanaa kukufaham leo nmeona nyimbo zako upendo kwenye selection aisee sijui nilikua wap kupata huduma yako nzurii ubarikiwe sanaa kwangu hii nyimbo inaimba rohoni namtukuza Mungu kwaajil yako mtumishi mafuta mabichi yawe nawe yamiminike zaidi

  • @artsandentertainment4534
    @artsandentertainment4534 4 роки тому +95

    Nyimbo inaleta amani ya moyo sana Mungu simamia kila mmoja wetu na nchi yetu Tanzania iwe na amani siku zote🤲🏿🤲🏿

  • @JacquelinemremiJacquelinemremi
    @JacquelinemremiJacquelinemremi 5 днів тому +1

    Amen Amen 🙏🙏❤

  • @gracekesh5292
    @gracekesh5292 5 днів тому +1

    From Jan to Dec 2024 God niko hapa...ni wewe 🙏🏽🙏🏽...God even the rest of my life in your hands my Savior ❤️

  • @julianapeason6254
    @julianapeason6254 5 місяців тому +5

    imenichukua muda kujua kama mpo wawili tofauti, amazing do another song together pls

  • @smallscaleminingsupplies9670
    @smallscaleminingsupplies9670 3 роки тому +6

    Nìlimpoteza mdogo wangu mwaka jana, huu mwimbo umenipa amani sana RIP young bro

  • @joyfulbukori289
    @joyfulbukori289 3 роки тому +6

    Ninaposikia huu mwimbo nalia sana nikifikilia maisha niliyopitia nashukuru mungu am so blessed ini wewe bwana ahsante mungu

  • @ElizaMadaha
    @ElizaMadaha 14 днів тому +1

    Ahsante sana nimebarikiwa na wimbo mzuri leo desember 23.2024

  • @mariamandulile9664
    @mariamandulile9664 2 місяці тому

    Wapo wap wanaotaka Bwana Yesu awafute machozi,
    Bwana wewe ni ujasiri na msaada wangu

  • @mejumaamwachirero7324
    @mejumaamwachirero7324 4 роки тому +333

    Oyeee!Am a Muslim but this song has touched my heart ❤️ so much impressive and encouraging.May God bless you InshaAllah

  • @Abbydedan
    @Abbydedan 11 місяців тому +3

    Ujazaye podo langu mishale vitanii🙇‍♀️

  • @EdinaMaro-ln9qx
    @EdinaMaro-ln9qx 5 днів тому +3

    We like you

  • @GracielaBonner-dg7me
    @GracielaBonner-dg7me 5 місяців тому +1

    Just what my heart needed, thank you for this song ooh, ubarikiwe sana, keep ministering to many, i discovered you from tiktok and i am grateful for that..

  • @BrightnessJohn-l3s
    @BrightnessJohn-l3s Місяць тому +1

    From January mpk December hiii MUNGU bado umenipiganiaa umenilinda ahsanteeee MUNGU pamoj na changamoto zote umekuw namiiii

  • @annmmbone7525
    @annmmbone7525 Місяць тому +4

    Blessed 🙏🙏🙏 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 in the house

  • @sophiashillah3400
    @sophiashillah3400 4 роки тому +51

    Nyakati za huzuni furaha zote unanpa Amani 😭😭🙏🏼🙏🏼

    • @siscatherineebenesar3467
      @siscatherineebenesar3467 3 роки тому

      Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with a motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (Godstime MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2349155255546) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you.

  • @gracefaida2317
    @gracefaida2317 8 місяців тому +72

    Ngonga like kama bado unasikiza 2024

    • @PhoibeChiduo
      @PhoibeChiduo 5 місяців тому

      😆😆mm

    • @janengaga2928
      @janengaga2928 4 місяці тому

      Sana tu.Bado naburudika sana nahuu wimbo.Nahisi Niko paradiso

    • @MancerNkya
      @MancerNkya 3 місяці тому

      Mm hapa 😂

  • @brotqout560
    @brotqout560 Рік тому +2

    It 2024 thank u lord

  • @ericafrancis777
    @ericafrancis777 3 дні тому +1

    Praise the Lord 😅😅😅

  • @Sheesonmedics
    @Sheesonmedics 4 роки тому +149

    "Nchi ya ahadi ni nzuri imejawa na asali" this verse give me courage and hope to march on...be blessed brothers 🙏

  • @joycekisilo678
    @joycekisilo678 3 роки тому +5

    Daaah real huu wimbo umenifungua san na kunifny nijitafakarii sana😥😥😥😥😥😥

  • @rufinalemau7318
    @rufinalemau7318 3 роки тому +4

    Cant hold my tears.
    Kila ninaposikiliza ninalia tuu.
    Daah.MUNGU awabariki sans.

  • @leilaismail6718
    @leilaismail6718 9 місяців тому +1

    First time here. Heard the song kwa mat and I'm obsessed ❤

  • @ednanekesa8685
    @ednanekesa8685 27 днів тому +1

    Have just discovered this song and let me tell you it touches my heart😊,it deserves millions views and million subscribers 😊 this is more than talent ☺️

  • @lidyakisota10
    @lidyakisota10 3 роки тому +20

    Nilisikia huu wimbo kwenye radio tu na ukanipa amani moyoni sana😊. Nisiwe muongo huu wimbo nimeutafuta sanaaa kwanza sauti yako imenichanganya nikafikiri ni Joel lwaga🙆🏿‍♀️ ......wapiiii nikaandika ni wewe Bwana hatimaye nipo hapaaa😃. Barikiwa sanaa mtumishi wa Mungu👋🏾🙏🏽

  • @auntysamweli9572
    @auntysamweli9572 3 роки тому +6

    Nabarikiwa sana kila ninapousikia huu wimbo

  • @beautymasatu1200
    @beautymasatu1200 3 роки тому +12

    Hongereni sana watumishi wa Mungu kwa nyimbo nzuri ✊🔥

  • @shahidiligenzi9001
    @shahidiligenzi9001 3 роки тому

    🥰🥰🥰🥰🥰huu wimbo unanibarikii mno ninapo usikiliza

  • @belvainmveledi1293
    @belvainmveledi1293 3 дні тому

    Asante yesu kwakunilinda miye na familiya mzima natuko bazima ni Wewe mungu

  • @eliudbalige9572
    @eliudbalige9572 3 роки тому +4

    Huu wimbo unanifariji mno,,, ni kweli msaada wangu ni yesu,,

  • @rotridashineneko7028
    @rotridashineneko7028 4 роки тому +17

    Nabarikiwa kupitia huu wimbo. umenikumbusha uwepo wa Mungu ni Mkubwa kwenye maisha ya mwanadamu kwa wakati wowote... Mungu azidi kuwaongezea nyimbo za kumsifu na kumuabudu .. mbarikiwe

  • @alicekazaura2018
    @alicekazaura2018 Рік тому +11

    Wimbo mzuri sana, sichoki kuusikiliza, ni wimbo wangu wa mwaka. Ni wimbo ambao unabeba ushuhuda wa maisha yangu, unafariji na kutia moyo sana hasa ukitaka kukata tamaa kwenye maisha wimbo unakukumbusha kuamka na kukung’uta mavumbi na kusonga mbele ukiamini ni Mungu Pekee wa kukuvusha salama.
    Mbarikiwe sana kwa nyimbo tamu, nyimbo zako zote nazipenda na zinanibariki sana🙏

  • @Naomi_ongaga
    @Naomi_ongaga 9 місяців тому

    Ni wewe Bwana ...Sina mwingine...hayupo mwingine wakunifuta machozi ..msaidizi wangu

  • @julianafrancina9034
    @julianafrancina9034 2 роки тому +2

    Yesu wangu sikia wimbo yooo baba sifa kwa Yesu alie kupa haya maneno

  • @upendoaloyce7157
    @upendoaloyce7157 3 роки тому +100

    Kama umekuja kipindi hiki Cha kuondokewa na kipenzi chetu gonga like twende sawa...huu wimbo ukafanyike faraja kwetu sote

  • @innocentnkya5916
    @innocentnkya5916 3 роки тому +4

    Nimebarikiwa na nyimbo na kunifariji kipindi hiki cha kuondokewa na mpendwa wetu Rais John Pombe Magufuli Mungua awabariki kwa kazi nzuri vijana wenzangu🙏🙏🙏

  • @jacklineminja1419
    @jacklineminja1419 3 роки тому +5

    Aisee godfrey Steven sauti yako ni fire 🔥.?Mungu azidi kukuinua sana.

  • @dayanananyaro8672
    @dayanananyaro8672 3 роки тому +1

    Aki huu wimbo unanibariki sana namsikiliza asubui mpka jion huuu 🥰🥰🥰🥰🥰🥰mbarikiwe

  • @KhadijaJacob
    @KhadijaJacob 9 місяців тому +2

    Ubarikiwe sana mwana wa Mungu, wimbo wako ninao kwenye cm yangu! Unanifariji maombi ya usiku.

  • @rosejoseph9811
    @rosejoseph9811 4 роки тому +4

    Kwakweli!wimbo huu niliusikia ukipigwa radio ya T.l.f.ikabidi niingie hapaniutafute nimebarikiwa sana.nakuombea kwa mungu akuinue.

  • @judithcharles5964
    @judithcharles5964 3 роки тому +396

    Wale wanataraji kufika nchi ya ahadi likes plzz

  • @samwelkasandiko5193
    @samwelkasandiko5193 4 роки тому +20

    Yani this is my favorite song.....aseeh mmefanya kitu kikubwa Sana nyimbo inautulivu I feel connected in spirit

  • @ZawadiNgowi-j5w
    @ZawadiNgowi-j5w 15 днів тому +1

    Mpk December amenilinda thanks God for here I am ❤❤❤

  • @frednandysa283
    @frednandysa283 3 роки тому +1

    Yaaan ndo najuaa Leo uzuriii wa huu wimbo

  • @patiencemmasi295
    @patiencemmasi295 24 дні тому +3

    Dec 2024, My birthday is on 17th Dec, and I can only attribute everything to God🙏🙏♥️♥️

  • @patriciagodfrey8691
    @patriciagodfrey8691 4 роки тому +58

    May God bless you dears, Wimbo unabeba ushuhuda wa mtu, wimbo unagusa maisha moja kwa moja, hakika hakuna mwingine awezaye kuyafanya haya bila kuchoka ispokuwa ni BWANA YESU, nikitafakari tunavyokosea na bado Yeye anatuhurumia na anayafanya hata kama hatustahili, HAKIKA NI YEYE, maombolezo 3:22-23 Mbarikiwe sana sana sana.. Mungu awajaze kwakweli

    • @mathiaswalichupa
      @mathiaswalichupa  4 роки тому +1

      Barikiwaa Sana dada YESU akubariki

    • @maduhurehema8070
      @maduhurehema8070 3 роки тому

      Inanibarik sana jaman

    • @maduhurehema8070
      @maduhurehema8070 3 роки тому

      Siwezi kulala bila kuusikiliza wimbo huu,kiukwl ni wimbo unaonibark sn.Mbarikiwe sn na mfike mbali.

  • @queenie3677
    @queenie3677 10 місяців тому +4

    Huyu godfrey watu hawampi thamani anayostahili jamaa anaimba mpaka unaona kama umesamehewa dhambi zote wale wa 2024 comments hapa

  • @HappinessMsongole
    @HappinessMsongole Рік тому

    Wimbo wangu pendwa

  • @Amisambelejosephine
    @Amisambelejosephine 2 місяці тому

    Fadhili zake n za milele yote AMEN 🙏🤞🤞
    Akuna Kam yeye
    Alinihon toka mbali akaniita kutoka gizan
    Akika YESU ww wa tosha thank you so much my lord 🙏🙏🙏🤞🙏🤞
    AMEN
    Ubarikiw sana mtumish wa YESU
    Mtumikie BWANA wako kwa roho n kweli kaka yang n yeye aliye juu ya yote atakushika mkono
    Asante 🙏🤞🤞🙏🤞

  • @deborakabuche1899
    @deborakabuche1899 4 роки тому +6

    Huu wimbo ni zaidi ya faraja Mungu yupo hakika. Ubarikiwe🙏

    • @siscatherineebenesar3467
      @siscatherineebenesar3467 3 роки тому

      Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with a motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (Godstime MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2349155255546) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you.

  • @mckalongola8516
    @mckalongola8516 4 роки тому +8

    Nimebarikiwa sana Leo 🙏🏾

  • @ladylucky1714
    @ladylucky1714 4 роки тому +4

    BWANA YESU awainue kwa viwango vingine. ROHO MTAKATIFU wa MUNGU awafunulie mafunuo mapya kila iitwapo leo. Nimemuona MUNGU ndani ya wimbo huu. ROHO MTAKATIFU awalinde na kuwaepusha na majaribu yote. BLESSINGS ON YOU

  • @arafaadam139
    @arafaadam139 2 роки тому +1

    Kwakweli Had December Mungu amenilinda Ameeeen hii nyimbo imenibariki sana imenifariji sana

  • @christinasanga3215
    @christinasanga3215 3 роки тому

    Mungu akuongezee maarifa ya kumsifu yeye

  • @joanitanisa8371
    @joanitanisa8371 3 роки тому +48

    I cant get enough of this song! Been listening and watching this number for months now! Be blessed both. Just awesome!! Where is the repeat button someone!

  • @kijolejosia167
    @kijolejosia167 4 роки тому +7

    Ujazaye podo langu vitani,ni wewe Bwana!keep it up brothers Mungu akubarikini

  • @communicativegirls4433
    @communicativegirls4433 4 роки тому +6

    godfrey umebarkiwaa kaka unaimbaa sio utani!🙏🙏mbarikiwe jaman

  • @mretamreta8058
    @mretamreta8058 Місяць тому

    Napitia wakati mgumu sana 2023-2024 Mungu kawe mfariji kwangu ❤

  • @ZHUFUCOMPANYLIMITED
    @ZHUFUCOMPANYLIMITED 9 днів тому

    Najua anaenilinda na Imani sana kumuhusu❤😊Nina Amani
    Nina utajiri
    Na wingi wa shukurani

  • @hildadaudi6109
    @hildadaudi6109 4 роки тому +67

    This song is so nice it deserves more views 😭

  • @gracebuhendwa9244
    @gracebuhendwa9244 4 роки тому +7

    Wimbo huu umenibariki kwa kweli,ni wewe Yesu pekee mlinzi wangu na ni wewe unayeweza kutatuwa matatizo yangu nitakutumainia milele daima.mbarikiwe

  • @prophetessmarylight434
    @prophetessmarylight434 3 роки тому +53

    I was having misunderstood with my husband , but when I pray this song my husband call me . I thanks God for this song .

  • @prettymuny396
    @prettymuny396 3 роки тому +2

    Dah katika nyimbo zinazonibariki na sijawah kuichoka yaani ni huu inanipa faraja mnoo ,naupenda

  • @Myright888
    @Myright888 7 місяців тому +1

    I’m so blessed 🙏🙏

  • @neemaagustino6736
    @neemaagustino6736 3 роки тому +5

    Nyakati za uzuni furaha zote unanipa amani kwa kipindi hiki kigumu cha simanzi moyoni mwangu kwa kuondokewa na rais wangu 😭😭😭 🇹🇿

  • @miriammsuya4454
    @miriammsuya4454 3 роки тому +2

    tuliotoka kwa wolpertylish kuja hapa tujuane blessed

  • @naiemmanuelmollel9583
    @naiemmanuelmollel9583 4 роки тому +7

    mhhhhhh
    yeaaah
    From January to December
    Nimejua ulinilindaa eheee
    ni weweeee
    Tangu mawio machweo
    Ulinipa huu mwangaza
    Ni weweeee
    Nyakati za huzuni furaha
    Zote unanipa amani
    Milimani mabondeni
    Kote unakuwa nami
    Nchi ya ahaadii nzurii
    Imejawa na asali (iyeeee iyeeee)
    Mwisho wajia (ahaaaa ahaaaa)
    Mzuri kuliko mwanzoni
    Wa kunifikisha pale ni wewee(eeeeeeeh)
    Ni weweee Bwanaaa (Bwana)
    Ohhhhh ni weweee
    (Ni weweee Bwanaaa)
    Ni weweee Bwanaaa
    Ni weweee
    Sina mwingine
    Ni weweee (ila wewe tu Bwana wangu) Bwanaaa
    Ohoo ni weweee (ooooh Bwana)
    Ni weweee Bwanaaa
    Ni weweee
    Ujazae podo langu mishale
    Vitani ni wewe Bwana
    Uufutae uso wangu aibu na fedheha
    Ni wewe Bwana
    hayupo mwingine wa kunifuta
    machozi yangu ila ni wewe
    ninapokosa ujasiri na nguvu zijaponiishaia
    msaada wangu ni wewe
    Nchi ya ahaadii ni nzurii
    Imejawa na asali (iyeeee iyeeee iyeee iyeee)
    Na mwisho wajia (ahaaaa ahaaaa)
    Mzuri kuliko mwanzoni
    wa kunifikisha ni wewee( Bwana)
    ni weweee Bwanaaa ni wewe (Ni wewe Bwana )
    ohhhhh ni weweee
    (hayupo mwingine ila wewe )
    Ni weweee Bwanaaa
    Ni weweee
    ni wewe msaidizi wangu Bwana
    Ni wewe Bwana
    Ni weweee ( ila wewe tu Bwana wangu) Bwanaaa
    ohoo ni weweee (Ni wewe)
    Ni weweee Bwanaaa
    Ni weweee

    • @mathiaswalichupa
      @mathiaswalichupa  4 роки тому +2

      Doooh aiseee nimekunyoshea mikono🙌🙌

    • @naiemmanuelmollel9583
      @naiemmanuelmollel9583 4 роки тому

      @@mathiaswalichupa I am blessed imebidi nisikilize niandike naamini nimeenda sawa. Glory to God

    • @salomemollel540
      @salomemollel540 3 роки тому

      Hongera sana kaka.ktk shda zangu nalimwita bwana.nakutana na magumu lkn najua Mungu anakwenda kunifuta machozi mda wwte kuanzia sasa.

    • @salomemollel540
      @salomemollel540 3 роки тому

      Ni weeeee..eeehh bwana ni wewe hakika sina mwingine...

    • @franklwiwa4947
      @franklwiwa4947 2 роки тому

      kabisa bila mungu sio chochote

  • @amandamashauri8685
    @amandamashauri8685 3 роки тому +1

    Siwezi kuelezea uzuri na needs iliyojaa ndani ya huyu wimbo ninaupenda mnooo

  • @mariamabeid8175
    @mariamabeid8175 3 місяці тому +1

    This song changed my life.. thank you so much.