Boaz Danken- Nina Njaa nina Kiu

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 жов 2024
  • Karibu tuungane pamoja kumwambia Bwana tuna njaa na wewe.
    nina amini baada ya kusikilisa na kuutazama wimbo huu hamu Roho wa MUNGU atkuongeza shauku ya kumtaka BWANA sana sana
    Yohana 7:37 (kila mwenye kiu aje............)
    #BoazDanken #NgommaTZ
    ©2020 Administered by Ngomma VAS Limited.

КОМЕНТАРІ • 102

  • @heavenlyprincess1122
    @heavenlyprincess1122 4 роки тому +51

    How many agrees with me tha Boaz is a true worshipper of our LORD Almighty,so powerful,BWANA nafsi yangu yakuonea shauku🙏🙏🇰🇪

  • @Sp-gi9fk
    @Sp-gi9fk 3 роки тому

    Roho wa Mungu pekee ambae amenidirect nimebarikiwa nimebarikiwa🤲🤲🤲🤲🤲

  • @nellynellynoahmwakatumbula4474
    @nellynellynoahmwakatumbula4474 2 роки тому

    Niwachukulie wengine Kama ww mungu unavyo wachukulia Asante ubarikiwe mtumishi

  • @renatuskassian9763
    @renatuskassian9763 6 місяців тому

    Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu hii ndiyo maana ya kuabudu katika roho na kweli 🙏🙏🙏🤲🤲🤲

  • @hellenkiselema
    @hellenkiselema Рік тому

    Huwa wanibariki sana na nyimbo kakaangu mungu azidi kukutunza😢

  • @davidndonawe2201
    @davidndonawe2201 3 роки тому

    Mungu azid kukupa ujuz zaid uendelee kutuabudisha hakika ww n mungu Tena mungu usiyeshindwa

  • @alexandermanase8956
    @alexandermanase8956 3 роки тому

    Daaaaaaaaaahhhh,, sichoki kuusikiliza huu wimbo. Nina njaaaaa mnooooo

  • @mwllucykichumisa9686
    @mwllucykichumisa9686 4 роки тому +4

    Kuna kitu ndani yako kinachokuelezea wewe ni nani mbele za Mungu halafu kinapoleta mresho huja na nguvu za Mungu zinazomgusa kila aliye tayari kuupokea utambulisho huo.
    Ni ombi langu kwa Mungu udumu hapo maana wengi sana wameondo bila kujua. Mungu akubariki sana

  • @francewali7068
    @francewali7068 4 роки тому

    Nina njaa na kiu ya kukuona bwana oooh Hallelujah 🙌🙌

  • @johansmbaga3081
    @johansmbaga3081 4 роки тому

    Nakubali
    Nyimbo
    Zako

  • @humphreyndiwa5642
    @humphreyndiwa5642 2 роки тому

    Unanipariki sana sana ndugu

  • @Lovearator
    @Lovearator 4 роки тому +1

    Kikundi hiki ni cha nguvu Sana. Mungu azidi kuwainua viwango hadi viwango.

  • @philimongobre2195
    @philimongobre2195 4 роки тому

    Mungu akuinue zaidi na zaidi

  • @michaelramadhan9466
    @michaelramadhan9466 4 роки тому +1

    Aisee Mungu ni mwema nyimbo inautukufu wa MUNGU UBARIKIWE

  • @MussaLubisha
    @MussaLubisha 3 місяці тому

    Wimbo mzuri sana huu jamani

  • @yusuphshadrack9168
    @yusuphshadrack9168 4 роки тому

    Safi sana utumishi mwema.

  • @luganomwankyoko2653
    @luganomwankyoko2653 4 роки тому +1

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿TANZANIA TUMEBARIKIWA..

  • @saveme4551
    @saveme4551 4 роки тому +1

    Upako na neema zaidi juu yako mtumishi wa Mungu,the song is full of God's life not just words.

    • @annboaz6344
      @annboaz6344 4 роки тому

      Amen ni ujumbe wa majira haya kwetu mwili wa Kristo Yesu

  • @KibongeWaYesu
    @KibongeWaYesu 4 роки тому +3

    The song is verry powerful my brother

  • @jacksonmakeo9113
    @jacksonmakeo9113 3 роки тому

    Nimebarikiwa sana

  • @reaganonjula3290
    @reaganonjula3290 3 роки тому

    Asante Bwana,,,nakutamani Bwana

  • @joshuajonas4006
    @joshuajonas4006 4 роки тому

    Real worshipper Brother Boaz Mungu akutunze

  • @bupivevo
    @bupivevo 4 роки тому +1

    Mungu azidi kukupaka mafuta mtumishi, hunibariki sana na nyimbo zako! 😍

  • @leamshani5426
    @leamshani5426 4 роки тому

    Balikiwa mtumishi WA mungu

  • @neemakayanda5860
    @neemakayanda5860 4 роки тому +2

    Very powerful,YESU ATUFANYE KUWA NA KIU ZAIDI YA KUMTAFUTA NA KUMJUA,YAHWEEEEE

  • @lightnessedson4104
    @lightnessedson4104 4 роки тому

    Wou! Najikuta wa tofauti jamaniiiiii! Nina njaa na kiu sana Yesu nishibishe

  • @master573v3
    @master573v3 4 роки тому +5

    This is my song for this season.. #ninanjaa #ninakiu

  • @yulidisekalekye4384
    @yulidisekalekye4384 4 роки тому +3

    😩nina kiu😩🤭God bless you

  • @miriamblessing101
    @miriamblessing101 4 роки тому +1

    Ameen
    I'm blessed with this song
    Nina njaa na uwepo wako...nautamani ukamilifu wako Bwana 😭😭😭😭

  • @carolinemumo6993
    @carolinemumo6993 4 роки тому +3

    Kama Ayala...let my heart rest in you God...

  • @wilfredlaizer2965
    @wilfredlaizer2965 4 роки тому

    Nabarkiwa Sana na huu wimbo mungu na atujaze na roho wake ili tuwe na kiu ya kumtafuta mungu wakati wote🙏

  • @mesharchmutua4449
    @mesharchmutua4449 4 роки тому

    Napenda nehema Boaz Danken Bwana amekupa, mafuta mapya kila mda.

  • @paschalmlelwa6424
    @paschalmlelwa6424 4 роки тому +2

    I am blessed. Wimbo huu umenikumbusha mbali sana. Go higher!

  • @davidluchele1651
    @davidluchele1651 4 роки тому +1

    👆🙌🙏
    Nyimbo hii kila ninapo sikiliza nabarikiwa sana, Mungu azidi kukutumia mkuu

  • @Favourcherotich-re7nq
    @Favourcherotich-re7nq 4 місяці тому

    Be blessed MoG

  • @philimongobre2195
    @philimongobre2195 4 роки тому +1

    Maombi yangu kwa Bwana Mungu! Tuonane paradiso siku moja ninapenda kwani unafanya nisogee zaidi mbele Ya Kristo kupitia kila sauti yako ya kusifu na kuabudu.

  • @hassanlyanda1378
    @hassanlyanda1378 4 роки тому

    Mungu akutie nguvu katika uimbaji wako

  • @faithwambui6128
    @faithwambui6128 3 роки тому

    Open my eyes further Jesus

  • @officialneemasikujua
    @officialneemasikujua 4 роки тому +2

    Mubarikiwwee❤️❤️❤️❤️👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾🌹🌹🌹❤️❤️

  • @gamalielkiyuga298
    @gamalielkiyuga298 4 роки тому

    Tunakuhitaji Sana Yesu Tuguse Bwana 🤲🤲

  • @SuperNERESH
    @SuperNERESH 4 роки тому

    Natamani ukamilifu wako Bwana... Thanks bro Boaz.. Ubarikiwe

  • @washirakesaga7189
    @washirakesaga7189 4 роки тому

    Ninakiu Bwana niongoze

  • @anithajaphet4587
    @anithajaphet4587 4 роки тому +1

    Nautamani ukamilifu wako ,,kama Ayala ayatamivo maji ndivyo nafsi yangu ikuoneavyo Bwana

  • @mwajumamasumbuko2170
    @mwajumamasumbuko2170 4 роки тому

    Nimeusikia uwepo wa Rohoni kwa nyimbo hii Nimenena na kwa lugha Oo Halleluya halleluya HALLELUYA

  • @michaelmbeti2173
    @michaelmbeti2173 4 роки тому

    Ninanjaa nawe BWANA YESU , Barikiwa sanaa mtu wa Mungu

  • @mtindoelias8888
    @mtindoelias8888 4 роки тому

    Barikiwa sana my brother nimebarikiwa sana mtumishi wa Mungu

  • @florenceaudax3257
    @florenceaudax3257 4 роки тому

    Hallelujah huu haya mafuta na neema iliyokwenye huu wimbo atukuzwe Mungu baba wa Mbingu na nchi kukupa Neema yakutumikia kusudi ubarikiwe sana kaka

  • @decassabibi9307
    @decassabibi9307 4 роки тому

    Mungu akubarik mtumishi hakika nmebarikiwa

  • @dicksoneremiah
    @dicksoneremiah 4 роки тому +1

    Ahsante kwa Bwana kwa ajili ya wimbo mzuri kutoka kwa mteule wa Bwana.

  • @saintpetertv4905
    @saintpetertv4905 4 роки тому

    Ameeen, kaka mtumishi ubarikiwe san

  • @sarahamutavi2756
    @sarahamutavi2756 4 роки тому

    Nautamani ukamilifu wako we mungu Nina njaa na uwepo wako.sikia ee mungu

  • @lovenessmwanga1420
    @lovenessmwanga1420 4 роки тому

    Mtumishi wa Mungu Boaz, Mungu aendelee kukupaka mafuta na kukufanya apendavyo kweli namtukuza Mungu kwa ajili yako 🙏🙏

  • @mcibralipuli640
    @mcibralipuli640 4 роки тому

    Ahsante

  • @gladnesslauwo3898
    @gladnesslauwo3898 2 роки тому

    🙏🏻🙏🏻🙏🏻 blessed

  • @prospertibalinda8311
    @prospertibalinda8311 4 роки тому +2

    Congrats Boaz and your team! Nice song once again....

  • @aminamsalege792
    @aminamsalege792 4 роки тому

    Ninanjaa na uwepo wako MUNGU wangu,, be blessed a man of God

  • @josephinemuhonja743
    @josephinemuhonja743 4 роки тому

    Unijazee Roho Mtakatifu Bwana🙏🙏🙏

  • @faithwambui6128
    @faithwambui6128 3 роки тому

    Nakutamani Yesu wangu,I need you more in our days.

  • @maryegwa9474
    @maryegwa9474 4 роки тому

    Barikiwa Sana

  • @kanuniburoko5741
    @kanuniburoko5741 3 роки тому

    Boaz, God bless you every day.
    I like ours songs. You are the best for me. Be blessed Pastor.

    • @abomadlomokuse160
      @abomadlomokuse160 3 роки тому

      Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with a motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (Godstime MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2349155255546) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you.......

  • @SamJux1
    @SamJux1 4 роки тому +1

    God is Real

  • @joshpraisebuzaniye2958
    @joshpraisebuzaniye2958 4 роки тому

    Asanteeee saana ndg. Be blessd

  • @paulkuya410
    @paulkuya410 4 роки тому

    So Poweful. God bless you Boaz

  • @johnsonlaizer8690
    @johnsonlaizer8690 4 роки тому

    keep up in God kaka🎤🎀

  • @drmagai
    @drmagai 4 роки тому

    Nina njaa....ndio, nina njaa

  • @soselacharles3381
    @soselacharles3381 3 роки тому

    You are a true servant of God

  • @victorkinka
    @victorkinka 4 роки тому

    I want to be hungry for your Presence... oh God!

  • @richardjoseph8431
    @richardjoseph8431 3 роки тому

    simply wonderful worship song.

  • @emilythoya8556
    @emilythoya8556 4 роки тому

    So powerful song God bless you brother and lift you higher

  • @francisdaudi7085
    @francisdaudi7085 3 роки тому

    Amen

  • @nazarenomacheldo4453
    @nazarenomacheldo4453 4 роки тому +1

    Hallelujah Hallelujah!

  • @benjaminyusuph6912
    @benjaminyusuph6912 4 роки тому

    Bro Boaz, God lift you up..🙏

  • @Zelayasane
    @Zelayasane 4 роки тому

    Yes

  • @rosemichael5268
    @rosemichael5268 9 місяців тому

    ❤❤❤❤

  • @groxniathalyamalungu9306
    @groxniathalyamalungu9306 4 роки тому

    God bless you asante sana

  • @dilliwa
    @dilliwa 4 роки тому

    Wimbo huu umekuwa wa kawaida sana

  • @juddyngarariga4799
    @juddyngarariga4799 4 роки тому

    Powerful powerful powerful... I am blessed

  • @winniekyalo6521
    @winniekyalo6521 4 роки тому

    Powerful

  • @bernardoyoo1350
    @bernardoyoo1350 4 роки тому

    The king of swahili worship songs, God bless you.

  • @yohanakiyombo6648
    @yohanakiyombo6648 4 роки тому

    Nice

  • @mosessimiyu9569
    @mosessimiyu9569 4 роки тому

    So powerful

  • @beatricegakii5167
    @beatricegakii5167 4 роки тому

    Powerful!!!!!

  • @jwanajwana3266
    @jwanajwana3266 4 роки тому

    When I listen to your songs I really go down on my knees

  • @javankilango6533
    @javankilango6533 4 роки тому

    So blessing and encouraging.

  • @catemunyuakenya.4674
    @catemunyuakenya.4674 4 роки тому

    Woow,

  • @elibarikinelsonnsenga3949
    @elibarikinelsonnsenga3949 4 роки тому

    Felling blessed

  • @edsonndunda5960
    @edsonndunda5960 4 роки тому

    Be blessed brother

    • @abomadlomokuse160
      @abomadlomokuse160 3 роки тому

      Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with a motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (Godstime MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2349155255546) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you.......

  • @edsonkabyemela_
    @edsonkabyemela_ 4 роки тому

    Amen🙏

  • @archwarui
    @archwarui 4 роки тому

    🙏

  • @innocentnnko2292
    @innocentnnko2292 4 роки тому

    Powerful, Beautiful, Amazing! Be blessed Boaz and team

  • @brianbarakamusic
    @brianbarakamusic 4 роки тому

    Natamani mguso wa mungu
    ua-cam.com/video/G6NZC_0EDGg/v-deo.html

  • @josephinemuhonja743
    @josephinemuhonja743 4 роки тому

    Unijazee Roho Mtakatifu Bwana🙏🙏🙏