Neema Yako Lyrics|| Rehema Simfukwe 2023.
Вставка
- Опубліковано 5 вер 2024
- 1 Wathesalonike 4;16-17
Kwa Sababu Bwana Mwenyewe atashuka kutoka mbinguni,pamoja na mwaliko,na sauti ya Malaika mkuu,na parapanda ya Mungu,Nao waliokufa katika Kristo,watafufuliwa kwanza,kisha sisi tulio hai tuliosalia,
tutanyakuliwa pamoja nao Katika mawingu, ili tumlaki Bwana hewani.
Na hivyo tutakuwa pamoja na Bwana milele.
Waoooh 💝💝💝neema ya mungu ya tosha🙌🙌👏👏🙏
Kila wakati
🎉
GOD IS ALWAYS GOOD THNX SO MUCH OUR FATHER AMEN
Familia yangu na marafiki wangu shuleni wasipitwe na neema ya bwana❤
Ninabarikiwa sana. Watoto wangu
Neema yako bwana iwe juu ya maisha ya familia yangu.
Amen glory to Jesus
Amen Mungu ni mwema kila wakati🙏🙏
Funua neema yako Yesu Kristo mataifa yote yakujuwe,aya ndiyo maombi yangu.
Huu wimbo imekuwa ukipiga kelele moyoni mwangu, hadi nimeutafuta
This song is underated ,,,,has a Great message.......God may your grace locate me and my loved ones family and those who have became family through your unity Jesus..🎉🙏
God of Grace be upon my life and family and those I love
Naomba mungu afanye neema yake kwa watoto wangu ilo ni ombi yangu ❤❤❤
I love the grace of God upon my life
It blesses my soul each time I listen😩❤️🌹@Rehema Simfukwe u really give me a lot of hope with your songs❤️
Jamani wimbo unagusa unapenya. Mungu tusaidie na familia yangu na niwapendao wote tusipitwe na NEEMA Yako.
Nyimbo inaupako sanaa nasikia laha kusikiliza kwakwel
Neema yako iwe nasi Baba Mungu.
Funua neema yakoo 🥹🙏
Nimeamka asubuhi ya Leo nikajikuta wimbo huu unaimba ndani ya moyo wangu mpaka nikautafuta baada yakuusikilizs nimejikuta nalia sana EEE YESU NEEMA YAKO ISIIPITE FAMILIA YANGU MARAFIKI WAFANYAKAZI WENZANGU MTOTO WANGU NA HATA MAADUI ZANGU PIA IKIWA ITAKUPENDEZA WEWE MUUMBAJI WANGU MFALME NAHAYO NDIYO MAOMBI YANGU
Amen 🙏
Funua neema yako elimu yangu ifuzu🎉
❤❤❤❤ neema ya mungu owe nasi sote
soo touching!keep up the good work👋👋👋👋
The song as been a blessing in my life everytime I listen
Kila jambo unaloliomba linatimia kwa wakati
Haleluya watoto wangu mume wangu wasipitwe na neema yako
Amen
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😊
i listen to this song and i just feel like God is with me prais the lord
Amina Amina na Halleluyah.Asante Yesu Christo🙏
Bwana nisipitwe na neema yako
Neema yako yatosha Mungu
Ameen
Hallelujah tusipitwe na Neema Yako na abadi ya kuingia rahani make Bwana.Barikiwa dada.Amin.
Mungu funua neeema yako familia yangu ikujue😢😢
Come to JCC we have a big presentation of the song at mombasa
Am blessed,neema yko ienende nasi bwana
ilove so much
Wao so emotional
Waooh
Mungu atukuzwe,
nice song,be blessed
najiskia kubarikiwa na huu winbo
Mungu aibariki kazi ya mikono yako
nakupenda neema san umeimba nyimbo ya upako
❤❤❤
Please lord
Nimeamka na baraka hii Leo tunabarikiwa sana
Nama ya mungu inatosha tu
Funua neema yako.....
Halleluyah sitakikupitwa
Ooh halaluya nmebarikiwa
This song is so so hot. And lthank god for this good song
WHAT A SONG
🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Familia yngu ikujue bwana 😢🙏
Amazing
❤
Inanibariki sanaa.❤
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Nakutambua ;;!!
Best song this is my rington
This is maombi yangu kwako bwana
🙏
❤🎉
Neema yako baba inanitosha
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Amen
Ameen
Amen