DHIKRI PUMZIKA KWA AMANI RAIS MSTAAFU WA TANZANIA ALI HASSAN MWINYI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 січ 2025

КОМЕНТАРІ •

  • @iliyasabakari
    @iliyasabakari 10 місяців тому +4

    Sauti imeenda shule mashaaallah

  • @hadijabakar9789
    @hadijabakar9789 10 місяців тому

    Masha'Allah tabarakallah fiq

  • @Mumewangu
    @Mumewangu 10 місяців тому +2

    Ilikuwa musicheze ilikuwa muinamishe vichwa kwa huzuni na huku mnasoma mashairi yenu.lakin hongereni kwa mashairi mazuri ya kutukumbusha umauti

  • @KhamisHaji-pw4jo
    @KhamisHaji-pw4jo 10 місяців тому +3

    Masha Allah

  • @FreshMlenge
    @FreshMlenge 9 місяців тому +1

    Mashalla

  • @IsmailMohamed-cu1ic
    @IsmailMohamed-cu1ic 9 місяців тому +1

    Mashaallah

  • @HisanHaji
    @HisanHaji 9 місяців тому +1

    Ah sisi tumefurahi sana kwa kumtukuza mwenzetu wengine tunakujuweni vitabu vyenu vipya mtaponda ndiyo walee wanafunga kwa kutokuuona mwezi wanafunga kwa tarehe za mataifa ya mbali

  • @khamisali9907
    @khamisali9907 10 місяців тому +2

    Mashallahu

  • @shaficabdalaziiz218
    @shaficabdalaziiz218 9 місяців тому +2

    Kwahiyo hawa wanaandikiwa thawabu? Vituko

  • @SeifAzizAbdi
    @SeifAzizAbdi 10 місяців тому +1

    Msiitane majina ambay si mazur kumbukeni kila mtu afuate iman yake hayo mengn yote anaejuw mungu na ndio maan tunaswal tunafunga kuna mtu anajue hii swala yangu ipo sahh c anaejuw ni mungu mwenyew kwaio fuata iman yako ilipo ila acheni kuitan majin ya kizushi

  • @silimakhamis7088
    @silimakhamis7088 10 місяців тому +2

    ❤❤❤

  • @tangazo1470
    @tangazo1470 10 місяців тому +1

    POLE YETU SOTE NDUGU ZANGUNI. TUTALIYA MAISHA TUKILIYALIYA. RABI ATAKABALI DUA ZENU . AMEENA YA RABILALAMINA.

    • @adamstour5736-kb6zq
      @adamstour5736-kb6zq 10 місяців тому

      Dua ya kwenye zikiri ni sawa na inayosomwa kwenye rusharoho tu

  • @juma2668
    @juma2668 10 місяців тому +2

    Mi sio mtu wa mijadala wala sipendi mijadala
    Ila kaka unasema hawa hawana huzuni na wanafuraha kwa sababu wanacheza
    Mi naomba kukuelea tu kua Bahari ambayo hujawahi kuiogeya itazame tu
    Ukijaribu kuiingia tu bila kuulizia kina chake utaangamia tu

  • @abdillahmoo
    @abdillahmoo 10 місяців тому +2

    Hifadh kur-an wanajua jamaa haww

  • @SaleheHatibu
    @SaleheHatibu 9 місяців тому +1

    Maxhalla

  • @Sheba4651
    @Sheba4651 10 місяців тому +4

    Mngekaa kujisomea Quran ngepata thaawabu, si kunguruma vifua

    • @Mursalhasan-ye8ff
      @Mursalhasan-ye8ff 10 місяців тому

      Ila huyu anaufahamu kidgo maana wenzake wanaikataa hata hiyo qr-an kwamba haimfikii,sasa huyu amekubali takbriiiiii

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 10 місяців тому

      @@Mursalhasan-ye8ff Ni maana ya kujisomea wao wenyewe wachume thawabu zao, kwani Quran ipo kwa ajili ya maiti?
      Quran ipo kwa walio hai, iwaonye na waifuate, si kulia wali wa arobaini.

    • @alikidungura9419
      @alikidungura9419 10 місяців тому

      Kweli

  • @Saidisalimu-s8y
    @Saidisalimu-s8y 10 місяців тому +2

    Jamaniacheni ma2x ule alikuw n Muslim pure

    • @AhmadRibaat
      @AhmadRibaat 3 місяці тому

      Acha ujinga kutukana watu wenye mambo yao, wao wanamin kwamb wanapata thawabu

  • @rahmarashid7913
    @rahmarashid7913 10 місяців тому +3

    Aloo sema.ati kwaya yaki.islam huyo ni punguwani diniyako inawalakini

  • @abdalahjamada4833
    @abdalahjamada4833 10 місяців тому +3

    Asojua maana haambiwi maana mashallah

  • @GhubayryAyubu
    @GhubayryAyubu 9 місяців тому +1

    Hamna bidgha hapo soma sirah vizul kifo cha mtu mwema niguraha na pumbao kwawaumin soma vizul wewe madras

  • @KassimSalim-fi1me
    @KassimSalim-fi1me 10 місяців тому

    Sawa

  • @suleimanmbarouk650
    @suleimanmbarouk650 10 місяців тому +2

    Kiongozi wetu tunampenda sn na alikua mbele ktk kushirikiana ktk nyanda mbali mbali za uslam km misada miskiti madrasa na mengine mengi ila hili munalo lifanya sio sahihi mungemuombea Dua na kumsomea Quran km munampenda kweli hio haimsaidi kitu naona km mumefurahikiwa na kifo chake Hadi kutikisha kifua

    • @adamstour5736-kb6zq
      @adamstour5736-kb6zq 10 місяців тому

      Nasaha zako ni njema kwao lkn kwa kukurka sawa kidogo tu ni kuw hata kumsomea quran mfu (aliekufa) pia haijuzu kwa ALLAH

  • @Saidisalimu-s8y
    @Saidisalimu-s8y 10 місяців тому +1

    Na ambae simuislam hajafanyiw km iv

  • @AdmiringCorgi-rg5tj
    @AdmiringCorgi-rg5tj 10 місяців тому +1

    Unazungumza bidaa..unaijuwa maana ya bidaa au unasema tu. Sikiliza maneno hayo jinsi yanavyopasua nyoyo za wenye kusikiliza na kutafakari.

    • @adamstour5736-kb6zq
      @adamstour5736-kb6zq 10 місяців тому

      Hata wew pia huijui nini bdaa maan ungekuwa unaijuwa kamwe usingeongea utumbo kama uo

  • @nassirzamzam9312
    @nassirzamzam9312 10 місяців тому +1

    Mbona wamefanana kama jeshi la okofu .

  • @kasimusalimu
    @kasimusalimu 10 місяців тому +3

    Acheni dharau unawaitaje waislam wenzio wanaimba kwaya

    • @ZanzibarAfrica-p6j
      @ZanzibarAfrica-p6j 10 місяців тому

      Haya si mamrisho ya mtume

    • @Mumewangu
      @Mumewangu 10 місяців тому

      Anazungumzia kifo ni msiba na kila MTU kitamfika. Sasa amekosea nini

    • @athumanimakorongo246
      @athumanimakorongo246 9 місяців тому

      Kassimu usihangaike na wajinga mjinga hajui kitu

  • @SeifAzizAbdi
    @SeifAzizAbdi 10 місяців тому

    Hao wengn wanaosema kwaya kwanz angalia hilo jina Lake

  • @thamratysuleiman3053
    @thamratysuleiman3053 10 місяців тому +3

    Dah sherehe sio msiba si kucheza uko acheni uzushi

  • @adamstour5736-kb6zq
    @adamstour5736-kb6zq 10 місяців тому +1

    Huu ni uhuni kma uhuni mwengine

  • @KassimSalim-fi1me
    @KassimSalim-fi1me 10 місяців тому +3

    Kullu bidaatin dhwalaala

    • @AbdallaMwagora-sm1rj
      @AbdallaMwagora-sm1rj 10 місяців тому +2

      Bidaa ni ww uliyekuja baada ya mtume,kulingana na fukra zako.

    • @AusiSaidi
      @AusiSaidi 10 місяців тому

      Huna lingine unajua Hilo la bdaa peke yake elimu imeishia hapo Kila jambo bidaa.

    • @SudiMiraji
      @SudiMiraji 10 місяців тому

      ❤❤❤

  • @mfalmenajjash2128
    @mfalmenajjash2128 9 місяців тому

    Yanihapo utasemaaaweeee mpaka utachoka atahakuskilizi mtu hunalakusema ukaeleweka hawo ndo watu wa Twaraka baba 😂

  • @SelemaniDowile-mk1wm
    @SelemaniDowile-mk1wm 10 місяців тому +2

    Hawa wengine wahuni tu wanajifanya wanaelimu hawana lolote wamezowea watukanwe

    • @soudjumbe6917
      @soudjumbe6917 10 місяців тому

      Ukiwatukana niww namungu wako

    • @SelemaniDowile-mk1wm
      @SelemaniDowile-mk1wm 10 місяців тому

      Wao kama hizi dhikri ni dhambi bx dhambi anatowa Muumba

  • @thamratysuleiman3053
    @thamratysuleiman3053 10 місяців тому +2

    Uzushi huu acheni

    • @AllyYunus
      @AllyYunus 10 місяців тому

      Kwani ni dhambi?

    • @yasakilube9946
      @yasakilube9946 10 місяців тому

      ​@@AllyYunusww unaona pana thawabu apo

  • @nassirzamzam9312
    @nassirzamzam9312 10 місяців тому +1

    E waislamu tufuateni uislamu alio tuachia mtume wetu mohd s.a.w kwa nini tunamfuata iblisi bila kufikiri haya nimambo ya iblis na tunaona ni dini e muislamu zingatia.

  • @adamstour5736-kb6zq
    @adamstour5736-kb6zq 10 місяців тому +1

    Ukitoa kuwa bidaa ni mbaya na mtume Muhammad kasema kuwa kila bidaa ni upotovu na kila upotovo ni motoni ila hili la sas ni njaa tu inawasumbuwa

    • @KassimSalim-fi1me
      @KassimSalim-fi1me 10 місяців тому

      Kweli kabisa ukiacha misiba ya viongoz mmewaona wapi na kweny msiba gani wakifanya hivi

  • @HassanDoza
    @HassanDoza 10 місяців тому +1

    Fundi uyo hamis kombo

  • @MnyamisiRassy-u7i
    @MnyamisiRassy-u7i 10 місяців тому +1

    Lete hiyo hadithi

  • @seifsalum3018
    @seifsalum3018 10 місяців тому +1

    Hii mipumbafu inatuchafulia dini yetu

    • @aliabdalla9297
      @aliabdalla9297 10 місяців тому

      Wa lwanza wewe wanaoichafua dini huwaoni mbona unakaa kimya au unaogopa kusema

  • @zahorsalum4976
    @zahorsalum4976 10 місяців тому +2

    Hata awenanii. Ataendaaa tuu..

  • @MtarikaHassan
    @MtarikaHassan 10 місяців тому +1

    Wako sawa,hamna bidaa apo,usilolijua ebu uliza

    • @KassimSalim-fi1me
      @KassimSalim-fi1me 10 місяців тому

      Kama hawa wako sawa kwa nn wacheze misiba ya viongoz tu najee mtume aliijua hilo au hakulijua mbona hakucheza kweny misiba ya mkewe wala masahaba na mbona masahaba hawakucheza kwenye msiba wa mtume

  • @nassirzamzam9312
    @nassirzamzam9312 10 місяців тому +1

    Haya ni mambo ya kiyahudi na yakinasara na ibilisi Ana pamba vizuri kua ni ibada mzuri lakini ibilisi hukaa kando na kuwacheka.

  • @MerabaqshAbdulaziz
    @MerabaqshAbdulaziz 10 місяців тому +1

    Dhikri na Maulid Pumbao Letu Muhimu.Apingae Dhikri Hino ,Anayo Kasoro.

    • @MakataWaMakataniFX
      @MakataWaMakataniFX 10 місяців тому

      😂😂😂😂 hahahahaha tuwacheni jamani bidaaa kwenu nyinyi tuwacheni hahahahaha 🤣🤣🤣🤣 subhanallah 😢😢😢😢

  • @RehemaMgeni-k6m
    @RehemaMgeni-k6m 10 місяців тому +1

    Kifo ni lbada

  • @salehkhamis-ob8ln
    @salehkhamis-ob8ln 10 місяців тому +1

    Acheni bidagha nyinyi

  • @nextonlinetv2842
    @nextonlinetv2842 10 місяців тому +1

    😢😢😢😢

  • @bernardjohn8788
    @bernardjohn8788 10 місяців тому +1

    Mbona hii kwaya ni ya wanaume watupu?

    • @ChondoOmmy
      @ChondoOmmy 10 місяців тому

      We kwani udini gani naona uzimwi

    • @alijuma2261
      @alijuma2261 10 місяців тому

      Kamlete dadaako ajecheze kwaya pamoja

    • @abubakarbwika8397
      @abubakarbwika8397 10 місяців тому

      Mkundu wako !!

    • @bernardjohn8788
      @bernardjohn8788 10 місяців тому

      @@abubakarbwika8397 Huwa mnachowaza ndio hicho

  • @ramadhankhatwib8561
    @ramadhankhatwib8561 10 місяців тому +1

    Wahabi wapuuzi saana wamekaalia ujinga tu nyinyi ndio mliopotea

    • @KassimSalim-fi1me
      @KassimSalim-fi1me 10 місяців тому

      Na nyinyi mliongoka hongereni ila nip jibu kwa nini Abu bakar na umar hawakucheza kwenye msiba wa mtume? Jee kucheza na kukoroma msibani ni ibada na jee mtume aliijua ibada hiyo au hakuijua Naomba majibu ya kielimu na sio matusi

  • @AbdallaMwagora-sm1rj
    @AbdallaMwagora-sm1rj 10 місяців тому +3

    Mashaalah wenye elimu tunawaelewa lkn mawahabi ambayo ufahamu wao ni mdogo wataita bidaa,wakati ilithubutu dhikri ya kukohoa ,hadithi amepokea abuhurera,

    • @feisalboy6702
      @feisalboy6702 10 місяців тому

      Hemu ilete hy hadithi ya abuu hurayra

    • @adamstour5736-kb6zq
      @adamstour5736-kb6zq 10 місяців тому

      Hebu ipambe iyo hadithi uliyoiokota jaani ambayo inajuzisha zikiri ya namna hii

  • @fatmasaid9765
    @fatmasaid9765 10 місяців тому +2

    Sijawahi kuona dhakir kwenye maziko

    • @AllyYunus
      @AllyYunus 10 місяців тому +1

      Wewe ujawahi kuona sisi tushaona tangu enzi na enzi

  • @AhmadRibaat
    @AhmadRibaat 5 місяців тому

    Nyie mnaopinga haya wajinga wakubwa hamna adabu hembu someni achane ukafiri wa kiyahudi,hii ndo dini safiiiii

  • @thamratysuleiman3053
    @thamratysuleiman3053 10 місяців тому +1

    Sufi wana shangwe shida tupu

  • @MohdSniper-v4e
    @MohdSniper-v4e 10 місяців тому +2

    Waislamu wa mchongo Hawa hawaeleweki

  • @AdmiringCorgi-rg5tj
    @AdmiringCorgi-rg5tj 10 місяців тому +1

    Tunachotakiwa kuzingatia hapa ni maneno yanayonenwa na sio wanaocheza. Tuache ujinga kila kitu bidaa bidaa..wewe mwenyeo ni bidaa hujijuwi tu

  • @KassimSalim-fi1me
    @KassimSalim-fi1me 10 місяців тому +4

    Ebu tuangalieni waislam tukikatazwa bidaa tujue kuwa bidaa ni mbali hawa wanacheza kweli wanahuzuni au wana furaha

    • @batihubadiy3106
      @batihubadiy3106 10 місяців тому +1

      Bidaaa itabak kuwa Bidaa hataifanywe kw style yyt hao wanaochezaa ndio Huzuni hyoo ? Na SiSi tunamfata Mtume wetu w mwisho ambae ni Muhammad (Sww) ameshawahi kufanya haya au yamefanya mbele y macho yake ?

    • @Mumewangu
      @Mumewangu 10 місяців тому +3

      Usiangalie kucheza sikiliza mashairi yao yanazunguzia nin ndugu.?

    • @batihubadiy3106
      @batihubadiy3106 10 місяців тому +1

      Hakuna ibada au huzun unaombatana na kucheza Ndg hayo mashahir yalitakiwa yawe na Atumanina na co hvyo Ndg Bidaa itabaki kuwa Bidaa tu hata tuiteteee kw style yyt

    • @saidothman8014
      @saidothman8014 10 місяців тому

      Kwetu sisi watu wa Twariqa tupo ktk njia ya Allah kwani kwake ndio marejeo yetu

    • @allykwaya
      @allykwaya 10 місяців тому

      Assalamghaleykum. Sote ni Watu BIDAA na vivyohivyo ni Watu SUNNAH.ITOSHE KUSEMA HIVYO.

  • @tuheatvonline834
    @tuheatvonline834 10 місяців тому +1

    Mashallah

  • @JafariathumanJafariathuman
    @JafariathumanJafariathuman 6 місяців тому

    Mashaala

  • @KassimSalim-fi1me
    @KassimSalim-fi1me 10 місяців тому +2

    Sawa

  • @SeifAzizAbdi
    @SeifAzizAbdi 10 місяців тому

    Hao wengn wanaosema kwaya kwanz angalia hilo jina Lake